SHARIFF FIRDAUS AMPIGIA SALUTE MCH. NDACHA, AWAPONGEZA MA-USTADHI SHAFII, KINYOGORI, BAKOZI

  Рет қаралды 11,662

SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)

SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)

Күн бұрын

Пікірлер: 166
@Mejaclub
@Mejaclub 4 ай бұрын
Ndacha ndiye tunafutwa sasa ki imani na yy ndiye atarudisha waislamu wote wamurudie Mungu
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 4 ай бұрын
Kabisaaaaa ahsante mwalimu wangu Ndacha 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@sultansallah8772
@sultansallah8772 4 ай бұрын
MUNGU YUPI
@gibsonmomanyi2692
@gibsonmomanyi2692 4 ай бұрын
Asante kaka, wewe kweli uko na elimu ya uadhiri
@mussafaki5865
@mussafaki5865 Ай бұрын
Huyu kijana hajitambui Wala hatambui analoliongea nn .
@edwardntamaboko3414
@edwardntamaboko3414 Ай бұрын
We unaakili yako na yeye anaakili yake,mimi mwenyewe nakuona wewe ndiye hujitambui
@SimonwaonajeHussein
@SimonwaonajeHussein 3 ай бұрын
Mungu akubariki sana pasta Ndasha❤❤❤❤❤❤ may God bless you really
@mosesmutharimi5837
@mosesmutharimi5837 4 ай бұрын
Ndacha ni kinara wa wakristo,mungu amupee ufunuo mwingi
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 4 ай бұрын
Unamjua bishop ngonyani wewe fundi WA maandiko uliza swali lolote kuhusu biblia , kama unataka kuamini ingia KZbin tafuta kipindi kinaitwa , izrael Katika unabii wapo TV, ngonyani tv
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 4 ай бұрын
​@@francisjoseph1074 Kila mtu ana Mwalimu wake lakini Kwa sasa Ndacha nikiboko yao
@michaelthobias9967
@michaelthobias9967 4 ай бұрын
​@@francisjoseph1074ndacha anatisha Mimi nakwambia wakristo asipo kuwepo ndacha nipigo sana Leo waislm wakikutana na ndacha bila ushirikiano kazi wanayo ndacha anaweza simama peke yake
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 4 ай бұрын
@@michaelthobias9967 Amini nakwambia bishop ngonyani ni MTU creative Sana na Anajua Biblia kuliko unavyofikili na hakuna mwinjiristi anaweza kumfikia Hapa Africa mpaka nchi za nje , Kwanza sizani hata kuna Muislam anaweza kujenga nae hoja , ndacha mwenyewe aliitwa katetee sabato Hakwenda , kama unabisha ingia KZbin tafuta kipindi kinaitwa izrael Katika unabii, wapo TV, na usikilize context zake
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 4 ай бұрын
@@michaelthobias9967 Amini nakwambia bishop ngonyani ni MTU creative Sana na Anajua Biblia kuliko unavyofikili na hakuna mwinjiristi anaweza kumfikia Hapa Africa mpaka nchi za nje , Kwanza sizani hata kuna Muislam anaweza kujenga nae hoja , ndacha mwenyewe aliitwa katetee sabato Hakwenda , kama unabisha ingia KZbin tafuta kipindi kinaitwa izrael Katika unabii, wapo TV, na usikilize context zake
@FunnyHermitCrab-gh4sw
@FunnyHermitCrab-gh4sw 4 ай бұрын
Ndacha mwalimu
@NzyimanaAloys
@NzyimanaAloys 4 ай бұрын
nndaca kweli Mungu akubaliki. lakini Bado hapa Rwanda , tunakuomba upange mudahalo warwanda. masheih wanawapoza watu hapa
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 4 ай бұрын
Aje kuwapoteza
@samuelnditu339
@samuelnditu339 4 ай бұрын
may good God protect you mr dacha
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 4 ай бұрын
Ndacha ni mbishi sana
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 4 ай бұрын
Ndacha ni kiboko yao mukubali 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@MarthaMasha
@MarthaMasha 4 ай бұрын
Ndacha abadan haezi silimu sharrif
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 4 ай бұрын
ana moyo wa upotevu anapotosha maandiko kwa makusudi ili awafurahishe nyie hamjasikia aya alizokua akizikata ?
