SEHEMU YA 5: MFULULIZO WA KUWAJIBU MAWAHABI - SHEIKH MUHAMMAD IDDI

  Рет қаралды 7,677

BABDEO MILADU

BABDEO MILADU

Күн бұрын

Пікірлер: 203
@ArabiMuchande
@ArabiMuchande Жыл бұрын
Alhamdulillah sheikh tunakuomba uzidi kutuweka wazi mkikaaakimya sisi watu mitandao tutawaaamini hawa mawahabi maana wamejaa mitandaoni
@khamismwande8330
@khamismwande8330 Жыл бұрын
Alhamdulillaah, Allah akupe kheri Inshaa Allah
@IbrahMiracle-em4sh
@IbrahMiracle-em4sh Жыл бұрын
Allah akuongoze ndo mana maulamaa mlikua mkifa wa furahi sana
@halidijuma1884
@halidijuma1884 Жыл бұрын
Mlichelewa sana kutujuza haya mambo inatufunguwa ufaham
@Rashid-vm1fk
@Rashid-vm1fk Жыл бұрын
Njia sahihi ni kumwamini Yesu Kristo ndiye njia na kweli na uzima bila kumwamini Yesu Kristo hata ufie msikitini unanyosha kuzimu.
@MuhammadHamisi
@MuhammadHamisi Жыл бұрын
Shekhe wambie kweli hawana adabu
@IdighamuMashombo
@IdighamuMashombo Жыл бұрын
Tuna shukuru mungu tunasoma sisi Wanafuzi mungu akulipe kilaheri
@Rashid-vm1fk
@Rashid-vm1fk Жыл бұрын
Njia pekee tu na salama ni kumwamini Yesu Kristo kuwa mwokozi wenu, msipomwamini YESU KRISTO wote mtakwenda jehanam inakusubilini
@tashone7884
@tashone7884 11 ай бұрын
Kutofautiana kuelewa maandiko kupo huko kwenu Kuna sabato,Roman catholic,orthodox, Anglican etc wengine wanaruhusu kusaga na kuswaga kwa kitumia hiyo Bible
@Rashid-vm1fk
@Rashid-vm1fk 11 ай бұрын
@@tashone7884 we sema tu weka hakiba ndugu utakuja nikumbuka siku moja
@IssaAbdallah-r9z
@IssaAbdallah-r9z Жыл бұрын
Sheikh Allah akutie nguvu ,alhamdulilah tunafaidika tunajifunza mengi usikate tamaa usirudi nyuma Inshaah
@bagalucha
@bagalucha Жыл бұрын
Bismillah Rahman Rahim Haya mengi anayosimulia huyu msimulizi hayana ukweli,kwanza hakuna mfuasi au dhehebu linaloitwa wahabi,alikuwapo huyu ulamaa akiitwa Muhammad Ibn Abdulwahab,katika nchi ya Saudi Arabia,kuna historia yake aliyoiacha ya kupigania jihadi ya kuiondosha shirki,ambayo ilishaanza kushamiri baina ya karne ya 17/18,watu walikuwa tayari wakifanya ibada kishirikini za kuabudu mizimu ya miti na mapango,katika sehemu mbali mbali za Saudia,mtume Muhammad alilipinga na aliliondoa hilo,watu walianza kurudia mila za kutambika na kadhalika,kwa kweli Muhammad Ibn Abdulwahab hakulipenda hilo,na alipigana na wapinzani wengi katika kuliondoa jambo hilo,kuna historia ya uwongo ambayo ilitungwa katika vitabu vya kishia na kighurafi/kisufi,zinazoipotosha historia halısı,haswa baada ya tawala zilizokiwepo wakati huo, kushindwa na Muhammad Ib Abdulwahab kushinda,vita hivi dhidi ya makundi yaliyounga mkono ushirikina huu,vita hivyo havikusita hapo,hata baada ya yeye kufa viliendelea,kwa mfano Makka na Madina zilizokuwa zipo chini ya utawala uliojinasibu wa kisharifu/kissufi/kighurafi kwa wakati huo,uliachia upotofu mkubwa katika msikiti mtukufu wa Makka,uliacha Uislamu ugawike kimadhehebu,kinyume na mafundisho ya mtume Sallallahu alayh wasalam,kwa mfano sala za jamaa zilizozunguka katika Kaaba ya msikiti mtukufu Makka ,zikifanyika kimadhehebu,kwa wakati mmoja iliweza kufanyika jamaa nne kuzunguka Kaaba,kwa alama za mistari iliyogawa makundi tofauti ya kimadhehebu kwa kupishana wakati wa sala za jamaa,na kuongozwa na maimamu tofauti kwa kufuata madhehebu,kulikuwa makamun shafi,maliki,hambali,Hanafi na kadhalika,mtume Muhammad aliuacha uislamu mmoja,muislamu ni ndugu wa muislamu,huu ulikuwa udhaifu mkubwa na upotofu,utengano uliosababishwa na nasaba za kimadhebu,na hili ni moja ya jambo lilipingwa na wafuasi wakeMuhammad Ibn Abdulwahab ndio likapelekea wengi kumuunga mkono na kuuondosha utawala uliokuwepo,ama kwenye kupingana lazima kuwepo na vita,wewe msimulizi unapendelea msikiti mtakatifu urudi katika hali ile iliyokuwepo ya mgawanyiko wa kimadhehebu iliyokuweko kabla,ya sala za jamaa za kimadhehebu,kukimu kwa sala tano tofauti katika Kaaba moja,na kuufanya uislamu uwe na makundi ya kimadhehebu,historia hii ya wapotoshaji wa kishia/ kissufi mapote yenye kulingania upotofu,hivyo kweli watu walizunguke Kaaba na kucheza ngoma za kasida na maulidi katika msikiti huu mtukufu?,hili alilifunza mtume??,utukufu wa Allah upo wapi kwa hili???,sasa hilo ndilo wanalopigania wapotoshaji wa kisufi,watu wa bidaa nzuri,ikiwa dini aliikamilisha mtume Muhammad salallahu alayh wasalaam,kwa kujua madhara yatakayokuja kutokea ikiwa mtaingiza mambo mapya,ambayo mengi yao ndiyo njia inayompa shetani iblisi,njia ya kuipotosha dini ya Allah,kuna dalili za huyu msimulizi kutumika kueneza uwongo,kutumika na kueneza propaganda za kishia,Sufi tariqiyah nakadhalika dhidi ya Uislamu ulioachwa na mtume Muhammad Sallallahu alayh wasalam,kama hili la kuyazunguka makaburi na kutaja majina ya wanazuoni kwa nia ya kujikurubisha kwa Allah,Allah hana mshirika katika kuombwa,kuabudiwa,hili halikuwepo,wala si katika mafunzo ya mtume,hata lisisitizwe vipi,huu ni upotofu,ambapo mtume hakuliamrisha hili. KWA WALE WAABUDU MAKABURI Suratuz Zumar 3: "Na wale wanaowafanya wenginewe kuwa ni walinzi, husema; sisi hatuwaabudu hawa, bali tunafanya hivi ili wapate kutuweka karibu na Allaah. Hakika Allaah atahukumu baina yao katika wanayo khitalifiana. Hakika Allaah hamwongoi alie muongo kafiri. Sutatu Yunus 17-19: "Nao, badala ya Allah, huabudu wasiowadhuru wala hawawanufaishi, na husema; hawa ndio waombezi wetu kwa Allaah. Sema uwaambie; je! Mnamwambia Allaah asiyoyajua ya Mbinguni na ardhini!? Subhanahu wa Taa'la! Ametakasika na ametukuka na hao wanao mshirikisha naye. 18 Mtume Swallallaahu alayhi wasallam aliomba dua kwa kusema: "Ewe Allaah, usijaalie kaburi langu kuwa ni pahala pa ibaada. Namuomba Allaah awalaani watu wanaoyafanya makaburi ya mitume/viongozi wao kuwa ni pahala pa ibaada." [Musnad imaam Ahmad (12/314)] Kama kweli unaipenda haki ifuate haki,achana kufuata na misimamo ya kishia,kisuffi/kighurafi,ambayo imeingiza ibada nyingi kwa hawaa zao,katika dini ya Allah,ambayo tayari mtume Muhammad Sallallahu alayh alishaikamilisha,Masufi wanaona wanaimarisha,kumbe wanayazidisha mambo katika dini yanayoharibu,lolote lile utakaloliingiza katika ibada za dini ya Allah ambalo halikuthubutu kwenye Quran ujumbe wa Allah na sunna za mtume/mjumbe wake wa mwisho Halikubaliki
