Mr House acha excuse zisizo na maana, weka utaratibu mzuri wa kupokea messages/simu na kujibu na ikiwezekana ajiri mtu, unapoteza credibility, na kutokujibu message zaidi ya message 1000 inaonyesha uzembe upande wako, kuwa serious ufanikiwe vizuri na wateja tupate huduma nzuri
@victoriamaige2862Күн бұрын
Sw kbsa
@SadaHashimhadoswaКүн бұрын
Maashallah Allah akuzidishie , umenifurahisha vile umempa thamani sana mkeo mkubwa yani umempa nafasi yake❤ Kuna wengine wakishaongeza wake tu bas watajijua wenyewe hata wakikaa chooni😂😂😂😂😂mambo yote kwa bi mdogo hii wanaume kuna cha kujifunza pia😅 comment yangu isiguswe🏃🏃🏃🏃
@kamarheloКүн бұрын
Tumeigusa mana tunajua umeomba like kiaina 😅😅😅😅😅😅
@SadaHashimhadoswaКүн бұрын
@kamarhelo 🤭🤭🤭🤭😂
@PpPp-nv7gfКүн бұрын
Mashaallah napenda mwanamke akimpa mumeo uhuru wa kuoa yaan mnaishi kwa aman mungu awazidishie furaha
@GraceNambangaКүн бұрын
Hongera mr house kumbe chakwako safii❤❤🎉🎉🎉🎉
@wr6174Күн бұрын
Mungu akujalie Mr. House mi nakupenda kwa jinsi unavyotueilimisha hakika
@hassanmpemba574722 сағат бұрын
Masha Allah mr house umejipata alhamdulillah
@MuhammadHassan-xp6dcКүн бұрын
Uaminifu unafaida kubwa sana ongera kk
@victorterry227Күн бұрын
As-salam waleikum walhamatulah wabarakatuh, mi ndungu yangu nakuombea heri sana na ninakubari sana upambanajiwako kaka na unaniamasisha sana
@abdisoud3810Күн бұрын
MashaAllah, mdogo mdogo tu Mungu atakufanyia wepesi unatusaidia wengi.
@ukweliunauma4570Күн бұрын
Mashallah , Mr house umejitahidi sana , vijana wengi wanashindwa hata kua na chuma chao wenyewe 😂😂 Allah akuzidishie 👍
@Songeagirl18 сағат бұрын
Hujibu meseji sijui kwanini yaani😢 au unajibu wenye wanataka kujenga mijengo mikubwa tu 🥺🥺
@Shaniatwain06Күн бұрын
Kazi za Salehe Classic kaipata Nyundo doh hd chumbani jamani kutaka kutuonyesha vioo visivyosafishwa kwa nn lkn😂😂
@AsmasaidiTituКүн бұрын
Hongera kwako kwa uadirifu wawake zako kila mtu ananyumba yake unakizi vigezo vyakua na wake 2 .ila kweli mm npo omani nimekutafita simu nimepiga hupokei husomi sms
@GraceKija7 сағат бұрын
Bi warda mfundishe usafi kha iko choo mhhh😢 kioo ajaosha full midawa y mswaki
@FarhatSuley17 сағат бұрын
Mabanda ya kuku hayana vigezo vzr, upepo mdogo
@mirnababy5012Күн бұрын
Mashallah Mdogo angu Allah azidi kukuongoza🙏
@FarhatSuley17 сағат бұрын
Mananda ya kuku hayana vigezo vzr
@Shaniatwain06Күн бұрын
Kwahy ulianza kudinya huyo mkeo mkubwa ukiwa na miaka 16 mlibakana au ndy michezo ya kibababa mlicheza 😂😂
@ayanally1124Күн бұрын
MR PAA NAKUSUBIRIA ZANZIBAR IN SHAA ALLAH
@Yusufu940Күн бұрын
Hongera kjn
@hamidabarraball3162Күн бұрын
Ajiri mtu atakaefanya kazi hizo za kusoma text na kujibu message
@Yusufu940Күн бұрын
Nyumba yako Zr Mr House 🎉
@peterrobert2018Күн бұрын
Hongera mr.house🎉
@Sanuka539Күн бұрын
Shukran 🙏🙏🙏
@SaedaAlbrekiКүн бұрын
Hongera kk umeupiga mwingi 🎉 nisalimie bi saida wajina wangu
@chrisshongaКүн бұрын
Kwa kweli tunaishi MUNGU nisaidie 😁😁😁😁😁😁😁
@Sanuka539Күн бұрын
Ndio maisha yetu Allah atufanyie wepesi 🙏🙏🙏
@NM-yl2uwКүн бұрын
mtu wa camera miyayusho sana
@MOlo-po5qcКүн бұрын
Jaman nabangili mnaijaji du
@saidsuleiman1753Күн бұрын
Mr House nyumba za Bilioni zipo Bongo tena nyingi
@kamanda0078 сағат бұрын
@@saidsuleiman1753 labda Masaki au mbweni kwa washua sio ugoro wa kina Mwijaku
@simaisalim108Күн бұрын
In shaa Allah nikifika miaka 33 nitakua na kwangu 😰😍😍😍😍
@Sharmy_02Күн бұрын
Amiin
@avelinafurahaoisso5491Күн бұрын
Mimi wivu utaniuwa 2025na pambana ,
@frankkessy126022 сағат бұрын
ndoa za mitara ni kwa ajili ya wateule pengine wewe haupo kwenye hilo kundi
Umesema hamo ngazi xa zanani n wewe mlango wa zamani wall to wall zinapendeza
@OthmanMussa-k3eКүн бұрын
Nipo serious na nimekutafuta sana ndugu hujajibu kitu
@brandtz685Күн бұрын
Mpigie simu anapokea
@MuhammadHassan-xp6dcКүн бұрын
usichoke mtafute tena rabda kazi zilimbana
@mirnababy5012Күн бұрын
🎉🎉🎉
@saidsuleiman1753Күн бұрын
Napata mashaka na ufundi wa Mr House, kusema kwamba hakuna ghorofa la Bilioni Bongo
@Abeli-fw7npКүн бұрын
Namsaidia kujibu japo sio kazi yangu amesema Kwa wasanii hayo ya serikali yanaweza kuwa billion but Kwa hao wasanii wanaojenga gorofa kama home house hizo haziwezi kuwa billion
@SadaHashimhadoswaКүн бұрын
@@saidsuleiman1753 ghorofa la billion moja Kwa msanii na Kwa makazi ya familia tu🙄🙄 tunaongelea billion na sio million,wanatudanganya hao wasanii jamani
@ZawjyaZzКүн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@OfficialA83640Күн бұрын
Mr House naomba uniambie hiyo bangili yako mkononi ina kazi gani 😢
@mycmeranyswai7957Күн бұрын
mmmmh
@freyzamsaidsaidmnken9585Күн бұрын
Aki nimecheka kama mazur
@myunaniniahmad6463Күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@ziddyziddy2524Күн бұрын
😅😅😅😅😅@@freyzamsaidsaidmnken9585
@emmiemmi3861Күн бұрын
😂😂😂
@meryamabdullah2081Күн бұрын
Wake wawili wa nn ss na wewe 🙄
@sophsoph474022 сағат бұрын
Yan wanaume nouma kakaaa nae 17 kaka kumuolea mke yan wanaume always change
@assathegreat00Күн бұрын
666 devil number so the truth ni kwamba uko Freemasonry