@MarthaMasha
@MarthaMasha 4 ай бұрын
@@MohamedMohamed-u3t1n Hata mimi siwezi silimu kama ndacha. Siwezi kumwacha Yesu ambaye atarudi kunichukuwa ili mahali alipo nami niwepo (yohana 14: 1_3) nimfuate mohammed ambaye hata hajui nitachemshwa ama nitakarangwa, abadan siwezi
@OmanOma-xi3hm
@OmanOma-xi3hm 4 ай бұрын
Kabs ​@@MohamedMohamed-u3t1n
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 4 ай бұрын
Wameshindwa hoja alafu mbu atasilimu 😂😂😂 Ndacha anajijua kidini asha toka Kwa uisilamu sasa ni mukristo na hata akitoka Mimi na yesu mambo bado
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 4 ай бұрын
​@@MohamedMohamed-u3t1nleta andiko moja tu hapa sasa hivi
@MatubaSon
@MatubaSon 4 ай бұрын
Nawapa pole sana waislamu, mnamfuata Mohamad na ni maiti hadi leo, ngojeeni yesu kristo arudi hapo ndio mtamkumbuka ndacha, hakika mi nawaambia.
@samxx411
@samxx411 4 ай бұрын
Hata akirudi yesu hakuwa mkristo, hakuna andiko linasema yesu alikuwa mkristo au ukristo ni dini...ikisha kama humfati Muhammad ni maiti basi ukifa mfate yesu usizikwe na ujanja huo huna
@abubakarsalanga2497
@abubakarsalanga2497 4 ай бұрын
Sas wew unamfat yesu na umeowa yesu aliowa aya ibrahim si baba wa imani amekufa lkn ni baba wa iman njoo kwa muhammad upate muongoz wa maisha.. yesu ndgu yake ni muhammad.ndoman kil siku mnadanganyw makanisan humo
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 4 ай бұрын
​@@samxx411 Si yeye ndio Christo mwenyewe ona huyu 😂😂😂 stop confusing us here how can Jesus Christ himself be a Christian 😂😂😂😂 leta hoja achana na ufindi wa maneno
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 4 ай бұрын
​@@abubakarsalanga2497wewe pia yesu ndio uzima sasa Muhammad ana uzima 😂😂😂 leta andiko tuone ⁉️⁉️⁉️⁉️
@samxx411
@samxx411 4 ай бұрын
@@mjombawallace4966 basi ukristo ni jina sio dini...kwa sababu kristo ni neno la kigiriki maana yake mtiwa mafuta, nabii, mfalme kwa kiyunani ndio kristo ...Sasa nakushangaa wewe..hebu muulize yesu dini yake...anajibu " jitieni nira yangu mjifunze kwangu kwa kuwa Mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo" ..neno unyenyekevu kwa kiarabu ni "Islam" kujisalimisha/ kunyenyekea.
@chiringakandoro4391
@chiringakandoro4391 4 ай бұрын
MWATAKA NDACHA AJE OFISINI MUMUONGE HELA, NDIO ASIONGEE UKWELI
@PaulRuben-eu5nh
@PaulRuben-eu5nh 4 ай бұрын
Watakubali tu kwa jina la yesu
@HemedSerious
@HemedSerious 4 ай бұрын
Umwehu wko
@KhalfaniFarisy-c3w
@KhalfaniFarisy-c3w 4 ай бұрын
Matayo 7:22,23)
@Juniorjacob-le1rr
@Juniorjacob-le1rr 4 ай бұрын
@@PaulRuben-eu5nh Amen
@mobutu3884
@mobutu3884 4 ай бұрын
Mwislamu wa kwanza kumkubali ndacha na huyu ni moja kati ya wanaomsikiliza ndacha kwa umakini hoja zake ila wengine huwa hawamsikilizi zaidi ya ushabiki wa kidini tu, wanapensa comedy za walimu wao majukwaani na kusihia kucheka na kupiga takbrii basi 😂. Sikilizeni hoja na sio kwenda kuchekeshwa na kusifia ujinga.
