SHEIKH: KESEDE( MAZINGE WA KONGO); AWALIZA WAUMINI KWA KISA HIKI....

  Рет қаралды 54,708

Masjid Songea TV

Masjid Songea TV

Күн бұрын

MASO TV: ELIMU KIGANJANI PAKO.

Пікірлер: 52
@babuuabdalla4117
@babuuabdalla4117 Жыл бұрын
Shukran Ustadh Kesedee ALLAH SWT AKULIPE KILA LA KHERI KATIKA DINI NA DUNIANI NA KESHO AKHERA AMIN 🤲
@eshasalim5496
@eshasalim5496 Жыл бұрын
Allahumma Amiin
@anwarsalim6196
@anwarsalim6196 4 күн бұрын
Maashallah.chozi pia lanitoka.sheikh umenigusa
@abdularuffin9308
@abdularuffin9308 Жыл бұрын
Subhannallah laila ihailalah Alahu akbar
@allykhaji-us7uu
@allykhaji-us7uu Жыл бұрын
Mungu.akuweke
@abdallaharuna7874
@abdallaharuna7874 Жыл бұрын
MashaAllah
@princematumbo
@princematumbo Жыл бұрын
Mnaopinga hiki kisa na kusema Mungu Atakuwa kasema uongo hamna elim, washenzi nyinyi. Katika uislamu tunafunzwa kwamba "dua huondoa kadari" Kipi kigeni hapo?!
@masjidsongeatv
@masjidsongeatv Жыл бұрын
punguza munkali...waelimishe ya kuwa Quraan .ni kitabu cha kweli...ndani yake kuna Zaburi ya Nabii Daudi,Taurat ya Nabii Mussa,Injili ya Nabii Issa(Yesu) ,Sisi tutawafasilia kila Sura za kuraan ambazo zimesheheni Visa vya Manabii waliopewa vitabu na wasiopewa .(Ndio walimu wetu.).
@husseinmongolare3417
@husseinmongolare3417 Жыл бұрын
Shukran ❤
@abeidkhamis6130
@abeidkhamis6130 Жыл бұрын
Masha'Allah Kila la kheri
@wemajuma5037
@wemajuma5037 Жыл бұрын
Ya Allah tupe roho ZA Imani kamili za kupendana
@shabanichaye8255
@shabanichaye8255 10 ай бұрын
ALLAH AKIBAR😢😢😢😢😢
@katore1982
@katore1982 Жыл бұрын
SubhanaAllah
@ZainabuMwambashi
@ZainabuMwambashi 10 ай бұрын
Allhahu akbaru
@kashindijeanmarie6207
@kashindijeanmarie6207 Жыл бұрын
Takbir.......
@eshasalim5496
@eshasalim5496 Жыл бұрын
ALLAHU AKBAR
@Nur-al-islamchannel
@Nur-al-islamchannel Жыл бұрын
ALLAHU AKBAR
@jamuhurialiwazir4685
@jamuhurialiwazir4685 Жыл бұрын
Alhau akibarru
@amamiss22
@amamiss22 Жыл бұрын
Allah Akbar 😢
@زيتون-ض9خ
@زيتون-ض9خ Жыл бұрын
Allah akujazie ktk minzani alhamdulillah
@eshasalim5496
@eshasalim5496 Жыл бұрын
SUBHANA ALLAH, WA ALHAMDULILLAH, WA LA ILLAHA ILLA ALLAH WA ALLAHU AKBAR WA LA HAULA WALA KUWWATA ILA BILLAHI AL ALIYYU AL ADHEEM
@masoudmasoud8138
@masoudmasoud8138 10 ай бұрын
😊 si.masijd ni.masjid
@malengajuma2694
@malengajuma2694 Жыл бұрын
SUBHAANALLAH , kinachoshangaza kwa baadhi ya sisi waislamu ni kutokuwa na hekima na kuwaona wengine Ni waislam nusu, unapotsmka kuwa Hawa MASUUFI je Hawa ni kina Nani? Na je unaposema ni muongo je ni muongo kweli? Huwenda ikawa kissa fln hakijui lkn hajakusudia uongo, na km kisa hakijui je hii ndio hekima tuliyofunzwa ktk kulingania ww na mm? ,Lkn sitetei lkn pia tunapaswa kuangalia makusudio pia ya msemaji,mwisho kbs UISLAM unatufunza KUFUNZA si kukosoa tumtafute nje ya uwanja huu tumuweke sana alipokosea
@LabiloWabikongo
@LabiloWabikongo Жыл бұрын
allahu akbar sub'hanallah
@cabylake2320
@cabylake2320 Жыл бұрын
