Namsubir Bakharesa 🙏🙏🙏 Mpare damu umepambana vyakutosha hongera sana
@amraabdallah94462 жыл бұрын
MashaAllah Mungu ambakir zaidi kwa juhudi zake he's the best 👌
@wangwemseti75922 жыл бұрын
Huyu tajiri sura yake si ngeni kwangu nimemuona akiwa chini kweli mungu akiamua kumpaisha mtu anaweza kama itapendeza njoo upande wa migodi huku north mara kuna frusa za uchimbaji
@josephomuto32402 жыл бұрын
Kenya tuko ndani ya nyumba. Hongera Hamidu kwa kazi nzuri. Nafurahi tu jinsi Zama anavyochukua notes.
@sheshem54532 жыл бұрын
Very Inspiring... May ALLAH continue to Bless You Bro.. Asante Zamaradi...
@shamsumikidadi1765 Жыл бұрын
Mashaallah azidi kukuinua hamna kisichowezekana na mimi nitapambana nshaallah
@sashoright82132 жыл бұрын
Yan ni hivii ukiwa sio Malaya unafanikiwa basii wnye uwezo waache kuekeza kwnye ngono waekeze kwnye Mambo muhm la sivyokila siku utaona wabaya watu Amin kwamba
Nimejifunza kitu kikubwa sana kuwa kila kitu ni vyema kukifanya kwa siri
@ghoststpatrick98782 жыл бұрын
Dada zamaradi naomba msaada uniconnect Na huyu brother nimtengenezee app nina idea nzuri . Mwambie Mimi ni mdogo Wake kutoka kilomeni
@shifaaal-baity45032 жыл бұрын
Bora mtafute mwenyewe uliza kwa watu na Google na mungu atakusaidia
@sharifakhamis2302 жыл бұрын
Mashallah
@sikitujuma48662 жыл бұрын
Napenda historia ya maisha yako kwa kua nami nimehangaika sana
@emmanuelmasanja6040 Жыл бұрын
Hongera sana kwa kufanya mambo makubwa
@kareisindilo27762 жыл бұрын
ila kusema kweli zamaradi wewe mzuri sana
@nasseaman37202 жыл бұрын
Mtu wa dini na roho safi what a good stories and inspired .
@selemanisaidi34572 жыл бұрын
Hongera sana baba
@shifaaal-baity45032 жыл бұрын
Masha Allah
@khadijahali48372 жыл бұрын
Tusikate tamaa lkn ni ngumu jmn
@anisajonas52412 жыл бұрын
Mm naangaika pa kulala wengine wana nyumba zote izo ila mungu ampe ekima ya kutumia izo mali izur
@khadijahali48372 жыл бұрын
Ameen
@hadijamandanje61892 жыл бұрын
@@khadijahali4837 Amiin Ila usikate tamaa Allah anawapenda wasiokata tamaa na kuwa na matumaini kuwa Kuna siku atawapatia
@hadijamandanje61892 жыл бұрын
Samahani hii ya jonas
@khadijahali48372 жыл бұрын
@@hadijamandanje6189 😊😊
@anisajonas52412 жыл бұрын
@@hadijamandanje6189 amin
@richardsaidi24482 жыл бұрын
Brooo. uko vzr sanaaa
@lastgospel7062 жыл бұрын
HUYU MPARE ANAYO AKILI SIO HABA..AFU ANA USIRI ,UKIWA MSIRI RAHA SANAA
@doricelugundiza48492 жыл бұрын
Very inspiring
@jacquelinemwakasala95632 жыл бұрын
He jamani kuna wengine wanaishi mbinguni au duniani.sasa mbn bado kijana sana afu unazungumzia zamani zamani.jamani kuna wwngine duniani kwel wameishi hata wakipita historia inasoma eee hadi rahaaaaa
@mwanaishamande88802 жыл бұрын
Aisee mungu. Akisema yes hakuna wakusema no naukimya unamaana
@a.8562 жыл бұрын
👏👏👏
@linahcaro47802 жыл бұрын
Hongera sana
@linahcaro47802 жыл бұрын
Hongera
@richardsaidi24482 жыл бұрын
namimi munguu anisaidiee tuuu
@Emedroadtocanada2 жыл бұрын
Hamidu amefanana na MUZAMMIRU YASIN kiungo wa simba
@jumalihumbo8937 Жыл бұрын
Uyu jamaa mwamba sn aise🙌
@faudhiasalum72792 жыл бұрын
😋💯🤔
@mwanaishamande88802 жыл бұрын
Inahamasisha kuendelea kumsikiliza
@richardsaidi24482 жыл бұрын
daaa!!!. aka kadada ni kazr
@shakirahamisijuma Жыл бұрын
Naitaji namba jaman
@asiaa65732 жыл бұрын
Da Zamaradi nambie kipenzi, Hamidu kasema mifuko ya sim sikuelewa mifukk ya sim ndionini?
@isaacmwaipopo2 жыл бұрын
Labda utakuwa haujaikuta. Simu za zamani zilikuwa na mifuko yake ya kuwekea. Ingia Google utaiona.
@isaacmwaipopo2 жыл бұрын
Siku hizi kuna makava. Ila zamani tulikuwa tunaita mifuko. Ilikuwa mininge ukivalisha simu unachomeka kwenye mkanda kiunoni.