VIDEO: Siku Waziri Kitwanga alijibu maswali Bungeni na kudaiwa amelewa

  Рет қаралды 490,902

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Hii ndio Video ya Aliyekuwa Waziri Kitwanga akijibu maswali Bungeni na kudaiwa alilewa

Пікірлер: 145
@ceasermbisso6589
@ceasermbisso6589 8 жыл бұрын
Well done Mr.JP for a good work,they are still more to come.
@emmanuelmomolo9083
@emmanuelmomolo9083 2 жыл бұрын
Nimeangalia na kuangalia Sana nimerudia na kurudia mno...mimi sijaona tatizo aisee maana majibu yake yalikuwa straight Sana na hakukosea
@saimonijonas4356
@saimonijonas4356 4 жыл бұрын
Kuhusu kuongea taratibu sio ulevi bali watu wengine wamepewa uwezo mkubwa kifikra lakini kiutamkaji anakuwa hana wepesi hivyo anaongea taribu.Hata Musa alipotumwa na Mungu kuwaendea Waisraeli mikokoni mwa farao kule misri.Alimwambia Mungu,umenituma mimi niende lakini unafahamu mimi ninamdomo mzito si mwepesi wa kuongea,Mungu akamwambia nitakupa mtu wa kusema badala yako,naye ji binamu yako Haruni.Musa alikuwa na uwezo mkubwa sana lakini alinyimwa uwezo wa kuongea maneno mengi.Kiukweli huyu mzee alionewa tu.
@abdulbasitsaid7323
@abdulbasitsaid7323 4 жыл бұрын
Huyu jamaa ni msomi mzuri na ana akili nzuri za mipango na maendeleo
@alexmashimbaisululu6309
@alexmashimbaisululu6309 8 жыл бұрын
My lovely country Tanzania, my motherland why people are making you sad? Oohh my motherland Tanzania,
@lauriansimon6805
@lauriansimon6805 6 жыл бұрын
Wamemwonea sana mheshimiwa wetu!!
@ahmadzubeir3363
@ahmadzubeir3363 2 жыл бұрын
Waziri hawezi kwenda Bungeni akiwa amelewa so huyu hakulewa kabisaaaaaa
@ahmadzubeir3363
@ahmadzubeir3363 2 жыл бұрын
Kuongea taratibu kama hivi hata Muheshimiwa Mpango Makamu wa Raisi mi nampenda sana sana kwa sababu anapozungumza huaga anazungumza taratiiibu. Kama hamuniamini naomba mumsikilize Mh Mpango ambae ni Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Tanzania
@benedictormatemla8947
@benedictormatemla8947 3 жыл бұрын
Mbona kajibu vizuri tu
@martinmiston4403
@martinmiston4403 8 жыл бұрын
Hongereni kwa habari zenu.
@lilianmwinamila9506
@lilianmwinamila9506 8 жыл бұрын
Tutajua Kama kalewa akizungumza Bungeni next time tutaona tofauti,kwa sasa kama hujawahi msikiliza hautojua
@mathiusabraham3127
@mathiusabraham3127 8 жыл бұрын
Waziri kazingua, we have a long way to go
@keffajacob8952
@keffajacob8952 2 жыл бұрын
Kichwa iliyojaa madini🤣🤣👍👍
@ugaboy4736
@ugaboy4736 5 жыл бұрын
Nimeirudia hii crip kutafuta kosa nimeche MsHa kwa kweli
@emmanuelmomolo9083
@emmanuelmomolo9083 2 жыл бұрын
Mm mwenyewe nipo apa natafuta kosa silionii
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 2 жыл бұрын
Wazir Hana uwezo alipiewa uwazir kwa kua ni msukuma
@yahyagonga
@yahyagonga 2 жыл бұрын
Mwenyewe kasema hakulewa!
@mmary70
@mmary70 8 жыл бұрын
Kuna issue somewhere, hii sio issue..... MJPM atueleze vizuri
@HamisMberwa
@HamisMberwa 8 ай бұрын
Hapa Mwamba walimuonea😢😢😢
@peterkaombwe6251
@peterkaombwe6251 8 жыл бұрын
mi kwa upande wangu sijaona alipokosea mr charles
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 4 жыл бұрын
Maoni yako!!
