Ukitowa talaka moja au ya pili. Mke kakaa eda hadi kamaliza Eda yake. Mume amtaka tena mkewe. Nivipi

  Рет қаралды 7,673

cupping expert cupping

cupping expert cupping

Күн бұрын

Пікірлер: 20
@SwaleheChege-ss5lc
@SwaleheChege-ss5lc Жыл бұрын
Mimi nilikua na mke mkumbwa kaondaka nilikua silo kambemba vitu vyangu na vyake alipo enda kwao wazazi walipokea na akaa miaka mitatu bila Kuna kwetu mpaka Nika mutaliki je zile vitu vyangu na weza zifuata.
@AaWe-ze9ho
@AaWe-ze9ho 8 ай бұрын
Je ikiwa mume alinitamkia kwamba ww si mke wangu mpaka kiama nn hukmu yake,au akatungika ukienda sehem hiyondo talaka yako naomba majibu
@LailatiAli
@LailatiAli 4 ай бұрын
7:55 Asalamalaikum kama umeachwa ni lazima ukae miezi 3 na siku 10 ni farazi au sunna ndo uolewe tena?
@KautharRamadhan-xv3gf
@KautharRamadhan-xv3gf 4 ай бұрын
Ndivyo inavyotakiwa dear kwaajili ya kuangalia tumboni umebeba kiumbe hivyo upate hedhi 3 ikiwa hujakoma hedhi nakama hupati hedhi yako bas ukae miezi 3
@midompemba9647
@midompemba9647 5 ай бұрын
Je ukimuoa tena zile talaka zamwazo zinahesabika au zinakufa
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 4 ай бұрын
Zinahesabika ikiwa hapa kati hakuolewa na mtu mwengine ila kama aliolewa baada ya kumuacha wewe itafutika.
@morjanoman5181
@morjanoman5181 9 ай бұрын
Mimi. Nilipata mchu akatoa pesa ya baru ila kinachonishangaza adi leo yule mchumba simuoni wala uduma zake nina haki yakuolewa na mwingine?
@KautharRamadhan-xv3gf
@KautharRamadhan-xv3gf 5 ай бұрын
Hakuna uhalali wowote hapo wala kizuizi chochote
@LailatiAli
@LailatiAli 4 ай бұрын
Asalamalaikum nauliza mke akiachwa leo baada ya wiki moja apate mchumba je anaweza kuolewa baada ya wiki moja?
@KautharRamadhan-xv3gf
@KautharRamadhan-xv3gf 4 ай бұрын
@@LailatiAli nnavyojua mm haiwezekani mapakaa amalize EDA na hatakiwi kuchumbiwa mpaka amalize EDA kwa anaeingia hedhi bas apate tohara3 na aliekoma hedhi bas ni miezi mi3
@BisuuKhamis
@BisuuKhamis 5 ай бұрын
Asalam alykum je ukiwa mume kamuacha mke mara ya kwanza Kwa talaka moja na mara mbili Kwa talaka mbili je mume anaweza kumuoa tena mkewe huyu. Mana kuna baadh ya masheikh wanasema anaweza kumuoa kutokana talaka mbili au tatu Kwa kikao kimoja huhisabiwa ni mona naomba ufafanuzi juu ya hili
@dryusufmohamed9537
@dryusufmohamed9537 5 ай бұрын
Ingia kwa tiktok yangu majibu yapo kwa wingi saana ukiingia kwa tiktok andika Dr Yusuf Cupping therapist
@BisuuKhamis
@BisuuKhamis 5 ай бұрын
Mbona nimeenda kuangalia lkn sijaona jibu la swali lamgu
@KautharRamadhan-xv3gf
@KautharRamadhan-xv3gf 5 ай бұрын
Assalam aleikum samahan naomba kujua hili ikiwa mke kaachika talaka 2 eda ikaisha akaolewa tena talaka zinahesbaika vp​@@dryusufmohamed9537
@KautharRamadhan-xv3gf
@KautharRamadhan-xv3gf 5 ай бұрын
​@@dryusufmohamed9537Assalam aleikum akhy naomba kujua ikiwa mke kaachika kwa talaka 2 edaa ikaisha akamuoa tena je akimuacha talaka zinahesabika na za mwqnzo au inaanza upya
@dryusufmohamed9537
@dryusufmohamed9537 5 ай бұрын
Ukipewa talaka moja huwa imepita talaka moja na unakaa Eda. Mume anaweza kurudia kabla Eda kwisha. Mara ya pili ukipewa talaka mbili kwa maramoja huwa sio mbili hiyo nitalaka ya pili sio iwe nitalaka ya tatu, kwavile mume amekupa talaka mbili kwa maramoja.. Nataka uelewe kuwa mume akikupa talaka mbili kwa maramoja huwa sio mbili, nitalaka moja tuu.. Kwahivyo wewe ulipewa talaka ya kwanza..baadae ukapewa talaka mbili kwa maramoja..sasa hiyo talaka mbili itakuwa nitalaka ya pili tuu..haiwi nitalaka ya tatu kwavile kakupa talaka mbili kw maramoja..Tayari umeachika talaka mbili tuu..Hakuna cha kufunga ndoa upya ikiwa mume amekurudia ukiwa ndani ya Eda. Ndoa kufunga upya niwakati umekaa Eda, Baada Eda kwisha, na hakuwahi kukurudia, akikutaka tena kwavile talaka ulio ikalia Eda ni mbili hadi Eda kumalizika..Basi. mume atafunga ndoa upya na mahari mutakayo kubaliana.. Sijuwi kama nime eleweka?
JE TALAKA YA MESSAGE/KARATASI INASWIHII? /AINA ZA TALAKA
21:30
SHEIKH WALID ALHAD TV
Рет қаралды 14 М.
Sheikh Nurdin Kishki I Jee munaijuwa Eda ya mwanamke alie filiwa na mumewake?
8:43
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 4,7 МЛН
KUMREGELEA MKE KATIKA EDA
22:42
Izudin Alwy Ahmed
Рет қаралды 10 М.
FATWA|Jee inafaa kwa mwanamke alieachwa talaka moja kuolewa tena?
14:05
FAIDIKA NA MAWAIDHA ONLINE TV
Рет қаралды 1,1 М.
#LIVE: JE, MKE NA MUME WAKITENGANA KWA MUDA MREFU NI TALAKA? - FADHAKKIR
46:14
JEE TALAKA BILA MASHAHIDI INAHESABIWA?
24:56
USTADH HUDHEIFA
Рет қаралды 9 М.
Mwanamke: Ndoa Ni Sanaa; Cheza Nafasi Yako Kikamilifu
19:48
AL-AQSA MEDIA ONLINE
Рет қаралды 67 М.
EDA LA MWENYE KUFIWA NA MUME WAKE - Sheikh Jaffar Saggaf
1:17:25
Baraza la Waislam USA
Рет қаралды 1,8 М.
MTAZAMO WA UISLAMU JUU YA TALAKA KWA NJIA YA SIMU
13:01
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 14 М.
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 4,7 МЛН