@zenahussein2242
@zenahussein2242 4 ай бұрын
@@mobutu3884 wewe hujamuelewa huyo anayemsifia ndacha, anamsifia kwasababu kweli anajua na amefikia Hadi hatua ya kuficha ukweli kwenye maandiko na ili kuepuka mitego ila ukweli anajua huwezi kuwashinda waislamu. Ndacha ni Mtu aliyesoma uislamu na ndio maana ana mengi ya kusema na anajua jinsi ya kuyapotosha. Akisimama na anachokisoma na kukielewa Hawezi Baki kwenye uislamu
@abuuhassani497
@abuuhassani497 4 ай бұрын
Hoja gani za mungu kutokea njia za mkojo
@samxx411
@samxx411 4 ай бұрын
Hatukatai ndacha kama ana elimu...ila qurani au uislamu haijuwi...mara nyingi ndacha huganda na tafsiri bila ya kujuwa asili yake inasemaje...qurani lazima ufundishwe wala Quran haisomwi kama biblia..biblia mnasoma tafsiri ila injili ya yesu haipo ya kiebrania ndio mana mnazongana hata nyie wenyewe..
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 4 ай бұрын
Hao kama wangeacha ushabik wangeokoka bila shaka kabisaaa
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 4 ай бұрын
​@@samxx411alafu Quran inajipinga mbona mkiuliza Ndacha swali ansjibu nyinyi niushanik yu
@JosephChai-u1h
@JosephChai-u1h 2 ай бұрын
Sio ndacha pekee tuko Na wengi wakali Sana Mungu alitupatia ili injili isonge
@trioyoung1389
@trioyoung1389 24 күн бұрын
Mtume wako Mohamed ana liwa nyuma na p Diddy
@harithwhite589
@harithwhite589 4 ай бұрын
Nilimfahamu ndacha miaka kadhaa nyuma,nilimsifia kama alivomsifia huyu bwana hapa,ana uwezo mkubwa wa kutoa aya au maandiko kutoka kichwani mwake humuoni kushika hata kipande cha karatasi,natamani sana asilimu
@BarakaZabron-py2fz
@BarakaZabron-py2fz 4 ай бұрын
Ndacha aslim😢
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 4 ай бұрын
Huyu Ndacha mtu Anaitwa Ndacha Ninamuamini Mimi Kwa hoja I have known who Jesus is kutoka Hebrews 1:3 i didnt know these things
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 Elimu nzuri sana , ipo siku waislam watamwona Yesu akija toka mawinguni. Huyo mtume anayesema sahivi kashakuwa mavumbi, mfuateni Yesu kristo kama huna Yesu ujue umepotea. Biblia ndo ni kitabu cha Mungu .uislam ulianza mwaka 632 na muanzilishi wake ni mtume nyuma ya hapo hakuna mtu yeyote alikuwa muislamu
@davisadawson14
@davisadawson14 4 ай бұрын
Saf kabisa shafii anafikiri atamsilimisha ndacha,kiufupi hawezi maana ndacha alishasema.siwezi kuslinu kwa.mtume Alie kaburini,hata ningekuwa mm mjinga siwezi,,M nakwambia hivi Ujue biblia Iko wazi Mungu ni Roho hata waislamu wanajua hvo Sasa kwetu sisi wakristo tunaamini kabisa hatuna jinsi ya kumfikia Mungu isipokuwa kupitia mwanae (Yesu kristo)Alie katika Hali ya mwili,Sasa mi najiuliza sijui waislamu wanasubir Mungu Ambaye ni Roho Ili aje awachikue.sijui.watamuonaje hyo Roho,lkn sis wakristo hatuna hofu maana atakuja katika na mawingu katika Hali ya mwili na kila jicho litamuona
@saifyassinomar3018
@saifyassinomar3018 4 ай бұрын
Kama ambavyo wayahudi hawatamuona eliya akija mara ya pili vivyo hivyo wakristo mtamsubiri yesu hadi mtachoka hamtamuona akija. Kwa sababu yesu kaja lakini hamjamtambua.
