Kazi zinaendelea kama kawaida.... hopefully reli hii itafika mkoani kagera ikielekea Rwanda..tujiandae kufanya kilimo tija...we are profoundly honoured Mama Wetu... Ahsante
@KELVINSOSPETER9 ай бұрын
KAZI IENDELEE 🎉🎉🎉🎉
@jamesukombozi52169 ай бұрын
Mama yetu mpendwa Mungu awe pamoja nawe katika kila jambo, mambo unayofanya hakuna alietegemea,, hongera sana Dkt Samia Suluhu Hasani
wakina mama msimuangushe mwakilishi wenu wa kwanza anaeonyesha uwezo wenu katika taifa hili akiliwakilisha taifa kwa uzuri kabisa ndani na nje ya nchi
@rahimzuberi26739 ай бұрын
Kazi nzuri sana
@OmmyJames-xn7ji9 ай бұрын
Kazi iendelee 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@paulachilipweli23499 ай бұрын
Asante mama kutekeleza majukumu Yako.
@martinseverine71569 ай бұрын
Hiki kipindi ni kizuri, muendelee kutuhabarisha na kwenye sector zingine.
@iddiali69828 ай бұрын
Verry nice Wallah
@wabongoughaibunimediaprodu44719 ай бұрын
Tuko pamoja Mama
@reformerthrone9729 ай бұрын
Safi Sana
@lwinikojames9 ай бұрын
Zuhura yunus Apo ndo mahali pako kongole kwako
@emmanuelugosmligo10169 ай бұрын
Safi mno
@paulosenkoro6569 ай бұрын
Quality
@khalfanabdullahumoud42129 ай бұрын
Good
@NdilanhaBoniphace9 ай бұрын
Sasa 💯% mnasubria nn kuanza Safari mabasi yenywe nauli bei juu tumewachoka😢😢😢
@emmanuelugosmligo10169 ай бұрын
ila mm namuomba yunis nimpongeze
@deogratiaskatinda92329 ай бұрын
Tusubirie na tuone kama bado ni maigizo
@sujatatom50479 ай бұрын
Zuhura mwambie mama tunahitaji sukari. Maisha magumu. Mbona hatuna umeme Zuhura? Sikuelewi
@beaugosseadam68319 ай бұрын
👍 👍 👍 👍 👍 👍 👍 👍 👍 👍
@Sheba9384 ай бұрын
ARUSHA JEE?
@faustinluambano29589 ай бұрын
Treni haijafika Morogoro imepotea safari zitaanza July 2024
@NAFTALIMUNDANGA9 ай бұрын
Ukweli Samia anajua kututesa, sijui tulimkosea nini. Huku sukari bei juu, umeme hakuna. Labda Mungu angemchukua Magu baada ya kumaliza miradi yake hii muhimu. Hii Injini si ndo mlisema ya majaribio? Ile ya kichwa mchongoko tulio oneshwa kwenye picha iko wapi mama?