@KhudhefaaliShaibu
@KhudhefaaliShaibu Жыл бұрын
Hamna jipya
@NyanyaMbuli
@NyanyaMbuli Жыл бұрын
SHEIKH ABUU IDDI KWAKWELI UNATUFUNGUA MACHO ALLAH AKUPE AFYA ILI NUFAIKE NA ELIMU YAKO
@yusufntamila541
@yusufntamila541 Жыл бұрын
Mashaallah waambie hao wapuuzi wamezidi
@jafaritwahatvonline828
@jafaritwahatvonline828 Жыл бұрын
Alhamdulillaah Shekhe Muhammadi Allah Akujaalie Umri Mreeeefu Hakika Sisi Wanafunzi Tunafaidika Mnoo Na Hizi Mada Na Kwa Mtu Mwenye Akili Timamu Bila Kufata Mihemko Ya Shkhe Wake Basi Atulie Na Kusikiliza Hoja Za Pande Zooote Kisha Sasa Utachaguwa Ufate Wapi Nimalizie Comment Yangu Mawahabi Wao Wana Sunna Yao Ya Matusiiii Hivyo Ukiona Muisilamu Yeyote Anatukana Hovyo Juwa Huyo Ni Muwahabi Anatimiza Sunna Yao
@faizaa155
@faizaa155 Жыл бұрын
Sahii mtume alysalam hatupo
@suleimansaid4244
@suleimansaid4244 Жыл бұрын
Maneno mazuri na yenye mazingatio sana km akili na ufahamu upo sawa umesema haqqi kabisa Allah akujaze kheri inn shaa Allah
@abuurayaan3902
@abuurayaan3902 Жыл бұрын
Dah yani leo Abu Iddi umebugua ugoro wapiga chafya kabisa hata hujifahamu maskini Sasa Mawlidi tayari ni Uzushi hayakwepo na wala hayapo katika mafundisho ya wema walio tangulia sas utayajengeaje Hukmu kisheria na kwenye sheria hayapo Duh kweli Usufi ni ulemavu wa kichwa
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Mawahabi hawana jipya wala hawaelewi.wao wanahukumu neno maulid.sijui elimu hiyo waliitoa wapi
@husseinsaid8021
@husseinsaid8021 Жыл бұрын
Hata sheikh Muhammad ayyub ni Salafy
@abusalmadangaadam708
@abusalmadangaadam708 Жыл бұрын
Binafs sijamuelewa sheikh wa dufu
@IbrahMiracle-em4sh
@IbrahMiracle-em4sh Жыл бұрын
Sufi mwenye elim kuloko wote kasimama kujizalilisha aya jizalilishe
@UB40X1
@UB40X1 Жыл бұрын
Wewe Abu Iddi ilmu yako chache sana. Mpaka Leo waendelea kutoa hoja hizo hizo ambazo zishajibiwa mara kwa mara. Maneno mengi kumbe huna kitu. Ndio maana unamkimbia Sheikh Qassim Mafuta.
@infocontentchannel
@infocontentchannel Жыл бұрын
Usitegemee ukimdharau mtu hata aseme vipi utaona upuuzi, Bora uache, wale wenye kutaka Elim wacha wamsikilize Kisha watapima na kupata uongofu.
@UB40X1
@UB40X1 Жыл бұрын
@@infocontentchannel Mtu ajiita shekhe na kufanya ujasiri kuongea kama ana ilmu ya hali ya juu na huku hata hajui kama kuna sunnah tarkiyah. Haya ni mashaka makubwa sana wallahi.
@AmiriUshanga
@AmiriUshanga Жыл бұрын
Naona viwahabi golo vime panic mishipa yashingo imewakaza povu zawatoka vimekalia ufedhuli kejeli matusi na roho mbayaa chsfuu zilojawa na husda
@IsmailiallyIsmaili
@IsmailiallyIsmaili Жыл бұрын
Wapumbavu ndio watakao coment ujinga
@salemaliy1963
@salemaliy1963 Жыл бұрын
Ninasema tena someni ...ukweli ni huu watu watwarika wana elimu kubwa kuliko mawahabi ....tusiwe upepo tusomeni turaelewa sio mtu anasema kiarabu tu tukaona ndio elimu tusomeni
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Muhammad ayoub sufi, abubakari burhani sufi, wote masufi Na hayo walioyaacha kwenye uchafu huu wa maulidi yapo mbali na allah na mtume wake
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Mchafu ni mamako alokuzaa nje ya ndoa
@azizihfarijala5307
@azizihfarijala5307 Жыл бұрын
mbona matusi jamani kulikoni tengeneza hoja
@jumaamohamed4203
@jumaamohamed4203 Жыл бұрын
Piga mbwaaaa haoooooo Abuu idi wewe ni kiboko yao
@UmmuJauzan
@UmmuJauzan Жыл бұрын
Tumeambowa we mvuta mbangi
@Ahmed-l7k7k
@Ahmed-l7k7k Жыл бұрын
Hawa mawahabi ni shirika la kiyahudi
@alybinmana6197
@alybinmana6197 Жыл бұрын
Nikwl Wala hujakosea ila ww ndie boss wao
@ZainabRamadhan-m9m
@ZainabRamadhan-m9m Жыл бұрын
@HamadFakh
@HamadFakh Жыл бұрын
Abuu Idd umekua kama toiz
@SalamaKhamis-un8vn
@SalamaKhamis-un8vn Жыл бұрын
SHUKRAN BAARAKA LLAHU FIIIQU
@abuunutsamuonlinetv2703
@abuunutsamuonlinetv2703 Жыл бұрын
Huna hoja zaid ya porojo funueni vitabu acheni mbwembqe
@HamisaMiraji-q9f
@HamisaMiraji-q9f Жыл бұрын
Ukiangalia komenti hasa za mawahabi ,,utagundua waislamu weng hawaujui uislamu ,,wala yanayoongelewa,,ni ushabiki tu,,,na kuropoka
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Mnafunga banda wakati farasi kashatoka Kasim mafuta mtamuweza wapi Kusanyaneni nyote masufi nyote tz bado hamtamuweza abul fadhli Maana yy hana mda wa kupoteza bure Mda wake wote anautupa kwenye maktaba
@yebabaabdull3260
@yebabaabdull3260 Жыл бұрын
ah anachekesha sana huyu shekh kwani si alikuwana mdahalo wa mwezi na uwahabi mbona kakimbia na kujanajambi jipya hii ni kufilisika anatafuta uchochoro wa ma shekh iliambiwe anatete ma shekh sis tunataka hoja sio huruma zawatu
@IbrahimuSaid-z7e
@IbrahimuSaid-z7e Жыл бұрын
Kua na uadilifu alikuambia anashida na huruma za watu au hoja zimekuelemea
@mohammedabdalla5100
@mohammedabdalla5100 Жыл бұрын
Assalamu alaikum warahmatullahi wabarakatuh sheikh,swali wanaloliuliza mawahabi ni hili hapa,"MAULIDI NI IBADA AU NI ADA"jibuni hilo swali wacheni kuruka huku na huku,hakuna mtu atapinga kusomwa quran au kumswalia mtume wala kupinga kheri yoyote,Bali watu wanapinga matendo munayoyafanya katika hayo maulidi yenu,je ni sawa na sheria yetu ya kiislam?
@hamzahassan2041
@hamzahassan2041 Жыл бұрын
Vipi kuhusu swalatul raghibeena, kivipi imekataliwa na hamuiswali au na yenyewe shida ni jina au uhalisia .. Ukiangalia uhalisia wa hiyo swala si ni kheri lakini imam Nawwawiy kaihukumu kuwa haifai vipi kaangalia uhalisia au jina , naomba jibu shekhe unaedai unaufahamu mzuri kuhusu wema waliotangulia
@Ahmadasshii-raazy8888
@Ahmadasshii-raazy8888 Жыл бұрын
nakushauri soma vitabu vilivyotungwa kuhusu bid'aa utafaidika sana
@topfreelancer5151
@topfreelancer5151 Жыл бұрын
​@@Ahmadasshii-raazy8888Jibu swali Kwanza ndio umpe rejea ya vitabu
@hamzahassan2041
@hamzahassan2041 Жыл бұрын
Kitabu gani
@farishfarish258
@farishfarish258 11 ай бұрын
We elilmu Yako nindogo kwenye matendo hiyo ni kz ya Allah lkn elim huna nimakelele tu nakuwasema vibaya Answary sunna
@mussakhamis-g8c
@mussakhamis-g8c Жыл бұрын
ABUU IDDY WAPE NA NAMBA YA SIMU AOOOO.
