SHUHUDIA KILICHOTOKEA KTK QISA CHA SHK ALIYEZINIWA MKEWE TENA KITANDANI KWAKE WAMEKUTANA LIVE

  Рет қаралды 395,039

Riyadh Tv Online Znz

Riyadh Tv Online Znz

2 жыл бұрын

#RiyadhTvZnz #Zanzibar

Пікірлер: 172
@mwamgutamohamed3697
@mwamgutamohamed3697 2 жыл бұрын
Wallahi sheikh hicho kisa sijui kma sisi vijana wa Leo twaweza kuvumilia kisa kma hicho lkn kwa uwezo wake Allah inshllah hatajalia nyumba zetu yasitokee mambo kma haya🤲
@cishahayoali1136
@cishahayoali1136 Жыл бұрын
Asalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh!
@kawambahamza497
@kawambahamza497 2 жыл бұрын
Huyu Sheikh ni Othman maalim mtupu mpk nimeburudika km namsikiliza Sheikh wangu kipenz changu othman maalim
@fatumaangatia8293
@fatumaangatia8293 2 жыл бұрын
Allah atustiri, na atujaalie mwisho mwema inshaallah
@alinadee8207
@alinadee8207 2 жыл бұрын
Othman malim wapo wengi mashallah
@ahmadabdala2175
@ahmadabdala2175 2 жыл бұрын
Asante sheikh Kwa kisa chako kizuri endlea ku2kmbsh Allah akupe maisha mem dunian na Akhera
@ndibwamiahmed8742
@ndibwamiahmed8742 2 жыл бұрын
Sheikh. Unanifurahisha sana kwa Hilo somo lako Asanti sana mungu Akubariki
@swalehabdurahman8924
@swalehabdurahman8924 2 жыл бұрын
Masha ALLAH Ustadh Tumejifunza Mengi Kutoka Kwako Mungu Akipe Umri Mrefu Ufinze Wengine
@rehemashaibu7635
@rehemashaibu7635 2 жыл бұрын
Mashaallah shekhe somo zuri sana ila kwa waume wetu wa sasa sizani kama wanaweza kusamehe kwanza tatizo hawtaki kuisoma din wala kuisoma ndoa yenyewe
@johnsamweli4160
@johnsamweli4160 2 жыл бұрын
Nimekuelewa sana shekh wangu🙏🏽alla akubariki shekh
@ummohamed4404
@ummohamed4404 2 жыл бұрын
Sasa huo uchungu unaouona wewe mwanamme na ndio anao uona mwanamke.kwa hiyo mawaidha haya yapo pande mbili mwanamke na mwanamme.
@mbarakahmed3892
@mbarakahmed3892 2 жыл бұрын
Wallah shekh maneno ulio yatowa yamenigusa sana Yani mungu atunusuru na mitiani
@wanusuleiman169
@wanusuleiman169 2 жыл бұрын
Maashaaallaah.Allaah akulipe kheeri sheikh lkwa kutuelimisha .
@rehemarachide4085
@rehemarachide4085 2 жыл бұрын
Allah atustiri n ATUJALIE mwisho mwema inshaallah
@rukingamaboar802
@rukingamaboar802 2 жыл бұрын
Barakallahu Fiqu for a good kisa Ya Sheikh
@badrushikeli9899
@badrushikeli9899 2 жыл бұрын
Sub hana Allah... Mtihani mzito huu wengi sirahisi kuuvumilia
@sadiamassage9589
@sadiamassage9589 2 жыл бұрын
ALLAH atustiri sikuhizi wanaadamu tumeweka zinaa mbele ukiangalia sana wanalalamika mume hanitoshelezi ama mume vilevile ALLAH atustiri tusiwe miongoni wa hao wenye kusema hivyo
@abubakarchamosi5445
@abubakarchamosi5445 2 жыл бұрын
Subhanallah...mungu anisamee sana.sheikh umenigusa
@ashashaban6484
@ashashaban6484 2 жыл бұрын
mashallah Allah akulipe kila la kheri inshallah nasi pia Allah atuongoze inshallah
@strongholdmanpower2543
@strongholdmanpower2543 2 жыл бұрын
mume wangu ni msaliti kila siku,kila nikimsamehe anarudia kosa /wallahi nimekosa hamu na ndoa yangu,ewe mola wangu nisaidie
Became invisible for one day!  #funny #wednesday #memes
00:25
Watch Me
Рет қаралды 58 МЛН
KISA CHA DEREVA NA MTOTO WA MBWA // SHEIKH OTHMAN MAALIM
1:11:49
arkas online tv
Рет қаралды 17 М.
UTAKIPENDA CHUMBA CHA BIBI KIMEBADILIKA|AWEKEWA MAJI
36:13
KISA CHA NABII SULEIMAN MFALME TAJIRI KULIKO WOTE DUNIANI
1:11:03
arkas online tv
Рет қаралды 53 М.