SIKU YA PILI, ABIRIA WAZIDI KUMIMINIKA SAFARI ZA SGR DAR - MORO

  Рет қаралды 24,969

TRC RELI TV

TRC RELI TV

Ай бұрын

Пікірлер: 96
@Kabwela776
@Kabwela776 Ай бұрын
Watanzania hawana utamaduni wa kupanga foleni yaani tabia za vijiweni wafundisheni kupanga foleni Na tengenezeni matangazo ya kuwaonya abiria kuhusu uhabiribifu wa miundo mbinu ya ndani ya train
@kwisa4899
@kwisa4899 Ай бұрын
wazo zuri sana
@kiatu
@kiatu Ай бұрын
Ustaarabu kwetu ni changamoto
@vt-kn6qf
@vt-kn6qf Ай бұрын
Please TRC mkajifunze Airport mifumo ya habiria kuweka foleni kuhelekea kwenye mabehewa Please 🙏 icho sio kituo cha daladala please
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 Ай бұрын
Barabara za morogoro kuelekea station ni mbaya sana. Tanroad wanafanya kazi kwa mazoea.
@starjay3052
@starjay3052 Ай бұрын
😁😁🤣🤣 hii ndio bongo kaka
@starjay3052
@starjay3052 Ай бұрын
unataka vitu vizuli kwani upo uraya
@jabirikilagilile9799
@jabirikilagilile9799 Ай бұрын
Sanaaaa
@fadhilisecha4268
@fadhilisecha4268 Ай бұрын
kikubwa mradi uwe na mwendelezo. ni project nzur sana KIUCHUMI
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l Ай бұрын
Shirika lilikuwa limekufa. Namkumbuka magufuli kwa kufufua hili shirika. Hongera mama samia kwa kumaliza kazi ipasavyo. 5 tena kwako mama❤
@rahmaomary5134
@rahmaomary5134 Ай бұрын
Mradi wa SGR ulizinduliwa kipindi cha raisi wanne
@sundaystanley5322
@sundaystanley5322 Ай бұрын
​@@rahmaomary5134unafikiri nani atakuelewa na maneno yako,hata kama ulikuwa humpend jpm,tutamkumbuka tu
@deven.oauditx7547
@deven.oauditx7547 Ай бұрын
​@@rahmaomary5134Pro-Magufuli hawataki kukubali kuwa mradi ulibuniwa na mchakato ulianzishwa na Kikwete.
@herodiduma9906
@herodiduma9906 Ай бұрын
Mipango yote ni awamu ya 3 utekekezaji awamu wa 5
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Ай бұрын
Hongereni Serikali sikivu kwa kuleta mambo haya mazuri kwa wananchi, Mungu ibarik Tanzania, Mwenyezi Mungu mpe afya na nguvu SSH
@user-fl3fb5gh6b
@user-fl3fb5gh6b Ай бұрын
Rip jpm
@UnitedAfrica-uw9ct
@UnitedAfrica-uw9ct Ай бұрын
USAFI WATANZANIA USAFI CHONDE CHONDE.......! , msije na mizigo ya mihogo na ndizi humo sio mahala pake.....
@kwisa4899
@kwisa4899 Ай бұрын
Muwafunze wa TANZANIA KUPANGA FOLENI MAANA HAWANA ADABU TOFAUTI NA NCHI ZINGINE NA HIYO NDIO INDICATOR YA KUJUA NI MTANZANIA JITAHIDI KUWAPIGIA KELELE KUHUSU HILO NI TABIA INAYO CHUKIZA SANA
@beaugosseadam6831
@beaugosseadam6831 Ай бұрын
Kila kitu hutona na Malezi pamoja na Tabia njema ya kujifunza. Wabongo wengi Malezi na Tabia zao ni za vijiweni. Hata Wasomi au Viongozi ukiwaangalia utaona dalili za ushamba tuuu
@kwisa4899
@kwisa4899 Ай бұрын
hii tabia kwa wa Tanzania imekuwa ni kero sana ilitakiwe iwe kaulimbiu ya kitaifa kwa sababu hii tambia inaambatana na rushwa unakuta mtu kakukuta Dukani anataka audumiwe yeye kwanza inachukiza sana
@atkentravelafrica4361
@atkentravelafrica4361 Ай бұрын
Jambo jema na la kupendeza sana, Lakini kuna jambo moja la muhimu nalo ni mizogo ya abiri. Handleling ya mizigo ya abiria bado utaratibu wake haujazingatiwa vizuri na trc. Mzigo yote inapaswa kuwekwa lable na kuwa rapped na kuhifadhiwa katika behewa la mizigo. Sasa hapa naona tusha Beba na box zenye kuku katika behewa za abiria.
