No video

SHEIKH WALID USINGENISOMESHA UNGENIACHA TU KWENYE MAMBO YA MPIRA, NIACHE TU NITAMBE.

  Рет қаралды 47,795

SANA TV

SANA TV

Күн бұрын

HAPA UTAPATA ELIMU PAMOJA NA HEKMA,
TAFADHALI SUBSCRIBE.
.
Please Like, Comment and Do not forget to Subscribe to Our Channel (www.youtube.co...)
....
Also Connect with Us on Social Media Platforms
Like our Page on Facebook : / sanatvtz
...
Follow us on Instagram: / sanatvtz
...
Find us on Tiktok: / sanatvtz
...
#SANATVTZ #SANATV

Пікірлер: 29
@AbdulWaheedAlRawahi
@AbdulWaheedAlRawahi 4 күн бұрын
Yupo vizuri, na anastahili pongezi sana kwa kuhifadhi kwake kalima Sio rahisi kwa asiesoma.
@Swalahudintv
@Swalahudintv 11 ай бұрын
Allah atuongoze katıka haki na atujalie mwisho mwema
@HuzeifaMsomali17
@HuzeifaMsomali17 2 ай бұрын
Wewe ndio upo kwny Haki wengine wanakosea au Acha kuhukumu watu ww bado sana
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 11 ай бұрын
Maa shaa ALLAH 💚💚💚💚
@salumahmadasalum1556
@salumahmadasalum1556 11 ай бұрын
Tunaposhindiwa sisi ni pale tunapozungumza maneno matupu pasina Qur aan.pale tunapo mzungumzia mtume Muhammad swala llaahu alayhi wasallaam. Ama pale tunapoleta adhkar zetu Nisieleweke vingine mimi ni mtu NINAEIPENDA MAULIDI
@nassor8819
@nassor8819 Ай бұрын
Innali LLAH
@user-qt4lr9cx4y
@user-qt4lr9cx4y 11 ай бұрын
Fanyeni yote ila tmbueni Quruan ni mwongozo wetu ,na mtambue bado mwongozo watu awa ufwati watu awa ukumiani kupitia kuruani .
@AhmadiMadua
@AhmadiMadua Ай бұрын
Mawahabi na masalafi wanamageni sababuhawajasoma
@adnaankhanbhai7057
@adnaankhanbhai7057 3 ай бұрын
Minafiiki hio ime kutana wanaojiita waislamu
@HuzeifaMsomali17
@HuzeifaMsomali17 2 ай бұрын
Na ww Muislamu gani unawaita wenzako Wanafki huo ujasiri umeutolea wapi?
@HuzeifaMsomali17
@HuzeifaMsomali17 2 ай бұрын
Basi msijisifu Usafi kwani Allah anamjua sana aliemsafi. Qur'an 53:32
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 4 ай бұрын
Ahal Al Bidaa!!
@HuzeifaMsomali17
@HuzeifaMsomali17 2 ай бұрын
Wewe mwenzetu ushabashiriwa Pepo Tuache sie watu wa Bid'aa
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 ай бұрын
@@HuzeifaMsomali17 Ahal Al Bidaa
@uthmanmaluja7005
@uthmanmaluja7005 11 ай бұрын
Sijui wangekuwa wanaelimu Kama wanachuoni wenye kuzingatiwa ingekuwaje majigambo yake.Kila siku mnatetea majambo yenu ya kizushi hakuna dalili ya quraan Wala hadithi za Mtume swalalahu ghalayhi wasalam
@habibumuhammad730
@habibumuhammad730 11 ай бұрын
Ungeona hapo majigambo yake naa ss twatetea hatuna dalili na ww unae pinga tupe dalili ama dalili zako ni shekhe kasema shekhe kasema
@AsmanMwanza-kr5fw
@AsmanMwanza-kr5fw 11 ай бұрын
Kama hutaki mtume kutangazwa na kusifiwa tuachie ss tumsifu na tutamsifu mpaka kufa,
@abdulkhaliqmuhammed456
@abdulkhaliqmuhammed456 10 ай бұрын
Maa shaa ALLAAH Ila na wewe pia una elimu usijidharau na elimu yako yaonyesha wazi hapo uliposema 👉 GHALAYHI. Kwanza inatakiwa kila mtu ajishughulishe na mapungufu yake kwanza kisha ya wengine. ALLAH ATUONGOZE SOTE AAAMIIYN
@EtihadBega
@EtihadBega 10 ай бұрын
Lete hoja
@HijaSaid-xd7fg
@HijaSaid-xd7fg 3 ай бұрын
Usifuate jeneza la watu bidaa
@HuzeifaMsomali17
@HuzeifaMsomali17 2 ай бұрын
Sawa mwenzetu ushabashiriwa Pepo na Mtume
@babuumohd4290
@babuumohd4290 11 ай бұрын
Naomba nipewe hii ilmu kwanza nataka kujua tofauti yakusherehekewa raisi kuzaliwa na kusherehekewa Raisi kuingia kwa mji fulani zote zinakua ni sherehe za kuzaliwa Rais?
@ustadhirajabu5736
@ustadhirajabu5736 11 ай бұрын
Nenda darasan
@ustadhirajabu5736
@ustadhirajabu5736 11 ай бұрын
Humu huwez someshwa
@habibumuhammad730
@habibumuhammad730 11 ай бұрын
Tamam inshaallah jawabu sahihi kabisa njoo darasani tukufundishe
@AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm
@AbdulkareemaliyseifSeif-ob1lm 11 ай бұрын
masufi na matwarika na story zao za kujambiana
@omari-vo7dy
@omari-vo7dy Ай бұрын
Kulingana na haya maneno huyu mjamaa wao ni mufti wa kielemu ama ni kubandikwa tu jina
@Abuuabdillah259
@Abuuabdillah259 11 ай бұрын
Mjinga mmoja huyu
@user-sn4iq6cu1f
@user-sn4iq6cu1f Ай бұрын
@@Abuuabdillah259 shekhe alo usiseme hivyoooooo nivibayaa bwana abuu sasa wapata wp ujasiri wakusema hivyo wakati na ww unakosea bw. Abuu
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 40 МЛН
白天使选错惹黑天使生气。#天使 #小丑女
00:31
天使夫妇
Рет қаралды 14 МЛН
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 28 МЛН
Joker can't swim!#joker #shorts
00:46
Untitled Joker
Рет қаралды 40 МЛН