@davisadawson14
@davisadawson14 4 ай бұрын
@@saifyassinomar3018 ::Kaja lini...? Kama unazungumzia kurudi mara ya pili Hapo umefeli Ndg yangu Yesu hajaja bado,,kiufupi wakristo tunasoma ishara na nyakati za kuja kwake angekuwa amekuja kila jicho lingemuona,,so labda hyo ni mwingine....lkn kama unazungumzia kuja ukimmanisha alivokuja duniani kutufia, ukweli ni kwamba tulimtambua,baadh ya wayahudi tu ndo hawakumtambua na ndo maana wapo Hadi Leo wanaamini Yesu hajazaliwa,,so sisi tunafahamu Yesu alikuja akatufia na tunamtambua ndyo maana tunamtafuta na kumtumikia kwa nguvu zetu zote,tukingoja ujio wake wa mara ya pili,
@davidedward6053
@davidedward6053 4 ай бұрын
Hakana Cha mtume hapa,ni mwendo wa Jesus tu hapa,halafu huyu jamaa anatusemea kuwa sisi wakristo tunajua kua uislam ndio dini ya mungu kakuambia Nan,kama kwel tungejua Ivo mngetuona huko kwenye uislamu,ila tupo na kristo tunajua ndo njia ya kweli na uzima easy
@paulmushi2428
@paulmushi2428 4 ай бұрын
Ndacha! Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni😂😂😂😂 ambaki hivyo hivyo kuwa Mkristo aendelee kujua😂😂
@MwasabuniSuleiman
@MwasabuniSuleiman 4 ай бұрын
Kama a mjui kristo ni neno la kigriki ambao awakuongea na mungu hata siku moja
@estonngoya4827
@estonngoya4827 3 ай бұрын
ustadh ongera Kwa kuwa mkweli.......!!
@byamashshaban9246
@byamashshaban9246 4 ай бұрын
Uyu ni mweslam wa Kwanza anasemesha ukweli
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 4 ай бұрын
nikweli ameisema ngoja utaona vijembe watakavyo mtupia wenzake
@samxx411
@samxx411 4 ай бұрын
Waislamu wengi husema ukweli ndio mana wanapendwa sana
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 4 ай бұрын
​@@adoniemanuel908 😂😂😂😂 ndio nakataa uisilamu kabisaaa
@williamjamanda8892
@williamjamanda8892 4 ай бұрын
Uyu jamaa nampenda Hana unafiki anaongea kiutu uzima sana
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 4 ай бұрын
Ameamini Ndacha amewachoma na yesu wake kabisaaa
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 4 ай бұрын
Sijaona utume wote Kwa hio mdaalo kubali Ndacha napia Ukaone
@JaneKyusa-xy9xz
@JaneKyusa-xy9xz 4 ай бұрын
Waisilam mtajuta siku zaja mtalia na kusaga meno
@martinmkoba361
@martinmkoba361 4 ай бұрын
Kwaiyo ndacha asilimu hili aje awe mchawi kama ninyi😂😂😂😂
@samwelingasa1638
@samwelingasa1638 4 ай бұрын
Mume wa wachawi wote umeipata hiyo....... halafu anataka ndacha asilimu
@abuusuhaibmchumi
@abuusuhaibmchumi 4 ай бұрын
Njoo tumbatu
@abuusuhaibmchumi
@abuusuhaibmchumi 4 ай бұрын
Utusaidie
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 4 ай бұрын
Muhammad anasema hata atakacho kifanywa yeye ajui pia anagonja tu 😂😂😂😂 *"Ndacha thank kwa kusimamia mukristo"*
@GeofreyMtensa
@GeofreyMtensa 4 ай бұрын
Kwenye michango apo umeua...
