SHEIKH MZIWANDA ALLAH ATAKULIPA KHERI DUNIANI KABURI NA KESHO AKHERA SIMAMA KWENYE UKWELII AKHERA KUNA RAHAA DUNIANI TUNAPITA
@aishaaisha14953 жыл бұрын
Amiin
@sharifumussaalaadabiy90013 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/m4W3eYF_f61sjZI haya haya njooo uone miujiza ya QUR'AN kutoka karne ya 7 mpk leo karne 21 wanasayans wanashangaa namna yamchanganyiko wa mbegu yababa na mama
@FridayMwassa4 күн бұрын
@@sharifumussaalaadabiy9001Miujiza ya Mungu siyo koran
kzbin.info/www/bejne/m4W3eYF_f61sjZI njoo uone miujiza ya ya QUR'AN namna yamchanganyiko wa mbegu yababa na mama
@hilmialjahdhami97873 жыл бұрын
ASANTE SANAA SHEIKH MZIWANDAA ALLAH ANAKULINDA NA ATAZIDI KUKULINDAAA
@abowsudes2103 жыл бұрын
Shida matumbo yanawatesa sanaa
@sharifumussaalaadabiy90013 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/m4W3eYF_f61sjZI njoo uone miujiza ya QUR'AN kutoka karne ya 7 mpk leo karne ya 21 wanasayans wanashangaa namna yamchanganyiko wa mbegu yababa na mama
@al-aminwangara19283 жыл бұрын
Maasha allaah .ahsanta sana sheikh mziwanda yani maneno haya umewawakilisha wengi
@AbuuRuudaynaa3 жыл бұрын
Shekh Muharramu Mziwanda Allah akulipe kheri nimekuelewa vizur sana
@hamidashaban12033 жыл бұрын
Shekh mziwanda Allah akuhifadhi na kila baya hakika Allah anampenda mwenye kusema kweli na anamchukia mnafiki umesema ukweli mtupu utakaa na mtume peponi firdaus katika waumini kuna wanaume bwana!! Safi sana .Serikali siyo mbaya sisi ndiyo wabaya. mbwa mwitu humla mnya aliyejitenga na wenzake Tupendane kwa ajili ya Allah natuchukiane kwa ajili ya Allah.
@hawakassimu61203 жыл бұрын
Napenda sana mtu jasiri asieogopa anaesimama na ukweli, mimi si mtu wa maulid lakini nimekupenda sana kwa ukweli wako, allah akulinde na fitna shari na husda za walimwengu
@AbuuRuudaynaa3 жыл бұрын
Ukht umesea kweli kwamaneno haya mwenye akili atayatia akilini
@mohammedrajabu74493 жыл бұрын
Allahumma amiin🙏
@sharifumussaalaadabiy90013 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/m4W3eYF_f61sjZI njoo uone miujiza ya QUR'AN kutoka karne ya 7 mpk leo karne ya 21 wanasayans wanashangaa namna yamchanganyiko wa mbegu yababa na namama
@johannesjoseph74963 жыл бұрын
Owamae ago mazima
@mutomubaya3 жыл бұрын
Pongezi ukhtinaa. Tuhimizaneni kufuata vyema mafundisho ya Uislamu kwa kuwa bila shaka tutaulizwa kuhusu tuliyokuwa tunayatenda.
@AbdullahAbdullah-fz9xg3 жыл бұрын
Alie sikia jamaa akisema zaidi ya mkwawa like hapa
@kijitamfyomi55983 жыл бұрын
Kajitoa muhanga kusema ukweli Allah amlinde na maadui wa uislamu inshaaAllah ameen
@mohammedrajabu74493 жыл бұрын
MaashaaAllah sheikh mziwanda Jazaakallahu khaira mwenyezimungu akubaariki kwakuongea ukweli na allah akulinde na hila za wanaafiqi
@mmadiausiy98103 жыл бұрын
Mnafiki haingii peponi , kweli waache unafiki ALLAh anawapenda wasio wanafiki, ALLAh akulipe kher hapa duniani na akhera uendako! Mziwanda
@noorynmohammedy60633 жыл бұрын
Duuuh wallah nimekupenda we sheikh kwaajili ya Allah Mwenyez Mungu akuifadh zaid.