@khamismaggy6484
@khamismaggy6484 Жыл бұрын
Mara zote kutetea baatil kunahitaji nguvu nyingi kwa sbb ni vigumu kuwa na hoja yenye mashiko. Maropoko meengi hakuna hadithi wala aya. Baada ya kuwatenga mtasema pia wapigwe mawe.
@athumanmohammad5052
@athumanmohammad5052 Жыл бұрын
Yaani wakitukanwa maswahaba ni mashia anachekelea na anawatetea hao mashia lakini msikie anavyo koroma kwa ajili ya mashekhe wala hakuna.aliye watukana hao mashekhe ila wamekoselewa tu
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Swahaba yupe aliyetukanwa.Abdulrahaman bin Udais aliye muua halifa othman au muawiya bin abi sufyan aliyemuuwa Ammar bin yasir?
@faizaa155
@faizaa155 Жыл бұрын
N mtume slm alieka pic
@AllyAhmad-zg2yp
@AllyAhmad-zg2yp Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 mtatengwa nyinyi, mbona nyinyi mliwatenga zamani
@AllyAhmad-zg2yp
@AllyAhmad-zg2yp Жыл бұрын
Nasheikh Muhammed ayoub anauelewa zaidi kuliko maswahaba ? Mbon wao wameacha maulidi
@mjemasalum1180
@mjemasalum1180 Жыл бұрын
Shida yenu uelewa ni mdogo
@IbrahimuSaid-z7e
@IbrahimuSaid-z7e Жыл бұрын
Nyie wenye uelewa kututenganishia tawhidi 3 kwa Allah mmoja wakati tawhidi ni tawhidi kwa Allah aliyepekee nyie wenye uelewa kuliko mtume aliyefundisha tawhidi kwa zaidi ya miaka 4 ni tawhidi tuuu bila ya u3 nyie mnatuletea leo. Jibu hoja
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
MAPICHA YAMEJAAA NYUMA MTU KASHAKUFA
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Kwahiyo wewe wahabi joja ysko nini
@naasibabuu
@naasibabuu Жыл бұрын
ikiwa Mtume صلى الله عليه وسلم aliikubali ربنا ولك الحمد حمدا كثير na akasema kua ameona malaika wakigombania kuandika nenohilo, swali langu mm nikianzisha jambolangu nani anaweza kuniambia kua nitapata malipo fulani? swali la pili, sheria ya dini bado inatungwa au ilishakamilika katika zama za Mtume صلى الله عليه وسلم؟ swali la tatu hili sitoacha kukuulza je, unamsimamo gani kuhusu hirizi na wale wanaobudia mawe na mapango pamoja na kufanya matambiko swali la nne ikiwa Mtume صلى الله عليه وسلم aliyapokea mambo mazuri na kuyakataa mabaya, unasemaje kuhusu wale wanaokaa na kuwapwnda mashia wanaotukana Maswahaba? Shukran
@jumamaulidi8023
@jumamaulidi8023 Жыл бұрын
Kwani sheikh ni nabii hawezi kukosea katika majambo ya kielimu na akakosolewa na mashekh watakapo kuja baada yake Kwani Muhammad ayubu alikua anafahamu mambo yote katika elimu Wewe hujui kwata imaam maali aliulizwa mwaswali zaidi ya 40 akajibu machache t Haya
@saadallah6287
@saadallah6287 Жыл бұрын
Wacha uzushi
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh
@Ahbabrasulintegratedacad-ok7uh Жыл бұрын
Mawahabi hawana adabu
@abuukauthar525
@abuukauthar525 Жыл бұрын
masufi bwana
@athumanimahunda6541
@athumanimahunda6541 Жыл бұрын
Nyinyi angalieni mtaingia motoni kwa ubishi
@abuukauthar525
@abuukauthar525 Жыл бұрын
wewe hoja ya kielimu hapo ni ipi au umerudia tena?
@IbrahimuSaid-z7e
@IbrahimuSaid-z7e Жыл бұрын
Yaani husikii hoja duuh summu buquyun fahum laa yarjiiu'n
@azizihfarijala5307
@azizihfarijala5307 Жыл бұрын
huyo kweli ni muongo saaana huyo sheikh mohamed isiqa kesi ya uhaini anaijui kweli duu
@nassirzamzam9312
@nassirzamzam9312 Жыл бұрын
Wewe sheikh nafkiri ulikua mkiristo.
@KhamisJuma-mu4rm
@KhamisJuma-mu4rm Жыл бұрын
Shekh ichokiti kinachoma? Mbona hutulii......
@abuunutsamuonlinetv2703
@abuunutsamuonlinetv2703 Жыл бұрын
Thibitisha kwa aqwal acha mipasho kama mariam migomba
@athumanimahunda6541
@athumanimahunda6541 Жыл бұрын
Akili zako zipo chini
@IbrahimuSaid-z7e
@IbrahimuSaid-z7e Жыл бұрын
Huu mwendo wa kugawa namba kama unaogopa namba yake chukua ya Shekh mziwanda
@Ahmadasshii-raazy8888
@Ahmadasshii-raazy8888 Жыл бұрын
Tusiskize kwa kufaham sio ushindani tutafaidika sana, ila mkiona hamjaelewa chukueni namba ya sheikh mziwanda ukamfahamishe😂😂😂😂😂😂😅
@IbrahimSuleyman-j8n
@IbrahimSuleyman-j8n Жыл бұрын
Tatizo ni mizozo
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot Жыл бұрын
Wewe unaonesha wazi unalazimisha hoja isiokua hoja. Unasema sana, bila faida,
@mbjunior166
@mbjunior166 Жыл бұрын
Masufi bhn😂😂😂 Sasa maulidi Mtume ALIYAFANYA!??? ALIYAFUNDISHA!??? au YALIFANYWA AKIWEPO AKAYAKUBALI!??? Mwenyewe anaona kama anatoa hoja huku mishipa ya shingo imemsimama kumbe ndio anajiangamiza mwenyewe😂😂😂
@IbrahimuSaid-z7e
@IbrahimuSaid-z7e Жыл бұрын
Sikiliza tena video alafu tupe hukmu ulizotoa sio hukmu
@OmarShela-p2z
@OmarShela-p2z Жыл бұрын
Maulidi yalifanywa mtume akiwa yupo na akayakubali
@rashidikibuna8575
@rashidikibuna8575 Жыл бұрын
Waambie hawo mayahudi hawakawii kukojoa kwenye viti wakishindwa hoja
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Жыл бұрын
Yahudi mama ako
@rashidikibuna8575
@rashidikibuna8575 Жыл бұрын
Nahapo ulipo utakuwa umejikojolea kama paka wenu bachu
@rashidikibuna8575
@rashidikibuna8575 Жыл бұрын
@@pavillioncry5241 wewe ni muyahudi tu pamoja na paka wenzio wote
@hassanbakari4525
@hassanbakari4525 Жыл бұрын
KIUFUPI TUSILAZIMISHANE....MBONA SHAHADA HAINA KHITILAFU,,,MAMBO MENGINE HATA SIO YA MSINGI.
@IbrahimuSaid-z7e
@IbrahimuSaid-z7e Жыл бұрын
Ukiangalia kama hayana msingi ila kuvunjwa kwa heshima kwa wanazuoni nadhani unaweza kufikilia kuna msingi ndani yake kwasababu uislamu haufundishi kuvunjwa kwa heshima
@ABUUDARDAAI
@ABUUDARDAAI Жыл бұрын
kutapel watu tu maulidi itima ulafi tu
@mustafaramadhan5941
@mustafaramadhan5941 Жыл бұрын
Sh. Muhammad idd hujaribu kuwazulia uongo w2 wa suuna kwamba wanafarakanisha umma wkt yy mwenyw ktk mazungumzo yko atumia muda mwng kusema hawa anaowaita mawahabi kuwa watengwe. Ss sh. Sijui hapa anaefarakanisha umma ni nani au kuwatenga w2 ndio kuunganisha umma? Pima maneno kabla ya kuongea bwana
@mbarakaomary
@mbarakaomary Жыл бұрын
13:37 huna hoja wewe
@farishfarish258
@farishfarish258 11 ай бұрын
Kwanini uxifundixhe watu elemu za mxingi unakazi ulys radi Kila kukichs au unaona ufakhary kuwa zarawu waoxlamu wenzio kwenye mitandao???