Allah akbar Allah akbar
@abdullahimohamudosman3695
@abdullahimohamudosman3695 Жыл бұрын
Maa shaa Allah
@jaydjuma8255
@jaydjuma8255 Жыл бұрын
Mansha Allah
@JRN2612
@JRN2612 Жыл бұрын
Hichi kisa nilishawahi kukiskia miaka kama 20 iliyopita, lakini Sheikh Kesedee naona kama amekitia chumvi sana hivi😅😅
@cabylake2320
@cabylake2320 Жыл бұрын
Hahaha 😅😅😅😅😅
@Nur-al-islamchannel
@Nur-al-islamchannel Жыл бұрын
Labda we ni mkristo ndo utumie hiyo njia ya kukashifu uislamu...huwezi
@mwambamkombozi4672
@mwambamkombozi4672 Жыл бұрын
Hii hospitali ilikuepo wakati huo?
@AliKhatib-vy1oj
@AliKhatib-vy1oj Жыл бұрын
Nyinyi masufu muna visa vyaajabu na kisa 1 kila asimamae aeleza vyake kwenye kisa hijohijo muongopeni Alla nyinyi masufu duuu
@sharifumkambala5655
@sharifumkambala5655 Жыл бұрын
Duuh kwa iyo na kipimo kikaonyesha ni miezi kabsa?
@masjidsongeatv
@masjidsongeatv Жыл бұрын
Enzi na Enzi,kulikuwa na matibabu, ...kuna usafiri,kuna ujenzi wa majengo tena ni kwa ubora wa hali yajuu mifano ipo km majengo ya kifalme mpaka leo yapo maeneo mbalimbali Duniani, km vile Misri,uturuki,Jerusalem nk....Hii yote ni Ishara Mungu alitoa ujuzi kulingana na zama..hata hapa Tz ,matibabu ya kuunga mifupa kwa njia isio ya kihospital,Tohara au jando kabla ya Hospital, pia wakunga wa Jadi walizalisha majumbani tu.hizi ni baazi ya mifano hai... .Usidanganyike na hizi tekenelojia zimekuja juzi na kukuta Mababu zetu wakitibiana tena bila kuwa na vifo....Inasemekana miaka hiyo mpk ya 1980 ukisikia kifo ilikuwa wilaya nzima inajua .leo hii pamoja na hizo tekenelojia vifo ni jambo la kawaida....... Pia kumbuka hata nyakati za ibada zilipimwa kwa kuangalia Jua na vivuli awakukosea muda wa ibada...hizi saa zimekuja wakati wazee wetu wanajua kipimo cha nyakati na awakukosea hata kidogo...Pia hata nyakati za kusafiri baharini walipima pepo na kuzipa majina Kusi na Kasi(Unajimu)..Bado katika kilimo pia awakukosea nyakati za kuandaa mashamba na nyakati za kupanda....nazani hapa nimekujibu kutokaana na uelewa wangu mdogo....ila Quraan ina kila kitu.haikuacha kitu. Masheikh wapo watakuelimisha zaidi omba uelimishwe kwa mujibu wa vitabu vya Mungu,.
@hassanussein1817
@hassanussein1817 Жыл бұрын
Operations ili aanzia kul
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 Жыл бұрын
Sheikh kidgo ulikosea hakukuwa na kipimo
@masjidsongeatv
@masjidsongeatv Жыл бұрын
Nini maana ya vipimo? je ni lazima kiwe hivi vya kisasa? basi nakutoa wasiwasi vipimo vipo toka enzi na enzi...ila tofauti ni hii ya kisasa au vya asili....mfano km unajimu ulipimwa kwa kuangalia pepo,(kipimo),Nyakati za swala zilipimwa kwa kuangalia jua na kivuli(kipimo)hakukuwa na saa..
@bojomohamed9999
@bojomohamed9999 11 ай бұрын
Wacha kuwa na Imani butu sikiliza ustadhi anacho kufunza mbele ya mwenyezi MUNGU hakuna kinacho shindikana
@AliKhatib-vy1oj
@AliKhatib-vy1oj Жыл бұрын
