SHEIKH YUSUF DIWANI APINGA WAISLAM KUFUGA MAJINI NA KUTOA MBINU ZA KUTUMIA ILI MAJINI WAKUPE UTAJIRI

  Рет қаралды 3,411

SIMULIZI ZONE

SIMULIZI ZONE

26 күн бұрын

TUMEONGEA NA SHEIKH YUSUF DIWANI KUHUSU HABARI ZA WAISLAMU KUFUGA MAJINI KWENYE NYUMBA ZAO NA KUWATUMIA KUPATA UTAJIRI KATIKA MAISHA YA KAWAIDA

Пікірлер: 42
@KassimSalim-fi1me
@KassimSalim-fi1me 6 күн бұрын
Sheikh wangu muogope Allah usitumie Elim yko vibaya al akhy
@KassimSalim-fi1me
@KassimSalim-fi1me 6 күн бұрын
Wewe unamjuaje jini mwema na muovu wakt wew mwenyewe hujijui kuwa ni mwema uo ni uchawi in sha Allah Allah akuongoze mnaabudu majini
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 24 күн бұрын
Masha'allah tumeelimika
@KassimSalim-fi1me
@KassimSalim-fi1me 6 күн бұрын
Hadhaa saahirun kadhhaab
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 24 күн бұрын
WE UNAESEMA UISLAMU NI UCHAWI SAWA...NA UKRISTU NI UKAFIRI....HUWEZI KUFANYA IBADA UMEKAA NA MAPAJA YAKO NJE....MNALUNDIKANA WAUME KWA WANAWAKE MKIWA MMEVAA MNAVOTAKA...NI IBADA UZINZI......SHIKA DINI YAKO USIBEZE WENZAKO😊😊😊😊😊😊😊
@libhusa
@libhusa 23 күн бұрын
Wamaatakumurasulu fakudhuhu
@KassimSalim-fi1me
@KassimSalim-fi1me 6 күн бұрын
Hawa wachawi kweli ila Allah awaongoze in sha Allah
@MagangaEdward
@MagangaEdward 21 күн бұрын
Tumeelimika Asante
@user-ed1cf9nq5w
@user-ed1cf9nq5w 23 күн бұрын
Hapa umechemsha
@user-xo9rb7wj7s
@user-xo9rb7wj7s 21 күн бұрын
Assalaam'alykum,,mada ya HABARI ZANU TUNAZO iko wapi.
@user-yj5es1jw8c
@user-yj5es1jw8c 23 күн бұрын
Amna kitu hapo
@sizzle_tz
@sizzle_tz 22 күн бұрын
Wa kutegemewa ni Allah sio hao viumbe hao na riziki hutolewa na yeye
@user-hy5zd5rn6r
@user-hy5zd5rn6r 24 күн бұрын
Maji yalimwagika...hayazoleki
@KassimSalim-fi1me
@KassimSalim-fi1me 6 күн бұрын
Wew na dr Sule mchen Allah mmekula san mali za waislam kwa njia chafu
@KassimSalim-fi1me
@KassimSalim-fi1me 6 күн бұрын
Jiepushe na Mambo saba yenye kuangamiza
@KhalfanMakota
@KhalfanMakota 24 күн бұрын
Sasa hapo mungu ataombwa kwel na waja wake ikiwa kuna abuu yusuufa huu ni wazi shirki kimbilio la muumin ni allah tu na c kiumbe
@KassimSalim-fi1me
@KassimSalim-fi1me 6 күн бұрын
Nyie wenyewe sio wema then muwajue wema wew si ulimwita abu Khaulat zayuni la kiyahudi ittaqu Allah
@KassimSalim-fi1me
@KassimSalim-fi1me 6 күн бұрын
Pia unawaita waislam mazayun wa kiyahudi na wengine unawaita wakatoliki na na una chuki dhidi ya waislam mche Allah kumkufurusha muislam kwa kumuita myahudi kisa amekuamia hakuna uhusiano kati ya bangili ya shaba na kuparalize
@HassanOsimine
@HassanOsimine 23 күн бұрын
hapa hela imetembea
@KassimSalim-fi1me
@KassimSalim-fi1me 6 күн бұрын
Unamwita kwa kutumia njia gni
@AliAli-lu7or
@AliAli-lu7or 3 күн бұрын
Hawa wachawi wanga wanaochomeka misumari ya jahazi kwenye mibuyu kurogana mambo haya yameenea ktk miji ya waislam kutokana na mashekhe kamanyinyi mcheni Alwah
@iradukundalvs4423
@iradukundalvs4423 16 күн бұрын
Sasa sheikh tukukuombe number utuleteye huo jini mwema kbx