@daudimichael7338
@daudimichael7338 4 ай бұрын
Uislam ni uongo mnapotea
@KhalfaniFarisy-c3w
@KhalfaniFarisy-c3w 4 ай бұрын
Mtoto wa Mungu ni Mungu, hatari.
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 4 ай бұрын
Kabisaaaaaa
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 4 ай бұрын
​@@KhalfaniFarisy-c3w hivyo ndivyo Biblia husema mkatae ama mukubali nihivyo kabisaaa
@DominickDebolah
@DominickDebolah 4 ай бұрын
Awezi kusulimu ata mm tu sitoweza nauyo kajaliwa kweli na MUNGU na tunamwamini San
@saijize
@saijize 4 ай бұрын
Yesu Yu hai anatusikia mtume yupo kabulini hatusikii yesu atakuja Tena mtume usitegemee kuja tena je nani wa kumfuuta hapo
@msemakweli243
@msemakweli243 4 ай бұрын
Kuingia uisilamu ni kujipeleka jehanam huku unajiona ndacha unawalingania nyinyi msiende jehanam
@mkilwaabdul9230
@mkilwaabdul9230 4 ай бұрын
siku utakayokuwa unakata roho unakufa ndio utajua hilo na muda huo utakuwa tayari umeshachelewa mbwa wewe
@Shaha-d1i
@Shaha-d1i 4 ай бұрын
Hilo neno la jehanam limeandikwa kwenye bibilia pia ni lugha gani hiyo?
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 4 ай бұрын
Wewe una roho mtakavitu
@msemakweli243
@msemakweli243 4 ай бұрын
@@Shaha-d1i wewe unanijibu kwa rugha gani mapaka umeelewa (jehanam)
@msemakweli243
@msemakweli243 4 ай бұрын
@@walidmgonja3644 sawa hila sio kutaka uisilamu
@ernestbensonmwamengo1642
@ernestbensonmwamengo1642 4 ай бұрын
Wewe peke yako NDIYE mwislamu mstaarabu....kumsifia ndacha mkristo...HAKIKA NDACHA AMEKUJA KUWABAINISHIA WAISLAMU KUWA YESU AMA ISA NDIYE WA KIFUATWA... WAEBRANIA 4:9-12.
@samxx411
@samxx411 4 ай бұрын
Kama yesu ndie wa kufatwa mbona wewe unampinga?? Mbona wewe huswali kama yesu, mbona mnasoma wkt yeye hajaoa, mbona anamwabudu Mungu wewe unamwabudu yesu, mbona yesu hakuwa nguruwe nyie unakula, yesu hakunywa ulevi nyie mnakunywa ulevi na mengine mengi mnampinga.