@mnolamanyendi4956
@mnolamanyendi4956 Жыл бұрын
Huna mpango wewe ukweli tushajuwa muongo balaaa
@IbrahMiracle-em4sh
@IbrahMiracle-em4sh Жыл бұрын
Iv ili zee kwel lina familia linaongea upuuzi kama toto
@abuuammar4924
@abuuammar4924 Жыл бұрын
Mtume swallallahu alayhi wasallam alimkataza swahaba mmoja kuswali usiku kucha...je kuswali usiku kucha sio jambo la kheri? Kwnn amkataze? Au kuswali usiku ni jambo baya?
@SaidMadai-n7k
@SaidMadai-n7k Жыл бұрын
Ufahamu nao riski hhh kw7bu gn alimkataza or swala pia mwaitia shubha mawahabi tena apo😂
@topfreelancer5151
@topfreelancer5151 Жыл бұрын
Comment yako imenisikitisha​@@SaidMadai-n7k
@abuuammar4924
@abuuammar4924 Жыл бұрын
Mm ndo nimeuliza ili nipewe jibu..kwa sabab kasema ktk tabia za mtume swala na salaam zimfikie ni kukubali zuri na kukataa baya...sasa mbna mtume kamkataza kuswali usiku yule swahaba? Au nalo ni jambo baya?
@Kekulebenzene
@Kekulebenzene Жыл бұрын
Unawauliza masufi ?? Hao ni watu wa matamanio yao tu hamna dini hivyo hawatokupa majibu ya maana
@SaidMadai-n7k
@SaidMadai-n7k Жыл бұрын
@@abuuammar4924 je n kw7bu ip alimkataza mn ushathibitisha kua alikatazwa ndio nasi twajua ivo ila palikua n 7babu y msingi ya kuacha kufanya n ipi or swala z ucku pia ipo kibidaa kwenu nyinyi al akhy
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot Жыл бұрын
Unajifanya na falsafa nyingiii ujinga mtupu. Usikanushe kitu kilicho shubudiwa kikitendeka utafedheheka
@azizihfarijala5307
@azizihfarijala5307 Жыл бұрын
mbona matusi huyo sheikh mafutaa mbona hatumtukani. haya ni ujinga tengeneza hoja
@AmiriUshanga
@AmiriUshanga Жыл бұрын
Mawahabi nimafedhuli hatutakiwi kuwastahi maana wao nimaadui wa waislamu wana vinasaba vya kiyahudi wana roho mbaya kama nyoka
@SharifuSaid-kz1vw
@SharifuSaid-kz1vw Жыл бұрын
Maashallah
@bagalucha
@bagalucha Жыл бұрын
Bismillah Rahman Rahim Haya mengi anayosimulia huyu msimulizi hayana ukweli,kwanza hakuna mfuasi au dhehebu linaloitwa wahabi,alikuwapo huyu ulamaa akiitwa Muhammad Ibn Abdulwahab,katika nchi ya Saudi Arabia,kuna historia yake aliyoiacha ya kupigania jihadi ya kuiondosha shirki,ambayo ilishaanza kushamiri baina ya karne ya 17/18,watu walikuwa tayari wakifanya ibada kishirikini za kuabudu mizimu ya miti na mapango,katika sehemu mbali mbali za Saudia,mtume Muhammad alilipinga na aliliondoa hilo,watu walianza kurudia mila za kutambika na kadhalika,kwa kweli Muhammad Ibn Abdulwahab hakulipenda hilo,na alipigana na wapinzani wengi katika kuliondoa jambo hilo,kuna historia ya uwongo ambayo ilitungwa katika vitabu vya kishia na kighurafi/kisufi,zinazoipotosha historia halısı,haswa baada ya tawala zilizokiwepo wakati huo, kushindwa na Muhammad Ib Abdulwahab kushinda,vita hivi dhidi ya makundi yaliyounga mkono ushirikina huu,vita hivyo havikusita hapo,hata baada ya yeye kufa viliendelea,kwa mfano Makka na Madina zilizokuwa zipo chini ya utawala uliojinasibu wa kisharifu/kissufi/kighurafi kwa wakati huo,uliachia upotofu mkubwa katika msikiti mtukufu wa Makka,uliacha Uislamu ugawike kimadhehebu,kinyume na mafundisho ya mtume Sallallahu alayh wasalam,kwa mfano sala za jamaa zilizozunguka katika Kaaba ya msikiti mtukufu Makka ,zikifanyika kimadhehebu,kwa wakati mmoja iliweza kufanyika jamaa nne kuzunguka Kaaba,kwa alama za mistari iliyogawa makundi tofauti ya kimadhehebu kwa kupishana wakati wa sala za jamaa,na kuongozwa na maimamu tofauti kwa kufuata madhehebu,kulikuwa makamun shafi,maliki,hambali,Hanafi na kadhalika,mtume Muhammad aliuacha uislamu mmoja,muislamu ni ndugu wa muislamu,huu ulikuwa udhaifu mkubwa na upotofu,utengano uliosababishwa na nasaba za kimadhebu,na hili ni moja ya jambo lilipingwa na wafuasi wakeMuhammad Ibn Abdulwahab ndio likapelekea wengi kumuunga mkono na kuuondosha utawala uliokuwepo,ama kwenye kupingana lazima kuwepo na vita,wewe msimulizi unapendelea msikiti mtakatifu urudi katika hali ile iliyokuwepo ya mgawanyiko wa kimadhehebu iliyokuweko kabla,ya sala za jamaa za kimadhehebu,kukimu kwa sala tano tofauti katika Kaaba moja,na kuufanya uislamu uwe na makundi ya kimadhehebu,historia hii ya wapotoshaji wa kishia/ kissufi mapote yenye kulingania upotofu,hivyo kweli watu walizunguke Kaaba na kucheza ngoma za kasida na maulidi katika msikiti huu mtukufu?,hili alilifunza mtume??,utukufu wa Allah upo wapi kwa hili???,sasa hilo ndilo wanalopigania wapotoshaji wa kisufi,watu wa bidaa nzuri,ikiwa dini aliikamilisha mtume Muhammad salallahu alayh wasalaam,kwa kujua madhara yatakayokuja kutokea ikiwa mtaingiza mambo mapya,ambayo mengi yao ndiyo njia inayompa shetani iblisi,njia ya kuipotosha dini ya Allah,kuna dalili za huyu msimulizi kutumika kueneza uwongo,kutumika na kueneza propaganda za kishia,Sufi tariqiyah nakadhalika dhidi ya Uislamu ulioachwa na mtume Muhammad Sallallahu alayh wasalam,kama hili la kuyazunguka makaburi na kutaja majina ya wanazuoni kwa nia ya kujikurubisha kwa Allah,Allah hana mshirika katika kuombwa,kuabudiwa,hili halikuwepo,wala si katika mafunzo ya mtume,hata lisisitizwe vipi,huu ni upotofu,ambapo mtume hakuliamrisha hili. KWA WALE WAABUDU MAKABURI Suratuz Zumar 3: "Na wale wanaowafanya wenginewe kuwa ni walinzi, husema; sisi hatuwaabudu hawa, bali tunafanya hivi ili wapate kutuweka karibu na Allaah. Hakika Allaah atahukumu baina yao katika wanayo khitalifiana. Hakika Allaah hamwongoi alie muongo kafiri. Sutatu Yunus 17-19: "Nao, badala ya Allah, huabudu wasiowadhuru wala hawawanufaishi, na husema; hawa ndio waombezi wetu kwa Allaah. Sema uwaambie; je! Mnamwambia Allaah asiyoyajua ya Mbinguni na ardhini!? Subhanahu wa Taa'la! Ametakasika na ametukuka na hao wanao mshirikisha naye. 18 Mtume Swallallaahu alayhi wasallam aliomba dua kwa kusema: "Ewe Allaah, usijaalie kaburi langu kuwa ni pahala pa ibaada. Namuomba Allaah awalaani watu wanaoyafanya makaburi ya mitume/viongozi wao kuwa ni pahala pa ibaada." [Musnad imaam Ahmad (12/314)] Kama kweli unaipenda haki ifuate haki,achana kufuata na misimamo ya kishia,kisuffi/kighurafi,ambayo imeingiza ibada nyingi kwa hawaa zao,katika dini ya Allah,ambayo tayari mtume Muhammad Sallallahu alayh alishaikamilisha,Masufi wanaona wanaimarisha,kumbe wanayazidisha mambo katika dini yanayoharibu,lolote lile utakaloliingiza katika ibada za dini ya Allah ambalo halikuthubutu kwenye Quran ujumbe wa Allah na sunna za mtume/mjumbe wake wa mwisho Halikubaliki
