SILAHA ZA KUTUMIA KIROHO KWENYE MAOMBI YAKO //

  Рет қаралды 8,877

SIRI ZA BIBLIA

SIRI ZA BIBLIA

Күн бұрын

Efe 6:14-18
Basi simameni, hali mmejifunga kweli viunoni, na kuvaa dirii ya haki kifuani, na kufungiwa miguu utayari tupatao kwa Injili ya amani; zaidi ya yote mkiitwaa ngao ya imani, ambayo kwa hiyo mtaweza kuizima mishale yote yenye moto ya yule mwovu. Tena ipokeeni chapeo ya wokovu, na upanga wa Roho ambao ni neno la Mungu; kwa sala zote na maombi mkisali kila wakati katika Roho, mkikesha kwa jambo hilo na kudumu katika kuwaombea watakatifu wote
Maarifa ya Ki-Mungu
@SIRI ZA BIBLIA
www.sirizabiblia.com
+255 758 708 804
linktr.ee/siri...
Instagram Account
/ siri_za_biblia
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

Пікірлер: 133
@nelly1419
@nelly1419 11 ай бұрын
Amen 🙏 🙏 🙏 🙏
@chikuamedeus8700
@chikuamedeus8700 9 ай бұрын
Eee Yesu. Usiye Shindwa. Niondoleee. Kila ngome yeyote kwenye Maisha yangu nipe amani baba kwenye maisha yangu
@user-gn3ln6ce4z
@user-gn3ln6ce4z 11 ай бұрын
Yesu wangu niondolee kila ngome zote ndani mwangu iliniweze kufikia malengo yangu
@maernov4257
@maernov4257 11 ай бұрын
Asante YESU kwajili ya mafundisho naomba roho mtakatifu anisaidie kuelewa neno la MUNGU
@kyarose609
@kyarose609 11 ай бұрын
Mungu ni mwema...Naomba Roho Mtakatifu anisaidie nielewe Zaid🙏🙏🙏
@agnesminde4081
@agnesminde4081 11 ай бұрын
Mungu wangu Naomba unijalie ufahamu wa kulijua na kulifahamu neno lako
@user-kv7hq5mb6m
@user-kv7hq5mb6m 11 ай бұрын
Imani yangu,ni JINA LA YESU, kwa nguvu,na mamlaka yake,natumaini katika hivyo vitu
@lenatamwakila4173
@lenatamwakila4173 11 ай бұрын
Asante mungu🙏najua mungu wangu unanitendea na utaendelea kunipigania pambana nao wanao pambana nami 🙏🙏
@agnesminde4081
@agnesminde4081 11 ай бұрын
Nipe maarifa yako Ee Mwenyezi Mungu
@gloryshayo7634
@gloryshayo7634 10 ай бұрын
Kupitia somo la leo la vita naomba yesu akapigane na watezi wangu wote pande zote za dunia
@gloryshayo7634
@gloryshayo7634 10 ай бұрын
Yesu wangu naomba uniondolee kila mapando yote ya giza yalio pandwa kwenye familia yangu
@alicethobias932
@alicethobias932 8 ай бұрын
Najiunganisha na madhabahu ya siri za biblia Mungu anitoe huku nchi ya irak
@doctormakeki7539
@doctormakeki7539 11 ай бұрын
Amen
@Mercy-jl1pn
@Mercy-jl1pn 11 ай бұрын
Asante yesu kwa kutupigania
@emilypatrick5509
@emilypatrick5509 11 ай бұрын
Thanx JESUS thank you JESUS kila jambo
@joanitamligo6321
@joanitamligo6321 11 ай бұрын
Imani yangu kwako MUNGU utanibariki kwa wati sahihi uliyo niaandalia kwako yote yanawey
@FaidaWilly-du8ts
@FaidaWilly-du8ts 11 ай бұрын
Asante mtumishi wa Mungu, kwa mafundisho mema ambayo unaendelea kuachilia kwangu.mimi naitwa faida niko Congo Bukavu.
@JohnTarmo-bq3tm
@JohnTarmo-bq3tm 11 ай бұрын
Asante yesu
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 11 ай бұрын
Nakupenda sana mtumishi wa MUNGU,,,,,siku zote ukifundisha neno unagusa maisha yangu,,,nimebadilika sana
@rosemarymsekela1774
@rosemarymsekela1774 11 ай бұрын
Ki ukwel Mtumishi namuona Mungu Kwa kiwango cha juu sn ktk Maisha Yangu....❤
@feminakidiavai5849
@feminakidiavai5849 11 ай бұрын
Asante yesu kwa kujenga imani yangu kuwa dhabiti
@MinzaMadilo-zf5yl
@MinzaMadilo-zf5yl 11 ай бұрын
Ee Mungu nashukuru kwa somo la leo daima limeniingia kiroho hakika kuna vitu nimejifunza ee,bwan endeleh kunijaza roho wako mtakatifu kupitia mtumishi wako uliyemchagua kunena nasi pastor Innocent mashauri ingawa sikuanz mfungo pamoja nanyi lkin mungu ni mwema na mim kesho nafikisha siku ya tano mungu anijalie san anitie nguvu pale napo kata tamaa anipe nguvu Zaidi. Amen 🙌🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@neemakarisa1496
@neemakarisa1496 11 ай бұрын
Amen Amen Amen Amen 🙏🙏🙏🙏🙏, Asante Yesu
@WAHINDIKWEMBE-er8bj