@fadhilshafi29473 жыл бұрын
Sema kweli japo Chungu ! mafundisho kutoka kwa bwana Mtume Muhammad s.a.w ✅
@chondihussein99393 жыл бұрын
Swadaktaaaaaa,,,nimefurah Sana huo ujasiri ndio unaohitajka,,, kwa Tanzania upo mwenyewe mwenye ujasiri huo,,,, Allah akulipe kila lenye kheriiii,🙏🙏
@sharifumussaalaadabiy90013 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/m4W3eYF_f61sjZI tazama maajabu namiujiza ya QUR'AN dhid ya mchanganyiko baina yababa na mama
@seremenikibwene86333 жыл бұрын
Ama Hakika Binafsi Nakuombea Duaa ! (ALLAH) Azidi kukupa Msimamo Thabiti, Uzidi Kuutetea Uislam, m/mungu akusimamie.
@sharifumussaalaadabiy90013 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/m4W3eYF_f61sjZI tazama maajabu namiujiza ya QUR'AN dhid mchanganyiko baina yababa namama
@hajikakola72423 жыл бұрын
Nakuombea dua (ALLAH) akujalie uwena msmamo huohuo utetee uislam
@abubakarmalezi69743 жыл бұрын
Allah Akbar Allah akuzdishie maalim
@sadikisalumu86683 жыл бұрын
Allah akulinde leo na kesho Akhera shekh Mziwanda
@asyahassan13083 жыл бұрын
Nimekupenda shekhe.kwa msimamo wako Allah akujaalie kher kwa kila hatua
@niite_cousin13623 жыл бұрын
Manshaalllah hivi ndo ulimwengu unahitaji watu kama hawa
@killarmancity75993 жыл бұрын
Watakuchukia machoni mwao ila mioyo inawasuta kwa kweli, Shekhe umejitoa sana tena sana 🙏🙏🙏🙏🙏 , Mungu atazidi kukulinda mkuu
@sidkas23183 жыл бұрын
Sheikh Allah akuhifadhi..msg SENT...Maneno yako machache na ujumbe unafika..Allah akuhifadhi
@sharifumussaalaadabiy90013 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/m4W3eYF_f61sjZI haya njoo uone miujiza ya QUR'AN kutoka karne ya 7 mpk leo karne ya 21 wanasayans wanashangaa namna yamchanganyiko wa mbegu yababa naymama
@faridahassan7693 жыл бұрын
Atali
@KilimbikeHaji-iy2fm2 күн бұрын
Sema shekh mungu atakulipa wapo wengi wanafiki kama hao
Makanisani hakuna kupingana atakavyosema mchungaji ni yes yes yes hata kama muongo huu utaratibu utaupata kwa waislam mtu haezi ongea mbele ya waislam jambo lakupotosha ama llisilo ushahidi wa vitabu ama fitna lazma utaulizwa ukweli wa maneno yako
@FridayMwassa2 күн бұрын
@ustadhfarouq7729 Waislam ni wanafiki si umemsikia huyo shehe wako,sisi wakristo tuna utaratibu maana Yesu wetu hakuwahi kupigana na mtu yeyote, huwezi kumwambia kiongozi wako hivyo kwa lengo la kumdhalilisha mkubwa wako.Wenye busara wanaitana na kuonyana
@ibinhussein85613 жыл бұрын
Maashaallah Allah atakulinda sheikh Muharami Mziwanda 💥
@bellbell92943 жыл бұрын
Shukraan Sana sheikh wetu Allah akuhifadhi jazaka Allahu kher
@amurisabiti70372 жыл бұрын
Allah akupe muongozo mwema Insha'Allah sheihk wetu ❤️🇨🇩
@sharifalienike6313 жыл бұрын
Mashaallah live long my uncle you are best of my favourite big up
@hamilhassan94643 жыл бұрын
Dini na nasaha mwambie mufti aache aache kuchanganya dini na ukafri
@muhammadkipangatv26742 жыл бұрын
.
@suleimaniabdallah67423 жыл бұрын
Mashekhe wengi wanafiq sana hongera sana shekhe
@asiakinia93443 жыл бұрын
Shukran shekhe wetu muharram mziwanda Allah akupe hitaji LA moyo wako inshaallah
@swahiliforex3 жыл бұрын
Kazi Ya Dini Ngumu Sana - Sheikh Mziwanda
@masoudyrashidy90413 жыл бұрын
Allah atakupa cheo chako peponi in sha Allah
@sharifumussaalaadabiy90013 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/m4W3eYF_f61sjZI tazama maajabu namiujiza ya QUR'AN dhid ya mchanganyiko baina yababa na mama
@hassanmpwepwe82583 жыл бұрын
Kwer kabisa shekh wangu ujumbe umefika mashaallah
@kijitamfyomi55983 жыл бұрын
Allah azidi kuwadhihirisha wengi wa mfano wa sheikh Mziwanda ameen.