@bagalucha
@bagalucha Жыл бұрын
Bismillah Rahman Rahim Haya mengi anayosimulia huyu msimulizi hayana ukweli,kwanza hakuna mfuasi au dhehebu linaloitwa wahabi,alikuwapo huyu ulamaa akiitwa Muhammad Ibn Abdulwahab,katika nchi ya Saudi Arabia,kuna historia yake aliyoiacha ya kupigania jihadi ya kuiondosha shirki,ambayo ilishaanza kushamiri baina ya karne ya 17/18,watu walikuwa tayari wakifanya ibada kishirikini za kuabudu mizimu ya miti na mapango,katika sehemu mbali mbali za Saudia,mtume Muhammad alilipinga na aliliondoa hilo,watu walianza kurudia mila za kutambika na kadhalika,kwa kweli Muhammad Ibn Abdulwahab hakulipenda hilo,na alipigana na wapinzani wengi katika kuliondoa jambo hilo,kuna historia ya uwongo ambayo ilitungwa katika vitabu vya kishia na kighurafi/kisufi,zinazoipotosha historia halısı,haswa baada ya tawala zilizokiwepo wakati huo, kushindwa na Muhammad Ib Abdulwahab kushinda,vita hivi dhidi ya makundi yaliyounga mkono ushirikina huu,vita hivyo havikusita hapo,hata baada ya yeye kufa viliendelea,kwa mfano Makka na Madina zilizokuwa zipo chini ya utawala uliojinasibu wa kisharifu/kissufi/kighurafi kwa wakati huo,uliachia upotofu mkubwa katika msikiti mtukufu wa Makka,uliacha Uislamu ugawike kimadhehebu,kinyume na mafundisho ya mtume Sallallahu alayh wasalam,kwa mfano sala za jamaa zilizozunguka katika Kaaba ya msikiti mtukufu Makka ,zikifanyika kimadhehebu,kwa wakati mmoja iliweza kufanyika jamaa nne kuzunguka Kaaba,kwa alama za mistari iliyogawa makundi tofauti ya kimadhehebu kwa kupishana wakati wa sala za jamaa,na kuongozwa na maimamu tofauti kwa kufuata madhehebu,kulikuwa makamun shafi,maliki,hambali,Hanafi na kadhalika,mtume Muhammad aliuacha uislamu mmoja,muislamu ni ndugu wa muislamu,huu ulikuwa udhaifu mkubwa na upotofu,utengano uliosababishwa na nasaba za kimadhebu,na hili ni moja ya jambo lilipingwa na wafuasi wakeMuhammad Ibn Abdulwahab ndio likapelekea wengi kumuunga mkono na kuuondosha utawala uliokuwepo,ama kwenye kupingana lazima kuwepo na vita,wewe msimulizi unapendelea msikiti mtakatifu urudi katika hali ile iliyokuwepo ya mgawanyiko wa kimadhehebu iliyokuweko kabla,ya sala za jamaa za kimadhehebu,kukimu kwa sala tano tofauti katika Kaaba moja,na kuufanya uislamu uwe na makundi ya kimadhehebu,historia hii ya wapotoshaji wa kishia/ kissufi mapote yenye kulingania upotofu,hivyo kweli watu walizunguke Kaaba na kucheza ngoma za kasida na maulidi katika msikiti huu mtukufu?,hili alilifunza mtume??,utukufu wa Allah upo wapi kwa hili???,sasa hilo ndilo wanalopigania wapotoshaji wa kisufi,watu wa bidaa nzuri,ikiwa dini aliikamilisha mtume Muhammad salallahu alayh wasalaam,kwa kujua madhara yatakayokuja kutokea ikiwa mtaingiza mambo mapya,ambayo mengi yao ndiyo njia inayompa shetani iblisi,njia ya kuipotosha dini ya Allah,kuna dalili za huyu msimulizi kutumika kueneza uwongo,kutumika na kueneza propaganda za kishia,Sufi tariqiyah nakadhalika dhidi ya Uislamu ulioachwa na mtume Muhammad Sallallahu alayh wasalam,kama hili la kuyazunguka makaburi na kutaja majina ya wanazuoni kwa nia ya kujikurubisha kwa Allah,Allah hana mshirika katika kuombwa,kuabudiwa,hili halikuwepo,wala si katika mafunzo ya mtume,hata lisisitizwe vipi,huu ni upotofu,ambapo mtume hakuliamrisha hili. KWA WALE WAABUDU MAKABURI Suratuz Zumar 3: "Na wale wanaowafanya wenginewe kuwa ni walinzi, husema; sisi hatuwaabudu hawa, bali tunafanya hivi ili wapate kutuweka karibu na Allaah. Hakika Allaah atahukumu baina yao katika wanayo khitalifiana. Hakika Allaah hamwongoi alie muongo kafiri. Sutatu Yunus 17-19: "Nao, badala ya Allah, huabudu wasiowadhuru wala hawawanufaishi, na husema; hawa ndio waombezi wetu kwa Allaah. Sema uwaambie; je! Mnamwambia Allaah asiyoyajua ya Mbinguni na ardhini!? Subhanahu wa Taa'la! Ametakasika na ametukuka na hao wanao mshirikisha naye. 18 Mtume Swallallaahu alayhi wasallam aliomba dua kwa kusema: "Ewe Allaah, usijaalie kaburi langu kuwa ni pahala pa ibaada. Namuomba Allaah awalaani watu wanaoyafanya makaburi ya mitume/viongozi wao kuwa ni pahala pa ibaada." [Musnad imaam Ahmad (12/314)] Kama kweli unaipenda haki ifuate haki,achana kufuata na misimamo ya kishia,kisuffi/kighurafi,ambayo imeingiza ibada nyingi kwa hawaa zao,katika dini ya Allah,ambayo tayari mtume Muhammad Sallallahu alayh alishaikamilisha,Masufi wanaona wanaimarisha,kumbe wanayazidisha mambo katika dini yanayoharibu,lolote lile utakaloliingiza katika ibada za dini ya Allah ambalo halikuthubutu kwenye Quran ujumbe wa Allah na sunna za mtume/mjumbe wake wa mwisho Halikubaliki
@habibuchakusaga7981
@habibuchakusaga7981 Жыл бұрын
Nini maana ya kiigizo ewe shekh
@AidarySaid
@AidarySaid Жыл бұрын
We mwenyewe hujielewi huna msimamo mara we unairadi bakwata mara ww unaifu bakwata wakishambuliwa mashia we upo upande wao elimu yako haikusadii kitu
@HanafiZayumba
@HanafiZayumba 5 ай бұрын
Wahabi ni mayahudi ndio maana wamewauzia wazungu parestina ndio mana likaundwa Taifa la lziraeli
@abuuuyaynah8801
@abuuuyaynah8801 Жыл бұрын
Tatizo abuu idi hajui hukmu ya bidaa Kwa sababu bidaa ni maasia na maasia hukmu yake ni katika ahkamu attaklifiyya ni haramu au hujui njoo kwanza tukufunze ninini bidaa
@ABUUDARDAAI
@ABUUDARDAAI Жыл бұрын
una hakili ww mweu
@IbrahimuSaid-z7e
@IbrahimuSaid-z7e Жыл бұрын
Duuh mwehu unamjua ww mwehu anasoma vitabu kiasi hicho muogope Allah ndugu yangu
@isihakaabdul1134
@isihakaabdul1134 Жыл бұрын
Sheikh hapo ofisini kwako malaika wa kheri hawaingii kwa sbb ya picha uliyoitundika hapo hapafai hata kuswalia
@tigerroar3545
@tigerroar3545 Жыл бұрын
Sasa km hadithi,ni maneno,au matendo alyofanya mtume,au aliaridhia au kukaa kimya kwa kuona au kusikia kwa maswahaba.Je maulidi mnayoyaleta yametoka ktk kipengele gani cha hadithi ? Na kama kheri ilifanywa mbele ya mtume na akairidhia hapo sawa, lakin baada ya hapo(kutokuwepo kwake) inakuwa ni uzushi.
