Yaani mtumishi usichoke kupiga kelele huenda kuna watu watapona kwenye kizazi hiki kupitia wewe,
@paschalcassianoriginal941111 ай бұрын
Aaaaamen amen Dada yangu ukumbukwe pia
@mestonianatori725411 ай бұрын
Hata wewe @rosemuhandoo Tunaona unavipiga Vita vilivyo vyema vya Imani kwa kutunga nyimbo zinazo hamasisha utakatifu na ujio wa Yesu kristo.mfano Kama (POMBE INAMADHARA)MUNGU AZIDI KUKUTIA NGUVU UZIDI SAAANAAA,KUMVUNIA WENGI KWAKE
@salimfaraj550910 ай бұрын
Dini yakweli ni uislam tu. I'm proud to be a Muslim.
@SmilingCityMap-xb9md8 ай бұрын
@@salimfaraj5509umejidanganganya hebu nenda abudhabi ujionee kinachaendelea huko ukishaona ndipo uludi na kusema Islam ndio dini ya kweli
@YusterMgeni-qj6do11 ай бұрын
Yaan mtumish mungu akubariki sanaaa ni unasema ukweli unatufungua macho wachungaji wanaweka siri hawasemi mambo haya mungu atutee
@omegamchaki669611 ай бұрын
Mungu Azidi kukuinua..Damu ya Yesu izidi kukufunika pande zote....Wewe utaitwa HERI Mtumishi wa Mungu....unabariki sana moyo wangu
@elizabethnzilano329011 ай бұрын
Mungu akutunze Mtumishi, hakika mpk kila mtu asikie injili! Barikiwa sana
@Mwinjilist-samson3 ай бұрын
Shujaa mmoja paschal cassian
@adventinandyanabo935811 ай бұрын
Ee Mungu nisaidie na watoto wangu na Mume wangu
@tuikezeezra131511 ай бұрын
God bless you Paschal Cassian, Mungu aendelee kukutia nguvu asante kwa ujumbe.
@salimfaraj550910 ай бұрын
Dini yakweli ni uislam tu. I'm proud to be a Muslim.
@BeforeZayekha15 күн бұрын
Mungu akupe Nguvu sana mtumishi wa bwana Asante sana Kwa neno la Mungu
@negusmuchiri573511 ай бұрын
Nakuamini kabisa,nacheza nyimbo zako hapa Kenya kanisani naangaliwa na hofu.
@paulmkoi808611 ай бұрын
Amen ubarikiwe Sana mtumishi wa MUNGU na azidi kutupigania tumalize mwendo salama
@jamesherbalclinic766511 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu umenena kabisa kama ilivyokuwa imetabiliwa. Yaani Mungu akubariki sana, asomaye na afahamu
@DativaEvarister11 ай бұрын
Kweli mtumishi wa Mungu, Mwenyezi Mungu akutangulie, maana Hawa viongozi dini wamekaa kimya na wanakataa kuweka mambo hayo wazi lakini vikao vilikuwa vinaendelea Kwa Siri ila sisi wakistu Sasa Kila mtu apiganie nafsi yake na mwenzake Ili tufike mbinguni lakini Hali si shwali ndugu zangu, tuombe Mungu anafunua mambo haya Kwa anayekuwa karibu nae. Amen
@obedimtafya402211 ай бұрын
Asante mtumishi wa Baba nimekusikiliza sana na nakuelewa sana Mungu akupe nguvu bila kusahau pambano kuu ni ibada ya jua na ibada ya kweli ya mungu ikiwemo sabato yaani siku moja ya kuabudu ambayo ni jumapili daniel 7:25
@mwananyamalaz442711 ай бұрын
Amen God bless U mtumisi Mungu akubariki Saana wengi wao nimashoga ila mungu aturinde 🙏
@MGALILAYABillionaire11 ай бұрын
Uwakumbushe ndugu mambk hayo, nawe utakuwa mtumishi mwema wa kristo Yesu, na mazoevu wa maneno ya imani, na mafundisho mazuri yale uliyoyafuata. Jinsi ilivyo vizuri juu ya milima miguu yake aletaye habari njema, Yeye aitangazaye amani,, aletaye habari njema ya mambo mema, Yeye autangazaye wokovu...... umrbarikiwa sana mtumishi... Mungu alikuinua kwa kusudi kuu nyakati hizi.. unawafungua wengi Mungu akutie nguvu wakati huu wa hatari... Shetani, ambaye alikuwa ni malaika aliyefukuzwa mbinguni, atatoa nguvu na mamlaka yake kwa yule ambaye atasimama kinyume na Mungu,( mpinga kristo PAPA) na kisha kumwongoza kwenye mauti yake kwa kumfanya apigane na Mungu na watakatifu wake. Mpinga kristo, hali akiwa amevaa nguvu za shetani, atawanyanyasa watu wa Mungu na wanadamu wote kwa ukatili hivi karibuni... Ni adui wa Mungu na wa watakatifu alijitokeza akijifanya anahubiri amani .... kumbe ni ibilisi mkuu Wewe ni wa kipekee mtumishi.
