SEGERE | FILAMU | GABO ZIGAMBA {PART 3}

  Рет қаралды 55,011

Kiatu Films

Kiatu Films

Күн бұрын

Пікірлер
@sadihamis2050
@sadihamis2050 Жыл бұрын
Mimi ni wa kwanza nampenda sana gabo😊😊
@jacquelinelekule426
@jacquelinelekule426 Жыл бұрын
Nakukubali saana gabo
@MboniRaahid
@MboniRaahid Жыл бұрын
Pendant sana gabo mungo akutangulie katika kazi zako❤
@amonygeofrey3201
@amonygeofrey3201 Жыл бұрын
Salutii KWA gabo zigamba🎉❤
@theopisterjovent3483
@theopisterjovent3483 Жыл бұрын
Nimechelewa ila sio mbaya kikubwa nimefika❤❤ nakupenda Gabo Zigamba
@HajerSaidAliAl-Nahwi
@HajerSaidAliAl-Nahwi Жыл бұрын
Gabo nakupenda mpaka nikikuangalia naisi kuvurugwa kwa kazi yako pili
@allympole517
@allympole517 Жыл бұрын
Unajua Sana kaka mungu akubarki
@fatumakushonda4277
@fatumakushonda4277 Жыл бұрын
Nakukubali Sana kk gambo❤🥰👌
@dadymubenga5808
@dadymubenga5808 Жыл бұрын
Filamu nzur san kak hujawahi kutuangusha ❤
@munirachangawa2928
@munirachangawa2928 Жыл бұрын
Tunasubiri part 4.asanteni kwa kazi nzuri big up
@KadibaKadiba-wl4ip
@KadibaKadiba-wl4ip Жыл бұрын
My Best artist wa muda wote nataman nije nifikie kipaji chako bro, kaz zako ni bora saana Big up san mkubwa
@Uwamahoro-fefe.15
@Uwamahoro-fefe.15 Жыл бұрын
Hujawahi kutuangusha hongera kwa kazi nzuri
@emmanuelernest3596
@emmanuelernest3596 Жыл бұрын
Hongera bro...mwanzo mzuri wa kazi, kazi nzuri sana na inshallah utafika mbali
@ALIMOHD-bk9lr
@ALIMOHD-bk9lr Жыл бұрын
This is GABO the GAMBA. TALENTED MAN EVER IN THIS INDUSTRY
@Kassim-d9p
@Kassim-d9p Жыл бұрын
Gabo kazii nzri sana"",ongera kwa ushauri wko mzri
@roqayaro9439
@roqayaro9439 Жыл бұрын
NAMKUBA😊LI GABO ZINGAMBWE UPO VZR KAKA KTK KUINGIZA
@GloryKhamis-vg5xw
@GloryKhamis-vg5xw Жыл бұрын
Kiswahil chako ni kizur sana❤❤❤❤
@shidashida6060
@shidashida6060 Жыл бұрын
Gabo hunaga kazi mbovu.
@massoudsuleiman-xv7hy
@massoudsuleiman-xv7hy Жыл бұрын
nimeipenda iyo jaman gabo nakupenda sana imeshaenda kwetu vuga na licha ya vuga msambaaa raha sanaa
@asiaabedi7115
@asiaabedi7115 Жыл бұрын
Vuga oyeeeeee 😂😂😂😂
@Steve_tz
@Steve_tz Жыл бұрын
Hii move imekaa kinafiki sana na inahusu na mambo ya bandali yetu hapa Tanzania
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 Жыл бұрын
Dah umewaza mbali
@allympole517
@allympole517 Жыл бұрын
Ww ndio mnafki acha watu wenye vipaji wafanye kazi
@allychengula3511
@allychengula3511 Жыл бұрын
Et bandar igiza ya kwako ndo tujue kuwa we sio mnafiki
@amaizinggracious8876
@amaizinggracious8876 Жыл бұрын
Ashakula hela za waarabu huyu
@vanjizzle122
@vanjizzle122 Жыл бұрын
😅😅😅😅🤣😂😂😂😂Daaaaah Bora na wewe umelitambua Iloooo na ndo kinachofanyika Leo kwenye bandarii🇹🇿🇹🇿kama unapenda nchi Yetu utaeelewa Muvii Hii
@DickisonJames
@DickisonJames Жыл бұрын
Nakukubali San gabo
@MwaishambaKipanga-bu9sz
@MwaishambaKipanga-bu9sz Жыл бұрын
Nimependa. Sana maisha mazuri kwakunywa maji ya chupa😂😂😂
@nebartnyabera2121
@nebartnyabera2121 Жыл бұрын
Naipenda sana maneno yako ya busara❤❤❤❤
@meshacksamson606
@meshacksamson606 Жыл бұрын
Gabo kama nakuona hii move na uhusiano na ubinafisishaji wa bandari