@kwisa4899
@kwisa4899 Ай бұрын
​@@atkentravelafrica4361TRC ingebakia kwene ku deal na usafiri hudumu zingine wangeachia Private sector ,itakufa na uchafu utakuwa kama walivyo shindwa kuendesha uwanja wa Taifa na Mwendo kasi wanajua kuazisha miradi tu lakini kuendeleza na kusimamia ni 000000000000000000
@selemankishema5780
@selemankishema5780 Ай бұрын
Wenye mabasi mjipange msihujumu tu 😂😂😂
@kwisa4899
@kwisa4899 Ай бұрын
Hawawezi kwasababu usafiri huo ni single railway truck labda ingekua Doubled truck railway
@iddrashid7054
@iddrashid7054 Ай бұрын
Mikoa ifungue vituo vya mabasi karibu na stedheni za SGR ilikusaidia wasafiri watakao kuwa wanashuka kuunganisha na safari barabara pia za kuenda stesheni ziboreshwe isije kuwa mtu unasafiri Dar Dodoma 4hrs halafu stesheni mpaka stendi ya mabasi 2hrs
@HABIBHASSAN-wf5mr
@HABIBHASSAN-wf5mr Ай бұрын
Hongera SANA mama SAMIA KWA KUKAMILISHA ULICHO WAAHIDI WA TZ KWAMBA KAZI IENDELEE NA KWELI
@alexifunya7548
@alexifunya7548 Ай бұрын
Twende na wakati tukate tiketi online
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 Ай бұрын
Daaaa kiukwer mimi izo ofice zao kama irport daa bonge la dude seeeeeee mpka laaa 🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗
@Beauthoms
@Beauthoms Ай бұрын
Keep it up trc
@williamssempoli2294
@williamssempoli2294 Ай бұрын
Safi sana! Mfanyabiashara unatoka Moro asbh unashuka steshen unaingia Kariakoo unafanya yako then unageuza kiurahisi
@carolinamushi6316
@carolinamushi6316 Ай бұрын
Hongera sana Raisi wetu kwa kazi nzuri. Mungu ibariki Tanzania 🙏
@MashakaMagesa
@MashakaMagesa Ай бұрын
Kazi ya JPM ungesema Rip Jpm
@jumaibrahimu1341
@jumaibrahimu1341 Ай бұрын
Tujitahd folen zisiwepo kama Air port kazi nzuri
@kanchanananayakkara8959
@kanchanananayakkara8959 Ай бұрын
Such a beautiful train❤
@fredyjunior6961
@fredyjunior6961 Ай бұрын
SAFI SANA. NCHI INAPAA
@ambokilemussa3518
@ambokilemussa3518 Ай бұрын
mwafrika anaitwa pelegrin!!!!!
@ambokilemussa3518
@ambokilemussa3518 Ай бұрын
sisi wa Mbeya lringa na Njombe ngosha alitutenga😢
@Kim19onlinetv
@Kim19onlinetv Ай бұрын
Mwalim Humphrey siku nyingi sana MWALIMU wangu uko wapi?
@user-pi8ln3fe3n
@user-pi8ln3fe3n Ай бұрын
ongereni sana maendereo mazuri lakini mngefanya vitumike vitambulisho hata vyakupigia kura sio nida peke yake kunawengine hawana nida
@IkoUwasi-it6qy
@IkoUwasi-it6qy Ай бұрын
sasa hujui kuwa NIDA ndio cha kupigia kura ndio maana kimebeba vitu vingi
@mcback4384
@mcback4384 Ай бұрын
Hapakuwa hata na haja ya NIDA, wangesema number yako tu ya simu, hakuna number ya simu isio na NIDA
@bongohackss
@bongohackss Ай бұрын
Thanks to Magufuli, RIP dady
@majatamsafiri5
@majatamsafiri5 Ай бұрын
Watanzania ni vema kushirikiana katika kutunza miondombinu ya reli yetu ili endelee kuwa bora
@FredyVincent951753852456
@FredyVincent951753852456 Ай бұрын
Ili kuboresha ustaarabu TRC watengeneze mabehewa yenye sehemu za mizigo ya Watanzania . Hatuwezi kuacha asili watanzania hupewa zawadi za chakula na kadhalika( yawepo mabehewa maalum ya kubebea zawadi zao)
@ernestsinje9700
@ernestsinje9700 Ай бұрын
Kwa kweli ni Hatua
@bonaventuralupogo2149
@bonaventuralupogo2149 Ай бұрын
Online website haifanyi kazi
@shaban6644
@shaban6644 Ай бұрын
Online ipo Kwa maboresho, tunaenda Na physical kwanza.
