SHEKH WALID AWATAHADHARISHA NA KUWATAJA MAIBILIS WANAOCHUKIA MAULIDI KIPINDI HIKI WATAUMIA VIBAYAA..

  Рет қаралды 9,170

Saimu gwao Online tv

Saimu gwao Online tv

Күн бұрын

Saimu Gwao Online Tv ni chanell inayojihusisha sana na vipindi vya dini vyenye mafunzo kwa jamii na matukio tofauti yenye manufaa Tunapatikana Masjid Mtoro Jijini Dar Es salaam. Kwa mawasiliano zaidi 0713471090

Пікірлер: 55
@saniakhalfan1325
@saniakhalfan1325 Күн бұрын
Ahsante sheikh Walid
@BilalAbubakar-uf1qp
@BilalAbubakar-uf1qp Күн бұрын
Kwani mashindano ya qur'an aliyaanzisha mtume mbona mpaka nyie wapinga maulid mnaandaa mashindano hayo kwann basi acheni msifanye kwa sababu hakuanzisha mtume
@w4058
@w4058 Күн бұрын
Zilikuwa enzi za Maulamaa walokuwa wamebobea kwa Imani ya dini kweli Yaqini za kweli taqwa kubwa wakiheshimiana Alhamdulilah Rabilaalamin ndio maana wakitawal kumuomba Allah walikuwa hawacheleweshei maombi yao tena walikuw na Subra sio papara
@fatnasaidi3027
@fatnasaidi3027 2 күн бұрын
Tena wanaumianwanataman kupasuka Cha ajabu wapo online wanaangalia
@user-nw1ib6qg5x
@user-nw1ib6qg5x 2 күн бұрын
Usicho kijua hakuna anaekasirika kwa lipi kila mmija ataenda peke take yeye na allah wakati anamuuliza yakumuuliza sasa ukiwa mtu wa kusema wanaumia hakuna wala msijidanganye haumii mtu
@allyally5156
@allyally5156 2 күн бұрын
​@@user-nw1ib6qg5x ndio Kila Moja ataukizwa mnavyoutukadi kwamba tunapata zambi Kila mmoja apambane na zake Sasa ila sisi mtume tutaendelea kumuenzi na kuswalia
@omaryjumas6327
@omaryjumas6327 2 күн бұрын
​@@user-nw1ib6qg5xMnaumia tena kupita kiasi, mnamsaidia Ibilisi katika kuumia.
@KimanguShemwaliko-ht2jr
@KimanguShemwaliko-ht2jr 2 күн бұрын
Hatuangalii mnachokifana tunaangalia mnacho kusema,mnatetea haki au mpo kichawa,ubatil,nmatumbo?
@hassanmsumari1200
@hassanmsumari1200 2 күн бұрын
Wasomeeni wasio julikana
@sadambakari2579
@sadambakari2579 11 сағат бұрын
Mawahabi wanasema uwongo lakini bado wanasikiliza uwongo acheni unafiki huo someni sio kisiliza ili mtukane masheikh zetu waliokaa chini nakusomeshwa vizur
@MussaJangwa
@MussaJangwa Күн бұрын
Kama Mauid hayafai Basi tuacheni sisi na mtume wetu Lkn cha Ajabu mpo online mnaangalia Maulid Hyo ndo sharaf ya Bwana mtume Muhammad (s.a.w) Mnapinga lkn mpo online!!!!
@radhiambwana3353
@radhiambwana3353 Күн бұрын
Ayatul qurusiyu kama ilisomwa Kwa Nia naiamin Allha aliitika na baa ikafa kwautukufu Quran inawezekana.
@rajabumsuya-hg8jd
@rajabumsuya-hg8jd 12 сағат бұрын
Mnatumia nguvu sana ila ukweli ukijulikana uongo unakaa mbali
@user-ko3nv8hn6i
@user-ko3nv8hn6i Күн бұрын
Salafi wasome kwanza tunaishinao hawana elimu hata kidogo wanafundishwa kibri
@DafiMohamed-dz8xk
@DafiMohamed-dz8xk Күн бұрын
Ma Shaa Allah
@w4058
@w4058 Күн бұрын
Wako sawa sawa maana sio Mtume aloanzisha Maulid wacheni wenyewe nyie hamtaki mwenzake iwe basi heee
@jumamukoko6662
@jumamukoko6662 16 сағат бұрын
Sherehe ina maana kubwa saana, Mtume alifunga swaum kwa ajili ya siku yake kuzaliwa, sisi tunatoa historia yake katika kusheherekea kuzaliwa kwake, kwa kifupi naye alishehrekea na kuzaliwa kwake, kama hampendi nyie acheni