@mejumaabaraza3989
@mejumaabaraza3989 Жыл бұрын
Huyu Kaka gabo movie zake huwa na mafunzo Sana
@amneykhamisiamneykhamis8016
@amneykhamisiamneykhamis8016 Жыл бұрын
Good job gabo from 🇰🇪 🇸🇦
@hakizimanaisael2460
@hakizimanaisael2460 Жыл бұрын
Gabo niko nawew namimi
@fanfrees_motors_ltd3319
@fanfrees_motors_ltd3319 Жыл бұрын
Nakubali
@halemamoon1782
@halemamoon1782 Жыл бұрын
Mashaa Allah....mwendelezo plz dba wetu
@chrismgetha6278
@chrismgetha6278 Жыл бұрын
Kuna muda huwa nafikiria,Gambo angekuwa mjeda ingekuwaje kwa waalifu.
@rosemarenga832
@rosemarenga832 Жыл бұрын
Good job kaka
@Kiatufilms
@Kiatufilms Жыл бұрын
Thank you 😊
@ibrahmseif-rx8yq
@ibrahmseif-rx8yq Жыл бұрын
Wa nne Leo naomba laki zang
@fikirinimahamudu6488
@fikirinimahamudu6488 Жыл бұрын
Wewe mskaji unajua ila alokufundisha kishambaa chetu nimemchukia Sana maana hakukujaribu vyakutosha kua umejua vizuri maneno ulioyaongea
@mimyaminatha6002
@mimyaminatha6002 Жыл бұрын
Hongera Diba wangu
@christainc.5217
@christainc.5217 Жыл бұрын
Ira iyo camera imeharibu sana gabo
@jasmineedamu6089
@jasmineedamu6089 Жыл бұрын
Leo nmejiwahia😍😍
@LeiusAloys
@LeiusAloys Жыл бұрын
Gabo nakukubali
@maryamanalisi197
@maryamanalisi197 Жыл бұрын
Maa shaa allah ❤❤
@jabusalim-bg2rf
@jabusalim-bg2rf Жыл бұрын
Nimewahi leo nipeni mauwa Yangu
@KsaVip-dw7um
@KsaVip-dw7um 7 ай бұрын
❤❤❤❤❤gabo
@saalaf8325
@saalaf8325 Жыл бұрын
❤❤❤👍
@sh4138
@sh4138 Жыл бұрын
Nahitaji lnk hata 30
@shafiunalibiga7364
@shafiunalibiga7364 7 ай бұрын
CAMERA bro hututendei haki😢😢
@selekingstar
@selekingstar Жыл бұрын
❤🎉
@delimachesa5007
@delimachesa5007 Жыл бұрын
Wasambaa watu wenye asili ya mlima wa Vuga😅Sisi Haooo
@asiaabedi7115
@asiaabedi7115 Жыл бұрын
Yaaani tumekumbukwa😂😂😂😂
@exclusvetztv9011
@exclusvetztv9011 Жыл бұрын
Hii aridhi ipo wap niende nikachimbe mafini
@saidbyser6208
@saidbyser6208 Жыл бұрын
💯❤❤
@shafiunalibiga7364
@shafiunalibiga7364 7 ай бұрын
CAMERA bro hututendei haki 😢😢😢
@Chrissboy-cf1qn
@Chrissboy-cf1qn 8 ай бұрын
Nice
@IvanJames-l7b
@IvanJames-l7b Жыл бұрын
Nilikuwa wapi miyee gabo nzingabo kwasasa ntaifatiliya hii adimwishoo❤❤🇹🇿🇹🇿🇿🇦🇿🇦
@IvanJames-l7b
@IvanJames-l7b Жыл бұрын
Mimi sitaki like nataka kazi nzuri wAdau natumiya randi 🇿🇦 kununuwa bando na soshilingi🇹🇿kazi kazi broo gabo
@shabanimanueli3994
@shabanimanueli3994 7 ай бұрын
Mbona namb 4 aitoki ipo au
@HajerSaidAliAl-Nahwi
@HajerSaidAliAl-Nahwi Жыл бұрын
Gabo nakupenda mpaka nikikuangalia naisi kuvurugwa kwa kazi yako pili
@junioramerican1634
@junioramerican1634 Жыл бұрын
Nikubali mwanangu gabo
SEGERE | FILAMU | GABO {PART 4} YA MWISHO
17:16
Kiatu Films
Рет қаралды 46 М.
DALADALA 01
19:58
MPAYU FILM
Рет қаралды 192 М.
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
CHUKI YA WIFI PART 1 || NEW BONGO MOVIES 2023 || PILI MABOGA
23:55
RUBA | FILAMU | PART {3}
16:16
Kiatu Films
Рет қаралды 4,6 М.
Salama Na Gabo Ep 25 | MTOGAPAAFWE Part 1
35:07
YahStoneTown
Рет қаралды 143 М.
SEGERE | FILAMU | GABO ZIGAMBA {PART 2}
19:00
Kiatu Films
Рет қаралды 72 М.