Shangwe la CCM Wakimpomkea Mchungaji Peter Msigwa, Mwenyekiti wa CCM, Dk Samia Aimba "Mlete Msigwa"

  Рет қаралды 6,652

The Chanzo

The Chanzo

Күн бұрын

Aliyewahi kuwa Mbunge wa Iringa Mjini kupitia CHADEMA na Kiongozi mwandamizi wa chama hiko cha upinzani ambaye hivi karibuni alishindwa uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya kanda, Mchungaji Peter Msigwa leo ameonekana akipokelewa ndani ya ukumbi kinapofanyika kikao cha NEC-CCM chini ya Mwenyekiti wake Samia Suluhu Hassan.
Bado taarifa kamili kuhusiana na uwepo Msigwa katika kikao hiko haijatolewa.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Пікірлер: 52
@pancrasluoga4584
@pancrasluoga4584 3 ай бұрын
Kama kwelii msigwa kajiunga na CCM Basi siasa ni mchezo mchafu
@AwardHakimu
@AwardHakimu 3 ай бұрын
Kukataa kupewa umwenyekiti😅umeamua kusepa aisee watu ni wakuda😂tutaona mengi kwaiyo huko utakua mwenyekti
@dennisungonella205
@dennisungonella205 3 ай бұрын
Huko kafuata Udc, URC na ukurugenzi🤣🤣
@AwardHakimu
@AwardHakimu 3 ай бұрын
@@dennisungonella205 mkuda sana huyo
@ezekielmabwai482
@ezekielmabwai482 3 ай бұрын
Siamini!!!!!!
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 3 ай бұрын
👀👀👀👀👀👀 siamini macho yangu yani msigwa kabisa nae kanunuliwa? duuu nimeamini dunia imeisha
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 3 ай бұрын
Hata Mimi siamini macho yangu
@ElvisMulenga-j5w
@ElvisMulenga-j5w 3 ай бұрын
Kanunuliwa na Na nani wewe na bado hiyo ndio CCM
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 3 ай бұрын
@@ElvisMulenga-j5w hahahahaa kweli ccm imeishiwa hoja sasa msigwa atawasaidia nini
@ElvisMulenga-j5w
@ElvisMulenga-j5w 3 ай бұрын
@@ramadhanmahongole9293 kesho utasikia tundu nae kajiunga hao ni wanaadam kwani la ajabu ni lipi?
@TumtukuzeMbise
@TumtukuzeMbise 3 ай бұрын
Kibaraka kwaheri kafie uko wasije wakuua na pesa zao walizokupa usaliti chama tulikuona mapemaa
@georgemahenge
@georgemahenge 3 ай бұрын
Kushindwa kura na sugu.kasepa
@dennisungonella205
@dennisungonella205 3 ай бұрын
Mpaka aibu, dah msigwa😂😂
@JeradiMaulidi
@JeradiMaulidi 3 ай бұрын
Msingwa umekwisha
@saidnassormohammed9589
@saidnassormohammed9589 3 ай бұрын
Watanganyika hawaminiki
@piusmelkizedeck9823
@piusmelkizedeck9823 3 ай бұрын
Siasa ni unafki mtupu
@wilbardvalerian6556
@wilbardvalerian6556 3 ай бұрын
Big up keep it up
@JohnMtalikuyanja
@JohnMtalikuyanja 3 ай бұрын
Mh haya
@Niika870
@Niika870 3 ай бұрын
Hawa ndio watu msiwai kuwaamini kabisaaa,wanasiasa kama maalaya tu😂😂😂😂
@mudhihirugara8845
@mudhihirugara8845 3 ай бұрын
Nikweli
@MwigaAdam
@MwigaAdam 3 ай бұрын
Ewe mungu wetu tuoneshe viongozi wenye nia na Imani ya dhati na WA Tanzania na tepushia watu kama mchungaji msibgwa aliehamia CCM et kwakukisa uenyekiti wa chama kanda
@dennisungonella205
@dennisungonella205 3 ай бұрын
😂😂Msigwa kaonesha rangi zake halis
@GerardMdui
@GerardMdui 3 ай бұрын
AMEJIUNGA AMBAKO ALIKUWA ANAPASEMA VIBAYA SIO MDA HAFU WANANCHI BADO TUNAONA HUYU MTU ANAFAA KWELI. HUYU MTU SI ANATAFUTA VYEO TU ETY MCHUNGAJI NAE
@HajiNgwale-b3o
@HajiNgwale-b3o 3 ай бұрын
💆💆💆💆😭😭😭😭😭
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 3 ай бұрын
KAENDA HALAFU ANAENDA KUPEWA CHEO.MNAOPGA NIA CHAMA MNAACHWA. HYO INAITWA CCM YA FURSA.
@dennisungonella205
@dennisungonella205 3 ай бұрын
Itakuwa kahaidiwa URC au UDC, muda utasema.Rushwaaass🤣
@emilmaarufu3734