@Smartboy-wt1es
@Smartboy-wt1es Жыл бұрын
Nafikiri ni lafudhi yake tu but sidhani kama alikua amelewa, vinginevyo alipigwa na kitu
@josephjosephgeorge3195
@josephjosephgeorge3195 2 жыл бұрын
Shida hapa alisema ukweli wa Hali halisi ya utekelezaji,jeshi linaongezeka sio la miaka 54 liko vile vile
@peterkaombwe6251
@peterkaombwe6251 8 жыл бұрын
mi kwa upande wangu sijaona alipokosea mr charles iyo pombe iko wapi acheni kushabikia tu...
@fabiantanzania5795
@fabiantanzania5795 8 жыл бұрын
sijaona alipo lewa pia
@sirialemmy37
@sirialemmy37 2 жыл бұрын
Ni kweli amelewa huyu mzee! Baada ya miaka mingi na kumsikiliza akisema kuwa ameonewa na interview aliyofanyiwa jana, hii nimekuja kujihakiki kama ni kweli ila m Magufuli government haikumwonea kabisa! It was a shameful thing
@aloycesamba998
@aloycesamba998 2 жыл бұрын
🤣🤣
@aloycesamba998
@aloycesamba998 2 жыл бұрын
Kumbe na wewe uliona alivyokuwa anahojiwa juziee?
@sirialemmy37
@sirialemmy37 2 жыл бұрын
@@aloycesamba998 Aisee nilimwona na ni aibu sana kiukweli
@kishadafour8307
@kishadafour8307 8 жыл бұрын
Duh! Tanzania hiii!
@godwinmwakibibi274
@godwinmwakibibi274 2 жыл бұрын
Au ndio kiki za kutuzima na tozo maan cc tunatak za miamala ya simu zishuke
@sovajulius3870
@sovajulius3870 Жыл бұрын
Mbona aliongeaga vizuri tu?wapi.kakosea nilitaka Waziri aongee harakaharaka anawahi wapi
@godfreykinyamagoha8707
@godfreykinyamagoha8707 8 жыл бұрын
hatareeeeeeee sana team anti viroba
@saxannjo6173
@saxannjo6173 Жыл бұрын
ILIKUAJE HADI AKAONEKANA AMELEWA???
@salomekapinga4046
@salomekapinga4046 8 жыл бұрын
kaaaa. ..!!! urafiki urafiki analeta urafiki kazini..hata kusema Jamani anajikanyaga tuu ptuuuh...!!!
@reubenpaulomabula6098
@reubenpaulomabula6098 4 жыл бұрын
Tunafanya kila linalowezekana kuhakikisha askari wetu wanapata mahari pazuri pakukaa . Hakuna ulipokosea
@gebopeter3958
@gebopeter3958 8 жыл бұрын
asee by mzee kalewa kweli mpak kuomgea mdomo mzit hivyooo
@fazeelshomary8743
@fazeelshomary8743 8 жыл бұрын
Dah eeh Mungu eeh
@fredyngogo1425
@fredyngogo1425 8 жыл бұрын
Ifike mahala tusifanye kazi kimazoea but professional itumike
@huldamichael4445
@huldamichael4445 4 жыл бұрын
yaan narudia na kurudia lakini sijaona amekosea wapi
@frankvictor3429
@frankvictor3429 8 жыл бұрын
licha ya kuwa kalewa but ameongea vizuri bila kuharibu, it better yeye kulipo yule alie taka kulia kisa bunge lina onyeshwa live
@aliissa6632
@aliissa6632 5 жыл бұрын
Huyu alikua ndie waziri sio waitara kuongea hajui
@halimambwego8287
@halimambwego8287 8 жыл бұрын
Hapo elfu nne mia mbili... Sauti yake yaelekea kidogo ila angempa worning... Au shart hili wanalo kwenye mkataba wao mmh hapo sijaujua
@loveness_g2619
@loveness_g2619 8 жыл бұрын
ila mbona kajibu fresh tu......
