No video

Kishimba aja na mapya, apendekeza Wizara ya Malalamiko na Matatizo "TUWE NA WIZARA YA KERO"

  Рет қаралды 21,789

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Жыл бұрын

Mbunge wa Kahama Mjini Jumanne Kishimba ametaka Serikali kuunda Wizara mbili za Kero na Matumizi.
Hata hivyo Kishimba amependekeza kuwa huu ni wakati wa Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuanza ukaguzi mapendekezo kabla ya kuanza kwa Ujenzi wa miradi.
Ametoa kauli hiyo leo Jumatano April 12,2023 mbele ya Bunge ambapo amesema hakuna anachosaidia CAG ikiwa anakwenda kufanya ukaguzi wakati matukio yakiwa yametendeka.

Пікірлер: 60
@geeva99
@geeva99 Жыл бұрын
Iyo wizara ya kero muhimu sana tena iwe na call center kama tigo ili simu hadi za wananchi ziingie nakupewa reference number ambazo unaweza kutrack maendeleo ya kero 👏👏
@wolframmwalo2432
@wolframmwalo2432 Жыл бұрын
Siku zote wenye uwezo wa kufikiri tofauti na wenzao ndio Huwa wanafanikiwa kishimba big up
@stanleyamlima2085
@stanleyamlima2085 Жыл бұрын
Ndio kabisa!!! Hii ndio inaitwa logic au intuition
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Yaani huyu baba ni hekima na busara sana na anatoa maoni mazuri mungu ampe nguvu na aendelee na ubunge
@rassimbaengswahili6191
@rassimbaengswahili6191 Жыл бұрын
Nampenda sana Huyu Mzee! Ana logic Sanaa
@clausemsemwa297
@clausemsemwa297 Жыл бұрын
Japo hakwenda shule lakini ana mawazo kibao.....logic
@user-bp5pq8nw3f
@user-bp5pq8nw3f 8 ай бұрын
Namkubali sana huyu mzee anaongea point kuliko hata wenye PHD💪💪💪
@albertchubwa2546
@albertchubwa2546 Жыл бұрын
Huyu ndo mbunge wetu kahama, fahari ya Kahama
@Franklin-px9ee
@Franklin-px9ee Жыл бұрын
Mzee uwa ana point za maana sana.
@kabulukimati
@kabulukimati Жыл бұрын
Istroo. Umesema. Vema
@gerisonsilayo.6733
@gerisonsilayo.6733 3 ай бұрын
Huyu mwamba huwa anahoja za Peke yake.. Great thinker
@daccordaurevoir5526
@daccordaurevoir5526 Жыл бұрын
Mara zoote Sheikh Kishimba huwa anazungumza kama anakosea ila huwa anazungumza ukweli mtupu
@hubertmroso1664
@hubertmroso1664 Жыл бұрын
Baba Kishimba nakuunga mikono Sana, mapesa yaliyotumika Vibaya kujenga masoko ya gorofa, angalia hapo Magomeni, Kwa mfano halisi, like soko lingeweza kujenga masoko ya chini, Ila, buguruni manzese n.k.aliyeamua ni mwanasiasa au mwana sayansi..waliofanya huo uamuazi katiba mpya iwawajibishe ..
@abubakaryrashidi1439
@abubakaryrashidi1439 Жыл бұрын
Nakukubali sana boss wangu ukweli serikali ikisikiliza na kufata hoja bass matatizo mengi yataisha na tutaishi ktk haki stahiki mtuyoyote aliyewahi kufanya kazi na huyu mtu bac atanielewa pia nakushukuru sana bass kwa kile ulichonifundisha nimeshika na nakushikilia ulichonifunza na kimsaada mkubwa maishani mwangu
@paschalvenance1833
@paschalvenance1833 Жыл бұрын