@gibsonmomanyi2692
@gibsonmomanyi2692 4 ай бұрын
Fafanua shida ya maandiko yake, mweleze
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 4 ай бұрын
Hawana niushabik tu 😂😂😂
@aooshosho4255
@aooshosho4255 4 ай бұрын
Ndacha Hana ajuao zaidi ya ulagai ya maandiko
@samxx411
@samxx411 4 ай бұрын
Tuseme ukweli ndacha elimu anayo ila amepotea kutokana na wachungaji wao..ila ndacha akisilimu atakuuwa kama akina ustadhi Ramadhan Kuria, ustadhi yussuf, mwaipopo, Salim na wengine na anaweza kuwa Bora kuliko wewe...kumbuka Allah humuongoa amtakae
@myself4128
@myself4128 4 ай бұрын
Mie ni Mkristo ila Sheikh Shariff Nimekuelewa Hekima Yako sio ya Umri wako kabisa upo mbali
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 4 ай бұрын
Hahaha Ndacha ni kiboko wa uislam duniani alinivumbua masikio
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 4 ай бұрын
Ata Mimi kama mukristo Ndacha kanifanyia Kitu muhima sana 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 4 ай бұрын
Lazima akubali ndacha nimwalimu nahao wamepambana wameweka majini yameshidwa huyo nikobo hamumuwezi
@samxx411
@samxx411 4 ай бұрын
Kama majini mbona kanisani mnatoana majini kila siku.
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 4 ай бұрын
​@@samxx411 si ndio ata muhammad alipasuliwa akatolwa jinni yesu katupa mumlaka kuyatoa.alafu sisi tunatia Nyinyi mnaingiza 😂😂😂
@samxx411
@samxx411 4 ай бұрын
@@mjombawallace4966 soma biblia hata jini likitolewa halitoki ila wanakuja wenziwe tele kama hujui sema tukufundishe...ikisha Muhammad hajapasuliwa kutolewa jini hayo ni maneno ya ndacha na Hilo ndio tatizo lenu wakristo wakilishwa mnakula bila ya kuangalia, hebu jifikirieni kwanza.
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 4 ай бұрын
Uislamu ni ukafiri ni dini ya shetwani
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 4 ай бұрын
Mathayo 4.5 huyo ndio swahiba wa shetani
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 4 ай бұрын
Mathayo 4:5 hapo shetani na swahiba wake wanafanya tour
@prochesernest5439
@prochesernest5439 4 ай бұрын
​@@MohamedMohamed-u3t1n allah ni shetani 100% ndiomaana hakuna mahali anaupendo quruan nzima mungu wenu ni gaidi quruan 9:29 huyo ni adui wetu na majini mapepo wachafu mashetani na nyie
@JRN2612
@JRN2612 4 ай бұрын
Asa vipi dini ya kishetani na wakati Qur-an yenyewe inamlaani shetani😅😅😅
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 4 ай бұрын
@@JRN2612 Quran inamlaani Shetwan wakati huo huo mhammad anasilimisha shetwan na majin
@salimramadhani5237
@salimramadhani5237 4 ай бұрын
ndacha Anajua njoo uislimu,sasa umemsifia anajua alaf asilimu unajiskia?
@nassorsharifu9837
@nassorsharifu9837 4 ай бұрын
Ndacha anajuwa ila anawapoteza wenziwe
@thekingdragon8358
@thekingdragon8358 4 ай бұрын
MI NAJUA NDACHA ANAJUA KUKATA MAANDIKO HAKUINA KITU ANAJUA HUYO JAMAA KAMA ANAMKUBALI AKUWE MKIRSTO
@amisimayani2645
@amisimayani2645 4 ай бұрын
Wa islam wameshindwa kumshinda Mchungaji Ndacha kwa hoja sasa wana muomba ahende ofisini sasa Mpango wa kumwingiza kwenye rushwa ili asilimu
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 4 ай бұрын
wamepanganga mpaka majini wameshindwa hao wanaruhusiwa kutumia mpaka majini kutetea dini lakini imwshindikana amekiri ndacha mwamba
@KhalfaniFarisy-c3w
@KhalfaniFarisy-c3w 4 ай бұрын
Makafiri hamna akiri.
