"SERIKALI Ianzishe CHUO cha WIZI NCHINI, KITAWASAIDIA Sana ASKARI Kupambana" - KISHIMBA

  Рет қаралды 80,596

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 56
@khadijaabdalla1011
@khadijaabdalla1011 4 жыл бұрын
This guy is genius
@elishakapushi5447
@elishakapushi5447 3 жыл бұрын
Raisi amtumie huyu katka utafiti wa maisha na mazingira
@nassoroseleman60
@nassoroseleman60 4 жыл бұрын
Asante profess jumanne kishimba
@ktkkilan
@ktkkilan 3 жыл бұрын
What he is essentially saying is that let "criminology - the psychology of crime' or crime/corruption prevention studies be part of the syllabus in all our key courses. Just like management, human resources, basic finance etc are nowadays.
@jailaninkya8978
@jailaninkya8978 3 жыл бұрын
Safi san
@johnrogath1066
@johnrogath1066 3 жыл бұрын
😁😁😁GENIUS PROFESSOR KISHIMBA
@abdulrahmanhassan9254
@abdulrahmanhassan9254 3 жыл бұрын
Dah huyu mzee ana upeo mkubwa sana kama vile Joseph msukuma nawala hana DIGREA kweli Elimu ya mtaa nikubwaa kuliko ya shule. Ndiomana tukaitwa wa BONGO yaani watu na Fikra zao
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 3 жыл бұрын
😂😂😂👏👏👏 Dah Mh kashimba genius
@fredrickmdassa6568
@fredrickmdassa6568 3 жыл бұрын
Kwakweli Mashimba anastahili kuitwa professa. Hoja zake ukizifuatilia kwa makini zinamashiko kwa maisha yakawaida ya Mtanzania.
@meshackmpalanga9130
@meshackmpalanga9130 3 жыл бұрын
Daaaah UBARIKIWE mzee
@gabrielaniseti1537
@gabrielaniseti1537 4 жыл бұрын
NAMKUBALI SANA MBUNGE,ANA MAMBO MENGI KTK ELIMU
@vedastokeya3344
@vedastokeya3344 3 жыл бұрын
Ukimsikiliza kwa haraka haraka utamkashfu, ana akili pana sana ndio maana anapesa, anamtizamo kumuangalia mtu wa hali ya chini
@franciscomohamedjumanne1136
@franciscomohamedjumanne1136 4 жыл бұрын
Unahitaji akili kubwa kumuelewa huyu mbunge ukikurupuka tu utaogelea na kumtukana bure ila ameleweka vizr rudieni kumsikiliza mjue analenga nn
@saimonijonas4356
@saimonijonas4356 3 жыл бұрын
Yaani mimi nimemuelewa sana.Huyu mzee anaakili sana.
@johnsonpaul2883
@johnsonpaul2883 3 жыл бұрын
Ni Zaid ya genius aisee huyu na msukuma mpaka najiuliza kwanini wanajiweka chini ingali wao hawana elimu Ila wanaakili na sikuzote omba upewe AKILI NA SIO ELIMU
@martinhinda5233
@martinhinda5233 3 жыл бұрын
Na sio akili tuu ni matajir vibaya mnooo kishimba ana viwanda mpaka zimbabwe yeye ni msukuma wa kahama mwingne msukuma wa geita hawa jamaa vichwa
@denisrukangula7086
@denisrukangula7086 3 жыл бұрын
watafundishwa dalili za kuwatambua wezi
@martinhinda5233
@martinhinda5233 3 жыл бұрын
Kishimba unaakili sanaaa ndo maana una viwanda vingi mpaka nje ya nchi ni halali yako
@dubabaxakatv2993
@dubabaxakatv2993 4 жыл бұрын
Walimu wao tutawapa hapa Kenya...tuko wezi kwa bunge,governors na zaidi.
@highvoltages4169
@highvoltages4169 3 жыл бұрын
😁😁😁😀😀
@special.777
@special.777 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@shahadaushindi7745
@shahadaushindi7745 3 жыл бұрын
Hicho chuo cha wizi kitoe hadi phd ya wizi.
@challengechallenge856
@challengechallenge856 3 жыл бұрын
Hicho chuo hata mie niko tayari kwenda kusoma
@salummhina4857
@salummhina4857 8 ай бұрын
Huyu mzee mtamuelewa baadaye sana!!kipindi akiondoka bora mumtumie sasa
@jumaothman9449
@jumaothman9449 3 жыл бұрын
Wanaocheka naamini hawajakuelewa
@albertjames6845
@albertjames6845 4 жыл бұрын
Dah! Kweli bongo bongo tu 😄
@muemedecassimoaluko7472
@muemedecassimoaluko7472 8 ай бұрын
Chuo kipo wote mmesoma ni CCM ni chuo kikuu tz cha wizi!!!
@deusimtewele2301
@deusimtewele2301 3 жыл бұрын
Chuo Cha wizi hii ni mpya wezi hawa wafilisiwe na wafungwe Mali zirudi kwa uma
@petersomeke1384
@petersomeke1384 2 жыл бұрын
Kwa kweli mm binafic ninakusoma sana kwenye kuchanyia bungeni chali wangu Kishimba cjajua kama wabongo wanakuelewa?
