Mashaallah shukrani jazirha Huyu mtoto ni mkubwa kuliko umri wake
@SaumuShabani-v6fАй бұрын
Mashallah allah akubariki
@ZulekhaSaburi-t6i2 ай бұрын
MashaAllah yuaongea na confidence 😂😂shukran jazakaAllahu khairan
@Sofi99-u6o2 ай бұрын
MASHA ALLAH❤❤ MOLA WETU MREZI ATUONGOZE WOTEE
@SalehMussa-w4wАй бұрын
A.aleykum jamani huyu mtoto muacheni afanye kazi yake aliotumwa na Allah kwani .M.mungu humpa elimu yake kwa mja wake amtakae endelea kutupa dawa usiyasikilize ya walimwengu. Jazaka Allah kheri mtoto mwema maasha Allah,Allah akuwepushe na husda za watu Ameen❤
@MochammdHadija-pn7nn2 ай бұрын
Mashaallah tabarak Allah Allah akuhifadhi ❤
@abubakarially059Ай бұрын
Mashaallah ❤️ ALLAH AKULINDE NA HUSDA🙌🙏
@MamahetuChikuti-mp5ljАй бұрын
Mashallah tabarakallah,mtoto ana fahamu nzuri muacheni asome hoa ndo mashekhe wa kesho mungu amuongoze sio kumueka Kwa mitandao bd hajakuwa tayari kufikisha ujumbe wa Allah Kwa ufasaha yuwaetaji Elmu azidi kufunguka akili yake ❤❤❤ mwacheni asome plz
@abdalaomari8430Ай бұрын
Lakini ingekuwa watoto wanaochekesha usingesema wamuache,sababu anafikisha mambo ya Allah wamuache yaani huo ni msiba unaoongea
@TeamKRXАй бұрын
Choyo chini tu asome Nini nye hamjui hata surat fat has
@MWASITIMWAJA24 күн бұрын
Acha husda ndugu roho mbaya hiyo
@زمزم-ع1ي2 ай бұрын
Mashaallah sheikh ramadhan Allah akubarik shukran sana
@MwanaidAmri-y6xАй бұрын
Ana rafudh tamu mashallah yan huchok kumsikiliza anaongea anaa point mashallah
@mwajumamkwaya2408Ай бұрын
MashaAllah mtoto kajaliwa❤❤
@NassorAbdallah-w6hАй бұрын
Mashaallah 🙌
@MwanaidAmri-y6xАй бұрын
Mashallah tabarakallah
@Aysheri-b5v2 ай бұрын
Nakupenda kwa ajili ya Allah
@Sofi99-u6o2 ай бұрын
Nakupenda kwa Ajili Ya ALLAH...mwandishi anamsikiriza adi raha maneno matamusanaaa
@LabiloWabikongoАй бұрын
zzakallahu lkhair
@Salsabiil122 ай бұрын
Maashaallaah mwanangu Allah akuhifadhi
@saadaabdallah74732 ай бұрын
Ammyin
@mwanamisi18082 ай бұрын
MaaShaAllah sheikh amezungumza vizuri
@alminzilmohd9662Ай бұрын
KANA UJASIRI HICHI KITOTO. MWAMBIENI ATOE HISTORIA YAKE YA KUSOMA
@HanifaOman-oo4plАй бұрын
Maashaallah❤
@Mariam-ke4og2 ай бұрын
Mashaallah matoto analafidhi ya dini ya kiislam kabisa huyu kweli shekh siyo huyu anaejiita Sharif wakati ni Sharifu Fekiii hata kusoma dini hajui
@mybabyarchive21042 ай бұрын
FIRDAUS ANASTAHILI BAKORA. ACHARAZWE MBOKO HADHARANI. ANALIJUA HILO NDIO MAANA ANALINDWA NA MABAUNSA
@twahirsaid65252 ай бұрын
Masha allah
@AishaLikukaАй бұрын
Nikopamoja na wewe kwa upande wa shirifu ila kwa mwana habari hapana watu hawasemi kwa ubaya wanawapenda. Aliyoyasema mwana habari yooote ni kweli na katika sheikh mtoto ni wewe na sheikh mkubwa na MAZINGE mlikuja chanika kwa chikila 2023 na tiba hizo za ndizi maji mchanga na mengineyo m'badilike kuna kabiri😢
@HusseinMwatende-ws1ntАй бұрын
Nazani AMESIKIA FIRDAUSI UCHAWI HUWEZI KUUWONA UTAUJUWAJE UCHAWI UKO PALE WAKATI NI JAMBO LA SIRI SHENZI MATAPELI MNASHINDWA NI HUYU KIJANA KWELI
@Aminedanisman767992 ай бұрын
MashaAllah
@RaziaYusuf-s9pАй бұрын
Acheni kumtumia mtoto kwenye vita vyenu na sheikh firdaus
@HOUSEOFDREAMS-cm2fkАй бұрын
Tuliza mshono wewe....hakuna vita hapo anafundishwa huyo sharifu wako upuuzi anaofanya ...na uisilam hauna utoto ni elimu tu ...wee umeshindwa fikra na elimu na huyo mtoto ....unaonekana walewale mnaoenda kuchezeshwa taarabu nataka mniroge kwenye makutano ya dua na kuqani inazomwa na taarabu zinapigwa na wanawake mnakata viuno
@AllyhHassani2 ай бұрын
Maashallah
@FathiyaAnwarАй бұрын