@IbrahimuSaid-z7e
@IbrahimuSaid-z7e Жыл бұрын
Wewe mwanafunzi mzuri sasa pitia tena video mara ya pili, alafu kuna hoja kua uislamu aihukumu jambo Kwa jina bali uhalisia wake, na yale mtume s.a,w aliyoyaridhia sasa ichambue maulidi mambo yanayofanywa kipi hakipo kwenye uislamu kuanza kusoma Quran tarekh dufu na mawaidha kula pamoja alafu tuletee hukmu kati ya zile hukmu 7
@tawfiqmkwaya301
@tawfiqmkwaya301 Жыл бұрын
kwa hiyo ninyi masufi mashekh zenu wana manzila kuliko maswahaba? kwa sababu tunaona hamuakati wanao watukana na kuwakufurisha maswahaba ila mnawakata wanao wapinga na kuwakosoa mashekh zenu pale ambapo wameteleza na kukosea.
@abuukauthar525
@abuukauthar525 Жыл бұрын
wewe mbona walalamika tu toa hoja ya kielimu hapo ni ipi?
@Madhwihajamal
@Madhwihajamal Жыл бұрын
Uwahabi ni dili sio dini dini inahitaji elimu na dili ni ujanjaujanja,hadaa
@saidimatezo6273
@saidimatezo6273 Жыл бұрын
Sasa sheik wangu mbona...umetoa msingi wa vitu...kuhusu kuaramishwa kisha unachukua mfano huu kuweka kwenye mambo ya ibada...mambo ya ibada hayalingani shwi na vyakula.......Ushakosea tayari kwa kaaida hii....mambo ya vyakula mpaka na vitu vyoye vya matumizi ni halali.mpaka nasi ije kukataza....unaweza kupika kwa kuchanganya utakavyo....mambo ya ibada hakuna kuchanganya na kuunda ibada kwa kuzikusanya kwa muundo maalumu kisha ukazipa jina na ukataka waislamu wafanye kwa sababau ndani yake yenye umeyakusanya ni mambo ya dini....Elewa shk wangu kwamba ibada haitaki utumie akili kwa kukusanya ibada bila dalili...kumbuka ibada sharti ifundishe muundo wake na jinsia yake/sababu zake/na pia zama zake.....Ulishinda kuleta ni yapi amabyo Abdulwahabi aliyopingwa na jamaa zake ambayo kwenye uislamu haikuwa sawa....umelalamika tu bila kuleta hoja kwenye vitabu vyake alivyoandika....Sasa ukiwa sheik wa sampuli hii ni shida sisi watu amabao twataka haki kuifuata.....
@Madhwihajamal
@Madhwihajamal Жыл бұрын
Mtu hawezi kusoma elimu ya dini akawa muwahabi vitu hivi havikai pamoja
@shazyahya4121
@shazyahya4121 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@abuuuyaynah8801
@abuuuyaynah8801 Жыл бұрын
Kwani abuu idi huyo babu yako anafadhla gani kumshinda sahaba Leo mnamtetea huyo babu yenu na kukaa na mashia wanaowatukana
@Hamisikiumbe
@Hamisikiumbe Жыл бұрын
hawa wahabia wanajifanya hamnazo wao kupinga ndiyo dini yao
@mnolamanyendi4956
@mnolamanyendi4956 Жыл бұрын
Acha kutudanganya wewe hakuna maulidi wala hitima
@zuberimussa5508
@zuberimussa5508 Жыл бұрын
Wanafunzi tunakusikiliza lakini sisi sio wale ambao vichwa vimebana hatuelewi, Tunajua kwamba hayo Matuzo ya fanya kazi wakati mtume yupo wahyi unashuka, anaefanya تقرير ya Maulidi ninani? BIDAAAAAAAA !!
@Users2523
@Users2523 Жыл бұрын
Waislam tunatatizo na waisrael kuua ndugu zetu wapalestina ila nyinyi kazi yenu ni kuzozana tu. Hamuoni aibu??
@MainlandFc-xc3bi
@MainlandFc-xc3bi Жыл бұрын
Mahawabi ndio akina nani? hakuna katika Uislamu dhehebu linaloitwa UWAHABI bali chuki zenu dhidi ya sheikh Muhammad IBN Al-Wahhab pamoja na chuki zenu juu wale wanaioipambania haki ndio kunakopelekea kuwaita watu MAWAHABI , kubwa ni kuwa kamwe hamuwezi kuizima haki kwani daima haki haikaliwi juu na baatwil .
@abuunutsamuonlinetv2703
@abuunutsamuonlinetv2703 Жыл бұрын
Kwan maulidi sio bidaah
@salimmgwira7179
@salimmgwira7179 Жыл бұрын
Hamna hoja za kutetea uzushi kila siku mwaja na ngonjera mpya hamana mtu alio haramisha kusoma qur an wala kumswalia mtume swali mnalo ulizwa hiyo namna mnayo fanya nyinyi uislma ndo ulivyo fundisha ?maswahaba ndo walifahabu ivyo wafanya ivyo mbna mnakua kama wehu ???hii ni dini embu acheni ubabaishaji km hamna la kuongea tafteni vilinge muague
@Ahmadasshii-raazy8888
@Ahmadasshii-raazy8888 Жыл бұрын
HII YAKO PIA SIO HOJA NAKUULIZA MUSAABAQA WA QUR AAN MASWAHABA WALIFANYA KWA SAMPULI HII TUNAYOSOMA SISI?
@arafatsaid920
@arafatsaid920 Жыл бұрын
hii haitetei hoja yyte. sote tuache. ss tuache mashindano na nyinyi acheni mamilioni ya uzushi.​@@Ahmadasshii-raazy8888
@mussakhamis-g8c
@mussakhamis-g8c Жыл бұрын
SIKUIZI WAMEANZA KUSEMA KUWA MUSABAQ NI IKHTILAFU
@hemedharouna4013
@hemedharouna4013 Жыл бұрын
kama kawa wahabi lazima atukane hii ndio suna yenu
@kibakombe1020
@kibakombe1020 Жыл бұрын
Wewe pia ni wahabi
@jordan.3109
@jordan.3109 Жыл бұрын
Nyinyi MASHIA hebu mzituzingue bana.😂😅😂
@salimmgwira7179
@salimmgwira7179 Жыл бұрын
Alafu km shk hakosei huyo si shk na anae mpenda shk ni yule anae simama akasema shk katika hili shk amekosea ama yule anae beba kila kitu madam kimesemwa na shk huyu ndo anae mdhalilsha shk kwasababu hamna mtu asie kosea katika dini hii ikiwa maimamu wa nne wamekosea Muhammad ayubu ninani asikoseee ??embu acheni izo itikadi za kijinga kulisha watu matango pori jibu hoja tuone hoja zipi zenye ngufu tufate ile haki!!
@mbjunior166
@mbjunior166 Жыл бұрын
Hana hoja yoyote huyu mzee ni ushabiki na ukereketwa tu!