@raphaeldayos5662
@raphaeldayos5662 4 жыл бұрын
Hahahahah hi kalii
@ashagrills1319
@ashagrills1319 8 жыл бұрын
wamemuoneatu mbona mi cjaona kibaya alicho kiongea
@williammalima7905
@williammalima7905 8 жыл бұрын
Mhe. Waziri kashughulikiwa. Katika hili hakukuwa na haja ya onyo. Ni aibu kwa Kiongozi wa ngazi ya juu kama yeye kuwa mdhaifu kimaadili kiasi hicho.
@piusbarber4970
@piusbarber4970 8 жыл бұрын
Viroba hivyo vina vunja nguvu viungo daaa 😀😀😀😀😙😙😙😙
@christopherstambuli8896
@christopherstambuli8896 2 жыл бұрын
Pombe anaiweza lakin
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 2 жыл бұрын
Huyu jamaa nimebain hii ndio stail yake ya usemaj
@johnngimba3857
@johnngimba3857 8 жыл бұрын
Imekuwa shida sana
@reemajeereemajee2105
@reemajeereemajee2105 8 жыл бұрын
shida ya nini??
@jovinarchard
@jovinarchard 8 жыл бұрын
kwa upande wangusijona mahali alipokosea labda tumepigwa changa la macho je kuna uthibitisho wa vipimo?????????????????? na ninani kampima ulevi acheni ushabiki bila kutafakari.
@justinemaengo967
@justinemaengo967 5 жыл бұрын
Yupo ok
@shadymbuki87
@shadymbuki87 4 жыл бұрын
We unadhani kiongozi ni mwendawazimu kumuomba naibu waziri ajibu swali wakati waziri yupo? ni kwa sababu alishapimwa na akataarifiwa.
@badenbensoni7516
@badenbensoni7516 2 жыл бұрын
Baadaye nimegundua hakulewa bali nasikia aliwahi kupata strock.
@binsaid4868
@binsaid4868 8 жыл бұрын
Ni shidaaaaa
@evanskowero3869
@evanskowero3869 8 жыл бұрын
jamani lugha 2 yenyewe inaonyesha katupia vitu sasa wanaosema hawana masikio?
@michaeltuingilegewaubaridi8570
@michaeltuingilegewaubaridi8570 8 жыл бұрын
duuuu ..aibu sana
@jacksonlema9536
@jacksonlema9536 8 жыл бұрын
Hakukuwa na sababu ya ulazima ya kumvua uwaziri huyu kiongozi. Hekima na busara lazima itumike sana kabla ya kufanya maamuzi. No one is perfect.
@feezdidthis2220
@feezdidthis2220 8 жыл бұрын
me sioni ulevi hapo , wamemuonea bure
@liberatusulaya2269
@liberatusulaya2269 2 жыл бұрын
Pamoja na pombe ,hawa jamaa walikuwa na akili sana
@lucykimambo1616
@lucykimambo1616 8 жыл бұрын
daa,yan hawa wabunge wa safari hii,pasua kichwa
@barkasalim8216
@barkasalim8216 8 жыл бұрын
Mi siona kama kama kalewa
@mwanamutemi
@mwanamutemi 8 жыл бұрын
chunguzeni vizuri kwanini magufuli kamtimua huyu jamaa, labda walikua na yao ya zamani kwa sasa vile magufuli amekua boss Basi amuonyesha misuli yake !
@g.phasemaestro1108
@g.phasemaestro1108 8 жыл бұрын
Wangekuwa na bifu angemteua kuwa waziri?
@danielmarco5222
@danielmarco5222 4 ай бұрын
Mwishoni ndo nimeelewa jmaaa alikuwa maji
@frankminga9307
@frankminga9307 4 жыл бұрын
Nyie hamjui kuwa ulikuwa mchezo tu ili kumkwepeshs na Ligumi
@fabiantanzania5795
@fabiantanzania5795 8 жыл бұрын
mbona kajibu vizuri jamani .tena kajibu taratibu hadi raha
@hawahamisi6237
@hawahamisi6237 8 жыл бұрын
😂😂😂😂 amekunywa dadii mix mbege jamani mzeee🏃
@rhodenmlimbila3910
@rhodenmlimbila3910 8 жыл бұрын
MUNGU ATUSAIDIE SANA WA TANZANIA HII NI AIBU.