@kisutabora5914
@kisutabora5914 Ай бұрын
@@shaban6644 muwafikirie watalii wa nchi za nje iwe rahisi pia kwao kujiandikisha mtandaoni. Sasa hivi haiwezekani hata akiweka email
@mcback4384
@mcback4384 Ай бұрын
​@@shaban6644miaka yote mnafanya majaribio ya nini? Incompetence kabisa
@kwisa4899
@kwisa4899 Ай бұрын
ulitegemea itafanya kazi 😂😂😂😂
@RamadhaniZuberi-qs7xv
@RamadhaniZuberi-qs7xv Ай бұрын
Daa wapo wanaotuna hatuna macho wanatuminisha selikali haijafanya chochote cha maendeo
@bnyangoma
@bnyangoma Ай бұрын
Kwa nini inatakiwa NIDA namba?
@jamalimussa4928
@jamalimussa4928 Ай бұрын
Jitahidini kutumia technology watu waweze kukata online na kupata ticket kabisa kusiwepo mwingiliano na watu, inasaidia kuweka mazingira mazuruli ya kuepuka msongamano
@kisutabora5914
@kisutabora5914 Ай бұрын
Pia wawafikirie abiria waliopo nchi za nje kufanya booking kirahisi. Sasa hivi haiwezekani, lazima kujiandikisha, ila abiria wa nje mtandao inawagomea, hauruhusu, si nzuri kwa watalii
@Kabwela776
@Kabwela776 Ай бұрын
Haya mabox mngezuia abiria kuingia nayo ndani ya train mngeruhusu mabegi tu
@magorymara5515
@magorymara5515 Ай бұрын
Hili shirika wasipouzingatia usafi basi itakuwa ni kwa mapenzi yao wenyewe make kila kitu wamerahisishiwa ni sheria tu ndo wanatakiwa kuziweka kwa pande zote kwa abiria mpaka wafanyakazi ili tusijeonekana wa hovyo kama nchi
@MashakaMagesa
@MashakaMagesa Ай бұрын
Itunzeni hiyo miundombinu idumu Rip Jpm
@allymganga3223
@allymganga3223 Ай бұрын
Ruti ziko 2 moja ndio hii ya saa 10 ya asubui inakuwa saa ngapi
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 Ай бұрын
Mifumobya card vipi hongereni
@joevang4685
@joevang4685 Ай бұрын
r.i.p jpm
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 Ай бұрын
Rip magu dah
@mahamudumbaruku5237
@mahamudumbaruku5237 Ай бұрын
Kwaiyo kama auna namba ya nida autaweza pata tiketi.
@kisutabora5914
@kisutabora5914 Ай бұрын
Siti la watu 3, linasimama kila kituo
@mwajumabandula6122
@mwajumabandula6122 Ай бұрын
Sasa km huna NIDA huendi 😢😢
@alfredmhana235
@alfredmhana235 Ай бұрын
Wamiliki wa mabasi wapunguze vurungu zawo kwa baraba.hiyo Haina foleni au eti kumsubiki kiwete Apite kwanza.
@tezuramziray8700
@tezuramziray8700 Ай бұрын
Inapendeza ila tunaomba teknolojia ichukue nafasi yake. Online tunakataje
@HildaMwakalebera
@HildaMwakalebera 9 күн бұрын
Kama sina nida je kwa siwezi panda
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s Ай бұрын
Shida ni ufisadi tu nchi hii, RIP JPM
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 Ай бұрын
SAF SANA ...... MITANO TENA
@Japanese-lz1or
@Japanese-lz1or Ай бұрын
Dahhh sasa mabsi yangu niamishe ruti sasa
@filamupictures9349
@filamupictures9349 Ай бұрын
subiri nikutajie sababu kadhaa za mabasi kuendelea kuwepo hiyo route ya dar moro, 1. mabasi yanatoka mapema kuliko hiyo treni, baai la kwanza la moro dar ni saa kumi na moja kamili asubuhi linatoka na giza, na hadi saa tatu upo Dar, wakati treni ya moro dar ni saa mbili, 2. stesheni ya Dar ipo mbali na maeneo mengi mji, maeneo mengi watu wataamua kupanda basi, kwasababu foleni za kwenda posta zitaendelea kupoteza muda vilevile. 3. mabasi hayana ratiba, sasa hivi basi la dar moro dar linaondoka linapojaa yani kama daladala, na tiketi unakatia mlangoni mwa basi, mambo ya kusafiri kwa muda maalum kutakuwa na watu ambao wana safari za ghafla, na wengine wataona usumbufu , wataendelea kupanda basi,
@salumalriyamy
@salumalriyamy Ай бұрын
​@@filamupictures9349Pia usisahau kuwa Kuna factor ya convenience, kwa mfano mtu anataka ashuke kimara Moja kwa Moja badala ya kushuka town then achukue taxi, Pia Kuna wakati ambapo treni haipo kwenye ratiba, imejaa, au umekimbiwa.. Yani kuwaza kuwa treni inaua mabasi ni kujinyima ufikiri
@mcback4384
@mcback4384 Ай бұрын
​@@filamupictures9349hata hivyo hakungetokea mabasi yasiwepo kabisa lakini huwezi pinga kwamba hawa abiria wote unaowaona hapa walikua ni wa mabasi kabla SGR haijaanza operation
@ahmedronga7583
@ahmedronga7583 Ай бұрын
Km huna nida uwezi safir?
