Shuhudia Rais Samia alivyopokelewa kwa kishindo nchini China

  Рет қаралды 38,762

EastAfricaTV

EastAfricaTV

Күн бұрын

Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

Пікірлер: 82
@latifalayla9990
@latifalayla9990 Жыл бұрын
Nanukuu..Nina yajua mengi Sana ndugu zangu..Mtanikumbuka kw Mengi..R.I.P
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 Жыл бұрын
Watanzania wengi walipata pesa walivyoanza biashara za kwenda china
@BraonLomunyaki-n5t
@BraonLomunyaki-n5t 8 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉 hongera sana rais wetu
@Malaikalaizer-d2q
@Malaikalaizer-d2q 6 ай бұрын
Eheee kanzi yake kuangaikatu
@zainabubalama8869
@zainabubalama8869 Жыл бұрын
Mama anazulula Huyu kaaaaah Yan tofauti na Magufuli.
@barakamatovu4277
@barakamatovu4277 Жыл бұрын
Kukaa kimya ni jawabu tosha. Au hata kusoma husomi? Huyo kaalikwa na unamfaham vzr chimbuko la Uhusiano wa Tanzania na China? Au Kuna sherehe gani China? Na Africa wamealikwa Maraisi Wangapi?
@zainabubalama8869
@zainabubalama8869 Жыл бұрын
@@barakamatovu4277 Sijui kusoma kusoma unajua Ww
@masteradriank1087
@masteradriank1087 Жыл бұрын
Magufuli alikufa enda mfufue
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 Жыл бұрын
@@masteradriank1087 mbona Hilo ni zamu zamu tu usihofu siku zako zahesabika pia
@zainabubalama8869
@zainabubalama8869 Жыл бұрын
@@masteradriank1087 Sawa
@ModestaMduda-n9s
@ModestaMduda-n9s 8 ай бұрын
chapa kazi mama hetu kipenzi
@mafurumatijo8803
@mafurumatijo8803 Жыл бұрын
mama unaupiga mwingi hatari.
@ModestaMduda-n9s
@ModestaMduda-n9s 8 ай бұрын
mungu akutangulie kwa kila jambo mama
@abdimohamed1340
@abdimohamed1340 Жыл бұрын
Mama tupo pamoja
@ikulunimahalipatakatifu7642
@ikulunimahalipatakatifu7642 Жыл бұрын
Piga kazi mama , ushirikiano wa kimataifa muhimu, husisahau kwenda kwa Putin ..
@ameirdarueshi2593
@ameirdarueshi2593 Жыл бұрын
Na ikiwezekana upeleke Hadi majeshi yetu uko wakasaidie vita
@nurdinngwegwe2943
@nurdinngwegwe2943 Жыл бұрын
kiywnyewe bab Putin Rastafarian. PC Sana HAINA Unyonge
@mudighurayra
@mudighurayra Жыл бұрын
@@ameirdarueshi2593 hhhh
@lukoalaw816
@lukoalaw816 Жыл бұрын
China anaimani akiweza kufanya jambo lolote tz basi Afrika kaiweza kwni tz ndy moyo wa Afrika
@nurdinngwegwe2943
@nurdinngwegwe2943 Жыл бұрын
full
@frankmangera3339
@frankmangera3339 Жыл бұрын
Perfect
@dr.muhamadhamduhaji1640
@dr.muhamadhamduhaji1640 Жыл бұрын
Sasa uyu anaesema mama azulula amefikiri? Unafikiria ukikaa tu kwenye kiti diplomasia ya uchumi utaipata? Khaa. Mwache akaongeze fursa za scholorship . Wenzetu wapakistan wanaenda kila mwaka maelfu ya wanafunzi, leo sisi tanzania kila mwaka 200 hatutimii
@jacksonmakasi
@jacksonmakasi Жыл бұрын
Nyumban Huku umeme umeanza kuwa wavijiko, hatujuw hata Hali ya uchumi kwa Sasa mamaa
@nurdinngwegwe2943
@nurdinngwegwe2943 Жыл бұрын
Leo yenyew umekatika. Michosho kichiz.
@FrancisRM-ex8vf
@FrancisRM-ex8vf 24 күн бұрын
Rais wetu inabidi uwe unaenda na vijana wenye talents za kuiba teknolojia, angalau na sisi tuwe hata na viwanda bora na bidhaa za "😂😂😂made in Tanzania"
@tiffanyakramJr822
@tiffanyakramJr822 Жыл бұрын
