Saimu Gwao Online Tv ni chanell inayojihusisha sana na vipindi vya dini vyenye mafunzo kwa jamii na matukio tofauti yenye manufaa Tunapatikana Masjid Mtoro Jijini Dar Es salaam. Kwa mawasiliano zaidi 0713471090
Пікірлер: 7
@TawfiqHaji2 ай бұрын
Masha-allah,allau bariq kwa kuwa mkweli na sio mnafiqkwa kuusemea ukweli na bila kuangalia urafiki wako na huyo dr sule,kwa hakika umeunusuru umma na ushirikina, allah akulinde na akuhifadhi.🤝🤝🙏🤲
@OmanOma-xi3hm2 ай бұрын
Asante sana shekhe Allah baariq❤❤❤
@Bodiswaibu2 ай бұрын
Na mm mungu anijalie ni we kawa wewe
@HamisiNgomangoАй бұрын
Njaaa imewamaliza masheikh mwaipopo alisema miaka miwil iliopita mkamkutana
@Dysmedia2542 ай бұрын
💯 ❤
@user-id1gz3ng3k2 ай бұрын
Wallahi Mungu awapoteze viongozi wabaya
@Bodiswaibu2 ай бұрын
Dr kwann wewe usiwe muft tu kaka yangu maaana wewe unajua mpaka unajua tena na maana wewe umebaki ndio mtetez wa waaislam wote dunian