@user-fb5tj5zy4z
@user-fb5tj5zy4z Ай бұрын
Daraja la walalahoi likoje, tuonesheni jinsi watu wanavyokaa kwenye daraja la chini
@rashidmsuya5721
@rashidmsuya5721 Ай бұрын
Si ndo ilo uchumi
@samsonmweta5040
@samsonmweta5040 Ай бұрын
Tunaomba ratiba iwe wazi tujipange kufanya utalii 😂
@sunguraally2456
@sunguraally2456 Ай бұрын
Kwa Mteja ambae hana kitambulisho cha NIDA ila NAMBA ya NIDA anayo,anaruhusiwa kukata TIKET?
@HassaniMzee
@HassaniMzee Ай бұрын
Naomba maelekezo jinsi ya kukata tiketi mtandaoni
@nsajimwasege68
@nsajimwasege68 Ай бұрын
NIDA inahusikaje na mtz kusafiri Dar Moro?
@nicolausminja689
@nicolausminja689 Ай бұрын
🤔TRC kumenoga!
@jerryjohn8030
@jerryjohn8030 Ай бұрын
Hii ni kuipa mda kama mwendokasi 😂😂
@mcback4384
@mcback4384 Ай бұрын
Ubovu wa huduma ya mwendokasi ni basi chache, hii mzee trains sio chache, kuna ambazo ni doubldeck zenyewe hata mzigoni bado hazijaingia
@shedrackmutalemwa7310
@shedrackmutalemwa7310 Ай бұрын
Mtandaoni unakataje ticket
@karyori69
@karyori69 Ай бұрын
Mbona online booking hamna nyie vp?
@kisutabora5914
@kisutabora5914 Ай бұрын
Upon. Ingia/tafuta/google sgrticket.trc.co.tz
@godlistenmnkeni2454
@godlistenmnkeni2454 Ай бұрын
Online booking ipo
@straitnews3441
@straitnews3441 Ай бұрын
Kwa ticket online zipo au hazipo
@UnitedAfrica-uw9ct
@UnitedAfrica-uw9ct Ай бұрын
Hakuna ticket online ndio kwanza wanapambana kufanya tovuti ifanye kazi
@iathumani
@iathumani Ай бұрын
Tickets online zipo acha kujibu usichojua. Nimekata online two times.
@UnitedAfrica-uw9ct
@UnitedAfrica-uw9ct Ай бұрын
@@iathumani juzi imebidi niende pale station kukata ticket kwa hiyo najua ninacho kisema , na nimeongea na mtu wa ICT TRC ame confirm bado site yao haiko tayari usitete ujinga...kila mtu anataka huduma nzuri....kama ATCL wana mfumo mzuri wa Ticket wao TRC kwanini wanachelewa kuanzisha jambo ambalo linawaletea pesa kirahisi...i wasted one hour trying to get a ticket.
@iddrashid7054
@iddrashid7054 Ай бұрын
Usafiri uwe 24hrs
@kwisa4899
@kwisa4899 Ай бұрын
Hakuna kitu kama hicho Duniani
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Ай бұрын
Hizo electronic mbona kuna mtu kasimama wakati ni machine yenyewe inafunguka au ni mhovu hizo machine!!!!?
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 11 МЛН
Получилось у Миланы?😂
00:13
ХАБИБ
Рет қаралды 6 МЛН
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 12 МЛН
Visiting the Divorced Women's Market in Mauritania 🇲🇷
9:40
Joe HaTTab
Рет қаралды 19 МЛН
#SGR: TRENI YA UMEME TANZANIA   (Film)
23:56
WABONGO UGHAIBUNI MEDIA PRODUCTION LIMITED WU®
Рет қаралды 1,5 М.
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 11 МЛН