Pole kaka kelvin na mchumba wako ni chakula Cha wote am from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tujuwane aki kwa like.
@JaneChebet-e3lАй бұрын
chakula Cha familia😢pole kelvin
@allymwashambwa59204 ай бұрын
Mimi nawakubali kinoma kwani mafunzo yenu Kwa jamii ni makubwa sana japo kasoro yenu moja ni pale mnapochelewesha kazi ila tunawasamehe ktk hilo
@perpetuaakoth4 ай бұрын
So painful 😢😢😢😢 but take heart my dear sister hivo ndivyo mambo yalivyo unaye mpenda naye anampenda mtu mwingine ❤ kelvin ❤️❤️❤️❤️❤️kazi nzuri sana ACHA mungu akubariki wewe pamoja na familia Yako
@SharonChepngeno-d7e4 ай бұрын
Kama unahurumia kelvi drop your like apa❤❤❤from i am KENYA
@JessicaKanamba24 күн бұрын
Yaani Kaka Kelvin Ahaaaa Mungu akutiye nguvu, from DRC
@RoziPeter4 ай бұрын
Ila napenda mnavyoigiza jamn sitak hata like zenu embu tuwapongeze Hawa wanavyoigiza
@GervasySamweli4 ай бұрын
Kweli sana
@jmklwango3 ай бұрын
meilleur films inafanya vidéo kwetu congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@RizikiZiki4 ай бұрын
Mutoto wa boss atakufa n'a presha ya wivu kwa Kelvin pole sana binti
@puritynzilaniofficial4 ай бұрын
Wakenya kusanyikeni hapa🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Teresia-vk1wh4 ай бұрын
Tuko hapa
@ekisilloamajoritymusic51484 ай бұрын
tupo mamaa
@HidayaMbodze4 ай бұрын
Tupo
@mercymulee19484 ай бұрын
Tupoooo🎉💥💥
@jemimahmwa88493 күн бұрын
Tupo hapa pongezi Kwa Kevin mtunzin wa movie
@JabanFranklin4 ай бұрын
Jaman team Kevin 🇺🇬🇺🇬🇺🇬 weken hapa like za donta tv
@BahatiKadenge-n5r4 ай бұрын
Me hua nasema Kelvin hua unanifunza sana kupitia hizi move zako ila tina amemfokea sana nely much love from saudi but ninatokea kenya ❤❤❤
@Dianaf7744 ай бұрын
Kazi nzuri donta family najifunza sana kutoka kwenu ila nampenda sana daa tina❤❤
@AzizaQueen-lr8oz4 ай бұрын
Jamani kazi nzuri sana ongezeni juudi wakubwa zangu nawapenda sana ❤❤ mupewe mauwa yenu🎉🎉🎉🎉
Congratulations boss kwa kufaa sura ya kazi 😂😂😂❤tunawapenda sana 🇰🇪
@Muhsin-d3u4 ай бұрын
Jamani wangap wanaona mama anavyojua kuigiza hapanaua yake 🎉🎉🎉🎉
@ConcilieIrankunda4 ай бұрын
Mimi kutoka Burundi.ninapenda movie zako Wewe n'a timu Yako kwasababu movi zako zinamafunzo kwa mtu yeyote Mungu awabariki muendelee kuwa n'a mafanikio katika kazi zenu 🎉🎉🎉
@ZainababdulZubeidah2 ай бұрын
Subhallah hi story yani Liza sana
@HappyMtawali4 ай бұрын
Sijachelew san jmn nawapend nyote mnaofatilia donta tv ❤
@perpetuaakoth4 ай бұрын
😂😂😂😂😂huku kila mtu ni WA kwanza jamani mwanifurahisha sana
@RachelNgalya4 ай бұрын
Nakwamby na kuomba like kama chakula 😂😂😂😂😂
@jmklwango3 ай бұрын
meilleur films inafanya vidéo kwetu congo❤❤❤
@lydiahnyamokami50584 ай бұрын
Pole kelvin bora upite na boss maana wife mtarajiwa saahii anapepewa hewa na mzee mzeekaa.pole na ongera kwa kazi nzuri na team yko yte🎉🎉❤❤❤
@bahatiomar52974 ай бұрын
Leo nina furaha sana najua ukweli utaumbuka tu ka Rashid jipange 😅😅 nawapenda Bure team donta
@chunaabdullah13334 ай бұрын
Mshangazi oyeee😂😂😂😂pole Tina ndio titi kwa tati watwaa pesa kwa James wapeleka kwa lachidi haya ona ss lachidi atoka na shemegie 😂😂😂
@SakinaHassani-xm7ti4 ай бұрын
Jemsi nae anatoa pesa kwa mshangaz 😂😂😂 mapenz haya mmh , hapana
@rukiahassan70014 ай бұрын