@ramsofundi22223 жыл бұрын
Swala swala Bob deo Shukrani pia Allah ampe afya sheikh
@husseinchiaseeds26533 жыл бұрын
Shukran shekhe watu kama wewe ni hazina ya taifa hili ambalo wanafki wengi wamejipenyeza ktk dini ili washibishe matumbo yao
@tindambaraka23573 жыл бұрын
MAASHAALLAH JAZAAKALLAH UJUMBE MURWA!
@sharifumussaalaadabiy90013 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/m4W3eYF_f61sjZI tazama maajabu namiujiza ya QUR'AN dhid ya mchanganyiko baina yababa na mama
Wallah wamebaki wachache sana hapa kwetu. Allah akulipe kher shekh wetu.
@saidysuleiman53603 жыл бұрын
Wanafiki hawo wanatumika vibaya
@rashidlikongo50223 жыл бұрын
Walay nasema masheikh wote. Wangekuwa kama hivi hakika dini isingekuwa na wababaishaji,kiukweli sheikh mziwanda nakupenda toka moyoni mungu akuhifadhi duniani Hadi kesho ahera
@jasminismail78513 жыл бұрын
Asante shekhe wangu allah akupe maisha marefu
@allykinono26813 жыл бұрын
Inshallah mungu akupe ujasiri lshaallah
@bandajr22053 жыл бұрын
Naomba msaada wa kumuona sheikhs mziwanda
@maherzain25553 жыл бұрын
Hawa ndo masheikh tunawataka, unafiq utaondoka tukiwa wawazi haina haja ya kuogopana.......mashaallah ...tumuombe Allah amjaalie umri mrefu wenye kheri zaidi......!
@dr.aboufawzan52153 жыл бұрын
Ni kweli kabisa Sheikh mziwanda watu wamezidi utadhani atakaa kwenye iko cheo milele.
@ahmuhally44303 жыл бұрын
Umetisha sana Sheikh
@ashrafchillah9857Ай бұрын
Nilitamani Siku Mmoja Nikuone Bayana Ila Leo Alhamdulilaah Nimefanikiwa Kukuona Na Kuongea Na Wewe @Muharaam Mziwanda Allah Akuwekee & Atujaliie Mwisho Mwema Sisi Sote AMIIN Shukran Kaka @Amiri kikwa 🙏
@saidhamisi27953 жыл бұрын
Ustadh Allah atakulinda InshaAllah ww na familia yako Allah akakulipe ujira wako siku yakima InshaAllah
@sharifumussaalaadabiy90013 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/m4W3eYF_f61sjZI tazama maajabu namiujiza ya QUR'AN dhid ya mchanganyiko bain yababa na mama
@omarimasanga3 жыл бұрын
Shekhe Mziwanda Umenifurahisha sana
@dr.aboufawzan52153 жыл бұрын
Subhanallah yaani hao waliopewa Mamlaka juu kuwasimamia Waislam wenzao baadhi yao wanayatumia Mamlaka yao kwa Maslahi yao binafsi. Jamani tumche Allah siku ya Kiyama ni siku mzito sana .
@haithamrubea17263 жыл бұрын
Nimeona clip tu status nikaona bora nije nifaid mwenyewe mashaallah shekhe
@tumaramadhanghulaam2473 жыл бұрын
Namm shogaangu
@blackmedia49623 жыл бұрын
😅 kumbe tupo wengi
@mariamsaid10933 жыл бұрын
Mi nimeona clip insta
@shabaniramadhani41093 жыл бұрын
Mi nipo Arusha hata mimi niliona Fb
@haithamrubea17263 жыл бұрын
Inshaallah mungu awajaalie kheri mashekhe wetu wazid kutuelimisha na awaibishe ao mashekhe wanafiki mmoja badala mmoja
@namirihamisi38993 жыл бұрын
Vheo chako utakipata kwa Laillah illah muhamad rasulullah.
