ALLAH awahifadhii ndugu mtangazaji n Sheikh Othman Maalim n waislamu wote
@sabihahamadi22872 жыл бұрын
Subuhanallah yarabi tupe moyo wa huruma tutowe kwenye nyia unayo iridhiya wew mola wetu
@esharamadhan73154 жыл бұрын
yarabi poleni sana masikin .mm niko inje ya nchi inshaallah ntakapo rudi nshaallah lazma ntaitafuta madrasa masikin malaika wa mungu poleni jaman wtt wangu na wazazi wenzangu kwa hakika imenitoa machozi allah azdi kuwa nanyi nshaallah
@احمدالكندي-و6و4 жыл бұрын
جزاكم الله خيرا الامراء لمؤسسة الفتاح
@احمدالكندي-و6و4 жыл бұрын
الله يبارك فيكم
@abuubakaraliy50964 жыл бұрын
Allah nijalie na mimi niwe Mwenye kutoa kwa ajili yko allah
@shabanirukundo42724 жыл бұрын
Mashaallah masheikh wetu kazi nzuri Allah atawalipa inshaallah
@bellbell92944 жыл бұрын
Subhhanaallah tunakuombea yaa Allah sote utufanyie wepes katika kutoa sadaka tulijaalia shukraan Sana masheikh wetu kwa ukumbusho Allah awafadhi jazaka Allahu khaira
@abdullmalik78474 жыл бұрын
AMEEN YA RAABIL ALAMIEN🇰🇪
@rossamengo72114 жыл бұрын
Amiin yarabi
@halimaramadhan29754 жыл бұрын
Amiin Thumma amiin
@jokhaali91874 жыл бұрын
Allah atupe moyo wa kusaidia kutokana na moyo na Allah wtatulipa khr
@ahmedesmail44883 жыл бұрын
Subhannallah jaman ndugu zangu kwenye hizo namba tuwachangie chochote kile ili na wao wawe ktk furaha hata kwa elf 1 ni sadaka malipo yake utapata kwa mola mlezi hakuna mwengine zaid ya allah subhanna wataala😭😭😭😭😭
@kuluthumngendo60054 жыл бұрын
Subihana llah ya raabi tujaalie tuwe ni wenye kutoa kwa wepes na wajaalie mashekh wetu umri mrefu wawe ni wenye kuendelea kutukumbusha inshaallal
@anwaryabdallah77824 жыл бұрын
ALLAAHUMMA amiiiiiìiiiiin
@Qatar-vh5ff4 жыл бұрын
Yaarab tujalia tuwe wenye kutoa kwa wepesi Amiin amiin yaraab
@athmandaba14204 жыл бұрын
Wa'alaykumus salaam wa rahmatullaahi wa barakaatuh....ALLAAHUMMA IQSIMLANAA MIN KHASHYATIKA MAA TAHUULU BIHII BAINANAA WA BAINA MA'SWIYATIKA..WA MIN TWA'ATIKA MAA TUBALLIGHUNAA BIHI JANNATAK.....
@nyumbayatibanadua7374 жыл бұрын
Kwakupata video nyingine bonyeza maandishi ya bluu hapo chini. m.kzbin.info/door/TOqt91SRB0NyOw6rMo5zTw Usisahau ku SUBSCRIBE, SHARE, NA COMMENT
@many27614 жыл бұрын
Subhannallah mwenyezi Mungu atuwekee we pesi kwa kutowa japo kadogo
Wllah Allah awabariki al fatah 📺 online hkika mnafnya kazi kubwa sana nawaombeeni kheri kwa Allah
@wahidashabaz59824 жыл бұрын
Allah tufanyie wepesi katika nafsi zetu tuwe wenye kutoa👏
@sakinat25274 жыл бұрын
Ameen
@anwaryabdallah29824 жыл бұрын
Amiiiiiiiiin YAARABB
@MohdMohd-rd6jt3 жыл бұрын
Ameen Ya Rab
@allyfam47414 жыл бұрын
Mungu na mimi nijalie nisaidie ndguzangu
@shaabanramadhan67704 жыл бұрын
