Mashaallah, Allah awabarikie kwa kila alojitolea kusaidia kuusimamisha nyumba ya wezetu ya ibada. Na Allah akuzidishie afya njema ndugu zetu wa Al Fatah kwa jitihada kubwa mnoifanya kwa waislam wezetu .
@alfatahcharitableassociati185 жыл бұрын
Ameen
@eddydogo68245 жыл бұрын
Mashaallah Allah akubarikini
@mussajuma96985 жыл бұрын
Mashallah mashallah najikuta natokwa na machozi ya furaha hongera sana sheikh Rashid salim kwa harakati zako za kheir Allah atakulipa ujira. Mashallah kwa sheikh wetu sheikh OTHMAN MAALIM kwa kuitikia wito wa waislam kushirikiana nao katika ufunguzi wa msikiti. Allah ajaalie ufunguzi wa kheir hadi peponi aaaamin.
@bellbell92945 жыл бұрын
Tabaraka maashaa Allah alhamndulilah rabilaalamina mungu ni mwema Allah awabariki Sana masheikh wetu kwa juhudi zenu Allah awakinge na hasad za watu jazaka Allah kher
@nabillsuleyman51885 жыл бұрын
Allah awalipe alfatah heri na baraka na siri ya mafanikio thumma wawah ni kutoa hivyo tumuombe Allah atupe mwisho mwema uspite bila kusema Amiin
@fatumafaridi35885 жыл бұрын
Munqu awajaalie woote waliotoa kwakujenqwa njumba yaibana afunqulie riziki zisizo na hisabu awape afya awasamehe makosayao awajaze kheri za dunia nskesho akhera amiin
@jihadmohammady93555 жыл бұрын
Allah awajalie sanaaa kuwajengea msikit napenda sanaaa .awafanyie uwepes katika njia iliyo sawaa hadi pepon piya kwawaislaam wote inshaallah
@alikamau46905 жыл бұрын
Allah awajaze kheri waislamu wote wenye kutoa kwa ajili ya wanyonge kwa ajili ya Allah kwa ajili ya dini tukufu ya Allah islamu.
@hudhud20225 жыл бұрын
Kweli Sheikh Othman maneno yako Allah atupe Ikhlas ya kuwafuata wahitaji
@hudhud20225 жыл бұрын
Shukran Jazakallah Khayr wa ajra
@abdulbogoyo12435 жыл бұрын
MASHA ALLAH: ALLAH AWAJALIE KILA LA KHERI WADHAMINI /WASIMAMIZI NA WANAOZITUMIA NEEMA HIZO. AMIIN 👏
@ahmedmubareq32285 жыл бұрын
MashaAllah Allah awazidishie kilawanacho kitoa kwakusaidia ummah wakiislam inshaAllah
@mariam73075 ай бұрын
Ma shaa Allah Allah Amlipe kila la kheir na Amjalie umri mwema❤
@hudhud20225 жыл бұрын
Allahuma Barikllkunna kwa waliofanikusha kheri hizo Yaallah tupe nyoyo za kuyafuatia hayo kwa Ikhlas na Ukarim Amiin
❤❤❤❤❤❤❤❤ manshallaah tabarakallaah allaah awalipe kila la kheri walio jitolea
@samanthaali8735 жыл бұрын
Masha Allah kila aliyetoa mchango wake mungu atamlipa kesho akhera Sheikh wetu Omthan mungu atakuja kifua chako mema na mengi mazur in sha Allah
@rukiamshihiri49115 жыл бұрын
Mungu atupe upendo zaid kama alivo tupenda mtume wetu Muhammad sws alaih salam
@awessalmu94045 жыл бұрын
Allah ajaalie kher kwa mwenye kutoa na sadaka hio iwe ni yenye kufikia malengo kwa mtoaji pia na wenye kupewa hapa duniani na huko akhera. Amin
@aminanahimana87592 жыл бұрын
Akulipe kheri Allah my Sheikh Uthman maalim na ote waliochangia
@greatiq82345 жыл бұрын
Jazaakumu Llah khayr (Allah akulipeni Kheri)!