@dm-rv5mf3 жыл бұрын
Laillah illallah Muhamada rasulullah
@osamamoha10033 жыл бұрын
@@dm-rv5mf mulidi bida
@roi25533 жыл бұрын
Maashallah shehe Shekh ataki dhambi ya kusengenya yaani anawachana live live bila chenga na ukweli umepenya wazi wazi hivi ndivyo Mungu anataka na ndio mana ya uislamu Kwa sababu pia hata dini inasema kitu likiwa kibaya basi zuia kwa nguvu yaani mkono wako na kama huwezi basi ata kwa mdomo yaani nena na vyote hivyo vikikushinda basi chukia yaani pingana na mabaya Qul haq wainkana murua
@mpokijackson1421 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu ni wa haki, mwenyezi Mungu ni kweli, wewe umesema kweli na haki, na ukitaka kuwa rafiki na dunia nikutafuta uadui na mwenyezi Mungu, na ukiwa adui na dunia ni kuwa rafiki na mwenyezi Mungu. Ndugu umechagua fungu jema la kuwa rafiki na mwenyezi Mungu. Akupe kheri zaidi .
@azizauledi41083 жыл бұрын
MashaaAllah Allah akuhifadhi sheikh mziwanda sema ukweli japo unauma wakuogopewa ni Allah si viumbe .huo ndio uislam sio ubabaishaji.
@abasadidal73 жыл бұрын
ALHAMDULILLAH, pili shukrani sana mwamba wangu mwenyewe Sheikh Mziwanda. Uislam ni ukweli hivyo wakinuna kwa kuambiwa ukweli waache wanune
@KilimbikeHaji-iy2fm2 күн бұрын
Safi sana shekhe upo sahihi sana sema ukweli
@naimaabdul1423 жыл бұрын
Ibada toshaaaa nimependa
@ummukhadija1551 Жыл бұрын
Shekh mziwanda umeongea pointi saana wallah sema Nini kuna wengine wanaogopa kusema ukweli japo wanayaona yanayo tendeka ilaweye umevaa ujasili hasaa Allah akuongoze naa akuepushie yooote mabaya yasasa nayajao
@saidnajika33213 жыл бұрын
MUNGU AKUONGOZE NA AKULINDE AKUEPUSHE NA MABALAA AZIDI KUKUPA HIKIMA AMINA
@fikirinijr68073 жыл бұрын
Maa shaa allah... Allah amlinde huyu Shekh
@mohdsaid50383 жыл бұрын
Mashaallah kama maneno yk yanaendana na moyo wako basi Inshaallah Allah atakulipa kwa msimamo wako huo ndio ukweli
@radisafaa66763 жыл бұрын
Asante sana sheikh alhamdullillah kwa kusema ukweli hio ndio haki ipiganiwe kwa ukweli km hivo
@shabanimkuruma46073 жыл бұрын
Yaan tungekuwa na mashekhe kama hawa 10 tu kuna baadhi ya tabia za mashekhe wanafiki zingepungua,wanatia huruma sana mashekhe wanao jifanya wako karibu na serikal wapumbavu sana wanaharibu dini yetu,Asante sana shekhe dawa imewaingia hao wanao jifanya mashekhe pesa
@yahyahamad18023 жыл бұрын
Ahsante shekh mziwanda na ujumbe huu umfikie alhad mussa
@madjaliwamausse5879 Жыл бұрын
Allah ukulipe sheikh Kutoka Congo DRC, uyo ndo wislamu,' si kupapasana👏👏👏
@castobenjamin40742 жыл бұрын
Nimempenda huyu Sheikh 🔥🔥🔥
@alakhy94483 жыл бұрын
Mimi sio mtu ninayekubali mawlid,lakini shekhe mziwanda nampenda sana licha ya kuwa napishana nae misimamo. Lau kama nitakuwa nipo dar es salaam nitaenda kuhudhuria darsa zake
@AbuuRuudaynaa3 жыл бұрын
Nikweli kabisa
@FahadHamzaMwadin-ym6gn Жыл бұрын
Nakupend sana mziwanda kwa ajili ya Allah ni kweli waliokaribu na viongozi wapunguze unafik
@boyhamimboy53843 жыл бұрын
Allah akupandishe daraja hapa duniani na kesho akhellah inshallah
@shammoha52973 жыл бұрын
SubhanaAllah. Masheik wote Mola awahifadhi. Ameen!