Na huyo James nae anaongwa ni nani hizo pesa ama ni 😂😂zake
@RachelNgalya4 ай бұрын
@@rukiahassan7001yan wanachanganyana ad siyo pw mshangazi ananibamba kweliii❤😂😂😂😂😂
@ZeitunMohamed-cc2ym4 ай бұрын
@@RachelNgalya pesa zinarudi tuh kwa rashidi na kelvin
@YafitaHasna4 ай бұрын
James ananichekesha eti wanawake Wana vituko wakiwapamoja anamwambia ni mrefu kama lingoti wakiachana anamwambia ni mfupi kama nyundo 😂😂😂😂😂James na huyo mapenzi wako😂😂😂
@japhethmutumwa4 ай бұрын
Mm wa kwaza nipeni like zagu nikiwa kenya garissa county
@LucasMagukuru-hc9kr4 ай бұрын
Kwamb hatuon ww xio wa kwanz, hayaa
@petersiengo80404 ай бұрын
Jaman leo wa kwanza nipe like zangu kwa team ndota tv
@EDINESIFENIAS4 ай бұрын
Hongeren San
@petersiengo80404 ай бұрын
Thanks
@ZidoJr4 ай бұрын
Huyu mtu anajua sanaa aiseee
@JanetRiziki-ut2is4 ай бұрын
Hongera sana kwa move yenu nzuri mungu awabariki ❤❤❤❤
@MarryIrunde-fk1bw4 ай бұрын
Ivi uyo madam na mfanyakazi wake mapacha au mbon wanafanana sana
@methodnkundumukiza63674 ай бұрын
Yan huyo Maman ni noma sana🤣🤣🤣ana moto weeeeee!!
@chadrackkyakutala64234 ай бұрын
😂😂😂
@ZainababdulZubeidah2 ай бұрын
Congratulated all in this movie s
@saidiabdalahshabani9414 ай бұрын
Uyo mshangaz unajua kupet pet 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂ila Kevin pole kwahayo yanayokukuta😢
@Marim-sj7oi4 ай бұрын
Sanaa 😂😂😂😂
@MbarakaSefu-w6yАй бұрын
Kelvin kelvin kelvin mwanamke akijiona asali muache ajilambe kk ya nini kuutesa moyo huyo Victoria hakufai kbxaaa.............,.............,,
Neeelllyyyy,,kwema kabisa kazini,,, hahahaha. Hongereni San Donta Family kwa kazi nzuri.
@BarakaAloice4 ай бұрын
Wanaume mko kazi kwel sahi hamtucheleweshi
@PurityKanana-ev6ty2 ай бұрын
Aki kutoka nifutilie donta tv imenifunz mambo mengi kuishi kwa ndoa atleast ata nikiingia kwenye mausiona sitateseka walai
@IsayaOnesmo-s1q26 күн бұрын
Napenda kweli mnavyoigiza mnaigiza movie menu kali kweli❤❤
@Aswan-f8r4 ай бұрын
Wapi like za kelivin much love from Kenya guys like back❤❤
@AgnesMwende-p9w4 ай бұрын
James Leo nakupa maua 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 pokea watching from saudi Arabia team hammam vip
@nkomelemtotowachifu30614 ай бұрын
🥰🥰🥰👏👏👏
@VictoriaNzyela-ud4vv4 ай бұрын
Tina nyamaza yametukuta wengi
@LucyLucy-me5ge4 ай бұрын
Waliotamani kumwona Vicki na episode ya Leo na hatukufanikiwa tujuaane
@halemamoon17824 ай бұрын
Sasa madam boss s uende tu moja kwa moja kuliko kumwimbia nyimbo ndeefu Kelvin wetu
@milli33-wn6ns4 ай бұрын
Kazi nzuri sana ❤❤❤
@MariamRiziki-o8x4 ай бұрын
Mm si wa kwanza laminitis naomba likes za wana donta tv❤❤❤❤❤from 🇰🇪
@Gift-kijiti4 ай бұрын
Wanaume wa siku hizi hawashukulu Rashid nikupe nn wewe 😢nguo nanunua mm kila kitu lashidi 😢😢😢😢😢😢😢😢ila wanaume kweri mwaudhi pigeni mawe 😂😂😂
@aminaabdalla-uo9zq4 ай бұрын
😂😂😂😂w kuuwawa kabisa
@aminah95574 ай бұрын
Yaani mm namuonea sana huruma kelvin
@MaSuzy-zf8ol4 ай бұрын
Jamani haya mapenzi shikamo mapenzi
@BelterGervas-br5mb4 ай бұрын
Ila boss yk vizur n majibu yak ya kukera👍
@JAENQUEMUNGUROMO4 ай бұрын
Safin sana tuu hendele hivo hivo episodes 7
@DamarisDammie4 ай бұрын
Good job 👍👍 bro alafu hii movie ingeitwa tu usaliti 😢
@bennamush46164 ай бұрын
Kweli kabsa
@jacklineteresia26294 ай бұрын