Huwezi sikia vyuo vyetu vya ndani vimemtunuku udakitari huyu mwamba lakini ukisikia mawazo yake huyu mh ni zaidi ya maprofesa.
@peterchula1990
@peterchula1990 Жыл бұрын
Nakubaliana na wewe
@imanimbaga3549
@imanimbaga3549 Жыл бұрын
Kwakweli huyu mzee ni professor kabisa
@thomasmazik1962
@thomasmazik1962 Жыл бұрын
mungu atutangulie wananchi wa kahama maana kwa mbunge kama huyu mmmh
@abdalaalmas2535
@abdalaalmas2535 Жыл бұрын
Mbunge wetu ni mbunge mwenye point sana na anawafuasi wengi sana hapa Tz.
@salumbujjo2320
@salumbujjo2320 Жыл бұрын
Nashangaa mpaka sana hata unaibu waziri hawaja mpya wangemtumia hata kuwa mshauri wa serikali watu wenye uzalendo hawapewi nafasi
@nasrahassan7346
@nasrahassan7346 Жыл бұрын
huyu mzee yupo vizur sana nampenda❤
@bennettbennett2915
@bennettbennett2915 Жыл бұрын
Mi nitakua rol model wako kwakweli napenda Sana unapochangia,,,yani Big up kwako Mzee kishimba
@kinigarm8239
@kinigarm8239 Жыл бұрын
HUYU Mzee Huwa anafikiri nje ya box. Tatizo hatuwatumii ipasavyo watu kama hawa.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Mwanazengo nakupenda sana una maoni mazuri sana unayotoa bungeni
@masoudymichael
@masoudymichael Жыл бұрын
Huyu ndiyo anatakiwa kupewa udaktari siyo Dr taletale
@stevenibrahimu326
@stevenibrahimu326 Жыл бұрын
mheshimiwa mwenyekiti unaitaja sana usiwe muoga kihivyo, jiamini
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Жыл бұрын
Shida ya Tz wanaoenda kucheka mambo ya msingi , BADALA YA KITAFUTA CONCEPT YA MZUNGUMZAJI , wakifanyia KAZI HOJA zao zinafaida
@allanmapamba4765
@allanmapamba4765 Жыл бұрын
Kabla hatujaenda kwenye biashara ½ya hela imeobiwa daaaah nimecheka Sana huyu dingi ni mnoma
@peterchula1990
@peterchula1990 Жыл бұрын
Umenena vema baba
@MasoudSultan-ks6kc
@MasoudSultan-ks6kc Жыл бұрын
THANKS MR ONLY 1 ✅
@musamusahshafi1496
@musamusahshafi1496 Жыл бұрын
Safi kabisa kishimba nikopamojana ww
@emjay1016
@emjay1016 Жыл бұрын
Najionaga naakili sana ila hii njemba imenizidi kilometa za kutosha upande huo.
@emmanuelmlekwangano9991
@emmanuelmlekwangano9991 Жыл бұрын
Genius
@outzone66
@outzone66 Жыл бұрын
Kishimba kwa hoja na udadavuaji yeye ni bora.
@babailacharles7199
@babailacharles7199 Жыл бұрын
Nakukubali sana mkuu we ndo mbunge kipenzi changu
@thechosenone.9169
@thechosenone.9169 Жыл бұрын
Professor wa kuzaliwa.
@happymerry8675
@happymerry8675 Жыл бұрын
I love you mzee
@denhotv9019
@denhotv9019 Жыл бұрын
kabla hatujaanza biashara nusu ya hela imeibiwa. Hii nchi kuna watu wanatuchanganya sana hii.😄🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@juliusjohn9453
@juliusjohn9453 Жыл бұрын