@baitulquranallyibrahim31853 жыл бұрын
Aamin
@joharindaro30753 жыл бұрын
Nyie ndio tuna wategemea mashehe mwenyezi mungu azidi kukupa ujasir shehe wetu
@cidewashington6702 жыл бұрын
Waambie hao, Allah akupe hekima ktk kufikisha ujumbe kwa waislamu wote Duniani
@rudhwanjumbe29703 жыл бұрын
Shukran sana shekh wangu bora umesema kwa uwaz kuliko unafiki
@mohamedkikunge54173 жыл бұрын
Mashaallah sheikh ALLAH akuifadhi na kila hasad husda chuki na roho mbaya za wanafk leo umezungumza kweli mbele ya jamii sio kona kona akika yakweli huwa aijifichi inshaallah watu kama weye ndio wanastail kuwa ktk hak
@fatmasayid88953 жыл бұрын
Sheikh mziwanda mashalwa M.mungu akubariki na akulinde kina shekh wa mkoa hao wanaotoa duwa zao hatujawahi kuzisikia
@eddyjustin58903 жыл бұрын
HIKI NI CHUMA CHA RELI 2020 ALLAH AKULINDE
@ibrahimdabo71633 жыл бұрын
Safi sana shehe wambiye ao mashehuna wasaka tonge mashehe ubwabwa hahahaaa
@amirytwaha52533 жыл бұрын
Asante sheikh mziwanda Allah akulipe
@abdulazizitwalib58593 жыл бұрын
Sema kwely japo kuwa chuguuu. Mashallah mashallah mashallah
@sharifumussaalaadabiy90013 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/m4W3eYF_f61sjZI tazama maajabu namiujiza ya QUR'AN dhid ya mchanganyiko baina yababa na mama
@kungurukingunge27613 жыл бұрын
Kwa hili shekh ujira wako mbele ya Allah ni mkubwa umewapa ukweli roho yako ipo safi mashallah
@directorjb9231 Жыл бұрын
Jazakallah haili
@asilclub3 жыл бұрын
WAPE KAZI ZAO BARAKA ALLAHU FIKI MUNGU ATAKUSAIDIA
@saidwambura24613 жыл бұрын
Alhamdulillah! Allah akuhifadhi sheikh amahakika mashekh wetu wangesimama ktk haki uisilam ungekuwa madhubuti,Allah akupe mema ya dunia na aghera
@mudydady98993 жыл бұрын
Mashallah shekhe msema kweli yupamoja na mola
@rashidimussa32943 жыл бұрын
Allah atakulipa kheri shekh 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@hamisi_kwichu2 жыл бұрын
Shekh Allah akuweke uislamu ndivyo unavyotaka tusiwe wanafki"
@ukhtynaa0052 жыл бұрын
Allah Akbar Allah Akbar Allah akuhifadhi sana na akupe hima zaidi
@aisharamadhaniothumani20713 жыл бұрын
Asante sn ushawafikishia ujumbe wa wanafiki mana kuna watu wambea kweli
@imanisahani23013 жыл бұрын
Safi sana kwa ujumbe wako shehe mimi mkristo ila huu ujumbe sawa na Safi sana
@allyfutto87633 жыл бұрын
Mashaallah miakahii pepo itakuwa rahisi sana maana watu wana pendana wanaambiana ukweli waziwazi.🧿🕌
@yussuphsultan14003 жыл бұрын
Naona kama warithi wa shekhe wangu Ilunga wanakuja Sasa, mashaa Allaah
@rahmajuma611210 ай бұрын
🤲Allah azid kukuhifadh shekhe wetu..
@nshimirimanadjamilla72703 жыл бұрын
Shukran sheikh umewongeya kweli ndio dini Allah amuhifadhi Allah akulipe kheri
@binbaya9233 жыл бұрын
Maa shaa Allah. Massege send and deliver
@hamisijuma28253 жыл бұрын
Shekhe nimemuelewa Sana🙏🙏
@emilyibraimo50323 жыл бұрын
Mashallah we ndo shekhe mashehe wengi saivi wapo kimasilahi yao tu
@binmungiadinininasahachane58883 жыл бұрын
Mashallah
@mename60203 жыл бұрын
Allah akulinde na hasada... Shukran..
@mohammedmmari54593 жыл бұрын
Ujumbe umefika salama Allauma amiina 🤲🤲🤲🤲🤲😁🤣🤣🤣
@farajimwaipaya86343 жыл бұрын
Mashekh kama hawa adimu sana mungu akusimamie kwenye ukweri unafki ndio unaifanya dini ionekane ngumu wakati nyepes
@hilalakida70163 жыл бұрын
Allah akuifadhi shekh mziwanda
@alisaidi74773 жыл бұрын
Nataman sheikh wangu UJEE MSIKIT MKUU WA ARUSHA MJINI..... hapo napoo MTIHANI QELI QELI....