@abduladhimually3542
@abduladhimually3542 8 жыл бұрын
Hon.president just try even to give the chance to youth jeneration as makonda&Hapi Ali
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 2 жыл бұрын
Tafakari tena!
@erickhaule8680
@erickhaule8680 8 жыл бұрын
Pombe sio chai jamani
@samsonkaboko5137
@samsonkaboko5137 8 жыл бұрын
Haaaa hiseee Kitwanga kweli umwetwangwa
@stanleyomary4009
@stanleyomary4009 8 жыл бұрын
Duuuuh hataree
@graciousjerry1322
@graciousjerry1322 8 жыл бұрын
Mbona asa me cjaona alipolewa bagwituuuu! au kusema rafik yangu? kweli safar hiii mtanyooooka
@fabiantanzania5795
@fabiantanzania5795 8 жыл бұрын
+Scarlet Pimpernel sijaona alipo lewa
@mariammobeto5512
@mariammobeto5512 4 жыл бұрын
@@fabiantanzania5795 amelewa muanglie na msikilize vzr 2 utamuelewa sauty yake
@mckaayamenyamueventsmanagm6815
@mckaayamenyamueventsmanagm6815 8 жыл бұрын
Naon serikali hawakutaka kujaja isue ya Lugumi direct wakaona wajifiche kwenyebLugumi
@maduhunghonoli3784
@maduhunghonoli3784 7 жыл бұрын
manuel p
@eliasnavytanga
@eliasnavytanga 5 жыл бұрын
Huyu Waziri au conductor wa bus? Hana jibu wala ushauri. Vipi mtu kama huyu atachaguliwa kuwa waziri?
@afropanorama4730
@afropanorama4730 8 жыл бұрын
dahhh!! jamaa kweli yuko tungi dadeki ila kajitahidi 😆😆😆 mwaka huu bakora tu mpaka munyooke
@godfreymapunda8337
@godfreymapunda8337 8 жыл бұрын
Dah! Kwel n jiiiiipu
@aidanswai9900
@aidanswai9900 8 жыл бұрын
Asamehewe coz kajikaza sana
@isaiahnanyaro2055
@isaiahnanyaro2055 8 жыл бұрын
tz tunaitaji huwajibikaji
@jonathanwilliam5447
@jonathanwilliam5447 8 жыл бұрын
wengine wajifunze
@chodahpro
@chodahpro 8 жыл бұрын
ningekuwa Mimi ndiye yeye ningempa madaraka...naibu waziri siku hiyo nisingeingia bungeni kabisa...dah ila siku ya kufa nyani miti yote uteleza
@joelmusokwa9724
@joelmusokwa9724 8 жыл бұрын
kweli mbaba kazingua
@jumaamani494
@jumaamani494 8 жыл бұрын
Amekunywa Mbege
@hajiupete1702
@hajiupete1702 8 жыл бұрын
ha ha haaaaaa tungo sio aiseee
@godlovethomas5111
@godlovethomas5111 6 жыл бұрын
Mbona ilikuwa poa tu
@sosthenesngumbu4775
@sosthenesngumbu4775 8 жыл бұрын
hajaharibu nyodo tuu
@aliakrabi8321
@aliakrabi8321 8 жыл бұрын
kalewa mpaka vidole vya mikono vinatetemeka
@makangangereza3517
@makangangereza3517 8 жыл бұрын
nadhani ni pozi tuu
@INNOCENTNANGAY
@INNOCENTNANGAY 7 ай бұрын
Si katoa lock tuu
@didaskimaro
@didaskimaro 8 жыл бұрын
pombe atar kajikaza kiumee
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 6 жыл бұрын
Magufuri tatizo lake huwa anakurupuka tu!kutaka.sifa mchwara. Hiyo ndiyo Ongea yake. Msikilize ktk crip ya kuomba ubunge tena akiwa na Magufuli pembeni. ALIMUONEA TU.BABA WA MAPOZI.
@noelbryson7840
@noelbryson7840 2 жыл бұрын
Kabisa ndugu yangu!
@mckaayamenyamueventsmanagm6815
@mckaayamenyamueventsmanagm6815 8 жыл бұрын
pombe si chai
@josiahpaul4996
@josiahpaul4996 8 жыл бұрын
noma
@georgethomas2627
@georgethomas2627 8 жыл бұрын
ni yupi atakayekuwa ni msafi???