@paschalcassianoriginal941111 ай бұрын
❤❤❤a aaamen
@jovettedenise259111 ай бұрын
Mishali ni mingi rakini usiogope Mungu aki nawewe hakika wewe umechaguriwa na Mungu.
@theresiariwa469111 ай бұрын
Umefundisha kweli ya MUNGU . Umefafanua vizuri sana sana . Bwana akalifanye kuenea sana
@ElibethelMabena11 ай бұрын
amina mtumishi Mungu akulinde ufike mbinguni
@josephmutemi749410 ай бұрын
BWANA akubariki sana na akulinde mtumishi.
@martinahlighare649511 ай бұрын
Mapenzi ya Mungu yatimizwe kwa watu na nchi ili wamurudie yeye. Wamjue Mungu zaidi kuliko mwanadamu. Roho wa Mungu atawale dunia kuwaongoza watu wake.
@Maryc2G11 ай бұрын
Mtumishi chapa Injiri mpaka mwisho🙌🏾🔥🔥🔥🔥🔥
@EZRA-b1c11 ай бұрын
AMEN HAKIKA
@SalomeRenatusi11 ай бұрын
Niko tayari kuuawa kwa ajili ya Yesu Kristo mkombozi wetu tumaini la haki na sitamwabudu Papa kama Mungu heri kufa katika kristo
@giuseppinapaul443211 ай бұрын
Hakuna anayemuabudu Papà, acha zako
@عائشهعائشه-م9ق2 ай бұрын
Ubarikîwe na Mungu
@MusyokaJoseph-r4v11 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi
@donaldmwahalende484110 ай бұрын
Nakubali maana nami nasoma hivyo
@MathewBasso10 ай бұрын
Mungu awe nawe mtumishi wa Mungu yesu kristo na atusaidie kutambua haya.wengi hawaelewi jamani
@donaldmwahalende484110 ай бұрын
Ubarikiwe
@hellenngwilla55011 ай бұрын
Mtumishi wa ukweli uliyebaki ni wewe pekee yako Mungu akubariki sana
@apostlesammymutachicfc.374411 ай бұрын
Ndugu yangu Cassian, Barikiwa Sana.
@ImmaMusic-b9v11 ай бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa mungu ulinzi wa mungu uwe pamoja nawe👏
@josephogada85306 ай бұрын
Naashindwe kabisa huyo shetani, papa ushindwe kwa kina la yesu!!
@salimfaraj550910 ай бұрын
Dini yakweli ni uislam tu. I'm proud to be a Muslim.
@StevenGendo-vx9jo8 ай бұрын
Toka pepo kwa jina la yes. Din ya kweli niuislamu eeeee
@DavidMakvok8 ай бұрын
Quran 4:171 ina mtaja nani hapo kama Si Yesu Kiristo.
@emmysarikiurio644511 ай бұрын
Mungu akulinde sana
@israelisponsor875511 ай бұрын
Cassian Mungu akubariki Sana umetoka gizani sana
@nicodemusmsangi28411 ай бұрын
Barikiwa mtumishi wa MUNGU
@familykabange632810 ай бұрын
Ndugu kumbuka iyi KZbin ni ya wa Freemason wata funga account yako
@JacklineChambale10 ай бұрын
Was sio wakuu kama mungu wetu acha awe mkweli tupone
@gilbertmtoshu-gm7bt11 ай бұрын
Mapema Sana mchungaji ubarikiwe Sana nakwamini mno
@jovettedenise259111 ай бұрын
Yosuwa 1:5-9 Mungu ndio aliye kuchaguwa endereya kazi yake.