Ukweli 😂
@AbdulyBendela4 ай бұрын
👍
@GalazxyShshhs4 ай бұрын
😂😂😂
@DedeEmanuel4 ай бұрын
Heshima kwa Kelvin ❤ twa kupenda saaana
@TatuHusseni-hs7mu3 ай бұрын
Keviny jamani mzuri ukiachana na uigizaji wake nampenda sana huyu kaka ❤❤❤❤
@pilselman29554 ай бұрын
Kelv tunamtak loveness na nasra tuwaon umu
@GraceKabugane-r5j3 ай бұрын
Kuna msemo unassembled shemeji ni mboga hongera sana want DONTA TV kwa movi mzuri
@silviaamakweliukweliutajul83954 ай бұрын
Tina leo analia mapenz shikamoo
@Oman-k4j4 ай бұрын
Mtu jiangali kwanz dipo ufanye jambo huyo demu asituvalie kipini jman hajaprndez kabisa
@aminaabdalla-uo9zq4 ай бұрын
Dem gan😂😂😂
@Oman-k4j4 ай бұрын
@@aminaabdalla-uo9zq kwel voh hem muangalie hakijampendeza hasaa bora tumuambie kuna pua za vipini jamani tusienge tu duh 🙄
@Oman-k4j4 ай бұрын
@@aminaabdalla-uo9zq aaa jina lake sjui limenitoka pia mamii
@aminaabdalla-uo9zq4 ай бұрын
🤣😂😂😂ashckia
@sikudhanimohammad76924 ай бұрын
Jamani ww 😂
@sikudhanimohammad76924 ай бұрын
Kelvin mwambie sawa naacha kazi uone kama hatakubembeleza
@MR_RAMSATZ4 ай бұрын
dah kelvin hii muvi ni balaa sana maana navyoona ni Kali sana ila kaka ukijua Rashid anatembea mke wakonmtarajiwa sijui itakuaje haya ngoja tuo.nice job kaka
@NdahayoDaniel-o6r2 ай бұрын
Nimejaribu kufwata filamu zako zote alafu mpaka nikafurahiya, am from Uganda.
@lucasmachibya65514 ай бұрын
Mngeandika wiki kabla ya ndoa sio siku moja
@aminaabdalla-uo9zq4 ай бұрын
Me naona miezi sita 😂😂😂
@BarakaAloice4 ай бұрын
Kunambi umenichekesha san 😅😅😅😅😅😅😅😅😊😊😊😊
@AnnaDaudi-ol9gd4 ай бұрын
Tina Tinaa umemuua mjomba ako kisa rashidi 😂😂 umetisha mapenzi kiboko😂😂😂
@نيجي-ن1د4 ай бұрын
Ww boss nawe unamatatizo makubwa sana hata kama mtu unampenda kwa ukali huo na kibur atakukubali
@JASMINMJAJI4 ай бұрын
Hakika wanajua🎉🎉🎉🎉
@MESAID-j4g4 ай бұрын
Jishangazi kwa kudeka sasa
@vailethkalinga65044 ай бұрын
Mko vizuri sana
@AshuraAmisi-ey4mj4 ай бұрын
Nipeni liké zangu jamani sija chelewa sana
@KubelwaIlungaMardochéeSalama2 ай бұрын
Kelvin basi nawe humukubaliye boss waku ❤❤❤❤❤
@AishaNibizi4 ай бұрын
Watu wa Burundi njoni hapa tumupongeze Kevin dunga link hapa
@AlineKavugho4 ай бұрын
Kazi hiii naomba iku bariki kama inavyo ni bariki, kazi hiyi ina muzunguko wa waume nama bibi, uki itazama kwaku kupendeza itakunza umalaya ao iukutowe katika hali ya umalaya.🙏
@kitambalarozaka13294 ай бұрын
Number one
@DgbekaMkaliwao4 ай бұрын
Doctor Calvin inatisha my Braza God bless you
@judithpendo99854 ай бұрын
Km wafuatilia siku moja kabla ya ndoa like apa nawapenda saaana Wana hamamu 🇸🇦🇰🇪🥵💞💞♥️♥️
@aminaabdalla-uo9zq4 ай бұрын
C baada, kabla😂😂
@RoseSamwely-m4y4 ай бұрын
Ni kabla jmn😂😂
@makkamakka91714 ай бұрын
We umeharibu sema kabla ya ndoa nitatoboa screen nije nikukande 😂😂😂
@judithpendo99854 ай бұрын
@@makkamakka9171 🤣🤣🤣🤣🙌 sawa
@makkamakka91714 ай бұрын
@@judithpendo9985 🤣🤣❤️🥰
@MaryamIsmaeel-v3iАй бұрын
Hongera, uko vizuri kevi najifunza mengi❤❤❤
@josephineuwizeye82504 ай бұрын
Pole kelvin uyo mchumba wako ni hovyo.🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@MrInnoofficial4 ай бұрын
Off cause donta mpo vizuri lakini mbona mnachukua muda kutoa episode shida nn
@sikudhanimohammad76924 ай бұрын
Ww nawe. Si wametoa juzi tu?
