SEMINA YA NENO LA MUNGU YA NENO LA MUNGU || MOSHI || DAY 1 || 2024 "Bwana, Nifundishe Kutembea Katika Neema Yako"
Пікірлер: 72
@EmmanuelMakomango5 ай бұрын
Mzee anazeeka vizuri huyu!! Hakika maisha yake yamekuwa neema na baraka kubwa kwa mamilioni ya watu Duniani, utukufu ni kwako YESU utuwezeshaye. Amen
@FurahiniSanga-i4h13 күн бұрын
Mungu wangu mungu wangu nikumbuke tena nywele zangu ziote tena nguvu ziongezeke tena nitengeneze tena
@pstboragilbertmunganga994525 күн бұрын
Hallelujah eh Mungu nitengeneze tena
@heavenlight5084Ай бұрын
Ee MUNGU unikumbuke tena,na uchumi wangu ukasitawi tena,na hizi nywele kichwani zijae tena.
@samsonjoseph-mm8py11 күн бұрын
Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen
@pstboragilbertmunganga994525 күн бұрын
Nikumbuke nami eh Bwana
@GloriaExaud5 ай бұрын
Amen Amen Amen. Mungu unikumbuke tena, unitengeneze tena, unifinyange tena nywele zangu ziote tena kwa neema Yako kwa jina la Yesu Kristo.
@user-ip8fl1dz1l5 ай бұрын
Mungu azidi kukutumia mtumishi tunabarikiwa sana !!
@rachelshoo46765 ай бұрын
Asante kwa neema hii Yesu
@monicandengo46805 ай бұрын
Mungu wangu ninaomba usinyamaze juu ya mwalimu wangu mwakazege mkumbuke maneno Uliompa anapambana usiku na mchana kusema endelea kumtumia Mungu wangu
@pstboragilbertmunganga994525 күн бұрын
Amen amen amen
@user-jp1js4xm5r5 ай бұрын
Yesu ni mwema aliyetupa neema
@paulpeter72445 ай бұрын
Mwenyezi Mungu akutunze Baba, hakika wewe ni Mwalimu mwenye kipawa cha zawadi kubwa kutoka kwa Yesu
@trillhappybeautypoint98745 ай бұрын
Bwana nifundishe kutembea kwenye neema yako🙏😪
@simonkileo94345 ай бұрын
Neno langu Mtumish wa Mungu napokea kwa Jina laYesu Ameeeen
@sayunimnyone-gy1pu5 ай бұрын
Ameni Ameni Ameni Napokea kwa Jina la Yesu Amen
@samwelikayuni98655 ай бұрын
Amen amen Mungu atukumbuke tena🙏🙏🙏
@user-zf8ew8zx6s5 ай бұрын
Bwana naomba unikumbuke na mimi
@user-js3xg3nf7n5 ай бұрын
Mungu baba naomba nikumbuke Tena katika hiki kigumu kwangu
@user-vr2kr1ci2e5 ай бұрын
Amen amen amen Mungu na anikumbuke tena
@ministerfilbertsangule2799Күн бұрын
Ameeeen🎉❤
@mzalendohuru...49675 ай бұрын
Amen Mtu wa Mungu aliye Hai ❤
@dianaalex86455 ай бұрын
Amina. Mungu nikumbuke tena
@ChristinaSanga-pl5jm5 ай бұрын
Amen Mungu anikumbuke tena
@user-ke9vc5it1d5 ай бұрын
Amen Mungu nikumbuke tena
@user-nt1if4cz6n5 ай бұрын
Mungu anikumbuke tena,Ameni
@elizabethjacob96565 ай бұрын
Amen I proclaim in Jesus name amen 🙏🙌
@user-vt4wj1fr2c5 ай бұрын
Amen baba.