Kisha kulikia na osipital wp na vipimo mumekusanya watoto mwawadanganya tuuu aaaa yahadikumu lla
@masjidsongeatv
@masjidsongeatv Жыл бұрын
Pia kumbuka hata nyakati za ibada zilipimwa kwa kuangalia Jua na vivuli awakukosea muda wa ibada...hizi saa zimekuja wakati wazee wetu wanajua kipimo cha nyakati na awakukosea hata kidogo...Pia hata nyakati za kusafiri baharini walipima pepo na kuzipa majina Kusi na Kasi(Unajimu)..Bado katika kilimo pia awakukosea nyakati za kuandaa mashamba na nyakati za kupanda....nazani hapa nimekujibu kutokaana na uelewa wangu mdogo....ila Quraan ina kila kitu.haikuacha kitu. Ila kwa kukosa kusoma vitabu vya Mungu ,Utabisha kila kitu....nakushahuli Tafuta Muda Ingia humu Maso tv Kuna darasa linaendelea Masjid Songea kila jm4 na jm5...pia jm2 na jm3 masjid Taqwa utapata elimu na kujua Mungu alitoe kila kitu kwa kila zama...km unavyoona wewe leo ndivyo enzi ya Nabii Daudi,Nabii Seleman,Nabii Mussa ,Nabii Issa ,Nabii Muhmad na wengine ,Vilikuwepo ila kwa namna nyingine tena yawezekana vilikuwa bora kuliko hivi vyetu....kwa mfano...mapilamid mpk hii leo yapo.je hizi nyumba zetu zitadumu km mahekaru ya enzi ya Yesu kule jerusalem au Mussa na Filauni kule misri?
@bellasi349
@bellasi349 Жыл бұрын
Acha uongo wako na vissa vyenu vya kijinga kipindi cha nabii Mussa hata baba yake muhamadi alikuwa hajazaliwa wala uislamu haukuwepo sasa izo habari mulizitoa wapi uongo mtupu
@saynabmohammed6263
@saynabmohammed6263 Жыл бұрын
Uislam ulikuwepo kabla. Nabii Muhammad ulikuwa tanga nabii Adam
@idiluza3937
@idiluza3937 Жыл бұрын
Uislamu ulianza kabla Muhammad soma ndugu yangu
@jamilaothman4119
@jamilaothman4119 Жыл бұрын
Ww ndo muongo maana hujasoma lakini bado unadanganya, Soma kwanza ufaham ndugu
@lookmanlookman6297
@lookmanlookman6297 Жыл бұрын
fundisha wwe unachokukijua kila mnapinga tu
@robertmwangiotieno6183
@robertmwangiotieno6183 3 ай бұрын
Ivi divyo munauana kw Jina la Allah ,Njohonio kwn Christo
@allythabiti8150
@allythabiti8150 11 ай бұрын
Mashaallah
@AliKhatib-vy1oj
@AliKhatib-vy1oj Жыл бұрын
Nyinyi masufu muna visa vyaajabu na kisa 1 kila asimamae aeleza vyake kwenye kisa hijohijo muongopeni Alla nyinyi masufu duuu
@malengajuma2694
@malengajuma2694 Жыл бұрын
INNAALILLAAHI, naomba nitulize Hawa MASUUFI ni WAKRISTO wa wapi?
@noelnoel4916
@noelnoel4916 Жыл бұрын
MashaAllah
Шок. Никокадо Авокадо похудел на 110 кг
00:44
POV: Your kids ask to play the claw machine
00:20
Hungry FAM
Рет қаралды 13 МЛН
English or Spanish 🤣
00:16
GL Show
Рет қаралды 19 МЛН
MAZINGE AMLIPUA MCHUNGJI _  NIWAPI YESU KAMRUDISHA PUNDA?
6:38
JUMA KIBWANA
Рет қаралды 7 М.
MAZINGE NA MCHUNGAJI
18:15
Madrasatulfurqani Tv
Рет қаралды 84 М.
KISA CHA KUHUDHUNISHA CANADA//SHEIKH OTHMAN MAALIM
24:07
arkas online tv
Рет қаралды 112 М.
KISA CHA MAYATIMA WAWILI SHEIKH OTHMAN MAALIM
26:14
arkas online tv
Рет қаралды 60 М.
Шок. Никокадо Авокадо похудел на 110 кг
00:44