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Күн бұрын
Maulidi hayakuwepo wakati wa mtume
@HajiMgwami
@HajiMgwami Күн бұрын
HATA QU AN UNAYOSOMA LEO MTUME HAKUWAI KUOSMA WALA KUISHIKA, JUZUU TUNASOMESHEA WATOTO HAZIKUWEPO ZIMEGAWANYISHWA NA WAIRAN ILI KURAHISISHA WATU KUELEWA NA KUHIFADHI NA UKISEMA KILA LILILOFANYWA BAADA YA MTUME KUONDOKA NI BIDAA KWAAJILI HIYO WOTE TUNAFANYABAADA YA MTUME NI BIDAAA NA WAISLAMU WOTE MOTONI, AU UNASEMAJE?
@KhalidAlly-je8ky
@KhalidAlly-je8ky Күн бұрын
Huko kuto kuwepo ndio kuepo
@rajabumsuya-hg8jd
@rajabumsuya-hg8jd 12 сағат бұрын
Kuna watu wanamaulidi yao
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Күн бұрын
Ukimaliza tupe dalili
@sadambakari2579
@sadambakari2579 11 сағат бұрын
Sheikh sifatilie kama unaona hayafai mbn wangalia?
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan 2 күн бұрын
Subhana llaah,tena shekh anasema kwa barka za wazee waliyoiazisha Maulid!!!! Sio MTUME!!!????
@abuumrisho204
@abuumrisho204 2 күн бұрын
Uelewa wako ni mdogo kaka
@homeboyvr8184
@homeboyvr8184 2 күн бұрын
Hawa ni masufi watu wasio jua mambo
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Күн бұрын
Ata aseme baraka za Mtume saw hawakubali wao Ni bure tu
@abdallahsaid4997
@abdallahsaid4997 Күн бұрын
Shida yenyu ni ufahamu mchache
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 Күн бұрын
Sasa Tukusaidiaje Nahaya Nawe Hauna Hii Ya Balagha.
@aboudasilver6541
@aboudasilver6541 2 күн бұрын
UONGO wao Nini ?
@homeboyvr8184
@homeboyvr8184 2 күн бұрын
Waongo nyie nakama nkweli basi niushirikina
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Күн бұрын
Wewe huna MUNGU ndio maana huna Hayo. MUNGU wako ana MIGUU na MIKONO kakaa kwenye KITI kulee kachoooka
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy Күн бұрын
@@hilalkhalfan1452 ni uzushi tu huo
@w4058
@w4058 Күн бұрын
Amani bila haki haidumu Masheikh msisahau dhulma zinazifanywa mnaziona msizifumbie macho
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Күн бұрын
@@w4058 sawa sawa
@AusiSaidi
@AusiSaidi Күн бұрын
Subhanallah
@homeboyvr8184
@homeboyvr8184 2 күн бұрын
Waongo nyie
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Күн бұрын
Lete ukweli wako
@sadambakari2579
@sadambakari2579 11 сағат бұрын
Kwann unafatilia uwongo waache watu namambo yao
@sadambakari2579
@sadambakari2579 11 сағат бұрын
@@hilalkhalfan1452 nawe wapenda maulidi sema umekaririshwa kasome
小丑妹妹插队被妈妈教训!#小丑#路飞#家庭#搞笑
00:12
家庭搞笑日记
Рет қаралды 35 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 1,4 МЛН
At the end of the video, deadpool did this #harleyquinn #deadpool3 #wolverin #shorts
00:15
Anastasyia Prichinina. Actress. Cosplayer.
Рет қаралды 20 МЛН
MBWEMBWE ZA MANARA  AKIFANYA YAKE | MAULIDI YA MASJID MTORO 2023
4:37
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 11 М.
MAKARAMA YALIYOMTOKEZEA SHEIKH WALID
17:20
DARSA TV
Рет қаралды 148 М.
SWALI MUBASHARA -JE MNATUKANA MASWAHABA
6:53
Asadiqmedia
Рет қаралды 45 М.
KISA CHA NABII SULEIMAN MFALME TAJIRI KULIKO WOTE DUNIANI
1:11:03
arkas online tv
Рет қаралды 123 М.
小丑妹妹插队被妈妈教训!#小丑#路飞#家庭#搞笑
00:12
家庭搞笑日记
Рет қаралды 35 МЛН