@mussakhamis-g8c
@mussakhamis-g8c Жыл бұрын
Kuna utaratibu wa kumkosoa Shekhe sio mnavyokosoa nyinyi Mawahabi kwa kejeli kebehi na dharau
@bagalucha
@bagalucha Жыл бұрын
@@mussakhamis-g8c Bismillah Rahman Rahim Haya mengi anayosimulia huyu msimulizi hayana ukweli,kwanza hakuna mfuasi au dhehebu linaloitwa wahabi,alikuwapo huyu ulamaa akiitwa Muhammad Ibn Abdulwahab,katika nchi ya Saudi Arabia,kuna historia yake aliyoiacha ya kupigania jihadi ya kuiondosha shirki,ambayo ilishaanza kushamiri baina ya karne ya 17/18,watu walikuwa tayari wakifanya ibada kishirikini za kuabudu mizimu ya miti na mapango,katika sehemu mbali mbali za Saudia,mtume Muhammad alilipinga na aliliondoa hilo,watu walianza kurudia mila za kutambika na kadhalika,kwa kweli Muhammad Ibn Abdulwahab hakulipenda hilo,na alipigana na wapinzani wengi katika kuliondoa jambo hilo,kuna historia ya uwongo ambayo ilitungwa katika vitabu vya kishia na kighurafi/kisufi,zinazoipotosha historia halısı,haswa baada ya tawala zilizokiwepo wakati huo, kushindwa na Muhammad Ib Abdulwahab kushinda,vita hivi dhidi ya makundi yaliyounga mkono ushirikina huu,vita hivyo havikusita hapo,hata baada ya yeye kufa viliendelea,kwa mfano Makka na Madina zilizokuwa zipo chini ya utawala uliojinasibu wa kisharifu/kissufi/kighurafi kwa wakati huo,uliachia upotofu mkubwa katika msikiti mtukufu wa Makka,uliacha Uislamu ugawike kimadhehebu,kinyume na mafundisho ya mtume Sallallahu alayh wasalam,kwa mfano sala za jamaa zilizozunguka katika Kaaba ya msikiti mtukufu Makka ,zikifanyika kimadhehebu,kwa wakati mmoja iliweza kufanyika jamaa nne kuzunguka Kaaba,kwa alama za mistari iliyogawa makundi tofauti ya kimadhehebu kwa kupishana wakati wa sala za jamaa,na kuongozwa na maimamu tofauti kwa kufuata madhehebu,kulikuwa makamun shafi,maliki,hambali,Hanafi na kadhalika,mtume Muhammad aliuacha uislamu mmoja,muislamu ni ndugu wa muislamu,huu ulikuwa udhaifu mkubwa na upotofu,utengano uliosababishwa na nasaba za kimadhebu,na hili ni moja ya jambo lilipingwa na wafuasi wakeMuhammad Ibn Abdulwahab ndio likapelekea wengi kumuunga mkono na kuuondosha utawala uliokuwepo,ama kwenye kupingana lazima kuwepo na vita,wewe msimulizi unapendelea msikiti mtakatifu urudi katika hali ile iliyokuwepo ya mgawanyiko wa kimadhehebu iliyokuweko kabla,ya sala za jamaa za kimadhehebu,kukimu kwa sala tano tofauti katika Kaaba moja,na kuufanya uislamu uwe na makundi ya kimadhehebu,historia hii ya wapotoshaji wa kishia/ kissufi mapote yenye kulingania upotofu,hivyo kweli watu walizunguke Kaaba na kucheza ngoma za kasida na maulidi katika msikiti huu mtukufu?,hili alilifunza mtume??,utukufu wa Allah upo wapi kwa hili???,sasa hilo ndilo wanalopigania wapotoshaji wa kisufi,watu wa bidaa nzuri,ikiwa dini aliikamilisha mtume Muhammad salallahu alayh wasalaam,kwa kujua madhara yatakayokuja kutokea ikiwa mtaingiza mambo mapya,ambayo mengi yao ndiyo njia inayompa shetani iblisi,njia ya kuipotosha dini ya Allah,kuna dalili za huyu msimulizi kutumika kueneza uwongo,kutumika na kueneza propaganda za kishia,Sufi tariqiyah nakadhalika dhidi ya Uislamu ulioachwa na mtume Muhammad Sallallahu alayh wasalam,kama hili la kuyazunguka makaburi na kutaja majina ya wanazuoni kwa nia ya kujikurubisha kwa Allah,Allah hana mshirika katika kuombwa,kuabudiwa,hili halikuwepo,wala si katika mafunzo ya mtume,hata lisisitizwe vipi,huu ni upotofu,ambapo mtume hakuliamrisha hili. KWA WALE WAABUDU MAKABURI Suratuz Zumar 3: "Na wale wanaowafanya wenginewe kuwa ni walinzi, husema; sisi hatuwaabudu hawa, bali tunafanya hivi ili wapate kutuweka karibu na Allaah. Hakika Allaah atahukumu baina yao katika wanayo khitalifiana. Hakika Allaah hamwongoi alie muongo kafiri. Sutatu Yunus 17-19: "Nao, badala ya Allah, huabudu wasiowadhuru wala hawawanufaishi, na husema; hawa ndio waombezi wetu kwa Allaah. Sema uwaambie; je! Mnamwambia Allaah asiyoyajua ya Mbinguni na ardhini!? Subhanahu wa Taa'la! Ametakasika na ametukuka na hao wanao mshirikisha naye. 18 Mtume Swallallaahu alayhi wasallam aliomba dua kwa kusema: "Ewe Allaah, usijaalie kaburi langu kuwa ni pahala pa ibaada. Namuomba Allaah awalaani watu wanaoyafanya makaburi ya mitume/viongozi wao kuwa ni pahala pa ibaada." [Musnad imaam Ahmad (12/314)] Kama kweli unaipenda haki ifuate haki,achana kufuata na misimamo ya kishia,kisuffi/kighurafi,ambayo imeingiza ibada nyingi kwa hawaa zao,katika dini ya Allah,ambayo tayari mtume Muhammad Sallallahu alayh alishaikamilisha,Masufi wanaona wanaimarisha,kumbe wanayazidisha mambo katika dini yanayoharibu,lolote lile utakaloliingiza katika ibada za dini ya Allah ambalo halikuthubutu kwenye Quran ujumbe wa Allah na sunna za mtume/mjumbe wake wa mwisho Halikubaliki
@salimmgwira7179
@salimmgwira7179 Жыл бұрын
@@mussakhamis-g8c embu sema wewe utaratibu niupi maana mm ninavyo waelewa hawa kina Muhammad idi nikua mashk wao hawakukosea wala hawafai kukosolewa lakini ukisoma vitabu vya dini utakuta mashek wamekoselewa na wanafunzi wao mafano imamu Muslim ni mwanafunzi waimamu bukhari lakini alimkosoa katika maswala ya upokezi mpka hakutaja katika kitabu chake hadithi ata moja kutoka kwa bukhari na ndo ilimu ilivyo na ndomana yakapatikana madhaahibu arba kwasababu lakini ukitazama maimamu utakuta shafi ni mwanafunzi wa maaliki ahmd ni mwanafunzi wa shafii kwanini kwa nini yakapaykikana madhahibu ???
@abuuabdirrahmaan4132
@abuuabdirrahmaan4132 Жыл бұрын
AMA WEWE SUFY MUONGO BWANA MWAMBONGO MBONA HAPO HATUJA SIKIA HATA JIBU MOJA KATIKA YALE MASWALI ULIYOULIZWA NA SHEIKH KASSIM MAFUTA ALLAAH AMHIFADHI KUHUSU MWEZI NA KUHUSU UWAHABI??????
@kabeketv
@kabeketv Жыл бұрын
Mbn kama unalazimisha kijn tulia
@topfreelancer5151
@topfreelancer5151 Жыл бұрын
​@@kabeketvHalazimishi, kiutaratubu ili tumuelewe Abu IDD, angejibu maswali ya Abdul fadhli ili tumtenge vizuri Abul fadhli, Usimpambe mtu
@UB40X1
@UB40X1 Жыл бұрын
Ni mtu mpuuzi huyu Abu Iddi
@kabeketv
@kabeketv Жыл бұрын
Mbona kama mnaharaka saan mambo kidogo kidg vijana
@UB40X1
@UB40X1 Жыл бұрын
@@kabeketv Ni zaidi ya miaka miwili sasa. Atajibu lini?
@OmarAlly-iz8ot
@OmarAlly-iz8ot Жыл бұрын
Abu Idd Shekh Muhammad Is-haqa amesema kweli, nawewe wasema uongo kwa kutetea batili. Pia Shekh Muhammad Is-haqa hajasema Shekh Muhammad Ayyuub sio mtu wa maulid. Anakubali maulid na anayafanya lkn anajua fika kua maulid sio ibada wala hakuna coment kwenye hilo. Pia wewe huwezi kua sawa na Shekh Muhammad Is-haqa kwa kuambatana na Shekh Muhammad Bin Ayyuub, na kuchukua Elimu kubwa kwake. Hilo liko kwa Shekh Muhammad Ishaqa zaidi nazaidi na zaidi kuliko wewe. Pia aliyo yaongea Shekh Muhammad Is-haqa yako wazi na kuyajibu huwezi khurafi sharubu wewe kama majusi.. 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@infocontentchannel
@infocontentchannel Жыл бұрын
Hata akijibu wewe umeisha mdharau, hivyo usimkilize huyu wacha wamsikilize wenye kutaka kupima hoja na kuongoka.
@athumanimahunda6541
@athumanimahunda6541 Жыл бұрын
Chizi we
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Hapa ndo utagundua umbumbu wa mawahabi. Sheikh muhamed kazungumza kuhusu maalidi si bidaa,wewe waleta hoja kuwa maulidi si ibada .Sasa hapo tukieleweje
@OmarShela-p2z
@OmarShela-p2z Жыл бұрын
Toka kwenye uhuni njoo kwenye uislamu Abu Idi kaongea point
@ingodwetrust1852
@ingodwetrust1852 Жыл бұрын
Iv hujaelewa nini hapo sasa?