Afadhali huku kuliko kwa wazungu
@margaretmueni4595
@margaretmueni4595 Жыл бұрын
Hata huko mnataka aongee kiswahili?
@OfficialA83640
@OfficialA83640 Жыл бұрын
Loh huyu mama mara kashafika China Mungu wng wee jaman tumepigwa na kitu kizito kuanzia 2021😪
@ayubuidd6664
@ayubuidd6664 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌
@OfficialA83640
@OfficialA83640 Жыл бұрын
@@ayubuidd6664 🤣🤣
@anodearsulusi7536
@anodearsulusi7536 Жыл бұрын
Tutajua tu
@mimahally8025
@mimahally8025 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂sjui saa ngp man alkua dodoma ana fany hesab ya watu
@ayubuidd6664
@ayubuidd6664 Жыл бұрын
@@mimahally8025 dah maza hakamatiki 🤣🤣🤣 kama ndo kuupiga mwingi kwakwel anaupiga sio mchezo🤣🤣🙌
@d-media
@d-media Жыл бұрын
Apite na kwa PUTIN basi
@nurdinngwegwe2943
@nurdinngwegwe2943 Жыл бұрын
pamoja mjanja. sikupingi . NUKTA.
@jacksonmakasi
@jacksonmakasi Жыл бұрын
Bora wachina
@AmraniAmani-zd6jl
@AmraniAmani-zd6jl 7 ай бұрын
Ni wanawake pekeyake wataona nisawa mama samia kutoka mana nikawaidayao kutoka toka
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 Жыл бұрын
Tuletee matajir wa kichina mama
@idanysedrc1200
@idanysedrc1200 Жыл бұрын
Bora Hawa wanathamin kidog wafrica kuliko wale wakupandidha kweny ngorika
@jacksonypp9340
@jacksonypp9340 Жыл бұрын
Mama kaenda kuomba msaada wa maji maana maji yamekua tatz itakua kaenda kuomba maji
@partsonlupenza9666
@partsonlupenza9666 Жыл бұрын
Sijaona kishindo chochote labda wengine
@JohnStewart223
@JohnStewart223 Жыл бұрын
Nchi ishauzwa😂😂😂
@teachingtruthmission2140
@teachingtruthmission2140 Жыл бұрын
WAKOLONI WAJANJA SANA NISHIE HAPO
@nurdinngwegwe2943
@nurdinngwegwe2943 Жыл бұрын
calculation.
@aryanchuumu362
@aryanchuumu362 Жыл бұрын
Rais yup china nchi yenye Kila kitu haoni aibu unaondoka unaacha nyumbn kwako watt wanakufa kwa kiu hawaogi,hawa safiri kwa Raha,wanashinda kutwa umeme hamna mama unaenda kula Raha iyo gharama za kusafr basi ungetununulia hata maji yakapt yanagaiwa mtaan angalau tuongesh vichanga vyetu wallah mungu atajib maombi ya watanzania maskini kwa Aya unayowafanyia mzee wawatu alikuwa sahihi kabisa ... jmniii mwynyz mungu amlze mahala pema peponi
@mudighurayra
@mudighurayra Жыл бұрын
Apo alipo kuepo magufuli akawa haja safiri maji yalikuepo
@FrancisRM-ex8vf
@FrancisRM-ex8vf 24 күн бұрын
Ukikua utaelewa
@omaryabunwas9937
@omaryabunwas9937 Жыл бұрын
Mama lete mihela ya kichina
@ramlaomar7923
@ramlaomar7923 Жыл бұрын
😁😁😂😂
@barakaelkaaya40
@barakaelkaaya40 Жыл бұрын
mpango wa bandari ya Bagamoyo lazima ufanikiwe...
@ototek8037
@ototek8037 Жыл бұрын
Unaakili sana! Kumbe unajuwa taifa lako linavyopelekwa chaka, wachache sana ndo tunaenda na kipindi..we mjanja.
@nurdinngwegwe2943
@nurdinngwegwe2943 Жыл бұрын
mingo. Watu skiliz wanaanzia shinani.
@nurdinngwegwe2943
@nurdinngwegwe2943 Жыл бұрын
​@@ototek8037 AMINI kwamba. full mingo wazee WA kuvua samaki. hatutoki wamba. labda God amaind kuingilia chezo.
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 Жыл бұрын
