Serikali Yakubali Yaishe Mgomo wa Kariakoo. Mambo Sita Mazito ya Kutatua Kero Yatajwa

  Рет қаралды 6,440

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Akizungumza katika kikao cha majumuisho cha serikali na wafanyabiashara Kariakoo, Waziri wa Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji ameelezea mambo sita muhimu waliyoweza kuyatatua katika kikao na wafanyabiashara ikiwemo kusitishwa kwa operesheni kamata kamata.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 43
@BarakerZeonlist
@BarakerZeonlist 3 ай бұрын
serikali mnajiongoza kama shule ya msingi mmepoteza inteligensia kama nchi
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 3 ай бұрын
wakikubali kufungua maduka yao bila kero zao kutatuliwa kwanza wamekwisha..kusitisha ni kusimamisha kwa muda sio kufuta wabadili sheria kabisa..kwanini leo uite watu kutoa maoni wkt matatizo yanafahamika Kitila anawapotezea muda wafanyabiashara
@jacktonmakau3397
@jacktonmakau3397 3 ай бұрын
Charamila ni kelele na vitisho baridi hakuna solution
@kwisa4899
@kwisa4899 3 ай бұрын
mpuuzi uwezi kuazisha kero ukaona wenzako wajinga
@mufaddalmoawalla8522
@mufaddalmoawalla8522 3 ай бұрын
Wamachinga lazima waondoke mbele za maduk zetu na wLipe kodi zote tunazolipa sis wenye maduka ndio tutakwenda sawa,nao wanauza na sisi pia tunauza
@daudimaniseli759
@daudimaniseli759 3 ай бұрын
MH .kitila mkumbo wewe NDIE KIONGOZI pekeee ulie ongea nikasikiliza huku nakunywa juice 🥤🥤🧃🧃 YANI UMENIKOSHA,,ULIVYO ongea Kwa ukarimu na point... nyingi
@samsonogunde4508
@samsonogunde4508 3 ай бұрын
Danganya Toto, Waziri mkuu Akisema hayohayo Mpaka Leo. Hivi Mpaka kupanga Machinga Mpaka Muambiwe na Rais. Hivi kila Kitu ni Rais Kweli Mnajitambua?
@AdamKaponda
@AdamKaponda 3 ай бұрын
Matumizi ya anasa Kwa serikali tunaumizwa wananchi
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 3 ай бұрын
Mm kila siku na sema hii serikali ya tz Ina penda Sana stareheee zakijinga na matumizi mabaya ya pesa za Kodi zetu alafu wanataka kuendelea kutuumizaa
@lugelosanga5798
@lugelosanga5798 3 ай бұрын
Nchi ya majizi majizi majizi hiii wafungue maduka Yao ya ushirika mijiziiiii
@jovinusmutabuzi4647
@jovinusmutabuzi4647 3 ай бұрын
Waziri mkuu alitumia akilisana kuepusha mgomo nahivyo kunusuru biashara za watu kutoka mataifa mbalimbali. Tangia kipindi hicho tumefanya nini ,kama si TRA kukaidi maelekezo ya wazirimkuu. Watu wali mwamini mkuu wanchi kwakuagiza wafanya biashara wasibughuziwe ,waziri mkuu kasimamia hilo.sasa kuna nani katikati anaye pinging na wakubwa hao???we need to be serious. Bwana.
@JohnMhogo-hd3fs
@JohnMhogo-hd3fs 3 ай бұрын
Kila siku nomigogolo nawafanyahiashara tu lkn vigogo waizi waserikalini Wala hawahkiliwi hatua yoyote
@zully756
@zully756 3 ай бұрын
Nchi hii mfanyabiashara anaonekana mhujuma uchumi na mnyonyaji.
@nmatuja2191
@nmatuja2191 3 ай бұрын
Service levy hatuitaki ni wizi.
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 3 ай бұрын
kuitisha kikao ili kupata maoni ya wafanyabiashara kwani kero za wafanyabiashara hazijulikani!!?? masaa matano ya wafanyabiashara na waziri mkuu hayakutosha kusikiliza kero..?? serikali haina nia kilichopo hapo ni danganya toto kwa kutumia gia ya vikao na mazungumzo ili wafungue maduka yao..