@MarthaMasha
@MarthaMasha 4 ай бұрын
@@adoniemanuel908 Ndacha hawezi silimu hata kwa uchawi. Huyu ni mkiristo wa kweli
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
​@@MarthaMashakabisaaa
@Kusag-i9z
@Kusag-i9z 4 ай бұрын
We bong lala ndacha mtupu kama wwe
@mkilwaabdul9230
@mkilwaabdul9230 4 ай бұрын
hy nae ni walewale ni wanafiki
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 4 ай бұрын
Kivipi toa andiko moja walikosea mtu wangu
@jjtm164
@jjtm164 4 ай бұрын
Waislamu wanatafuta sifa tu.. wewe ulimuuliza shafi kuhusu andiko Mohamed anaposema hajui vile atakavyo fanywa kwa sababu anafuata tu yalioandikwa. Kisha shafi anasema eti Mohamed kasema waislamu wote binguni. 1.Swali kwani wewe unaweza fuata njia yenye haina matumaini? 2.mohamad anajuaje waislamu wote wataenda mbinguni na hapo mwanzo amesema hajui atakalofanywa? 3. Comment za shafi zinagongana, mtu asiye jua atakavyofanywa hana matumaini, hawezi kupeana mwelekeo. Uislamu hauna mwelekeo hata kidogo.
@jjtm164
@jjtm164 4 ай бұрын
Yesu katika maandiko mengi anasema atawapa uzima wa milele je Mohamed anapeana nini?
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 4 ай бұрын
Anasema hata atakacho kifanywa yeye ajui pia anagonja tu 😂😂😂😂
@katerelomkuyati6764
@katerelomkuyati6764 4 ай бұрын
{ يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ ٱسۡتَجِيبُواْ لِلَّهِ وَلِلرَّسُولِ إِذَا دَعَاكُمۡ لِمَا يُحۡيِيكُمۡۖ وَٱعۡلَمُوٓاْ أَنَّ ٱللَّهَ يَحُولُ بَيۡنَ ٱلۡمَرۡءِ وَقَلۡبِهِۦ وَأَنَّهُۥٓ إِلَيۡهِ تُحۡشَرُونَ } [Surah Al-Anfāl: 24] Ali Muhsin Al-Barwani: Enyi mlio amini! Muitikieni Mwenyezi Mungu na Mtume anapo kuitieni jambo la kukupeni uzima wa milele. Na jueni kuwa Mwenyezi Mungu huingia kati ya mtu na moyo wake, na kwamba hakika kwake Yeye tu mtakusanywa.
@katerelomkuyati6764
@katerelomkuyati6764 4 ай бұрын
Msiwe mnakurupuka
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
Kweni Muhammad ni Mungu,?
@charokazungu1655
@charokazungu1655 4 ай бұрын
Aje kwa wachawi ww mwenyewe mchewe
@gibsonmomanyi2692
@gibsonmomanyi2692 4 ай бұрын
Vitabu vyote vitumike vile vinaruhusiwa kwa dini zote
@geofreymulei5695
@geofreymulei5695 4 ай бұрын
Sasa huyu abubakir ni mgani amah ni Yule Ndacha aliimwiita Baba wa mapaka???
@dvjkelly8449
@dvjkelly8449 4 ай бұрын
Hata nyie mnajua kuwa yesu ndiye njia kweli na uzima
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
Ila yesu si mungu
@KAIPAAA3211
@KAIPAAA3211 4 ай бұрын
Hawa ni mapatel wahuni Uislam orgnal hakuna kutukaniazanabkwenye iman hakuna mtume aliefanya upumbavu kama huu
@abuuahmad3238
@abuuahmad3238 4 ай бұрын
Ndacha Hana kitu...hoja zake hazina akili...anafanya uharibu wa maandiko kwa kukashifu na kupoteza watu kwa makusudi Allah ampe hidaya asilimu
@moshantoj
@moshantoj 4 ай бұрын
Unamaanisha hana akili kama mtume wako 😂😂😂😂?
@mobutu3884
@mobutu3884 4 ай бұрын
Sema wewe huwa husikilizi hoja zake kwa sababu una chuki nae na ndicho anachosema huyo mwamba hapo, yeye kamskiliza kwa umakini hoja zake na kumuelewa ila nyie wazee wa kuskip hamtamuelewa sababu ni mashabiki wa dini.