Kuanzia kutizama video zake huyu ni mtoto lakini hana Mambo ya kitoto
@daymalhomebae94882 ай бұрын
❤
@murshidyabdallah1356Ай бұрын
wee dogo ukasome achana na mambo yakuanza kuongelea mambo ya kiilm bila ilim bado
@NasraIbrahim-dw1hrАй бұрын
Wee unazungumza nin aache kuzungumza wislaam, huyu mtoto ameagizwa na Allah kama una cha kucoment tulea
@Kalunirashidi2 ай бұрын
Kweli shewagu
@HusseinMwatende-ws1ntАй бұрын
Duh sharifu angekua huyu,SIO YULE MGANGA WA KIENYEJI
@halidimgonza59452 ай бұрын
Shekh Ramadan kishakua MashALLAHu
@jimmyhabarugira42322 ай бұрын
Wewe endeleya kutumiya watu wakazike uchafu wako huyo baada ya siku mbili unakuja na watapeli wenzako eti unatowa uchawi hiyo sehem, muokope Allah tafuta kazi nyingine ya kufanya
@balkissMuhammad-sk1ic2 ай бұрын
Bismillah ❤
@ogdosho932 ай бұрын
Mbona akisalimii shkamoo! 😅😅
@sama-_83682 ай бұрын
Shikamoo maana yake nini😂
@AyoubHajj2 ай бұрын
We jamaa 😅😅😅 Nyamaza tuh Ayaah tukupe ww hiyo shika moo Pokeya sasa
@sharrifidris34222 ай бұрын
Alafu waTz mambo ya kutumia watoto acheni.huyu mtoto aendelee na masomo yake maana hakuna elimu bila kusoma🙏
watu wengine sijui wangaa. Hawapendi mafanikio na vipaji vya watu. Kwani asikitoe alichosoma
@hassanmzandy14212 ай бұрын
Hahaha😂😂 Jamaa kumbe yupo macho..na anajitetea 😢😢
@Mariam-ke4og2 ай бұрын
Weee Firdaus nyamza tuuu huyu mtoto yupo vizuri wala humpati ni msomi huyu kiarabu hadi kizungu wewe unakazi ya kutoa uchawi tuu kuchonganisha watu tu, hata mungu hapendi
@joshuajohn85332 ай бұрын
Imani huja kwa kusikia iwe ya kweli au ya uongo. Yesu Kristo Ni mlango wa mbinguni
@hemedbamja31972 ай бұрын
Nauliza;Yesu ni mlango wa mbinguni, hivyo ni mlango kwenda kwa Mungu au ?
@Haji-yr9db2 ай бұрын
@@hemedbamja3197inabid atueleze ni mlango gan uo
@TheAlman2 ай бұрын
Yesu si mlango kwa watu wote ila ni kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israel
@halidimgonza59452 ай бұрын
ni UKAFIRI unawasumbua
@nikrahayubu-sz3pw2 ай бұрын
Natamn kukutumia voice mtu we 😂😂😂😂 sikia nimwambie ndg yang we apo yesu hatoweza kukusadia hata siku moja kwa sababu we umezaliwa kipind cha Muhammad radhi za ALLAH ziwe juu yake wewe huwez kuwa mfuasi wa yesu we ni mufuas wa Muhammad ( S,A,W) ebu kasome kwanza kitabu kinachoitwa Qur'an ndoo utajua ukweli
@yusuphomary74102 ай бұрын
Acha usimsingizie Nabii ISSA au YESU acha maneno msikilize huyu mtoto anaongea Nini.
@murshidyabdallah1356Ай бұрын
wewe dogo mambo ya kielim uyajui nenda kasoma
@sharifaal-masroori22382 ай бұрын
Wewe mtoto hujitambui , unasema sana , ushaajiona unajuwa kumbe huna lolote , unautaka ushekhe na usharifu wa kutajikana, hebu nenda kasome kwanza Unaonesha vitabu viwili vitatu uonekane msomi , wewe ndio kwanza "Alifu kwa ujiti" hujuwi kitu nenda madrasa
@Hasaniswalehe-x8j2 ай бұрын
Wivutu mtotoyupo Sawa kamawewe umesoma siuwoneshe elimuyako hawezi kupendeza kwakilamtu Ila yupo vizuli namungu amzidishie achawivu wakijinga muombee duwa
@UwimanaAyubu2 ай бұрын
Hata nabie Issa hamkubari kama ni mtume Wa Mungu maneno ya hovyo tu
@HijraSalehАй бұрын
Sasa mkubwa mzima tena unaanza kumtusi mtoto...huyo ni mtoto mashaallah na bado anaendeleza elmu yake
@AbdallahAbdurahman-cj2qpАй бұрын
Uyu mtoto akasome Hana elimu ata kdg ata qur Ani hajui uyu mtoto akisoma anakosea sana hajawa na elimu ya kuongea mitandaoni akasome kwanza apate elimu ndo aje aongeee
@HusnaSalum-p1qАй бұрын
Huyu mtoto bado anasoma siyo ndo kashamaliza acheni chuki zenu Allah akulinde mwanangu na hii mijitu yenye tabia za ajabu