@emilmaarufu3734 3 ай бұрын
😮
@FrederickThadeo
@FrederickThadeo 3 ай бұрын
Ccm nchimbi hii ni kaline nyingine nakuonea huluma chamama COVID Malaya wa kisiyasa kama musigwa zito anakuja hata lisu
@FrederickThadeo
@FrederickThadeo 3 ай бұрын
Tuna juu hamuna upinzani wote chawa ila uchawa mungu ataufutiliya mbali chezeni comedy zina mwisho
@isackphilipo9870
@isackphilipo9870 3 ай бұрын
Mbona Yuda eskarioti anajificha bahati mbaya hapa iringa maccm hatutawayapa kura zetu.
@janeshija6638
@janeshija6638 3 ай бұрын
Hata huko CCM wamtizame kwa jicho la tatu. Mimi nilisema mapema aende huko CCM sisi hatuko tayari Chadema kukaa naye ni msaliti kama wasaliti wengine. Myu mwenye uchu wa vyeo muogope kama ukoma. Afadhali amfuate ndugu yake huko.
@dennisungonella205
@dennisungonella205 3 ай бұрын
Kafuata Udc au URC muda utasema, wanasiasa maslahi hao
@SeverinepauloPeter
@SeverinepauloPeter 3 ай бұрын
Kanunuliwa kishamba
@isackphilipo9870
@isackphilipo9870 3 ай бұрын
Namuona Yuda eskarioti
@yordanyona1234
@yordanyona1234 3 ай бұрын
Yuda mkubwa sana
@dekarisaomiro9009
@dekarisaomiro9009 3 ай бұрын
Kwa kweli kufikia hapo naona hizi siasa ni kuchumia tumbo tuu na kutafuta umaarufu, si kweli kuwa usipochaguliwa basi unahama chama kwa hiyo ina maana madaraka ndiyo yalikushikilia kwenye chama hiyo niaibuuu muone aibuu.
@dennisungonella205
@dennisungonella205 3 ай бұрын
Haahaa mtu anahama dini kisa kakosa usheikh au uchungaji😅
@clethbarnaba923
@clethbarnaba923 3 ай бұрын
Tunakutakia safari njema
@hamisimweta4505
@hamisimweta4505 3 ай бұрын
Pesa ya Abdul
@SonofGod-o1q
@SonofGod-o1q 3 ай бұрын
😂😂😂Akili za hawa aisee
@donaldmaziku7915
@donaldmaziku7915 3 ай бұрын
Haiwasadii,
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 3 ай бұрын
🎉🎉
@prospermalala6636
@prospermalala6636 3 ай бұрын
Duuuuu, aaaaaaaaaaa, aiseeeeee, mmmmmmm
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 3 ай бұрын
Hatari sana
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 3 ай бұрын
Nunuanunua ya fisiemu imeanza kaeni chonjo chadema tunataka tubaki na chadema halisi
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 3 ай бұрын
Hahahaha,,,,, tatizo la chama chenu ni Sacco's ya mtu
@emanuelgavile3503
@emanuelgavile3503 3 ай бұрын
Safi sanaaa
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 3 ай бұрын
@@jumakapilima7295 chadema ni Chama kikubwa kuliko ccm ukitaka kuamini hilo weka tume yao pembeni weka polisi pembeni chadema na ccm wachuane uone Chama gani ni saccos ccm imesha kufa umebaki kuwa saccos tu ndomana inaufyata kuleta mabadiliko ya katiba kuelekea kwenye uchaguzi wanang'ang'ania katiba ya 1977 inayo wabeba na tume yao ya uchaguzi na police ili kushinda chaguzi bila police na refa wao tume ya uchaguzi ccm hawana ubavu wa kushindana na chadema kwa sasa
@ZaidAKissinza
@ZaidAKissinza 3 ай бұрын
Mbona kama siamini mimi jamani, my God?
@JosephKembe-ee6bd
@JosephKembe-ee6bd 3 ай бұрын
Mchumia tumbo kama nyinyi
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 29 МЛН
Остановили аттракцион из-за дочки!
00:42
Victoria Portfolio
Рет қаралды 3,9 МЛН
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 2,5 МЛН
MASANJA MKANDAMIZAJI ATAPELIWA NA WEZI WA MITANDAO.... Wampa ujumbe wa kwenda kanisani KWAKE
11:04
Peter Msigwa Ashusha Tuhuma Nzito CHADEMA | Adai Kuhujumiwa
28:55
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 29 МЛН