SHANGWE LAIBUKA BUNGENI NAIBU WAZIRI AKITAJA BARABARA ZA NCHI NZIMA, ATAJA MIJI NA VIJIJI

  Рет қаралды 12,539

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekenya ameibua shangwe bungeni wakati akijibu hoja za wabunge wakati wa kuhitimisha makadirio ya mapato na matumizi ya wazara hiyo baada ya kutaja barbara zinazounganisha nchi nzima akitaja miji na vijiji ambapo barabara mpya zitakapo pita

Пікірлер: 30
@danielmbalwa9307
@danielmbalwa9307 Жыл бұрын
Hongera Naibu Waziri kwa kazii nzurii hakikaa unatuwakilisha vizuri Wana Ilejeee
@ambelecheyo5667
@ambelecheyo5667 Жыл бұрын
Daa!! huyu si Ndo awe waziri mbona anajua mpk anapitiliza.
@deodartngaiza6664
@deodartngaiza6664 Жыл бұрын
Nakupongeza sana Mh. unaupiga mwingi kwa kutaja barabara. Hongera sanaa
@josephmateru8892
@josephmateru8892 Жыл бұрын
Umetisha cna naibu waziri 👏👏👏👏
@AdamuRashidi-qo7re
@AdamuRashidi-qo7re Жыл бұрын
Duh huy naibu waziri noma barbara zote kaweka kichwani
@collineedson9964
@collineedson9964 Жыл бұрын
Jamaa anaijua vizur Sana Tanzania
@GeorgeBenard-ue2gh
@GeorgeBenard-ue2gh Жыл бұрын
Serikali fanyeni kazi, magufuli amewaonyasha njia kwa vitendo, wananchi sisi tunataka kazi sio porojo pesa ndo kila kitu, pesa mnayo asanten
@manilabonalumanula9210
@manilabonalumanula9210 Жыл бұрын
Hongera sana, nafasi iliyopewa unastahili nina imani sana wasipokuangusha watendaji wizarani kwenu, nchi itafunguka. Kiongozi unapaswa ujue mipaka ya eneo lako la kazi. Siyo Daktari wa binadamu anapewa wizara ya kilimo, utategemea nini hapo? Zaidi akijitahidi hapo atashauri ufungaji wa nyani ili wawe walinzi wa mashamba ya mahindi.😂😂
@lullebolle808
@lullebolle808 9 ай бұрын
Mh nakutizama kwa jicho la tatu nimegundua wewe nichapakazi mungu akupe nguvu zaidi komaaaa
@justinemsela3593
@justinemsela3593 Жыл бұрын
Naibu waziri safiiii, anaijua nchi
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Жыл бұрын
Siasa mbaya sana
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 Жыл бұрын
Huyu anafaa kua waziri wa ujenzi maana barabara zote kazikariri Daah balaa anaonnyesha yupo makini kikaz
@mathiasmathiasjoseph1732
@mathiasmathiasjoseph1732 Жыл бұрын
Jamaa noma
@magembesitta5657
@magembesitta5657 Жыл бұрын
Kahama geita
@abdullatifmbago5990
@abdullatifmbago5990 Жыл бұрын
Namuona jpm kwa mbali mambo yake yalikuwa hivi hivi kwenye barabara
@saidybhokey5744
@saidybhokey5744 Жыл бұрын
tatz mnawapa kazi wachina
@azizikalembo931
@azizikalembo931 4 ай бұрын
Upuuzi
@musaogira8375
@musaogira8375 Жыл бұрын
kahama geita
@petrojacob6070
@petrojacob6070 Жыл бұрын
Hawana muda
@prosperidinya5864
@prosperidinya5864 Жыл бұрын
Utaratibu maalum upi? Mtuambie tu, kuwa hamuoni umuhimu wetu kutoka màkongolosi-Rungwa- ipole au Itigi. Jijengeeni kwanza nyie ambao ni WA muhimu sana, lakini mkija kuanza kwetu, tunataka barabara Bora na imara kwakuwa hakutakuwa na barabara zingine mtakuwa mmeshamaliza kwenu ambao ni WA muhimu sana.
@juliustuponile2086
@juliustuponile2086 Жыл бұрын
Lupa wametusahau sana
@vibetz9991
@vibetz9991 Жыл бұрын
Kila siku mnatupostia habari mpya,,,nimechoka...
@melkmahemba2594
@melkmahemba2594 Жыл бұрын
A1aa1
@peternyambo1439
@peternyambo1439 Жыл бұрын
Jiji LA DAR SIJASIKIA AU HUKU NI SOMALIA?? TUNAISHI HATA TUNAOGOPA KUWAKARIBISHA WAGENI, KIVULE, MOSHI BAR NJIA NNE, VIWEGE YAANI NI KAMA TUNAISHI PORINI!
@tomaswendelin3039
@tomaswendelin3039 Жыл бұрын
huku sheikh wangu ni TARURA sio Tanroad ... turura ni barabara za huku mitaani
@abdullatifmbago5990
@abdullatifmbago5990 Жыл бұрын
Hapa wanazungumzia barabara zinazounganisha nchi yaani mfano Mikumi kirombero kwenda seluu kutokea Songea Mikumi kilosa Dodoma nyakanazi kwenda Kigoma bunda kwenda guta kibara hadi kisorya yaani hapa sio barabara za kimara matosa ni kuunganisha mikoa yote kuwa rami
@habibunguvumali3331
@habibunguvumali3331 Жыл бұрын
Vipi makofia Bagamoyo
@michaelkibiki3309
@michaelkibiki3309 Жыл бұрын
Mbona jiji la Dar es laam Jimbo la Ukonga mbona sjasikia hapo kuna nini? Jimbo hili limechoka kimiundombinu ya Barabara ni kama watu wanaishi Jimbo nikama wapo mikoaani vijijini Kabisa.Hili ni Jimbo la Slaa
@abdullatifmbago5990
@abdullatifmbago5990 Жыл бұрын
Kaka hapa ni barabara za kuunganisha nchi peke yake yaani ukitoka Songea upite rami hadi bukoba iwe rami tuu ukitoka dar kwenda Kigoma kupitia tabora kaliuwa maragarasi ama upitie nyakanazi kibondo iwe rami maana yake kuna baadhi huko mikoani Hakuna rami kabisa
@manilabonalumanula9210
@manilabonalumanula9210 Жыл бұрын
Hongera sana, nafasi iliyopewa unastahili nina imani sana wasipokuangusha watendaji wizarani kwenu, nchi itafunguka. Kiongozi unapaswa ujue mipaka ya eneo lako la kazi. Siyo Daktari wa binadamu anapewa wizara ya kilimo, utategemea nini hapo? Zaidi akijitahidi hapo atashauri ufungaji wa nyani ili wawe walinzi wa mashamba ya mahindi.😂😂
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 16 МЛН
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 82 МЛН
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 29 МЛН
BREAKING: ALLY KAMWE ATANGAZA KUJIUZULU YANGA SC
2:01
Millard Ayo
Рет қаралды 16 М.
"SLOVENSKÁ MAFIA"  rozhovor Ján Petrovič
1:49:43
ABY SI VEDEL
Рет қаралды 167 М.
Finger Heart - Fancy Refill (Inside Out Animation)
00:30
FASH
Рет қаралды 16 МЛН