@EZRA-b1c11 ай бұрын
AMEN INJILI ISONGE MBELE IN JESUS NAME
@feminakidiavai584911 ай бұрын
Amen
@PatrickMathias-cs9qc8 ай бұрын
Jera la mnyama wa kwanza limekaribia kupona
@ameenaameena42210 ай бұрын
Mi mwislam ila nakukubali sanaa
@LievinTshama7 ай бұрын
Merci beaucoup
@Prosperkisama11 ай бұрын
Unaweka mambo mengi sana ktkt ya somo
@dafrosamonko825411 ай бұрын
Nimekubali
@DavidMakvok8 ай бұрын
Quran 4:171 i na mtaja Masihi kwa uzuri kwahiyo mtii wala msitafute laana
@PeterMuiga-l1w11 ай бұрын
Ushoga ni dhambi kubwa kwa Mungu
@LuciKahise-sb8zh11 ай бұрын
Mtumshi ubarikiwe Sana na je km hakuna kuuza wala kununua Kwa wasio kuwa na namba 666 hiyo inatakiwa wafanyej?
@onyonapeter931110 ай бұрын
Wasabato tukiyahubiri haya mnasema sisi sio wakristo! Nashangaa leo nanyi mnayasema na bado hamjasema yani mpaka msemee
@apostlemussaonlinetv3 ай бұрын
Shida mko mwilini mnashika cku badala ya wokovu
@AmosCharo-m4u2 ай бұрын
Mim kama Amos kutoka Kenya kilifi usikate tamaa mchungaji wetu wewe endelea na injili
@CeciKilingo11 ай бұрын
Mungu akutie nguvu mtumish Huyo Papa Anajiamini Kuwa Vita Yamungu Anaiweza 😂😂😂😂😂
@frankjohn87068 ай бұрын
MTI KWA MATUNDA YAKE MTAUTAMBUA.HAYO NDIO MATUNDA YA MTI HAYAZUILIKI
@maduuikangira98645 ай бұрын
Maana yake haya madhehebu yote ni ya uongo yanamwabudu shetani Kama baba yao Papa alivyo.
@donaldmwahalende484110 ай бұрын
Utaishia kuwa MSabato hayo ndyo mahubiri yao
@zawadihassan406111 ай бұрын
Unabii unatimia,mteule uwe macho.
@Gide-dq3wq11 ай бұрын
Anipendae ni lazma ajikane mwenyewe kisha anifwate
@bulamboisungapala21711 ай бұрын
MUNGU akutiye nguvu mutumishi namapenzi ya MUNGU itimilike kwetu
@mwambaimara195011 ай бұрын
Ndio shilingi ngapi? Ili na sisi tuchangie.
@eliamtanzaniaog638011 ай бұрын
Kiapo cha damu.tunakisubiri baba
@PeterMuiga-l1w11 ай бұрын
Matemeko mahali tofauti kila wiki....
@JudicateShuma11 ай бұрын
We unaeita dini ya kisenge msenge niwewe mwenyewe
@Rashid-vm1fk11 ай бұрын
Mtumishi wa Bwana ni kweli kabisa dalili zote za siku zimekwisha onekana ila sasa Mtumishi usinyoe denge kwani wewe ni kioo chetu na mandiko yanakataa
@uwimanadady656311 ай бұрын
Amen kubwa
@levinawhite678610 ай бұрын
Ok
@AmuaSanga-uo4gp10 ай бұрын
Asante
@johnmizunguofficial11 ай бұрын
Safi kaka
@gastondofra915111 ай бұрын
Kweli na hata jina lake ya ualisia ukiyajumuisha ina hesabu ya 666
@addamsuleiman866711 ай бұрын
Ameeeen
@suzandavd521311 ай бұрын
Ndio maana wanawachukia waliokoka kweli kweli.
@JacklineChambale10 ай бұрын
Sio wewe ni pepp hilo
@MaryMuigai-zj8fz9 ай бұрын
Mtumishi wa shetani to hell with you urgent mkumbwa wewe utachomeka hutamini shetani wako hana rafiki utanjuta sana wewe.
@janvierjibu225811 ай бұрын
Sifa zimurudiye bwana
@piusnkwale11 ай бұрын
Yani unachoongea ni sahihi kabisa Mtumishi mimi niloyetoka huko nakuelewa.wakati nakaribia kutoka kuna pepa zilikua zinapelekwa kwenye Jumuiya zikihimiza umuhumi wa mshikamamo na madhehebu mengine. Nakumbuka tulijadili tukapeleka maoni yetu na mtazamo wetu kuhusu ushirikiano na makanisa mengine.
@piusnkwale11 ай бұрын
Black papa ,the Jesuit Arturo suso.kwa mimi niliyekua kwenye ili dhehebu nakubali kabisa hayo unayoongea,.Mungu aendelee kukufunulia kuna watu watakombolea hakuna neno linalopita bure hapa
@PeterMuiga-l1w11 ай бұрын
Hi kweli Mungu niyokoe kwa damu yasu kristo
@irenemuia271811 ай бұрын
Ameeeeeen
@MussaAlphonce-lg4dx10 ай бұрын
Amen
@magdalenapeter610611 ай бұрын
MPINGA KRISTO HUYU PAPA
@mustaphamasobe834311 ай бұрын
Tumwamini Yesu na Mungu,neno Ufalme wa Mungu umekaribia liendelee kuhubiri wa!Leo analengwa Papa peke yake, yake,huku manabii wa uongo kibao tu,
@serapionmnenuka11 ай бұрын
Usidanganye watu kupitia maandiko matakatifu hukum Yako itakuwa kubwa'
@ezekielkandonga923811 ай бұрын
Hacha upumbavu au nawewe ni Shoga Unatetea ujinga na Ushetani
@Rashid-vm1fk11 ай бұрын
Anadanganya wapi kama wewe ni mwovu tubu dhabi na kama hutatubu jehanam inakusubili mapema
@mwambaimara195011 ай бұрын
Kwa kweli wakatoloki wamemwudhi sana YESU KRISTO, ole wake huyu papa!! Mkristo simama imara .kwa Kristo, kwa Hali yoyote ili.
@mwambaimara195011 ай бұрын
MUNGU AKULINDE NA MAADUI WA KUZIMU!!
@adventinandyanabo935811 ай бұрын
Ewe Ezekiel unaye tukana nakupa pole sabb hujui wakati wakuijiliwa kwako, nakusihii sana ata kama utaki jilazimishe kumsikiliza huyu mtumishi uenda utafunguliwa
@SalumuAlly-d9q11 ай бұрын
Nikisema ukiristo siyo dini ya mungu wanabisha hiyo dini ni kisenge
@josephkaveya428411 ай бұрын
Hujuwi tu!! Nyamaza kimya dinigani sàsa wewe unaiona kama ukristo ni usenge kama hujuwi las! kimya
@AdelaJastini-yq8wp11 ай бұрын
Tena ushindwe wa kristo hawawezi kua wasenge hata cku moja.
@sospetermuhola79011 ай бұрын
Karibu kutabambazuka
@DavidMakvok8 ай бұрын
Quran 4:171 Yesu Kiristo ndiye Masihi kwa mujibu wa Quran. Kama unabishana na mtume wako basi utapotea.
@HadijaHsalehe-z4kАй бұрын
Mwacheni huyo hajui chochote,kuwa Mkristo ni neema kubwa sana,Kwa kweli mimi ninamshukuru sana Mungu kwa kunitoa katika kundi ambalo Mtume wake na waumini wake hawajui watatendwa Nini!!..Yesu Kristo ndiye njia kweli na uzima....hakuna njia nyingine zaidi ya Yesu Kristo, Mimi baada ya kusoma na kuchunguza Qur'an na Biblia kwa makini niliona ndani ya ukristo kuna tumaini..niliacha dini yangu Islam,nikatengwa na ndugu na jamaa..sikujali kwa sababu ninaye mwenye thamani kubwa sana Bwana wetu Yesu Kristo.
@SalumuAlly-d9q11 ай бұрын
Wewe nae mpumbavu hueleweki
@Stewart-l6t10 ай бұрын
Ss mbona unamtukana kakosea wapi
@HadijaHsalehe-z4kАй бұрын
Anayetukana ni Argent wa shetani...Mtumishi anaongea ukweli..Biblia ni neno la Mungu lililo hai..ni kitabu Cha Mungu kimejaa unabii..