Kwa mujibu wa Sheria ya Usimamizi wa wa Mazingira No. 20 ya 2004 (EMA 20 of 2002) kuna miradi iliyoainishwa kwa msana kuwa miradi ya aina hiyo isitekelezwe bila kufanyiwa uchunguzi wa Athari zake kwa mazingira na kwa ustawi au maendeleo ya jamii kwa ujumla. Masoko ni miongoni mwa miradi iliyoainishwa. Hakika sheria hii inavunjwa na wananchi wanatiwa hasara na serikali inapata hasara zisizoelezeka. Tuyaongelee wapi haya ili tusikike? Tuinue mabango Waziri Jafo, Waziri Mkuu au Mama wajapo kwetu? Kishimba wambie wasimamie sheria . Na pia watuoneshe Repoti za Uchunguzi wa Ahari za Miradi kwa miradi uliyoitaja
@AmiriKutika-zk5lg
@AmiriKutika-zk5lg Жыл бұрын
Guud,sanaaaaa
@maumabennett8597
@maumabennett8597 Жыл бұрын
Mh. Kishimba uko sawa
@kemmymugele350
@kemmymugele350 Жыл бұрын
Wala blueband😂😂😂😂😂
@jukiboy7012
@jukiboy7012 Жыл бұрын
Soko la gholofa uweke nyanya
@marconyangoha1331
@marconyangoha1331 Жыл бұрын
Nchi yetu inahitaji wabunge Kama huyu, anagusa mahitaji ya wahitaji.
@jukiboy7012
@jukiboy7012 Жыл бұрын
Huyu mzee ni chuma
@jukiboy7012
@jukiboy7012 Жыл бұрын
Haaa🤣🤣🤣🤣🤣amepanda abiri nagani
@Dantaata
@Dantaata Жыл бұрын
serikali hii kila siku ni wizi tu,, mbona mi sioni cha kuiba
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 Жыл бұрын
Pesa zimeibiwa zamani mama kaamua kuyaniks
@barnaba3037
@barnaba3037 Жыл бұрын
Kishimba genius 😂😂
@mwalumogomsigwa856
@mwalumogomsigwa856 Жыл бұрын
Mzee ni kichwa anaongea kwa hoja Sana nampenda bure
@philemonkingdom4065
@philemonkingdom4065 Жыл бұрын
Akili ya kuzaliwa ikifanya kazi yake barabara
@kenedytheonest2798
@kenedytheonest2798 Жыл бұрын
Huyu Jamaa ndo maana ni biluonea
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 Жыл бұрын
Tutajuta kuruhusu wajinga kuwa wawakilishi.. MwanaKahama yupi aliemtuma hayo?
@bwilumarigo
@bwilumarigo Жыл бұрын
Huyu mzee hajaenda shule hoja zake zote ni pumba tupu
@isaacvtv547
@isaacvtv547 Жыл бұрын
Basi we ndo basi tu.
@lucasmasumbuko2098
@lucasmasumbuko2098 Жыл бұрын
Wewe utakuwa unakanyagwa Sasa na matai ya mwigulu
@babailacharles7199
@babailacharles7199 Жыл бұрын
Nakukubali sana
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 Жыл бұрын
@Bwilu Uko sahihi.. Huyu jamaa Ni pumba tupu. Mjinga sana. Waliomchagua wanajuta. Hebu fikiria Jimbo lake Ni eneo la manispaa Hana barabara za kutosha, anasema bungeni mapanya yamezidi jimboni kwake sababu Wafugaji wananyimwa kuchungia mifugo mjini. Yaani upumbavu kabisa.
@filbertladislaus1959
@filbertladislaus1959 Жыл бұрын
huyu jamaa nafikiria tofauti na fikira za wabunge wengi
@jukiboy7012
@jukiboy7012 Жыл бұрын
Haaa🤣🤣🤣🤣🤣amepanda abiri nagani
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 42 МЛН
Fortunately, Ultraman protects me  #shorts #ultraman #ultramantiga #liveaction
00:10
Mbunge aishauri serikali kuanzisha chuo cha wizi
5:41
Azam TV
Рет қаралды 154 М.
Walimu waliokuwa na sifa za utoro wawafundishe wanafunzi watoro
10:16
Daily News Digital
Рет қаралды 82 М.
Jumanne Kishimba: Hauwezi kuoa kwa friji au TV
10:35
Mwananchi Digital
Рет қаралды 27 М.
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 42 МЛН