@EnockRubeto
@EnockRubeto 4 ай бұрын
Wewe hujui midahalo unayemponda shalifu Hana udini Kama wako wewe arkaida😅
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 4 ай бұрын
​@@mobutu3884sasa kama kamuelewewa si angeikia ukirsto sio kama ndacha hajui maandiko ila anapotosha hasomi maandiko kama yalivyo anaweka maneno yake sasa nyie mnajua kama anajua kwa sababu anapotosha
@trioyoung1389
@trioyoung1389 24 күн бұрын
Mtume wako Mohamed ana liwa nyuma na p Diddy
@abuuhassani497
@abuuhassani497 4 ай бұрын
Ndacha Elimu yake ni Viraka
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 4 ай бұрын
Tuonyeshe moja ama huwe musharbik tu 😂😂😂
@MuslimYouthman
@MuslimYouthman 4 ай бұрын
Ndacha hajui kitu acha kupepelea shirk eti shekh ww duh
@paulmushi2428
@paulmushi2428 4 ай бұрын
Acha wivu Ndacha anajua😂😂😂
@axmedcumar6196
@axmedcumar6196 4 ай бұрын
Oyaaa Ndacha Amesoma na Anajua hakurupukiii
@newforcejv9721
@newforcejv9721 4 ай бұрын
Haya ww unayejua maandiko niwekee andko. Moja linaloelezea mwanaume kutahiriwa ktk qurani
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 4 ай бұрын
Ndacha ni kiboko ya waislamu
@abuuhassani497
@abuuhassani497 4 ай бұрын
​@@newforcejv9721QUR'AN sio maneno ya watu
@JaneKyusa-xy9xz
@JaneKyusa-xy9xz 4 ай бұрын
Waisilam mtajuta siku zaja mtalia na kusaga meno
@samxx411
@samxx411 4 ай бұрын
Pole sana kwa sababu ya andiko Moja lishajieleza...na hao waliolala katika kristo wamepotea"..Sasa biblia hiyo iweje tusage meno wkt wewe utasagika wote
@JaneKyusa-xy9xz
@JaneKyusa-xy9xz 4 ай бұрын
Pole kwa kutoelewa maandiko
@samxx411
@samxx411 4 ай бұрын
@@JaneKyusa-xy9xz pole wewe kwa kutojuwa maandiko..mie najua maandiko na nasoma maandiko ila hakuna andiko ukristo ni dini au yesu alikuwa mkristo
@JaneKyusa-xy9xz
@JaneKyusa-xy9xz 4 ай бұрын
@@samxx411 ashupazae shingo yake itavunjika
@mjombawallace4966
@mjombawallace4966 4 ай бұрын
​@@samxx411 zidi na Hilo andiko mpaka chini tuone 😂😂😂 mnakatakata maandiko Kwa msikiti ndio mushinde mdaalo lakini hoja hamuezi Nyinyie.😊
Sigma girl VS Sigma Error girl 2  #shorts #sigma
0:27
Jin and Hattie
Рет қаралды 124 МЛН
The Lost World: Living Room Edition
0:46
Daniel LaBelle
Рет қаралды 27 МЛН
MCH; NDACHA UTACHEKA SHERIA ZA MTUME. MDAHALO WA KIELIMU
14:31
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 12 М.
"MUNGU HANA MKE." PASTOR NDACHA AKIELEZEA YESU NI NANI.
1:25:25
Straight Path Dawah
Рет қаралды 71 М.
# LIVE: MWL DANIEL VS MWL NDACHA: JE WAKRISTO WANATAKIWA KUITUNZA SABATO?
3:22:51
Sigma girl VS Sigma Error girl 2  #shorts #sigma
0:27
Jin and Hattie
Рет қаралды 124 МЛН