USTADHI KONDOBUNGO ATOA SIRI ZA MASHEIK NA WAISLAMU WENGI KUVAA PETE, DR SULLE NA MBOGO WAPEWA SOMO

  Рет қаралды 6,353

SIMULIZI ZONE

SIMULIZI ZONE

8 күн бұрын

TUMEPATA NAFASI YA AKIZUNGUMZIA PETE NA NGUVU ZAKE KATIKA OFISI YA SHEIK KANDABUNGO NA TUMEPATA SOMO LA KUJIFUNZA TAZAMA HAPA

Пікірлер: 26
@user-ft8cb3rq2k
@user-ft8cb3rq2k 6 күн бұрын
Sheikh Yuko, vizuri Sanaa..
@Abdulrahmanhassan18
@Abdulrahmanhassan18 Күн бұрын
Hayaa ni maarifa makubwa sana
@user-ow2jv4vn8b
@user-ow2jv4vn8b 3 күн бұрын
Hata utajiri mtu anaweza kufanya maalifa ukawa tajiri hii haipingwi kabisa
@yusuphomary7410
@yusuphomary7410 4 күн бұрын
Msikilize sheikh anachokiongea usikurupuke kwenye uchawi. Msikilize Kwa umakini ili umuelewe.
@sospetermwakoma910
@sospetermwakoma910 6 күн бұрын
4NIPE NAMBARI YA SHEIKH
@sospetermwakoma910
@sospetermwakoma910 6 күн бұрын
NIPE NAMBARI YA SHEIKH
@JumaAthuman-bk6hx
@JumaAthuman-bk6hx 5 күн бұрын
HAPO HAKUNA USOMI WA DINI ZAIDI YA USHIRIKINA UKIONA MAPETE HAYO UJUE NI MSHIRIKI NA, WAEPUKENI HAO.
@sawebenjamin4015
@sawebenjamin4015 5 күн бұрын
Msingi wa uisilamu ni kupenda wenyewe kwa wenyewe na kusaidiana na majini ndugu zao.
@mussashaha-iv7gg
@mussashaha-iv7gg 4 күн бұрын
wewe ni mpumbavu huelewi hujui Mungu kaumba nini
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 3 күн бұрын
Kwani wewe una utofauti Gani na majini
@sulekhan7119
@sulekhan7119 Күн бұрын
Sawa
@nabiimgongolwa8728
@nabiimgongolwa8728 9 сағат бұрын
VIONGOZI WA DINI ACHENI MAMBO YENU BINAFSI FUNDISHENI IMANI YA DINI. MAJINI MAJINI WHAT IS MAJINI BWANA.
@msemakweli243
@msemakweli243 6 күн бұрын
Nishawahi kusema narudia tena shetani hana uwezo wa kusema kitu kuwa lakn ana uwezo wa kufanya chochote kupitia vitu mfano pete,cheni,bangili na mengineyo
@bilid4128
@bilid4128 6 күн бұрын
Hapo kwenye neno "kuwa lakn" umeniacha kidogo tafadhali naomba ufafanuzi kidogo
@msemakweli243
@msemakweli243 6 күн бұрын
@@bilid4128 sijaweka mkato ndo maana unasema nimekuacha (kitu kuwa)
@ayubutwalbu6594
@ayubutwalbu6594 6 күн бұрын
Kwahyo wewe mzee kati yahawo walio toa elimu ya falaki na wewe mwenyeelimu ninani yani umejikanyagakanyaga sana
@msemakweli243
@msemakweli243 6 күн бұрын
@@ayubutwalbu6594 yeye huyo mwalimu amejitoa katika ushirikina, lakn inabidi ufahamu kuwa hiyo elimu ya farak ni ushirikina amabo sheh yoyote lazima asome
@user13375
@user13375 5 күн бұрын
Misir ndo uchaw ulipoupatia😮😮
@igurusitv6553
@igurusitv6553 6 күн бұрын
Uislamu ni uchawi mtupu
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 4 күн бұрын
Acha chuki za kidini
@mussashaha-iv7gg
@mussashaha-iv7gg 4 күн бұрын
wewe huelewi uislam ndio dini ya kweli hakika kama unataka kujua nitafute
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 4 күн бұрын
Uislamu sio uchawi, uislamu ni dini ya haki ambayo imeridhiwa na Mwenyezi Mungu, uislamu unakataza kufanya uchawi, uislamu unatambua kuwa uchawi upo lkn uislamu hauruhusu kufata na kufanya uchawi, kwaiyo usiuchafue uislamu kwa chuki zako, pinga kielimu na sio kichuki
@sospetermwakoma910
@sospetermwakoma910 6 күн бұрын
NIPE NAMBARI YA SHEIKH
@sospetermwakoma910
@sospetermwakoma910 6 күн бұрын
NIPE NAMBARI YA SHEIKH
@joezeno8
@joezeno8 5 күн бұрын
@@SIMULIZIZONENafikiri ulirusha hii kipindi part 2 mbele badala ya part 1
@JumaAthuman-bk6hx
@JumaAthuman-bk6hx 5 күн бұрын
Acha kughulika na washirikina hawa utapoteza muda wako na kupigwa vijisenti vyako.Hawa ndo matapeli kwa kivuli cha dini,na ndo wanachafua uislamu
Alat Seru Penolong untuk Mimpi Indah Bayi!
00:31
Let's GLOW! Indonesian
Рет қаралды 16 МЛН
Каха и суп
00:39
К-Media
Рет қаралды 3,6 МЛН
3M❤️ #thankyou #shorts
00:16
ウエスP -Mr Uekusa- Wes-P
Рет қаралды 14 МЛН
WAKRISTO WA MADHEHEBU TOFAUTI WAHITILAFIANA JUU YA BIBLIA
57:21
Straight Path Dawah
Рет қаралды 8 М.
KIMETOKEA NINI BAADA YA KUFA HAMZA- SIMBA WAMUNGU - DR SULE
30:12
HAJI ONLINE TV
Рет қаралды 57 М.
MAALIM SIASA AMWAGIKA MCHOZI AKIMUELEZEA HAJJAT BI.AKIBA
30:23
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 119 М.
Alat Seru Penolong untuk Mimpi Indah Bayi!
00:31
Let's GLOW! Indonesian
Рет қаралды 16 МЛН