Katika safar nilitaman uende muda mrefu kutujengea mahusiano mazur ni china nashukur San mungu ameskia ombi langu ili watanzania tuongezee safar za china kujifunza kupitia wachina
@smartthug9566
@smartthug9566 Жыл бұрын
achaa ujingaa
@mudighurayra
@mudighurayra Жыл бұрын
@@smartthug9566 mjinga wewe
@kambiyusuf3665
@kambiyusuf3665 Жыл бұрын
Hongera sana Mama chaina Ni ndugu zetu mengi tumekua tukishirikiana nao M/mungu adumishe mahusiano yetu na chaina. #amina#
@mgongolwajoseph6901
@mgongolwajoseph6901 Жыл бұрын
Mbona hamkagui uwa ilo raisu akizulika shsuliyenu
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Mbona magufuli kawa mwendazake kwani yeye nani
@fredyemmanuel4303
@fredyemmanuel4303 Жыл бұрын
Wekumbatia tu utajikuta umelipuka
@gebrastemu5010
@gebrastemu5010 Жыл бұрын
Omba wachina watujengee kiuri Cha Nuclear Cha kuzalisha UMEME.Malighafi ya uranium tunayo tele kule Kongwa, Gallapo na pori la Sluu
@AmraniAmani-zd6jl
@AmraniAmani-zd6jl 7 ай бұрын
Ujinga usio naakili sawa mbona anasafili lakina ajifunzi maendeleo kwamajilan
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 Жыл бұрын
Bora utuletee wachina Tanzania waje watujengeee viwanda hatutaki wazungu
@originalplan2723
@originalplan2723 Жыл бұрын
Wanawake wote wanapenda mitoko
@hellennehemia9269
@hellennehemia9269 Жыл бұрын
😁
@jackgerald7338
@jackgerald7338 Жыл бұрын
Nakpenda Bure Rais Wang !! Piga Kaz Wabongo maneno kawaida
@hujacharles2223
@hujacharles2223 Жыл бұрын
Uyo guard mwenye suti nyeusi mbabe, kampus askari was china
@hajikhamis6544
@hajikhamis6544 Жыл бұрын
Mama jitahidi nchi 2 usijekosa kwenda ukitoka hapo, Korea kaskazini na Urusi nenda katuletee mafuta
@barakadanieli1440
@barakadanieli1440 Жыл бұрын
Kapeleka matokeo ya sesa Kwan nyie hamjui ?
@mabujuma9355
@mabujuma9355 Жыл бұрын
😁😁😁😁
@double8boy802
@double8boy802 Жыл бұрын
ndinga kali
@nurdinngwegwe2943
@nurdinngwegwe2943 Жыл бұрын
migoma migoma Babu. Kingi nyingiii.
@paoloiacona5721
@paoloiacona5721 Жыл бұрын
Voi siete il nuovo mondo 👏
@mabujuma9355
@mabujuma9355 Жыл бұрын
Duh
@daudysanga8492
@daudysanga8492 Жыл бұрын
Kazi nzuri mama raisi lazima atoke akutane na mataifa makubwa mungu aendelee kukubariki.
@gaspeldaniel1140
@gaspeldaniel1140 Жыл бұрын
Baxi yeye ndo anapenda kweli hivi
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Жыл бұрын
Gaspar kwa sana tu
KIJANA ANAYEIGIZA SAUTI YA RAIS SAMIA AWAVUNJA MBAVU MKUTANONI
6:59
RAIS SAMIA ALIVYOWASILI OMAN na KUPOKELEWA NA RAIS WA OMAN
5:08
Wasafi Media
Рет қаралды 211 М.
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 7 МЛН
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 243 МЛН
HAH Chaos in the Bathroom 🚽✨ Smart Tools for the Throne 😜
00:49
123 GO! Kevin
Рет қаралды 15 МЛН
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 1,8 МЛН
Ijue familia ya Rais Samia Suluhu -mume, watoto na historia yake
13:38
Zanzibar Kamili TV
Рет қаралды 983 М.
MAPOKEZI RASMI YA MHE. RAIS SAMIA  NCHINI CHINA
43:40
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 17 М.
Nobody has matched Ronaldinho's magic at Barcelona 👑
18:46
Rptimao Videos
Рет қаралды 6 МЛН
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 7 МЛН