@romwaldkabwebwe67475 ай бұрын
Neema ya Mungu yatosha
@user-iw5fe7fq4w5 ай бұрын
Na mm Mungu nikumbukee tena
@bagumaisima58215 ай бұрын
ameeen
@janethmwihumbo12895 ай бұрын
Amina Amina
@gwantwajoseph55645 ай бұрын
Amen asante😊
@HaroldJonas-tv5zr5 ай бұрын
Hallelujah hallelujah
@JoshuaHilgath5 ай бұрын
Amina
@wamamapefakizota58705 ай бұрын
Amen amen
@trillhappybeautypoint98745 ай бұрын
Ameeeeeeeeeeeen😢
@pauloropian23675 ай бұрын
Yesu utūkumbuke Tena
@janethmremi36885 ай бұрын
Usiogope Daniel MUNGU ajakuachaaa tembea unapotembea lakini jua MUNGU yupo pamoja na wewe anajua safari yako
@user-yt7pp9cc3r5 ай бұрын
kweli kesho yangu niyanchi yangu
@user-pk7us9ev3c5 ай бұрын
Amen
@dr.salvatorymakwetamlaga58645 ай бұрын
Amen, Neema ya Mungu imenifunika kuniinua, kunikumbuka tena. Hallelujah, Amen
@user-zp5il9oe7r5 ай бұрын
Trueee
@RoseUrio-bl3dm5 ай бұрын
AMEEN
@charlesjoseph29345 ай бұрын
Huyu mungu kwa akili yangu nafikiri anajua mwanzo na mwisho wa kila mtu aliyeko duniani
@richarddavidmk5 ай бұрын
Ticha🎉
@danielalbert17955 ай бұрын
Kwa upande wangu najisikia kukata tamaa kiasi kwamba tangu nazaliwa nimepitia shida tu mpaka naokoka bado Ni Shida tu natengwa hata kazi za kawaida nanyimwa Sina marafiki nimebaki peke yangu cjui Kama nitavuka mwaka huu nikiwa na Mungu bila msaada wake, yaani nimechoka Ile hatua ya mwisho.
@EvaMbwile5 ай бұрын
Usichokeee Mungu anakupendaa usimwacheee endelea kunga'ang'anaaa na YESU
@user-pk7us9ev3c5 ай бұрын
Endelea kumng'ang'ania Mungu ikiwezekana achilia sadaka pia ili uweze kuvuka hapo ulipo
@salamwagilo5 ай бұрын
Mpendwa..kamwe usiruhusu shetani akajiona kwamba ameshinda juu yako..USIMRUHUSU! Yaan Ongeza ujasiri na Muombe Mungu Akutie nguvu ya kuvuka katika hlo! Shetani hakuwezi kamwe! Wewe simama tu na Mungu na Atakupa ujasiri wa kushinda..
@walterulomi5 ай бұрын
MUNGU akutie nguvu kaka
@danielalbert17955 ай бұрын
@@EvaMbwile Amina Ila kwakweli Mungu asimame yaan ndani yangu sielewi kabisa, bimemtumikia Mungu kwa miaka mingi lakini Hakuna msimu niliwahi kuiona furaha ya wokovu, kila nikitarajia mema yanakuja mabaya, nikisoma sifiki mbali nikitafuta kazi nakosa, hata mahusiano hayafiki mbali. Nimeomba mno mno lakini sioni mema yakija. Sijawahi kuiona furaha kamwe. Yaani hata sijui Ni dhambi gani nimemtendea kufikia hatua Hakuna jema linaonekana kwangu, wengi wanamshuhudia akiwatendea makuu lakini Mimi nabaki hapohapo na kwanza ndo nazidi kudidimia, wengi ninewasaidia Wana maisha ila Mimi Ni mtu wa kuachwa hapo na kudharauliwa, inafikia mahali hata kula na kuvaa nakosa, napopitia siombi hata mtu mmoja apite hapa, ilifikiaahali rafikiangu mmoja aliniambia, unapopitia ingekuwa Ni Mimi sijui Kama ningeweza, kwanini una vipawa vipawa vikubwa lakini huna Neema ya maisha?? Naumia saana yaan uchovu nilionao siwez hata kukuelezea Ni Mungu tu anisaidie bila huo msaada siwezi Mimi. Usiombe kamwe upitie ninapopitia.