@seifahmad88305 жыл бұрын
Masha Allah mungu awalipe kher Kila Alie saidia ujenzi
@أممريمأمعائشة5 жыл бұрын
MashaAllah Allah azibariki juhudi zenu mnacho kifanya mkukute katika mizani ya mema yanu.aamiin
@bakariluhala73325 жыл бұрын
Mungu akuweke shekhe odhman maalim
@masoudyrashidy90415 жыл бұрын
Allah tupe uwezo na sisi ulio wa halali tusaidie waislamu wenzetu walio nchi tofauti
@omarame46135 жыл бұрын
mwenyezi mungu azidi kutupa uwezo wa kusaidianq ishallwa
@hedayakatembo74215 жыл бұрын
Allah Atujaalie wepec na vijiji vingine vipate msikiti kama hiyo inshallah.
@khadijashibani52335 жыл бұрын
Mashallah tabaraka lrahmani mungu awalipe 😙😙
@wahidashabaz59825 жыл бұрын
Allah wafanyie wepesi wote walioshiriki kuchangia msikiti hu mpk kuisha
@Amneamne-qi2du5 жыл бұрын
Masha'allah lek Neema kubwa Allah atupe Iklas nasie yarab
@nesmaakhy27785 жыл бұрын
Amiin
@azizauledi41085 жыл бұрын
Mashaa Allah jazakallahu khairani Allah hawahurumie woote mlio fanikisha ujenzi wa msikiti
@mwanamisaomar3465 жыл бұрын
Mashaallah..Alhamdhulillah ..mungu awazidishia apo nazaidi.
@hamisamaundi56615 жыл бұрын
Mashallah,mashallah, sheikh Othman
@zamzamuidris97635 жыл бұрын
Mashallah mungu awalipe malipo mema waliojitolea kujenga masikiti
@ayoubhamad4961 Жыл бұрын
Allah abkbar Allah atuongoze na awazidishie pale walipo punguza watoaji
@mariamfaki11665 жыл бұрын
Mashallah ktv online ebu tembeleeni vijjiji kama ivi vipo vingi ili watu waone kuna watu wanataka kutoa sadaka zao waandishi wa habari fanyeni hii kazi Allah atawalipeni
@احمدالكندي-و6و5 жыл бұрын
جزيتم خيرا مؤسسة الفتاح و كل من ساهم
@saidaliy15675 жыл бұрын
Amiiiin mashaalah mungu awafanyie wepesi inshaalah
@zedmohd26545 жыл бұрын
Mashallah Allah azid kutupa nguvu na umoja waislam ili bendera ya Allah iendelee kupepea
@ashurar27215 жыл бұрын
Ma sha allah allah awalipe alfataa
@Pedeshee015 жыл бұрын
Aamin🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@mohdjuma66035 жыл бұрын
Allah awalipe kheir.... Aaaamiiiin
@faizabaishe51725 жыл бұрын
MaashAllah mabrq Alhamdulilah InshAllah heri
@batulisalumidrisa95885 жыл бұрын
Allah awaongozee palipo punguwa kwa kila aliyefanikisha kheir hii
@hamadisuleman48585 жыл бұрын
Mashallah Allah awajaalie kher wote waloshiriki kwa njia moja ama nyengine kukamilisha jambo letu hill jaazakallah kher
@احمدالكندي-و6و5 жыл бұрын
الحمد لله علی نعمة الاسلام وكفی بها النعمة
@jimjam41625 жыл бұрын
MASHA ALLAH. ALLAH atujaaliye nasi tufanye maboya heri Kama sh othman Maalim. Pili jaribuni muwe mnaweka nambari za simu adharani ili nasi tuweze kutabaruk kwa kwa mambo ya ALLAH
@aminaahmed41735 жыл бұрын
Allah awape kheri njema nyote mliosaidia Amin
@rahmarashid27795 жыл бұрын
MashaAllah Allah awajaze kheri..
@salminijumaissa78185 жыл бұрын
Mashaa Allah awajaalie kila la kheer
@yusufubunu45992 жыл бұрын
MASHAALLAH TABAARAKALLAH
@saharasheekh50735 жыл бұрын
Mashallah mwenyezi mungu awazidishie barka amin 😍❤
@mams18925 жыл бұрын
Jazzakallahu kheir
@KadeejaKadeeja-ej4bu7 ай бұрын
Mashallah alhamdulillah
@nadirmahfoudh18125 жыл бұрын
Masha'Allah!! Ne'ema kubwa sana
@hamastien54395 жыл бұрын
Mashaallah barak llah fiq
@aliy33035 жыл бұрын
Allah bless Alfatah ..ila ivi Kweli serikali inashindwa mambo haya dah..