@innocentiweni2044
@innocentiweni2044 8 жыл бұрын
Kiukweli mimi cjawahi kumsikia akiongea huyo waziri, ila hapo inaonyesha hakuna la maana, ni kweli ana kila dalili za pombe hapo halipo.
@joelmusokwa9724
@joelmusokwa9724 8 жыл бұрын
nilimpenda sana waziri kitwanga kuliko mawaziri wote hasa juu ya kauli zako khs kudili na madawa ya kulevya ila pombe ni shetani mbaya sana
@kingbrown523
@kingbrown523 8 жыл бұрын
eeh mungu
@ChettaFlyee
@ChettaFlyee 8 жыл бұрын
Nimependa pale binge letu TUKFUU haha sio TUKUFU
@lilianmwinamila9506
@lilianmwinamila9506 8 жыл бұрын
😂
@peterjoseph9572
@peterjoseph9572 8 жыл бұрын
Llian Mwinamila duuuh
@enockfumbuka28
@enockfumbuka28 8 жыл бұрын
HII NI DHARAU KUBWA SANA DHIDI YA BUNGE !
@آبےوفےيےصےلآلشےآجےريے
@آبےوفےيےصےلآلشےآجےريے 8 жыл бұрын
ايش يقول
@آبےوفےيےصےلآلشےآجےريے
@آبےوفےيےصےلآلشےآجےريے 8 жыл бұрын
اسش
@almasijumanne565
@almasijumanne565 8 жыл бұрын
😂😂😂😂dar kwerrr aiseee ila kajikazaaaaa
@thomaspatrick4095
@thomaspatrick4095 8 жыл бұрын
ndio viogozi Wetu Mungu atusaidie tu
@meshackmbeyu7802
@meshackmbeyu7802 8 жыл бұрын
wabunge viraza kila hoja wao ndio
@hajiupete1702
@hajiupete1702 8 жыл бұрын
yuko tungi kabsaaaaaa !!
@michaeltuingilegewaubaridi8570
@michaeltuingilegewaubaridi8570 8 жыл бұрын
raid amsameh tu
@hamzaadrin8304
@hamzaadrin8304 8 жыл бұрын
Sasa Si Bora Ya Huyu Kuliko Yule Aliyesema Sanamu Libomolewe
@aminawangu
@aminawangu 8 жыл бұрын
+Hamza Adrin yaani
@hamzaadrin8304
@hamzaadrin8304 8 жыл бұрын
Hii haina ubishi Yule Aliyesema Eti bora sanamu la mashujaa libomolewe Awekwe Diamond Alinishangaza sana AMINA AHMED​
@hamzaadrin8304
@hamzaadrin8304 8 жыл бұрын
Kweli kabisa Scarlet Pimpernel​ sasa na yule cijajuwa Ana ngoja nini bungeni wakimchunguza watakuta na yeye alilewa
@mahafudhmaulid7481
@mahafudhmaulid7481 8 жыл бұрын
hakuna jambo la ubora kwenye mambo kma haya
@slyboy1990
@slyboy1990 8 жыл бұрын
mzee wa mchupa
@graciousjerry1322
@graciousjerry1322 8 жыл бұрын
+Scarlet haswaaaa
Cheka kidogo na huyu Mbunge anayejiita 'Bwege' na hivi vituko vyake
10:27
Vituko vingine vya Mbunge BWEGE bungeni leo, “tutaandamana”
13:54
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 86 МЛН
Un coup venu de l’espace 😂😂😂
00:19
Nicocapone
Рет қаралды 11 МЛН
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39
“Mimi sielewi mkisema nchi hii ina amani”-Mbunge BWEGE
8:55
Millard Ayo
Рет қаралды 118 М.
Cheka na vituko vingine vya Mbunge 'Bwege' Bungeni
16:06
Millard Ayo
Рет қаралды 189 М.
ZITTO KABWE Alivyowasha MOTO Bungeni, SAKATA la KOROSHO
17:08
Global TV Online
Рет қаралды 556 М.
Mpina aja kivingine akidai Katiba mpya
10:14
Mwananchi Digital
Рет қаралды 28 М.
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 86 МЛН