Waaaaaooh,, wimbo mzuri sanaa imejaaa maneno ya shukran 🔥🔥🔥, like zangu nimekuwa wakwanza kwenye comments
@cgenpro17510 ай бұрын
Hakika leo umekuwa wa kwanza, barikiwa sana
@csato941510 ай бұрын
Wimbo mzuri siyo nyimbo.
@tinaraphaela431510 ай бұрын
Hongera kwa kaz nzuri jmn ❤❤❤❤
@WinKunambi-mx1xk10 ай бұрын
Hongereni sana kwa wimbo mzuli
@emmanuelkiio59210 ай бұрын
Nyimbo nzuri 💯💯
@fransiscarbrunoh688910 ай бұрын
Hongeren sana 🎉 watoto wa Mt, Gema , Nami nimekuja kumshukuru Mungu pamoja nanyi, Mungu awabariki🎉❤❤❤❤❤🎉🎉
@egbertelisa5110 ай бұрын
Wimbo mzurii 😊😊_hongereni
@johannesnyabara252710 ай бұрын
Hongereni kwa kazi nzuri, Mungu awabariki na kuwa nguvu ya kuendeleza utume huu kwa kuimba vizuri ni kusali mara mbili ❤❤❤
@PetroniaRemmy10 ай бұрын
Mungu awabariki sana kazi nzri mno mbarikiwe
@jastiningalata446210 ай бұрын
utumee mwemaaaaaa. sanaa bruh Imma mganaa. umeupigaaa. hakikaa mungu anakutumiaa katikaa utume wake
@saidmarco15010 ай бұрын
Mbarikiwe
@mt.augustino-hipponkuhungu557310 ай бұрын
Nzuri Sanaaaaa big up my team
@malocamugo76910 ай бұрын
Heeeee heeeee 🎉chuma ya shimanyii...nakukubali kazi yako Babaaa.... Tuwasiliane ase nikupe madini huko Jimbo la mbulu......usitusahau na sisi kwaya ya Mt.gregory mkuu st John's university of Tanzania Dodoma
@clementinesimon10 ай бұрын
Melodious n inspiring. Congrats 👏
@dannjenga913210 ай бұрын
From kenya. napenda sana kazi yenu mbarikiwa sana
@andrewkasagula914010 ай бұрын
Mungu azidi kuwainua
@maryflaviournafulasifuna634710 ай бұрын
Just wow❤️❤️❤️🥰mbarikiwe sana nyote mlioshiriki kwa hii kazi nzuri
@geraldgandye158110 ай бұрын
Safi sana Fortune Shimanyi nakubali sana kazi zako upo serious na kazi. Mungu akubariki kaka
@Imaginable-Image.10 ай бұрын
Creativity continues for the Generation....🎶🎵🎶unyama umetuliaaa💥🔥🔥
@adelakisonga992910 ай бұрын
Hongera Sana ❤ na hii ndio raha ya mziki Mtakatifu❤❤
@IRENEJOHN-vv8qs10 ай бұрын
Hongereni kwa wimbo mzuriii...Naja pia kushukur pamoja nanyi
@marymimina10 ай бұрын
Wow, huu wimbo ni mtamu sana, hongera sana kwaya hii🎉❤
@fortuneshimanyi206410 ай бұрын
Barikiwa
@bihogorakaroli969110 ай бұрын
Shimanyi mbunifu sana kwa hakika wewe ni international producer and video editor hongera sana CGen studio
@DEEJAYCEDRICKE10 ай бұрын
Kenya well represented, hapa nae tukianza vita Tanzania wanatutoa haki, kazi mzuri Fortune Shimanyi na Creative Generation creww
@paulmukhwana408810 ай бұрын
Nyimbo tamu sana naifurahia nikiwa nchini Kenya hongereni sana
@oswaldmwita152010 ай бұрын
Hongereni kwa wimbo mzuri sana
@drhelmannyigo16399 ай бұрын
Augustino is always a giant Buffallo Around Dodoma Zone....Great Job.
@NeemaChisemeli-ck5fz7 ай бұрын
Kazi nzuri
@lenskingsproductions10 ай бұрын
my number one production❤❤
@fortuneshimanyi206410 ай бұрын
ASANTE SANA TUZIDI KUBARIKIWA
@Arati310 ай бұрын
Nzuri ❤
@OrganistjamesKtZ10 ай бұрын
Good voices
@enriqueonsakia10 ай бұрын
Lovely❤
@franciskironjo936910 ай бұрын
Congratulations
@daviesndaba484410 ай бұрын
❤❤❤ gomaaaaaa la Maaaaana
@ZabronKamwela-p7r10 ай бұрын
Ubarikwe
@mariangaida658410 ай бұрын
Waaaoh
@JastinMassawe10 ай бұрын
Always Video nzuri CGen Pro but hivi Vi_Rectangle Juu na chini Mvitoe vinapunguza Utamu Wakuu