@aishasaid57025 жыл бұрын
Maa shaa Allah Alhamdulillah
@laylasuleiman105 жыл бұрын
mungu afanye wepesi
@nadrikhamis13995 жыл бұрын
Mashallah mashallah jazakallah kheiraaa
@mozasaid38695 жыл бұрын
Mashaallah !
@omarsalim58645 жыл бұрын
Mashallah
@modyfleva5 жыл бұрын
Mungu awabariki
@rahmamazee28585 жыл бұрын
Mwenyezimungu atujahalie tuwe na mshikamano
@hamadseiph66025 жыл бұрын
Jazakkallah llkheir
@rahmamazee28585 жыл бұрын
Da! mwenyezimungu mkubwa. Nimependa zaidi mnanyokura pamoja. sunna iyo barka kama nnaziona apo nigepewa kuziona basis zigekua zinatililika kama maji
Bismillah Mashallah😢Furaha ilioje me pia nimwfurah kwa kuliona ilo
@faizahamim99355 жыл бұрын
Manshallah tabarakallah
@damtumct67205 жыл бұрын
MashaAllah Alhamdulillah
@lutfiamattar53025 жыл бұрын
Maashallh
@mohamedAli-vf8hp5 жыл бұрын
Namuomba Allah atufungulie tuzidi kuieneza miskiti na madrassa na mengineo yanayopaswa kutenda kwani mali na kila kitu tutaacha hapa hapa hakika mambo kama haya ndio yatakayo tuokoa na adhabu ya Allah tusibanie pesa zetu tusibanie chakula chetu ikiwa uko nacho kula na nduguyo muislam muite ucngoje hana ndio umuite muite muislam nwenzako jirani yako muislam mpe chochote ulichojaaliwa na Allah waallahy machozi yanidondoka kuona neema kama hii alhamdulillah 🙏
@bittybitty27125 жыл бұрын
Masha Allah tabaraka Allah
@jakayamati35105 жыл бұрын
Mbwana bin Ally kipindi icho ulikua ukijiita Mb Suaquers na zenj fm
@peacetvdrcongo70685 жыл бұрын
Manshaallah ❤️
@salimusaid73095 жыл бұрын
Mashaallah
@imansaid80205 жыл бұрын
maashaallah
@salmaelhinai8335 жыл бұрын
Alhamdullilah
@khalifanassor53495 жыл бұрын
Ujira wenu upo kwa Allah
@faizasaid82625 жыл бұрын
Mashallah shukurani
@hamadisuleman48585 жыл бұрын
Nasema maashallah ndugu zangu wa kipandon
@seifmassoud26865 жыл бұрын
Sijawahi kumuona Sheikh Othman Maalim kuongea akiwa amekunja uso ila hapa leo inaonekana hili limemchoma sana
Maa Shaa Allah Ni jambo Zuri sana Nasie Huku Bara Kuna pahala Nilipaanzisha Mwenyewe WALLAHI MPAKA LEO NI MWAKA WA TANO TWENDA MWAKA WA SITA TUNASWALI KENEYE MSIKITI WA MAKUTI (MASHINA YA TINGATINGA) WAUMINI WEKOSA PESA YA KUUJENGA MSIKITI HUO, NIMEPITA MITANDAONI NIKAPATA NATI TU ZA KAWAIDA NYEPESI MPAKA LEO HATUJAPATA WAFADHILI UKWELI NI MTIHAANI SANA naitwa Abdul-mujiybu Badru maarufu kama Abu Aishaty +255763140593 +255714747532
@maryamsalim32335 жыл бұрын
Ni alfatah ama ni alfatat
@masoudyrashidy90415 жыл бұрын
Allah haitupi dini yake
@SaliminSwalehe7 ай бұрын
Mimi nimezoea kua matajiri watafutwe kumbe watafute watu wenye shida wawasaidie kiama wanakazi
@mamyrylovemeagain24065 жыл бұрын
Setekal kazoake kuchukua pesa za wananchi hawana faida ata1
@shabannyange22195 жыл бұрын
Muutunze na chungeni kuwakaribisha mawahab maana kaz yao kupora misikit