Ningekua naishi karibu na shekh huyu ningejitahid nisikose darsa zake allah amhifadhi na kila shari Ameen
@AbdallahamadKhamis2 ай бұрын
Allah amzidishie ufahamu na amlinde na maadui na ampe mwisho mwema. Huyu ni mrathi wa mtume.
@salumkhamis78182 ай бұрын
Sheikh mselem anajitahidi kuelimisha jamii na anaeleweka Namuomba ALLAH amhifadhi na amuongoze na amsamehe pale anapokosea
@HusseinHassan-km5yi2 ай бұрын
MashaAllah Allah akulinde na akuzdishie elmu ili uzidi kuelemisha jamii
@sudihammad73872 ай бұрын
Nasema kweli huyu mzee wangu sichoki kumsikiza Mungu tupe umri mrefu tuweze kupata darsa zake shekhe wetu
@user-lq1kc5hl4h2 ай бұрын
Binafsi namkubali sana Mwenyezi Mungu akuhifadhi sheikh
@hasheemferuzz72312 ай бұрын
ALLAH ampe umri twawil na Amuhifadhi Jamii Inaujua Uislam Kwa Kupitia Mashekh Wetu
@welcomehistory6102 ай бұрын
Mashaallah mawaidha yako mazuri sana kama nitapata na fasi ya kusomeswa na wewe nitafurahi sana nikiwa mwanafunzi wako unahekima san Mashaallah mungu akuweke na akulipe kheri kubwah
@abdallahdk46372 ай бұрын
Mashaallh mungu ampe umri mferu shehe mselemu Ili jamiii izidi kunufaika
@mohammedhamad93922 ай бұрын
Mashallah wewe ndio muongozo usio na Shaka na Imani yangu. Na Imani yako ilio thabit bila kutumiwa na yeyote. Taqbeer Allahu akbar
@ameenaameena4222 ай бұрын
Allah axid kukutunza sheikhe wetu
@SelemanAmir-ze8zz2 ай бұрын
Allah akuthibitishe ktk dini nasi atujaalie elim na hekma unaeleweka sana shekh akusamehe kila ulipo unapo na utapokosea
@MselemMse2 ай бұрын
Mashaallah binapsi namkubali sana Allah amhifadhi amlipe kilalakheri katika kutuelimisha inshaalh
@DeBoy-oy2jg2 ай бұрын
Mungu akuzidishie umbri na afya nzuri ili uzidi kutupa elimu na ufahamu zaidi ya kuyajuwa makosa yetu na mungozo mzuri wa Dini yetu pamoja na maisha yetu kwa ujumla
@hythamhashiem44582 ай бұрын
اللهم آمين يارب العالمين
@HajiMasmenti2 ай бұрын
Hupo sahihi shekh Mselemu simba wa vita mungu akuzidishie ulipo pungukiwa inshaallah
@hamadkhatib91152 ай бұрын
Allah huqbar...
@SoudShuraim2 ай бұрын
Huyu ndo mwamba wa Zanzibar na A mashariki
@user-mu3cb8iy2h2 ай бұрын
Allah akuifazi shekhe nakupenda Kwa jili ya allah
@shesuna19812 ай бұрын
Allah akuthibitishe ktk uchamungu kwa Rehma zake.
@thamratysuleiman30532 ай бұрын
Kuna baadhi ya salafi wanamponda sana huyu sheikh ila anajua masha Allah
@HanifaOman-oo4pl2 ай бұрын
Salafi yupihuyo aliemponda na ilikuaje akamponda
@user-gc3ec9wx6z2 ай бұрын
Salafi mafuta ndio alie mponda yule hajijuwi ana jiona bora wakat yy ni zaifu tu
@HanifaOman-oo4pl2 ай бұрын
@@user-gc3ec9wx6z Kasim mafuta yule msemakweri kwahiyo chukilaazima ww usifatekupenda mtu fatakasema nini .mapenziweka pembeni fata haki
@omarmohamed3122 ай бұрын
sas hio picha ya huyo msanii unaiweka hapo kwa maana gani. tunamtambua sheikh masha Allah. ila wew uliepost usitumie athari za uongo. unamvunjia shekh heshima.
@hamilsaleh-zo3hp2 ай бұрын
حفظك الله
@user-nk3dp9cv9c2 ай бұрын
Aamin
@kamalmukaddam15212 ай бұрын
Subhanallah
@omarswaleh60822 ай бұрын
Hawa wana muziki wa tanzania karibu wote ni freemason hawa amini kama kuna mungu
@RamadhanRamadhan-cx3tj2 ай бұрын
Ni tamàa tuu ya pesa wajua vizuri kuwa Mungu yuko
@BushDoctor-dw8el2 ай бұрын
Surat Al ana'am Aya 19. قل اي شيء أكبر شهادة قل الله شهيد بيني وبينكم واوحي الي هذا القرآن لانذركم به ومن بلغ أئنكم لتشهدون ان مع الله الهة أخرى قل لا اشهد قل انما هو اله واحد وانني بريء مما تشركون Hiyo aya haina haja na sababu za kushuka wala haihusu tu wakati fulani bali hiyo aya inaendelea kuonya hadi siku ya qiyama. Kwani hata leo tunaona Allah anavyoshirikishwa kwa kufuata vitabu vya wanaadamu na kukibanduka kitabu cha Allah
@hassanimasofa54572 ай бұрын
Allah atuongoze sote tuweze kufanya kheri
@mohamedswalehe44422 ай бұрын
Huyu ndie sheikh pekee mwenye hekma yahali ya ju baada ya sheikhe kipozeo
@RashidAbdallah-qv5qb2 ай бұрын
Mashaanllh
@gamarmahsan82542 ай бұрын
Kweli shekhe Adini na swaha
@gamarmahsan82542 ай бұрын
Alla awa oneshe njiya ilo sawa yaarb
@user-nk3dp9cv9c2 ай бұрын
Asant
@odilowairinga63242 ай бұрын
Nimetazama baada ya kumuona msanii
@gamarmahsan82542 ай бұрын
Ni watoto wengi wamepotezwa na mayahudi na kulipwa pesa na majumba yaskitisha
@user-es3kb5ou6r2 ай бұрын
Usikubali tena KUAMSHIKIKA JELA KUTAMU
@user-yn6yu9zl1p2 ай бұрын
Znzb kitovu cha elimu ila mashe wamebaki wachache
@user-ck3vv3go9t2 ай бұрын
Salaf Ni watu wa mashindan tu sio wa dini hao sio masalaf hao ni walafiiiiii
@adilhabib89882 ай бұрын
Salafi ni kikundi cha ulaji tu pia salafi hawapo ktk kusoma wapo ktk kujengwa kimsimamo sio kimasomo
Sisi waislaam tunashida sana ww unasikiliza maneno ya Allah sasa usalafi wake ww unakupa shida gani kweli jaman mbona hatuwaheshim mashekhe wetu tumuogope Allah kwasababu unaweza kumdharau mtu kumbe ana daraja kubwa mbele ya Allah zaid yako