والله بكيت 😭😭😭 nimetokwa na machozi kwakweli ndugu zangu tuitafuteni pepo kwa mambo km haya yakheri leo wapo watu na mapesa matajiri lkn hakuna jema wanalo lifanya zaidi ya uovu na israfu za mali zake mungu
@shamilamo91593 жыл бұрын
Allah atuongoze tuwe wenye nyooyo za kutowa kutowa ni moyo na siutajili
Kutoa ni moyo sio utajir allha tujaalie kheir tujitokeze kwa wingi
@shamzone3884 жыл бұрын
Allah atawalipa kwa njia yenu ya haki Allah atawalipa hatwa zenu ziwe ni njia ya janat firdous yarab Wallah waislam tutakwenda kuulizwa Jaman wapo ambao hawana dini lakini hanawangaliaa mayatima kwa kila kitu mpaka nikaona choyo katika nafsi yangu Nikajiuliza huyu hana dini ni mchina Kwa nyumba school mpaka university anawasomesha chakula na matumizi allah atamlipa japo si muislam
@ablatuny54064 жыл бұрын
Subhanallah mtihani wallah
@fatmakhanii16764 жыл бұрын
Subhana Allah watu wanajifagharisha kwa mambo ya upuuzi tumeisahau dini yetu hii nimara ya pili naiyona hii sehemu machozi yananitoka ila uwezo naomba namba yenu niwasiliane nanyi moja kwa moja
Laiti ningalikuwa na uwezo wallah nitasaidia myatima nawasio na uwezo hadi mwisho wa maisha yangu Mimi nimaskini lakini huu umaskini wangu Allah nipe kidogo bass nitatowa nusu kwajili ya watu wachini kimaisha na mayatima
@abdullmalik78474 жыл бұрын
Allah akujalie Dua muhimu kaka
@jokhaali91874 жыл бұрын
Amin
@jasminpino38544 жыл бұрын
Sleyum Moo yani mawazo yako kama yangu kila cku naomba mungu nijaaalie nipate chochote nipate kuwasaidia ndugu zangu na wasio kuwa ndugu zangu waliokuwa na maisha ya umaskini
@jasminpino38544 жыл бұрын
Yaaa Allah nijaalie nipate japo kazi ili nipate kusaidia ndugu zangu wanaiishi maisha ya chini
@saidsaid2264 жыл бұрын
Asalamu alaikum. Wa-allahi thumma wa-allahi thumma wa-allahi, tuseme ukweli kidogo najuwa mchango ni muhimu sana. Nasema waume na wavulana wanayo ishi hapo waweza kujitolea kila wiki muda ya ma saa kama manne au tano mukajenga kibanda hilo hata kwa miti na udongo na itakua madrasa na fakhar na uzito wake kuliko vile eliyoko. Samahani sana.
@hamidudongo18794 жыл бұрын
HAKUNA samahani. Ni kweli kabisa ila tatizo pamoja wenye uwezo wachoyo, ila mfumo wetu wa elimu uko hivyo. Kwani sadaka ni Mali, nguvu, akili, na muda kujitolea. Yaaani, Waislam wa hapa watashindwa kweli kujenga Chuo hata Cha udongo kwa kujishikiza? Yaaani, Waalimu wanashindwa hata ku organize?? Lakini lazima wenye uwezo wajitokeze na waanze some where kujenga culture ya kujifanyia Mambo Sisi wenyewe Inshaa'Allah.
@saidsaid2264 жыл бұрын
@@hamidudongo1879 Baraka allah fik. Hi yawezekana kuanzwa hata na watu tatu na kila moja ataweza kuleta marafiki na majirani; watatu mpaka tano kwa hurahisi. Bora kuna niya ya ukweli. Allah ma3akum in shaa allah. Ikiwa wewe kutoka pale au wajuwa mjama bas tawakel ufanye connection nao. Baraka allah fik.
@aniphaally50174 жыл бұрын
Allah awajaalie kila kher Inshaallah
@احمدالكندي-و6و4 жыл бұрын
الله يسعدهم
@muznaalabriy15084 жыл бұрын
Matajiri wa kiislam wanauacha uislam unadhalilika innalilahi wainnalilahi rajiu
@TeamKRX4 жыл бұрын
Jamani huku naomba nijue wapi daah watoto wenyee watakuwa kusaidiwa kamani tujitoleeni ok nasikiliza huku nandika nasikia pangoni inshalah icho kidogo inshalah nitatoa
@mudhihirumikidadi60664 жыл бұрын
Waisilam tunahaja yakuongeza nguvuyaumojawetu katika ku upeleka uwisilamu mbele
@mohdabdi41574 жыл бұрын
Yaraab tunakuomba utujaalie utudhudishe tuwe na moyo wa kutoa
@zayanabakari79484 жыл бұрын
Subhanallah allah atufanyie wepesi katika Kutoa
@samsungoman56264 жыл бұрын
Alla ataleta heri innshalla
@aishasaid57024 жыл бұрын
Subhanallah
@omanseeb86094 жыл бұрын
Subhan allah allah atupe yalio ya kher tutowee 😅😅😅😅
@nurdinhamisi634 жыл бұрын
Matajiri wakiislamu pesa zao kwenye mipira,Umisi na ujinga mwingine lkn Allah anawasubir siku ambayo haitamfaha mali yake pia binaadam atatamani kua mchanga
@amenamoh79134 жыл бұрын
Jamani hii madrasa ipo mtaa gani tunataka kujua
@neemagambere99874 жыл бұрын
mashaallah
@zuleikhakhamis33034 жыл бұрын
Asalam alaykum naomba namba zao za tigo pesa hii madrasa imo wapi naomba kujua kwa cc tulioko mbali na nchi ili tuweze kutoa kidogo kwa wazee wetu walotangulia imeniuma sana naomba please maelezo
@bernadetanyendo16504 жыл бұрын
😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏👈
@allynyandwidju1134 жыл бұрын
Asalam warhamatullah wabarakatuh Ustadh mtu aliyekua inje ya Tanzania ana weza kungia aje? In sha Allah mtu juze ili Na Sisi tuchangiy angalao ata kidogo.
@halimaramadhan29754 жыл бұрын
Walaykum msalam warahmatullah wabarakatuh kuna number za simu hapo kwenye screen upande wa kushoto zimeandika
@zuhurambarouk53564 жыл бұрын
Mwezi awafanyie kila la hre
@esharamadhan73154 жыл бұрын
machozi
@zaidumohd31254 жыл бұрын
Kheri ipatikane ishaullah
@abdullmalik78474 жыл бұрын
Ameen in shaallah 🇰🇪
@fatimaabdulla13204 жыл бұрын
Yani hadi najisikia vibaya wallah hata kama mm masikini lkn wallah nimekula kiapo kwa allah nita saidia
@jumamashuhuri96474 жыл бұрын
Asalam Aleikum, Nawaombeni muweke namba ya mpesa iwe rahisi kwa yoyote aweze kuchangia sio lazima wawe matajiri
@rashidrashid42424 жыл бұрын
Ni izo zinopita hapo juu
@zanuraomary47494 жыл бұрын
😭😭😭
@maryammct39674 жыл бұрын
Kkweli kabisa😭😭😭
@suleimanbakar12714 жыл бұрын
waislam wanachangia mipira wanaacha dini yao!!huu ni mtihani mkubwa tutajibu nn kwa Allah ss hasa wale wenye wasaa wa mali?
@ntaganzwabyabato60554 жыл бұрын
suleiman bakar wanawekeza pesa kibao aisee
@salimali79304 жыл бұрын
Nikweli Bro wengi wetu atu thamini kutoa kwa umma wetu lakn ndio utaona majina majukubwa ni ya ndugi zetu wanao wekeza mambo yalio katazwa...Allah tujalie mwisho mwema...
@aligedi28694 жыл бұрын
Jamani tukiwa ujerumani tumfikie nani?
@abuarafatmkweli7484 жыл бұрын
Wasiliana na Al-fatah namba zao hizo hapo kwenye video
@ndukulusudikucho_4 жыл бұрын
AWW HII NI KIJIJI GANI TANZANIA??
@hawa49684 жыл бұрын
Yaa afrah tupe nguvu za kutafuta na utupe mioyo ya kutowa
@hawa49684 жыл бұрын
@Msafiri Afraha inshaallah ( shukran mashkura)
@abdullmalik78474 жыл бұрын
Allah humma ameen 🇰🇪
@fatumamwalimu57654 жыл бұрын
Aamin yarabi
@abdulhaji67084 жыл бұрын
Amin
@hamishemed93964 жыл бұрын
Muwe munatoa namba za m pesa ili mtu aweze kutoa alichojaaliwa kwa kuichangia hiyo madrasa
@rashidrashid42424 жыл бұрын
Ni izo zinopita hapo juu
@rashidrashid42424 жыл бұрын
Ni izo zinopita hapo juu
@allyjuma38074 жыл бұрын
Iyo madrasa iko wapi
@fatmahamad93144 жыл бұрын
Yarabi tuwe moyo wakutoa kwani kutoa ni moyo siutajiri