@AdamIssa-t2k3 ай бұрын
Ahaaahaaa ooooyaaaaeeeee mshangazi yuko vzuriiii
@EstherMutisya-rf4qq3 ай бұрын
Pole sana kipenzi changu siku ingine usiingize na hao wanakutesa ingiza na mimi
@okshindo86814 ай бұрын
Tina nlikuona mtu poa umetulia sio kama Lina mwenye tamaa na udanganyifu mwingi kumbe tofauti yenu ni herifu ya kwanza ya majina yenu ila tabia ni zile zile😊😊, naenjoy sana hii series mwanzo mwisho Kenya 🇰🇪 iko locked
@PriscaKagendo-w7q4 ай бұрын
🎉🎉🎉nmejalibu leo
@JudithGeorge-mw7fe4 ай бұрын
Ivi huyu Vai na boss mbn wanafanana
@MerryKiwango4 ай бұрын
Kbs mapacha
@NgowaNgao4 ай бұрын
Hii movie inaonyesha vile wanadada wa hii karne wako ,kupitia kwa linah ,we are learning a lot ...wanawake ni kama shetani tu..Kenya niko ndani
@SayimcheleSayimche-mq5wv4 ай бұрын
Kaka naona kaz inaedelea vzr, God bless
@monicahjoseph25284 ай бұрын
Kevin hanaga baht ya mapen aki
@SaraaSaraa-i1j4 ай бұрын
Haya mshangazi upo
@NeylaBoniphace4 ай бұрын
Mshangaz anajua kuigiza jmn 😂😂 n kibenten wake wananifuraisha❤️❤️
@mohdmassoud30524 ай бұрын
Najiona kabisa tabia zangu na za Rashidi hatuna tofauti maan hata mm shem akikaa vibaya kumla ni kawaida yangu😂😂
@thelesiahosea49664 ай бұрын
🙄
@ValerianaMdendele4 ай бұрын
😢
@ZulekhaAmar-fy4pm4 ай бұрын
Shenz
@mohdmassoud30524 ай бұрын
@@ZulekhaAmar-fy4pm 😢
@mohdmassoud30524 ай бұрын
@@ValerianaMdendele 😂
@AghHh-v3f4 ай бұрын
Pore sana kervi mimi ni muburundi napenda kazi yako ❤❤❤❤
@PaulineNasoro4 ай бұрын
Nzuri sana Lina chakula Cha wote ❤❤❤❤
@yusufujkululinda49474 ай бұрын
Inauma sana usiombe ikukute hii unamwamini mtu na kumpa mda wako wote kumbe yeye hana mda na wewe kabsa
@ggfwtgg16524 ай бұрын
Jmn haya mapenzi Tina kumbe pessa anapelekea lachidi anapewa na yeye mbona watu wana vutana vutana 😅😅khelvin kua maskini kikulacho kiko mukononi mwako 😅❤❤❤❤
@Prisciealex4 ай бұрын
Master j wako poa sana mimi ninawaombea waende mpaka watimize ndoto zao,
@DottoMabogo4 ай бұрын
nami nawapenda pia
@LoiceKatana-ci1tx4 ай бұрын
Hongera sana team kelvin kwa kutupa mafunzo🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@SikuJuma4 ай бұрын
Nawapenda sana
@SarahMwimi-i8w4 ай бұрын
Nimewah Leo jaman cjawah
@NdahayoDaniel-o6r2 ай бұрын
Pole sana kelvin,unaigiza vizuri napenda unavyo igiza.Alafu unafunza???
@aishalovesesibe4 ай бұрын
Nimekuwa ni mewamiss jameni izi kazi zawarabu nazo nihatari kbs
@Phoebenafula4 ай бұрын
Vicky acha kumtesa kevin anakupenda ns wewe unamchezea tu
@kimoyoleteipa814 ай бұрын
Nakuru county nipeni likes zenu,moto unawaka jamani 😄