@bagalucha
@bagalucha Жыл бұрын
Mimi huyu siku zote simfahamu,hafahamiki
@sadiqselengu4197
@sadiqselengu4197 Жыл бұрын
Sikiliza kwa ufahamu wa kutaka kufaidika ila ukiwa mshindani ama unachuki na mzungumzaji basi hutofahamu na kuelewa.. Ni kama darasani Mwalimu wa hesabu humpendi basi na hesabu lazima ikupige chenga..
@bagalucha
@bagalucha Жыл бұрын
@@sadiqselengu4197 Bismillah Rahman Rahim Haya mengi anayosimulia huyu msimulizi hayana ukweli,kwanza hakuna mfuasi au dhehebu linaloitwa wahabi,alikuwapo huyu ulamaa akiitwa Muhammad Ibn Abdulwahab,katika nchi ya Saudi Arabia,kuna historia yake aliyoiacha ya kupigania jihadi ya kuiondosha shirki,ambayo ilishaanza kushamiri baina ya karne ya 17/18,watu walikuwa tayari wakifanya ibada kishirikini za kuabudu mizimu ya miti na mapango,katika sehemu mbali mbali za Saudia,mtume Muhammad alilipinga na aliliondoa hilo,watu walianza kurudia mila za kutambika na kadhalika,kwa kweli Muhammad Ibn Abdulwahab hakulipenda hilo,na alipigana na wapinzani wengi katika kuliondoa jambo hilo,kuna historia ya uwongo ambayo ilitungwa katika vitabu vya kishia na kighurafi/kisufi,zinazoipotosha historia halısı,haswa baada ya tawala zilizokiwepo wakati huo, kushindwa na Muhammad Ib Abdulwahab kushinda,vita hivi dhidi ya makundi yaliyounga mkono ushirikina huu,vita hivyo havikusita hapo,hata baada ya yeye kufa viliendelea,kwa mfano Makka na Madina zilizokuwa zipo chini ya utawala uliojinasibu wa kisharifu/kissufi/kighurafi kwa wakati huo,uliachia upotofu mkubwa katika msikiti mtukufu wa Makka,uliacha Uislamu ugawike kimadhehebu,kinyume na mafundisho ya mtume Sallallahu alayh wasalam,kwa mfano sala za jamaa zilizozunguka katika Kaaba ya msikiti mtukufu Makka ,zikifanyika kimadhehebu,kwa wakati mmoja iliweza kufanyika jamaa nne kuzunguka Kaaba,kwa alama za mistari iliyogawa makundi tofauti ya kimadhehebu kwa kupishana wakati wa sala za jamaa,na kuongozwa na maimamu tofauti kwa kufuata madhehebu,kulikuwa makamun shafi,maliki,hambali,Hanafi na kadhalika,mtume Muhammad aliuacha uislamu mmoja,muislamu ni ndugu wa muislamu,huu ulikuwa udhaifu mkubwa na upotofu,utengano uliosababishwa na nasaba za kimadhebu,na hili ni moja ya jambo lilipingwa na wafuasi wakeMuhammad Ibn Abdulwahab ndio likapelekea wengi kumuunga mkono na kuuondosha utawala uliokuwepo,ama kwenye kupingana lazima kuwepo na vita,wewe msimulizi unapendelea msikiti mtakatifu urudi katika hali ile iliyokuwepo ya mgawanyiko wa kimadhehebu iliyokuweko kabla,ya sala za jamaa za kimadhehebu,kukimu kwa sala tano tofauti katika Kaaba moja,na kuufanya uislamu uwe na makundi ya kimadhehebu,historia hii ya wapotoshaji wa kishia/ kissufi mapote yenye kulingania upotofu,hivyo kweli watu walizunguke Kaaba na kucheza ngoma za kasida na maulidi katika msikiti huu mtukufu?,hili alilifunza mtume??,utukufu wa Allah upo wapi kwa hili???,sasa hilo ndilo wanalopigania wapotoshaji wa kisufi,watu wa bidaa nzuri,ikiwa dini aliikamilisha mtume Muhammad salallahu alayh wasalaam,kwa kujua madhara yatakayokuja kutokea ikiwa mtaingiza mambo mapya,ambayo mengi yao ndiyo njia inayompa shetani iblisi,njia ya kuipotosha dini ya Allah,kuna dalili za huyu msimulizi kutumika kueneza uwongo,kutumika na kueneza propaganda za kishia,Sufi tariqiyah nakadhalika dhidi ya Uislamu ulioachwa na mtume Muhammad Sallallahu alayh wasalam,kama hili la kuyazunguka makaburi na kutaja majina ya wanazuoni kwa nia ya kujikurubisha kwa Allah,Allah hana mshirika katika kuombwa,kuabudiwa,hili halikuwepo,wala si katika mafunzo ya mtume,hata lisisitizwe vipi,huu ni upotofu,ambapo mtume hakuliamrisha hili. KWA WALE WAABUDU MAKABURI Suratuz Zumar 3: "Na wale wanaowafanya wenginewe kuwa ni walinzi, husema; sisi hatuwaabudu hawa, bali tunafanya hivi ili wapate kutuweka karibu na Allaah. Hakika Allaah atahukumu baina yao katika wanayo khitalifiana. Hakika Allaah hamwongoi alie muongo kafiri. Sutatu Yunus 17-19: "Nao, badala ya Allah, huabudu wasiowadhuru wala hawawanufaishi, na husema; hawa ndio waombezi wetu kwa Allaah. Sema uwaambie; je! Mnamwambia Allaah asiyoyajua ya Mbinguni na ardhini!? Subhanahu wa Taa'la! Ametakasika na ametukuka na hao wanao mshirikisha naye. 18 Mtume Swallallaahu alayhi wasallam aliomba dua kwa kusema: "Ewe Allaah, usijaalie kaburi langu kuwa ni pahala pa ibaada. Namuomba Allaah awalaani watu wanaoyafanya makaburi ya mitume/viongozi wao kuwa ni pahala pa ibaada." [Musnad imaam Ahmad (12/314)] Kama kweli unaipenda haki ifuate haki,achana kufuata na misimamo ya kishia,kisuffi/kighurafi,ambayo imeingiza ibada nyingi kwa hawaa zao,katika dini ya Allah,ambayo tayari mtume Muhammad Sallallahu alayh alishaikamilisha,Masufi wanaona wanaimarisha,kumbe wanayazidisha mambo katika dini yanayoharibu,lolote lile utakaloliingiza katika ibada za dini ya Allah ambalo halikuthubutu kwenye Quran ujumbe wa Allah na sunna za mtume/mjumbe wake wa mwisho Halikubaliki
@UB40X1
@UB40X1 Жыл бұрын
Leo nimeamini kama huyu Abu Iddi ni mpuuzi. Hoja zishajibiwa mara nyingi lakini anaendelea kudanganya wajinga hapa.
@IbrahMiracle-em4sh
@IbrahMiracle-em4sh Жыл бұрын
Allah akuongoze ndo mana maulamaa mlikua mkifa wa furahi sana
SEHEMU YA 6: MFULULIZO WA KUWAJIBU MAWAHABI - SHEIKH MUHAMMAD IDDI
44:43
SEHEMU YA 7 :MFULULIZO WA KUWAJIBU MAWAHABI - SHEIKH MUHAMMAD IDDI
1:05:09
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
#LEVO.ZA KIMATAIFA /SHEKHE MUHAMMAD BIN SHEKH SULEIMAN MBWANA
30:25
NEEMA YA UISLAMU TV
Рет қаралды 3,3 М.
KUFRU ZILIZOPO KWENYE KITABU CHA BARZANJI | MOHAMMED NASSOR BACHU
1:05:14
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 7 М.
NO.3: SHEIKH MUHAMMAD ABDUL WAHHABI ALIFUKUZWA KILA NCHI ALIYOKWENDA
17:17
JE, DUA BAADA YA SWALA INAFAA?-SHEIKH MBARAK AHMED AWES
1:05:47
Sheikh Mbarak Ahmed Awes
Рет қаралды 9 М.
MAJIBU YETU KWA SALAFIY HUYU PART 9 -RAMADHAN 1436/2015
39:00
Ahlul Istiqamah Channel
Рет қаралды 9 М.
Asli ya mawahabi
1:51:36
Bilal Education
Рет қаралды 626
SHEIKH MUHAMMAD IS'HAKA AWARIPUA WATU WA TWARIQA
1:24:46
AL MUBAJJAL TV
Рет қаралды 24 М.
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН