Jamaa hakujibu swali kiudilifu....ni bora sana angekaa kimya na kupotezea
@albassammusaalbassam7487 Жыл бұрын
Ataruka ruka paka atatua tua
@uthaymaanashshiraaziyy2413 Жыл бұрын
MAA SHAA ALLAH Shukran sana Shaiykhunal Aziiz
@MuhdharMuhammad-qv3zl Жыл бұрын
Shukran sana sheikh Wetu Allah akuhifadh na usife moyo Kwa kutupa da'awa shukran sana hata Mtumi Muhammad SAW alipingwa Allah akupe umri mrefu na Maisha mazuri hapa duniani na Kesho akhera
@Dr.SheikhIBRAHIMSAID11 ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/jWjLiGeXpJqKp7s
@KhanMuu-b3k Жыл бұрын
allah akulinde mwalimu said❤❤❤
@AlhajiIssa-jb9hr Жыл бұрын
ALLAH amhifadhi na hasadi. Tunanufaika sana wallah'hi. Amiina Yaa rabby
@mohdkhamis257 Жыл бұрын
Shekh miimi nitakuona shujaa sana endapo utamjibu sheikh kassim mafuta wa pongwe tanga Allah aamuhiffadhi na itakuwa umsomi sana wewe lakin mushkeli wewe mbona wapiga twari hivi ushekhe uko wapi hapo
@mohamedhashim3235 Жыл бұрын
Shukran Sheikh Said Allah akuhifadh
@IsmailiallyIsmaili Жыл бұрын
Allah akulinde
@hassanabdulrahman189 Жыл бұрын
Ma sha Allah... ALLAH akuhifadhi na hassad...
@khadijamohamed8919 Жыл бұрын
Mashaallah sheikh wetu
@AbdulkarimKiza-rn3fh Жыл бұрын
Sheikh said, mche ALLAH na kumbuka kua hii dunia tutaiacha na tutakwenda kuulizwa na ALLAH siku ya qiyama siku ambayo hazitonufaisha mali wala watoto ispokua atakayekwenda na moyo uliosalimika. Kama ulivyokubali kua neno ضلالة lililokuja katika hadeeth halina استثناء kwa maana upotevu wote ni mbaya hakuna upotevu mzuri basi majibu ndo hayo hayo kwenye bidaa kua bidaa zote katika dini ni upotevu na hakuna bidaa nzuri, kama alivyosema mtume و كل بدعة ضلالة ndivyo alivyosema و كل ضلالة في النار. KILA bdaa ni upetevu na kila upotevu ni motoni, na wala hakuna tofauti baina ya كل ya kwanza na ya mwisho, kama unakubali kua hakuna upotevu mzuri basi pia hakuna bidaa nzuri, na hivyo ndivyo walivyoelewa maswahaba kua hakuna bidaa nzuri katika dini kama alivyosema swahaba ibnu Umar allah amridhie كل بدعة ضلالة و إن رءاها الناس حسنة upotevu wote ni mbaya hata kama watu wataona kua ni mzuri, Kama vile ambavyo mtume swala allahu alayhi wasallam aliacha kuadhini katika swala ya idi na tunasema kuadhini katika swala ya idi ni bidaa haifai kwa kua mtume hakuadhini kwenye swala hiyo basi hali kadhalika maulidi ni bidaa haifai kwa sababu mtume swala allahu alayhi wasallam aliliacha hilo na hakulifanya, na sababu ya kulifanya kwake ilikuwepo na wala hakukuwa na kiziwizi. Mambo yako wazi alhamdu LILLAH ispokua watu hawataki tu kuelewa, swala ya raghaaibi ni bidaa kuadhini kwenye swala ya iddi na swala ya jeneza na swala ya kuomba mvua na swala ya kusuufi yote haya ni bidaa na hayafai basi na maulidi ni bidaa haifai kwakuwa hayo yote mtume aliacha na kulikua na sababu ya kuyafanya na hakukuwa na kiziwizi. Kama si hivyo basi musema kua hakuna uzushi kabisa katika dini, kwa hiyo mtume alipokemea uzushi katika dini alizungumza kama kujifurahisha tu au alizungumza maneno yasiyokuwa na maana. Lakini kama mnakubali kua ziko hadithi sahihi za mtume swala allahu alayhi wasallam kukataza uzushi katika dini lazima mkubali kua maulidi ni bidaa na hayafai. Baaraka ALLAH feekum.
@AbuuAbdillah-hb8li Жыл бұрын
WALLAH LAU KAMA SIO ALLAH KISHA WANASUNNA HAWA WATU WA BIDAA NA HAWAA HII DINI WANGEIFANYA KAMA YA MANASWARA LKN ALHAMDU LILLAH ALLAH AMEAHIDI KUILINDA HII DINI WATU WAPOTEVU WAZUSHI WASIO KUA NA MWISHO KWENYE UZUSHI WAO KILA KITU NI SAWA
@jimjam-xg7rv Жыл бұрын
MASHA ALLAH sheikh said azidi kutu elimisha ALLAH amzidishiye amkinge na shari za wanao husudu amin amin YARABI amin 🤲🤲🤲🤲
@AbuuAbdillah-hb8li Жыл бұрын
@@jimjam-xg7rv anawailimisha au anawajaza ujinga na upotovu na uwovu wa uzushi kwenye dini kwasababu nyinyi ni watupu kwenye dini mnaona anaelimusha
@ABUUALLY-tv8rl Жыл бұрын
Hakuna uzushi uliombaya zaidi kama kubaguwana 😢 na hakuna bidaa mbayaa zaidi na zaidi kama kujiona wewe tu upoo swa wenzio wanaokwenda kinyume na wewe ukawaona ni waovuu 😢 jihadhari ndugu yangu 😢huenda yule unaemuona muovu kumbe wewe ndio ukawa muovu mbele ya Allah s.w
@ABUUALLY-tv8rl Жыл бұрын
Tatizo lenu nyinyi mawahabii munaugonjwa wa ubaguzii na munajiona nyinyi tu mpo sahihi walio bakia wote ni waovu ! Nyinyi kama nani mufatwe ? Nyinyi ni wajingaa ambao mumejivesha vazi la wasomi😂 😂😂 Kwa sababu nyinyi khilafu hamuzitaki munataka mufatwe nyinyi tu ! Kila munachokisema nyinyi ndio sahihi wakisema wengine ni kosaa ! Huo mulionao nyinyi ni ujingaa na wallah wanaokuungeni mkono ni walee wajinga wenzenu wasojielewa ila Kwa wasome wanakujueni kama nyinyi malimbukeni hamuna mujuwaloo kazi kutukana watu na kukufurisha yaani mumejivisha madaraka ya utume ! Hamuna adabuu nyinyi ni wahunii tu hamuna munalolijua ispokuwa kuvaa vikanzu vifupii kama munavuka mtoo😂😂 yaani ni watu wa ajabu Sanaa ujingaa tuu mwingi mlonao hamuna jengine
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
@@AbuuAbdillah-hb8li UJUHA WAKO NDIO UMEKUFIKIRISHA HIVYO UNAVYOSEMA, NA UHAKIKA WAKE NI KINYUME CHAKO
@saidmadai2828 Жыл бұрын
Mashaallah ❤
@m.othman866 Жыл бұрын
Huyu jamaa noma sana Maa Shaa Allaaaah.. Kumbe ni kweli usimdharau mtu kwa muonekano wake.. Alikua amekaa kimya na elim yake.
@jimjam-xg7rv Жыл бұрын
Maa shaa ALLAH 🇰🇪💚💚💚💚💚
@Ahmadasshii-raazy8888 Жыл бұрын
افحمته افحاما سيدي الحبيب الأديب الشيخ بن الشيخ الشيرازي
@allymohd8999 Жыл бұрын
Mashallah
@ABUUDARDAAI Жыл бұрын
una ojaaa
@rashidbuzubona6577 Жыл бұрын
Maashaallaaaaah
@Amina-rr8ve Жыл бұрын
❤❤ sheikh said
@Abdallah-e7o Жыл бұрын
Shukraan shekh.hao kina bachu na genge lao elimu zao ndoto ndio maana kila siku wanakuja na jipya kwa uchache wao wa elimu
@nassirzamzam9312 Жыл бұрын
Waislam wakweli siku zote wanafurahika na mtume s.a.w usiku na mchana kwa zile ibada wanazo fanya kila siku.
@HemedSerious Жыл бұрын
Acha unafiki kila ibada Ina lengo langu mahsusi/ licha ya kuwa lengo la jumla la ibda ni kuvuna thawabu na kujikurubisha Kwa Allah
@UBAYDULLAHBNTCHOMBARAMAZANI11 ай бұрын
asalaam alaykum warahmatullah wabarakaatuh kwakwel Allah azidi kukuifadhi ili tuzidi kufaidika Na elimu Yako. Kwakwel ningelikua Na uwezo ningelikuja kusoma kwako Ila twakufatilia kwenye mitandao Na kama una magroup ya WhatsApp waweza tuagizia Na MBA ili tuzidi kufaidika Na elimu Yako zaidi.❤❤❤
Yani huyu kule Twarika ni mwanafunzi kwetu Bachu ndio sheikh...Dah tusomeni sana
@abubakarymaulidy5681 Жыл бұрын
😂😂😂😂noma sanaa
@hussenmzaganya1081 Жыл бұрын
mwisho wa kusoma sana, mnaishia kuwaomba wafu maburini. hata mashia wamesoma, shida ni kutaka kuigeuza bidaa iwe sunnah. sunnah zilizopo haziwatoshi mpaka muongeze zakwenu. na hamjaanza leo kutetea tangu albiidhi.
@shazyahya4121 Жыл бұрын
Bachu sheikh kweli sio utani amesoma dini tatizo watu bidaa ni wafanya biashara ya dini hawapendi kuelimishwa njaa kali
@mohdkhamis257 Жыл бұрын
Iakin huja jibu swali shekh wababaisha tu
@alhimnamussasaid3619 Жыл бұрын
SHEIKH SAID MASHALLAH HAKIKA UPO VIZURI ALLAH AKUHIFADHI
@rajabmembe6695 Жыл бұрын
Elimu ya vipande vipande, hamfundishi kitu kizima watu wakaelewa mnashikilia vipande vipande tu, fundisheni kitu kizima watu waelewe acheni kuvutia upande mmoja
@muftishaban.a.musamombasak6577 Жыл бұрын
Shukuran sana
@swaffaa12020 Жыл бұрын
Somesha habyb
@HemedSerious Жыл бұрын
Mawahabi fanni hamjui na hamtaki kusoma, mtapata shida Hadi kufa kwenu na mtadhalilika Sanaa, au msome..,😢😢
@SugowFarah-up3db Жыл бұрын
Kama hatujui fanni basi wakwanza wetu walikuwa maswahaba maana wao pia hawakusherehekea uzushi wa mawlid kwasababu hawajui fanni. Taabi'yn pia hawakusherehekea uzushi wa mawlid kwasababu nao hawajui fanni Atba'a taabi'yn hali kadhalika Maimaam wanne 1.Imaam Abu Hanifa 2.Imaam Maalik 3.Imaam Ahmad bin Hanbal 4.Imaam Shaafi Wote hawa hawakusherehekea uzushi wa mawlid kwasababu pia wao hawakujua fanni Nyinyi ndio mna elimu MashaAllah Mnajua dini ya Allaah kuwaliko maswahaba na mataabi'iyn Mnajua Dini kuwaliko أئمة الاربعة Pia mnajua dini kumliko Mtume Muhammad صلى الله عليه وسلم Congratulations Wacha tuone siku ya Qiyaama siku ambayo Mtume Muhammad صلى الله عليه وسلم atanywesha watu maji kutoka kwenye hodhi kama ni ahlul bid'ah au Ahlusunnah tutaona InshaAllah. Lakini kwanza kabla ya kusubiria Qiyaama naomba mzushi yeyote asome hadith hii 👉Siku ya Qiyaama wakati Mtume صلى الله عليه وسلم atakapokuwa anawanywesha watu maji kutoka katika hodhi lake, watakuja malaika na kuwaondoa makundi kati yao. Na mtume صلى الله عليه وسلم atakaposema "hawa ni katika maswahaba wangu" Malaika watajibu: "JE UNAJUA WALIYOYAZUA BAADA YAKO? Mjinga hapa atafikiria kwamba watakoondolewa hapo ni maswahaba wa mtume صلى الله عليه وسلم waliosimama naye tokea siku za mwanzo kisha wakasimama naye katika shida zake zote na vita vyote dhidi ya makafiri. Kwa akili ya mtu mjinga ataona kuwa watakaofukuzwa ni hao maswahaba ilihali wataofukuzwa ni WAZUSHI WA DINI YA ALLAH
@ibrahimabdillah5729 Жыл бұрын
Fann ipi hawaijui....au kwasababu Jamaa zenu wakiwaonyesha mbwembwe,basi mnalewa kama walevi!!!! Someni Dini yenu,acheni ushabiki
@ibnsuleyman4140 Жыл бұрын
@@ibrahimabdillah5729kwani ni uongo ss mna lipi mjualo mawahabi zaidi ya kukaririshwa misimamo
@HemedSerious Жыл бұрын
@@ibrahimabdillah5729 ww hujui fanni za lugha?
@SaumHamza Жыл бұрын
Mm naomba uajibu kuhusu Bi Asia na Mariamu walihudhuria kwenye mazazi ya Mtume Muhamad S.A.W. wajitambue hakuna la uongo hata moja
@abubakaromar6101 Жыл бұрын
Bado asubiri jawabu la hoja ya Kwanza hajajibu bachu ameenda kufanya utafiti ajaribu kuzungumza na Paka lkni anaowapata Mapaka wote ni wakiwahabi akisha pata jawabu kisha uje wewe ufanye mjadala na Ustadh Said umuulize hili swali lkni uvea kibinda usije ukakojowa kama mwalimu wako
@Swaahib-i7n Жыл бұрын
Hahaaa umepiga chenga hilo swali msumari wa moto
@aymanmangube4092 Жыл бұрын
ufundi mpaka katika dini
@maallimumusa6085 Жыл бұрын
Sheikhe shidayako unaipeleka dini kwa akilizako
@abdallahsera4532 Жыл бұрын
Yatosha maulid kua ni bidaa potevu kwakua mtume hayafahamu yeye wala maswahaha zake...
@Aboodjan4-10 ай бұрын
Powerful punch. جزاك الله خيرا وبارك الله فيك.
@abdulmalikmohamed732 Жыл бұрын
Maulid 😁
@ABUUDARDAAI Жыл бұрын
Acha mbwembwe mzee wa na kira sema upotevu mzuri ni upiii umebaki tu kasema kasema taja upotevu wa pepoti
@jamilahjamilah4157 Жыл бұрын
Tatizo wee huwezi kuelewa kwasababu akili yako imekuelekeza biidaa utaelewa nn ndio maana mnaambiwa kasomeni acheni kukariri wee km kitu hutaki acha wanaotaka wafanye Kisha kesho yetu mungu atahukum tatizo nn
@ABUUDARDAAI Жыл бұрын
@@jamilahjamilah4157 skiliza uyo apo wew ndio unamuona msomi kwasababu una elimu ila mim na msomesh uyo mweupe yani mweupe hana ajuwalo kavamia mambo ya memzidi umri awezi kuwa na elimu zaid ya wanazuoni wa karne tatu bora za kwanz maneno yake ya na pingana na watu walio mzidi elimu mara dufu ana ba mbanya bambaya
@askofkibwe6106 Жыл бұрын
ALLAAH ANASEMA KTK QUR AN, IVI YLUE AMBAE ANIELIPAMBA JAMBO LAKE AKALIONA ZURI, ANAZANI NA MUNGU ATALIONA ZURI PIA ??
@aymanmangube4092 Жыл бұрын
kama mnasoma comment na mnajibu basi nawaombeni sana someni hii yakwangu namuijibu vizuri nakwania njema, hivi nikweli wanyama walizungumza ilipotungwa mimba ya Mtume صلى الله عليه وسلم?
@umarmuhammad6712 Жыл бұрын
Kafwatilie Hadith aloitowa ustadh said katika mjadala wa bachu , waliweka live . Fwatilia Hadith aloitowa . 👍 Usikilize vzr
@rukiakhamis-le6kg Жыл бұрын
@@umarmuhammad6712Naona kwenye profile umeliweka bonge la shirikina ah lakini sio point, Huyo kauliza mjibu kama unajuwa sio kumtupa mbaali mimi nilisikiliza munaaqasha huyu Dj Said hajatoa hadithi hiyo unayoisemea ww, usimzungushe
@shabanihamisi1146 Жыл бұрын
HATA MM NAOMBA WAJIBU HILOOO TU KUANZIA LEO WATANIONA KWENYE HADHARA ZAO NI KWELI
@shazyahya4121 Жыл бұрын
Hapo hakuna Sheikh maokoto ndio yanayozingatiwa
@mwalimuathumani4759 Жыл бұрын
Roho mby inakusumbua hiyo
@shazyahya4121 Жыл бұрын
@@mwalimuathumani4759 ukweli usemwe acheni bidaa uroho tu ndio unawasumbua mi nipo saudia huu mwaka wa sita hakuna kitu kama hiko na uku ndipo alipozaliwa mtume mohammad ( S.A.W ) namaliza miji kutafuta ukweli juu ya kitabu cha jafar barzanji lakini lakini watu wanasema ni uongo sasa wewe mtanzania na msaudi nani fundi kwenye fani ya lugha ya kiarabu acheni uzushi njaa zitawapeleka babaya kenge wewe amka acha kulala umezaliwa kwenye neema kubwa ya uislam
@nassirzamzam9312 Жыл бұрын
Hoja ni utembe na uislam ndani ya moyo wako na u connect moyo wako na mwenyezimgu, ubebe amana hi ya uislamu kama ulio beba dhahab, wala sio jiwe la barabarani.
@ShenuroJumaAbdi Жыл бұрын
Maulidi ni bid.ah na uyoyote anayo faya nim nafiq
@HemedAbdalla Жыл бұрын
Mimi nilikuwa nishaingia kwenye uwahabi lkn nilipoona itikadi ya kwanza ni kufarikisha then tunapewa maneno ya kuwachukia waislam wenzetu et watu wa Bidaa...Ukweli Twarika wamesoma hata hao mashekh wanaojiita wa Kisunna hawawezi kueka mjadala, watabaki kuongea mitandaoni tu na Bachu hatorudia tena kufanya mjadala nao wako vzuri hasa kwenye lugha ya kiarabu
@khamisrubea5083 Жыл бұрын
Umefanya jambo zuri siku zote usikubali kulishwa hoja za upande mmoja tu dini yetu ni pana na ni ya kisomi soma kwa walimu tofauti
@AhmadaHassan-gy5uj Жыл бұрын
Bachu alijiona msomi sana kuliko,kumbe Kuna jembe balaa
@hussenmzaganya1081 Жыл бұрын
wewe ni sufi tu, hakuna anaejua sunna akawa kama mshabiki wa mpira, kinachoonekana kijana huyo saidi amshukuru bachu kumleta mjini, sasa anajipia 10000 za wajinga wa tz.
@AhmadaHassan-gy5uj Жыл бұрын
@@hussenmzaganya1081 kila mwenye elimu basi Kuna mwenye elimu zaidi yake,sheikh said kaletwa mjini na ALLAH mwenyewe.
@abubakaromar6101 Жыл бұрын
Na Bachu ashukuru kufika mombasa ktk mjadala kupata mchango kupitia kwa Al Imam Sayyid Jaffar al Barzanji kama si Barzanji asingepata pesa
@IvetaSteven-b9zАй бұрын
KILA BIDAA NI UPOTEVU KWAHIYO BIDAA NI UPOTEVU KWAHIYO KAMA HAKUNA UPOTEVU MZURI BASI HAKUNA BIDAA MZURI
@JamalAli-tz6pj Жыл бұрын
sasa mnaoongea sana ikiwa kweli wajua uko hoja zakoo njoo uwanjani tuelimishane jamaa tusiwe wakuongea sanaa paka mwatuchokesha
@umarmuhammad6712 Жыл бұрын
Uwanja upi 😂 , sikuzote mwenye kutaka challenge ndio mpanga ratiba , we km kweli wataka challenge, km hauna channel bc hapo kwenye comment ungeweka tarehe sehemu Gani wajiskia time Gani , ungeandika kila kitu kisha habari wakapelekewa wanazuoni , km ustadh said amejitokeza akataka challenge na kumtaka bachu aseme tarehe , yote umeshuhudia. Nakushauri kabla hujaitisha kwanza kasome lugha fanni zote inshallah. KARIBU
@muhideennoor2458 Жыл бұрын
Mtu akitaka elimu humfuata mtu akafundishwa sio watu watafutane uwanjani kwani ni mpira hunu
@Marjeby Жыл бұрын
Sasa mbona hamtaki kumchukua Bachu mkamsomeshe Mombasa huku anazidi kutuvuruga na tangu mlivyompiga kwenye Munakasha Mombasa basi ndiyo kama kachanganyikiwa anaropoka kila kitu
@Abdallah-e7o Жыл бұрын
Haaaa haaaa.bachu ndio Kawa chiz fresh cku hizi
@AhmadaHassan-gy5uj Жыл бұрын
Rekebisheni mike bhana sauti inanesanesa inamaliza uhondo
@AhmedKoji-y2m7 ай бұрын
Neendeni nyinyi wabishi tushawazoea kuleni pilau na kucheza mauno bila kelele 😂
@ahmadmzoa7411 ай бұрын
Ni ubishoo, kejeli ,vijembe. Na kupenda kusifiwa. Haya yanaunufaisha vipi Uislamu.?
@nassirzamzam9312 Жыл бұрын
Aya yasema hawataridhika mayahudi na manaswara mpaka mufuete nyendo zao, hi aya ina zungumzia ju ya dini, musizue kwenye dini
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
Hata KULLU BIDA'ATU DHALALA, hio KULLU INAUNGUMZIA ZOTE (ZA DINI NA DUNIA)
@husseinvarvani9823 Жыл бұрын
Bidha ni uzushi na upotevu. Swali langu kwa mawlid ni ibada au ada
@hakeemprince6868 Жыл бұрын
Ni ibada😂
@husseinvarvani9823 Жыл бұрын
@@hakeemprince6868 Ilianza lini na nani alianzisha? Fanya utafiti wako tena
@habibumuhammad730 Жыл бұрын
Jifundishe kwanza kuuliza swali
@saidabdurahman9631 Жыл бұрын
Huyu mtoto baada ya kupewa jina na shekh muhammad bacho nayeye anapewa maiki hv sasa 😂😂😂 Amaa kwel muhammad bachu ni brand kubwa hv sasa
@abubakaromar6101 Жыл бұрын
Tumeijua brand yake kumbe Irabu lugha hazipati Nahau hajui kutafautisha Faail na Maf-uul Tafsiri aziponda ponda 😂😂
@saidabdurahman9631 Жыл бұрын
@@abubakaromar6101 PAMOJA NA KUPONDA KWAKE IRABU KAMA MNAVYODAI LAKN AMEWALETA MJINI MLIOKUWA HAMJULIKANI 😂😂
@Abdallah-e7o Жыл бұрын
Huyo chiz wako Bach elimu yake ndogo sana mpotoshaj huyu.bange tu ndio Zina msumbua
@abubakaromar6101 Жыл бұрын
Sio tunavyodai kila kitu kiko waziwazi kwenye mitandao hata nyinyi mwaliona lkni tu ushabiki mulonao. Na Bachu kama si Barzanji na kupata michango kupitia Barzanji asingefika mombasa
@saidabdurahman9631 Жыл бұрын
Anatembelea nyota ya bachu huyu kijana 🤣
@aishathabit3732 Жыл бұрын
Mambo haya yakijiga basi tena Waislamu wanachinjwa nyie mpo tu kwenye upumbavu Sasa nyie washindi? Fanyeni mengine
Aliyejipendekeza kucoment Nahisi ameshaelewa na ndo maana akatulia... Ruhsa Kwa yeyote anaona anaweza kuuliza atajibiwa
@sofiaahmed2170 Жыл бұрын
Komaa ewe kijana maulid ni bidaa hata ukitaka kuifanya niibada..!itabaki ni bidaa hadi kiyama 😇😇😇
@abdulrahmansaad7358 Жыл бұрын
Pia simu KZbin ni bidaa wacha kutumia
@taurehassan7399 Жыл бұрын
Mbn cc tukiwauliza bid'aa munazozfnya mumetoa wapi mbna hamjitutumui na nynyi kujibu km cc?na cc tuleteeni ushahid wa zile bid'aa mnzozfnya jibun na nyny km cc.au nyny hamuna bid'aa?
Namaulidi hayawezi kuwa haramu mpaka nayatasomwa mpaka kiyama.
@nassirzamzam9312 Жыл бұрын
Aya zimetolewa nyingi na wanavioni wa kiislam kua maulidi ni upotevu kama walivyo potea mayahudi na manaswara kwa sababu waliingiza bidaa kwenye dini ya mwenyezimgu ilio kamilika wakatia maoni yao,dini haiendi na maoni ya mwana adam dini huenda na vitendo vya mitume walipo kua hayi usipunguze usizidishe (huo ndio uislam uliokamilika)
@muhideennoor2458 Жыл бұрын
Na wewe umetoea wapi dalili maulidi haifai una ujinga mwingi wahubiri maji kisha wanywa tembo
@umarmuhammad6712 Жыл бұрын
Mbona Kuna hafla katika madrasa zote ( watwariqa na wahabi ) kwni zama za mtumi kulikuwa na hafla , uliskia wapi sehemu mtumi alimuita Abuu huraira akamsimamisha katika hafla apewe tuzo la kunukuu Hadith za mtumi . Acha mumeambiwa mukasome hamtaki ssa mwaanza kucomment ujinga tu 😂
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
HEE, AYA ZA WANACHUONI NDIO ZIPI HIZO 😂.!!!
@princefeisla3692 Жыл бұрын
Eee baba ichudhee tena Aya dhimekua ntha wanachuvoni!?
@abdallahsera4532 Жыл бұрын
Hujajibu swali ni balbala tupu...
@nassirzamzam9312 Жыл бұрын
Huwezi kuhalalisha maulidi mpaka kiama.
@HajiJuma-dc2ev Жыл бұрын
Naww huwezikuharamisha maulidi mpaka kiama ndiohaaza yananawiri
@taurehassan7399 Жыл бұрын
Ww hta kanuni za dini hujui,inaonekana haramu,halali,Sunnah,makruhu, n.k hujui
@taurehassan7399 Жыл бұрын
Na ww huwez kukataza maulid mpka qiyamah,embu lete hoja ya kupinga maulid kw Qur'an na sunannah na ijimai na qiyaas,ili tujue km kweli maulid haramu na hyafai,maneneo matupu hayasaidii
@abubakarymaulidy5681 Жыл бұрын
Na wewe haramisha tuone kama una kipengle chochote
@akidahamad142 Жыл бұрын
Babu zetu basi wote ni wakoseaji tu
@nassirzamzam9312 Жыл бұрын
Hakuna aya wala hadith ya kuhalalisha maulidi, maulidi yatabaki ni bidaa bidaa mpaka kiama.
@saidmadai2828 Жыл бұрын
Lete aya inayokataza bc
@umarmuhammad6712 Жыл бұрын
Ipo wapi Aya au hadithi ya kuharamisha ? 😀🤣
@abubakaromar6101 Жыл бұрын
wewe nassirzamzam bendera fwata upepo nini maana ya Maulid?Hili jina la Maulid lawapa taabu sana kulifahamu na lau sote tungekuwa na fahamu kama zenu sijui ingelikuje maanake ndani ya Quran pia kuna Surah Al-Baqra kwa ufahamu wenu hii Surah inazungumza ngombe peke yake bali ni sehemu ndogo sana inazungumza kuhusu ngombe lkni ndani imetaja mambo mengi ndio ikapawa jina la Surah Al-Baqra au pia Surah An-Nisa ni Aya za mwanzo mwanzo tu imezungumza kuhusu wanawake lkni mbele inaleta habari tafauti. Na sisi haya Maulid maana nikuzaliwa tumelipa hilo jina lkni yaliyomo ndani yote yako kwa Dalili ya Quran na Hadithi za Mtume S.A.W
@abubakaromar6101 Жыл бұрын
Sasa wewe Dalili kusoma Quran, Kumswalia Mtume S.A.W, Kuleta Dhikr kumtaja Mwenye Ezi Mungu, Kutaja Seira ya Mtume S.A.W na etc kuwa hayafai
@abubakaromar6101 Жыл бұрын
Unayo Dalili kuwa hayafai au wengine wasema ni haramu
@nassirzamzam9312 Жыл бұрын
Sasa wewe lete aya inao sema kifika kila mwaka sherehekeni mazazi ya mtume s.a.w.
@umarmuhammad6712 Жыл бұрын
Nawe lete Aya yakuhalalisha wanafunzi wakifaulu katika mitihani , kuwekwe hafla wapewe tuzo. Uliskia wapi zama za mtumi kulikuwa na hafla !?
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
Wewe leta aya ya kusema msifurahi kwaajili ya Mtume saw
@abubakarymaulidy5681 Жыл бұрын
Na wewe lete aya iliyo kataza kama huna nyamaza
@huseynmaitaya9002 Жыл бұрын
Hapo hauja jibu chocolate maana ukisema kila قائدة ina kichenguzi chake ili upate kuitoa neno ضلالة katika qaaidah , kwa madai kua eti hakuna upotevu nzuri, vivyo hivyo twakuambia ewe suufiy hakuna bid’ah nzuri, zote ni mbaya na ni upotevu, na ni yupi katika maswahaba wa mtume swallaa llaahu alayhi wasalama kaitafsiri hadithi hiyo kwa maana unayo ikusudia ?
@hilalkhalfan1452 Жыл бұрын
@@huseynmaitaya9002 HAYA HUYO SWAHABA KASEMA, NEEMA YA BIDA'A (UZUSHI) NI HUU. KWA KUMUAANISHA UPO UZUSHI MZURI.  نعم البدعة هذه والتي ينامون عنها أفضل من التي يقومون - صحيح البخاري صحيح البخاري | كتاب صلاة التراويح باب فضل من قام رمضان (حديث رقم: 2010 ) 2010- عن عبد الرحمن بن عبد القاري، أنه قال: خرجت مع عمر بن الخطاب رضي الله عنه، ليلة في رمضان إلى المسجد، فإذا الناس أوزاع متفرقون، يصلي الرجل لنفسه، ويصلي الرجل فيصلي بصلاته الرهط، فقال عمر: «إني أرى لو جمعت هؤلاء على قارئ واحد، لكان أمثل» ثم عزم، فجمعهم على أبي بن كعب، ثم خرجت معه ليلة أخرى، والناس يصلون بصلاة قارئهم، قال عمر: «نعم البدعة هذه، والتي ينامون عنها أفضل من التي يقومون» يريد آخر الليل وكان الناس يقومون أوله أخرجه البخاري SUALI LINAREJEA KWAKO. NA WEWE LETE KAULI YA SWAHABA INASEMA, NEEMA YA DHWALALA AU DHWALALA NZURI. IKIWA UTAILETA NA WEWE BASI TUTAJUA KUWA IPO DHWALALA NZURI NA IKIWA HUTOLETA BASI ITABAKIA KUWA BIDA'A NZURI TU NDIO IPO ILA DWALALA NZURI HAIPO. KWAHIO HIKO KISUALI CHAKO KIBOVU NIMEONA HAINA HAJA AKUJIBU SHEKH SAID🤣, ATA SISI WATOTO WAKE TU TUNAKUTUANGA VIBAYA SANA😂😂😂.