@maoleminja6514
@maoleminja6514 3 жыл бұрын
😃😃😃
@frankjohn8706
@frankjohn8706 3 жыл бұрын
Tatizo kumbe nikujua jinsi wezi wanavoiba lkn Kama Kuna wezi wa umeme,maji ,kura,mitihani, nk sasa ktk hao wangeshindanishwa ili wenye marks nyingi wawewalimu ,
@carlinkikoyo02
@carlinkikoyo02 3 жыл бұрын
Nakubali mheshimiwa mbunge lakini sasa hiko chuo kinabidi kuwa na mwizi atakayekuwa mwalimu wa chuo hiko , sasa ni mwizi gani atajitoa kufundisha?
@ktkkilan
@ktkkilan 3 жыл бұрын
Huyu Mbunge huko sawa, kwa kiingereza anamaanisha *CRIMINOLOGY" - basically the psychology of crime
@nassoroseleman60
@nassoroseleman60 4 жыл бұрын
Kamuuwa baba naamini bado unamadini yakutosha baba
@kesslycompanyltd
@kesslycompanyltd 2 жыл бұрын
Naomba number zake huyu mbunge
@matingo-bk1248
@matingo-bk1248 4 жыл бұрын
Waalimu watawatoa wapi waliobobea wizi hao
@mohamedpesambili9460
@mohamedpesambili9460 3 жыл бұрын
Nigeria na kenya
@jamhurilibawa6505
@jamhurilibawa6505 4 жыл бұрын
huyu mbunge anaakili nyingi sana,hoja zake nyingi zinamantiki,tena anaongea taratibuu akiwa amejipanga
@mresiwaziri9708
@mresiwaziri9708 3 жыл бұрын
😁😁😁😁
@maikokashililika9287
@maikokashililika9287 3 жыл бұрын
Mzee umeteleza icho chuo cha wizi wafundishwe nn mmmmm
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 3 жыл бұрын
Watafundishwa mbinu za kupingana na wezi maana kila office wezi walishatangulia sasa umetoka shule unapewa kampuni imejaa wezi tu utashindwa mbinu za kuwadhibiti ni wazo lake na huenda yuko sawa
@pauljames3355
@pauljames3355 3 жыл бұрын
Punguzen ads MB zmepanda tutawaacha
@gabrielaniseti1537
@gabrielaniseti1537 4 жыл бұрын
HAPA NIMUMUELEWA KUWA ELIMU YA KUJITEGEMEA AU EXPERIENCE IWE ASILIMI 80-90, YA CURRICULUM. SAAFI ,KISHIMBA. INNOVATION NA COMPETITION,.
@denisrukangula7086
@denisrukangula7086 3 жыл бұрын
fbi
@amanibenjamini9637
@amanibenjamini9637 3 жыл бұрын
Hahahahahahahaaaa
@hilalhilal8400
@hilalhilal8400 4 жыл бұрын
Hao askari wakiafrika wafunguliwe chuo cha wizii🤣🤣🤣. Huu ujingaa. Maana ao askari wakistaafu watafanyaje na pia wao wenyewe wana mtihani. Alau ungesema jeshi wapewe mafunzo hayo pia ingeelekea
@jumamnyambwa3490
@jumamnyambwa3490 3 жыл бұрын
H
@hilalhilal8400
@hilalhilal8400 4 жыл бұрын
Toa mawazo yasioleta hasara baadae. Mimi siwafiki askari wafundishwe wizi. Kwanza wafundishwe kuacha rushwa na kukinai
@rosetreffert6727
@rosetreffert6727 4 жыл бұрын
Huyu mbunge naona akili yake sio nzuri yaani amekosa Point kabisa
@franciscomohamedjumanne1136
@franciscomohamedjumanne1136 4 жыл бұрын
Huwezi kumuelewa kama hujafikiria nini nia yake
@cypriankikoti9160
@cypriankikoti9160 4 жыл бұрын
Critical thinking yake ni nzuri huyu mzee kumuelewa unahitaji kufikiri vizuri
@expert5898
@expert5898 3 жыл бұрын
Akili yake haipo vzr huyu... Alitakiwa aseme wakishafundishwa wizi ndio waje wautumiaje? Aeleze kwa mchanganuo.
@josephmpangabule7565
@josephmpangabule7565 Жыл бұрын
Ll
@fatmaabdallah8743
@fatmaabdallah8743 4 жыл бұрын
Hawa ndo wabunge wetu hatushangai. Askari wanafundishwa kupambana na mhalifu yoyote sio mwizi tu
@ibnhassan9980
@ibnhassan9980 3 жыл бұрын
Huyu ni 0
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 43 МЛН
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 25 МЛН
"UMEPATA UBUNGE TU, UKAMUACHA MUMEO, TULIA NIKUPASHE WEWE" - MBUNGE KEISSY
6:07
HUYU Ndiye MBUNGE Darasa La 7 Anaetema MADINI Kama Ana PHD
9:59
Global TV Online
Рет қаралды 261 М.
Walimu waliokuwa na sifa za utoro wawafundishe wanafunzi watoro
10:16
Daily News Digital
Рет қаралды 82 М.
MBUNGE KISHIMBA AOMBA SERIKALI IANZISHE CHUO CHA WIZI
6:33
Millard Ayo
Рет қаралды 20 М.
Historia ya  Rais 'THOMAS SANKARA'  Aliyeuliwa na Rafiki Yake IKULU
11:19
Global TV Online
Рет қаралды 788 М.