@Lundege_Hips
@Lundege_Hips 3 ай бұрын
Na Wenye milango washurutishwe kisheria bei za milango ipo juu na kila wakiamka wanapandisha kodi
@AdamKaponda
@AdamKaponda 3 ай бұрын
Bado ufisadi wa kodizetu unaofanywa na serikali
@Yussuf-b3b
@Yussuf-b3b 3 ай бұрын
SERIKALI IMESHINDWA KUTATUWA KERO ZA WAFANYABIASHARA NA WANANCHI KWA UJUMLA,,KWANI WAZIRI MKUU MAJALIWA AMEFANYA MKUTANO MKUBWA NA WAFANYABIASHARA WA SOKO HILO LA KARIAKOO NI KIPI KILICHOTATULIWA? Hapo ni UBABAISHAJI TU HAMNA KITU ,,,CCM IMESHINDWA KUONGOZA SOLUTION NI KUWAONDOWA KATIKA MADARAKA
@jumannesaid8434
@jumannesaid8434 3 ай бұрын
Kilichoitoa serikali thamani kwa wananchi ni kuto kubadilisha Historia halisi ya maisha ya wananchi wake," Kwani utuluvu na amani yetu kitabia haijawafanya watanzania kuishi maisha Bora zaidi dhidi ya nchi zilizo na sheria mkononi (machafuko) kielimu kiuchumi na kiajira....badala yake tupotupo tu! But kwa viongozi niwenye kuwa na furaha ya mafanikio mara tu baada ya muda mfupi kuwepo madarakni anakuwa mtnznia jina ila maisha yake yapo nje na utanzania halisi.....(mungu mtu)
@kwisa4899
@kwisa4899 3 ай бұрын
wamachinga wanatakiwa kuondoka kariakoo wakae sehemu husika walipe kodi ya mjumuisho
@jumannesaid8434
@jumannesaid8434 3 ай бұрын
Zamani licha ya udharirishaji wa malipo kodi kwa kukunjana But hilo lilimuhusu Baba na wenye umri wa kuwajibika na hilo...But leo kuanzia mimba mpaka kifaranga cha kuku kinalipishwa kodi na bado hakuna furaha ya mafanikio kwa maisha ya mtanzania," ila kwa wachache walio na mirija yakunyonyea asali na familia zao...kwe2 cye ni machungu daima.
@kwisa4899
@kwisa4899 3 ай бұрын
Impact of over budget and excess National Debts na bado
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 3 ай бұрын
Mweshimiwa Kariakoo ni kitovu cha biashara Africa kusini mwa Jangwa la Sahara au MALL kubwa kuliko zote kusini mwa Sahara
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 3 ай бұрын
Kitala utaweza kweli
@mufaddalmoawalla8522
@mufaddalmoawalla8522 3 ай бұрын
Ahsanteni sana
@Lundege_Hips
@Lundege_Hips 3 ай бұрын
Chala mila amekua mwanasiasa porojo tu Huo mji ni wamakonda tu anajua kucheza na akili za watu na sio kutumia mabavu
@judicateurassa7817
@judicateurassa7817 3 ай бұрын
Kweli kabisa
@RuthCharles-u4j
@RuthCharles-u4j 3 ай бұрын
Service levy yann
@noelnjementi8511
@noelnjementi8511 3 ай бұрын
Ondoweni machinga mitaa yote yakaliakoo ili mkosanye Kodi vizur ukinikamata Mimi nakwambia nimenunuwa kwamachinga utanifanya Nini tra wakat machinga alipi kodi
@birianination7097
@birianination7097 3 ай бұрын
Hapo utaleta mgogoro na mgomo mpya.
@zully756
@zully756 3 ай бұрын
Machinga anachukua kwa huyo huyo anaegoma
@birianination7097
@birianination7097 3 ай бұрын
@@zully756 inshot hakuna aliye sawa, kila mtu anataka kula zaidi ya mwingine, tuki ruhusu mambo kama haya, Tanzania itakua kama Kenya, ambapo kuna utofauti mkubwa wa maskini na tajiri.
@fredrickbaryagati2194
@fredrickbaryagati2194 3 ай бұрын
Leta sheria sio sia kitirya
@birianination7097
@birianination7097 3 ай бұрын
Sio kirahisi hivyo, wacha wa zungumze sio kila kero ni kero. Juzi tuu walitoka kubadili kodi ya VAT kutoka 100M na kuanzia 200M. So lazima wasikilizwe then yale ya muhimu basi ya fanyiwe kazi ila katika ufanisi sahihi bila kuumiza wengine
@XPOSED255
@XPOSED255 3 ай бұрын
MAKONDA PEKE YAKE NDIE ANAEIWEZA DAR angetatua fasta tu
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 3 ай бұрын
Sasa mkuu wa mkoa wa dar anapambana na madada powa sijui waliwahii kumliza kipindi akiwa kijanaaa😂😂😂
@salumbujjo2320
@salumbujjo2320 3 ай бұрын
Si mlikuwa mnawajibu asiyetaka kulipa ahamie Burundi
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 3 ай бұрын
@@salumbujjo2320 kiukweli kabisa tz inabidi tutafute mganga wa ukweli atuambie nanikatu Loga haiwezekani tukawa tunapelekwa pelekwa tu kiboya alafu tuna danganywa eti tunaamani
@ezekielkiduge8730
@ezekielkiduge8730 3 ай бұрын
Kila FARAO Ana kipindi chake
@ezekielkiduge8730
@ezekielkiduge8730 3 ай бұрын
Mkuu wamkoa awe Makonda wewe Boya kweli!!!
SERIKALI YASITISHA ZOEZI LA UKAGUZI WA RISITI KARIAKOO
5:57
Hazina TV - Wizara ya Fedha
Рет қаралды 6 М.
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
А ВЫ ЛЮБИТЕ ШКОЛУ?? #shorts
00:20
Паша Осадчий
Рет қаралды 9 МЛН
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17