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 22 күн бұрын
Kama wapo wema wa kukuletea pesa kwanini wewe usiwe wa kwanza kuwatumia hao wema wakakupa pesa acha kudanganya watu wadanganye wajinga we mwenyewe hapo ulipo masikini wa kutupwa. Wewe hizo pesa hauzitaki?
@KassimSalim-fi1me
@KassimSalim-fi1me 6 күн бұрын
Uongo mkubwa
@jesusislord9190
@jesusislord9190 24 күн бұрын
Uislam ni uchawi
@Muswlih
@Muswlih 22 күн бұрын
Ndo wachawi wenyew hawa
@libhusa
@libhusa 23 күн бұрын
Usi zue zue sheikh
@Benjathekingofficialtv
@Benjathekingofficialtv 24 күн бұрын
Hawa watu wanakuaga waongo eeeh 😂😂😂
@ramakazina170
@ramakazina170 19 күн бұрын
Waongo tena si kidogo mataperi kabisa.😢😢😢
@oklahommy9838
@oklahommy9838 19 күн бұрын
Huyu sheikh angekuwa tajiri basi kama anauwezo wakumuita jini akampa sijui dhahabu ili awe tajiri .....waongo na matapeli saana hawa
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 22 күн бұрын
Ibuni taimia ni nani we mshirikina mkubwa sisi hatumfuati taimia na hiyo ya mtume umedanganya mtume hakuwa akienda kuwalingania majini isipokuwa ilikuwa mara moja tu na hata hivyo majini siku hiyo ndio walimuomba mtume aende kuwalingania na akakubali ombi lao na akaenda na ilitokea mara moja tu acha kudanganya watu mshirikina mkubwa wee.
@KassimSalim-fi1me
@KassimSalim-fi1me 6 күн бұрын
Suali mtume alikuwa akiwatumia majini wampe utajiri
@AliAli-lu7or
@AliAli-lu7or 24 күн бұрын
Walinganiaji ktk milango ya jahannam watu tulivyo wajinga tumaishi ktk shirki Kisha munakuja watukama nyinyi munatufungulia malango ya shirk namuomba Alwah awahifadhi sh kondo,shaff nanyinyi awaongoze nihatari mm ñahisinimaslahi yakidunia
@AliAli-lu7or
@AliAli-lu7or 24 күн бұрын
Mimi nibora nibakimjinga klk kisomeshwa na mtu kama huyu sababu Mimi binafi sijui kwauhakika Imani ya binaadam mweza ngu ninaemuona itakua jinni acheni kuabudu twaghiti muaminini Alwah pekee
@libhusa
@libhusa 23 күн бұрын
Sheikh hiyo ni yakwako usiwapoteze umma
@AliAli-lu7or
@AliAli-lu7or 3 күн бұрын
Sasa sisi tumuombe jinni Abuuyusuf tumuache Alwah hiyo tauhid ikowapi kasemakweli Alwah kama mtawatii wengi waliopo ardhini watakupoteza uiache njia ya Alwah
@IdrissaMoussa-tx7jy
@IdrissaMoussa-tx7jy 24 күн бұрын
Bin adam na majini sisi wote nivyiumbe wa mungu ila majini na bin adam hatuwezi kutumikana,sababu sisi hatuwawone ila wawo wanatuwona. Mwislam ukitumika na majini uyo ni mushilikina
@jesusislord9190
@jesusislord9190 24 күн бұрын
@@IdrissaMoussa-tx7jy uislam ni uchawi ndio maana mnashirikiana na majini
@Kalaharidesertstorm
@Kalaharidesertstorm 24 күн бұрын
Mrongo 😂
@Thabitilubunani
@Thabitilubunani 24 күн бұрын
Muwongo ww unasubiri nini kupewa izo dhahabu
@ramakazina170
@ramakazina170 19 күн бұрын
Haswaa muongo kweli kweli
@ramakazina170
@ramakazina170 19 күн бұрын
Hawa watu sio watu wa zuri maana wanaongopea watu sana.
Я обещал подарить ему самокат!
01:00
Vlad Samokatchik
Рет қаралды 8 МЛН
НРАВИТСЯ ЭТОТ ФОРМАТ??
00:37
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 8 МЛН