JAZZAKALLAH KHERI HISTORIA INAONYESHA WAISLAMU WALIKUWA MSTARI WA MBELE KUDAI UHURU LAKINI SASA HATA HUO MSTARI WA NYUMA HATUPO , TUMETUPWA BAHARI YA HINDI YAARAB TUPE NGUVU WAISLAM WENYE IMAN TANZANIA MAANA WAISLAM WENGINE NDIO HAO WANATUMIWA KUUWA NDUGU ZETU ZANZIBAR
@BigZhumbe3 ай бұрын
Ujinga mwingi, mmetupwaje wakati raisi ni Muislamu au mnataka Tanzania kila mtu awe Muislamu?
@guledomary28124 жыл бұрын
Ma Sha Allah sheikh Mohamed Said na Mohamed al Ghassan hakika hii n juhudi kubwa na fikra adhimu kabisa ya kuwaenzi mashujaa ambao hawatajwi..hakika hii ni faraja kubwa kusikiliza habari zao na kutambua mchango wao.. Barakallahu feekum..
@abdisalamjamal53754 жыл бұрын
I am currently living in London na ninafuatilia kwa karibu.
@111dudi4 жыл бұрын
Nafatilia vipindi hivi, na nawapongeza masomo wawili hawa na nategemea elimu itawafikia watanzania wote
@jumanesaidi76353 жыл бұрын
Huyu mzee, ni kichwa! MUNGU AWE NAYE.
@MrBeerlahairoi4 жыл бұрын
Kazi nzuri sana naendelea kufuatilia..
@AisajumaKikwajuniКүн бұрын
Nataka kujuwa pfißi yako iko wapi
@jeanmubemba12044 жыл бұрын
Dr uko deep sna,safi sana Mungu amekupa kipaji wote na Dr Ghassan,keep on educating us.
@bahariahd62994 жыл бұрын
Pamoja
@AisajumaKikwajuniКүн бұрын
Kipindi chenu ni kizuri. Waislam tunatenda mazuri. Kwa nchi lakini tunawekwa nyuma hata kuuliwa mwisho siku hata kama Yuko hai hatuonekani juhidi zetu
@kabhikachambala33923 жыл бұрын
Kwa nini trila ya video ni computer programming
@tariqbathawab11473 жыл бұрын
TENDA WAJIB WAKO UENDE ZAKO .HATUNA UTAMADUNI WA KUWEKA KUMBU KUMBU .ILAA IWE DARASA MAALUM KUWAFUNZA WATANZANIA KUWEKA HISTORIA IWE TUANZE NA LUGHAH AU LUGA ..MWELEKEO KISWAHILI INAONEKANA KUPOTOSHWA NA PIA TAREHE YA AFRIKA NA CHANZO NA WALIOKWEPO KABLA WENYE UZALENDO
@gabrielmkinga1903Ай бұрын
Kwann wote wasiotajwaa ni waislam?? Mbona kina kawawa na wengine wametajwa ...huenda kuna makandokando walikuwa nayo