@WAHINDIKWEMBE-er8bj 11 ай бұрын
Baba unayetenda kwa wengine tenda na kwangu kwa jina la Yesu
@MaryVick210
@MaryVick210 11 ай бұрын
Ameni Ameni Bwana niwezeshe kuiongeaza imani yangu ata shetani hawezi kuichezea
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 11 ай бұрын
Ameni navuka changamoto ,,, napokea napokea napokea 🎉
@stephanosospeter1709
@stephanosospeter1709 11 ай бұрын
Ameen
@AminaAmina-ov9cu
@AminaAmina-ov9cu 11 ай бұрын
Mungu nimwema kiukwel kunamahali tumetoka nakunamahali tunakwenda mungu anatupenda sana. barikiwa sana mtumishi bwana akujazie kila unacho punguza kwa ajili yetu. Shalom
@edithaabel7858
@edithaabel7858 11 ай бұрын
Asante Yesu wangu kwa upendo wako kwangu 🙏 naomba uzidi kuniinua Bwana kiroho wakati wote nikakutumaini wewe🤲🙏
@FaidaWilly-du8ts
@FaidaWilly-du8ts 11 ай бұрын
Amen amen amen.
@fatumaminyeko1875
@fatumaminyeko1875 11 ай бұрын
Amen Amen
@dominiclakson6968
@dominiclakson6968 11 ай бұрын
Amina mtumishi nabalikiwa nipo mkowa wa songwe
@zawadilubondo4848
@zawadilubondo4848 11 ай бұрын
Asante mungu kwasikuyaleo❤
@gracehose8840
@gracehose8840 11 ай бұрын
Somo hili ni zuri sana Roho mtakatifu tufundishe tuweze kupigana vita dhidi ya Maadui zetu Amen
@NaumiBaya-wr7ri
@NaumiBaya-wr7ri 11 ай бұрын
Amen 🙏🙌
@gideonwambua9498
@gideonwambua9498 11 ай бұрын
Amen and Amen and Amen and thanks to Jesus connected from Kenya Nairobi
@jeskaniyimumpaye4170
@jeskaniyimumpaye4170 11 ай бұрын
Asate Sana Papa kweneno Imani
@lydianzeyimana2076
@lydianzeyimana2076 11 ай бұрын
Ee YESU naomba unisaidie uniondolee madeni ambao yameniletea changamoto
@Papaachina
@Papaachina 11 ай бұрын
AMINA
@chikuamedeus8700
@chikuamedeus8700 9 ай бұрын
Naomba. Neema. Na baraka zako vikanitiririkie nikaishinde. Hii Vita ya maadui zangu kama walipanga nipate magojwa au lipanga sito olewa au family itakumbana na matatizo baba naamuruuu kwa jina lako YESU Kiristo aliye hai. Naomb kuwa hulu. Mm na family yangu nikapokeee ndoa niponye machozi yanayo nitoka baba
@leonardobulalu
@leonardobulalu 11 ай бұрын
Ameni najiunganisha na maombi ya leo MUNGU kanifunge dirii maishani mwangu
@user-gn3ln6ce4z
@user-gn3ln6ce4z 11 ай бұрын
Eeh bwana MUNGU wangu naomba unijaze na imani ili ninachokiwaza na kukifikiria kiweze kutoka kwako
@kabwefrancine99
@kabwefrancine99 Ай бұрын
Amen 👏👏👏
@WAHINDIKWEMBE-er8bj
@WAHINDIKWEMBE-er8bj 11 ай бұрын
Sifa na utukufu ni kwa Bwana aliye juu, baba ninapoende kuingia katika maomba ya vita, naomba kibali cha ushindi
@Georgette-se2be
@Georgette-se2be 11 ай бұрын
Amina
@MiltonObote-ln4wb
@MiltonObote-ln4wb 11 ай бұрын
Amen🙏
@adellamlay9334
@adellamlay9334 11 ай бұрын
Halleluya ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@homeandaway2811
@homeandaway2811 11 ай бұрын
AMEN 🙏 Asante yesu kwa nguvu na imani
@amospoppe7616
@amospoppe7616 11 ай бұрын
Sifa ni kwa Bwana Yesu
@user-hl2kn6si2i
@user-hl2kn6si2i 11 ай бұрын
Asantee YESU kwa Somo hili, Mungu nisaidie kuilinda Imani yangu daima , 😭😭😭 usiniache Baba yangu kaa NAMI peke yangu siwezi kitu😢😥😓😰
@happinessbahati3332
@happinessbahati3332 11 ай бұрын
Ameeeern MTUMISHI
@ruthtorahabublessedlady9222
@ruthtorahabublessedlady9222 11 ай бұрын
Eee Bwana Yesu naomba unurehemu
@jescakerubo3953
@jescakerubo3953 11 ай бұрын
Amen mungu akubariki kwa hii neno nzuri
@geitandelwa299
@geitandelwa299 Ай бұрын
MUNGU AKUBARIKI NA.KUKULINDA SANA
@julietmunyazi
@julietmunyazi 11 ай бұрын
Ameeni🎉🎉🎉🎉🎉
@florah-jw9wk
@florah-jw9wk 11 ай бұрын
Namkataa adudiwa kutomtii Kristoyesu
@mariahabokea2085
@mariahabokea2085 11 ай бұрын
Thank you Jesus! 🙏🙏🙏🙏Barikiwa mtumishi wa Mungu. May the Lord continue using you. Amen and Amen
@user-pq7nn3ed4u
@user-pq7nn3ed4u 11 ай бұрын
Asante mtumishi mungu anivushe ktk hii vita
@JohnTarmo-bq3tm
@JohnTarmo-bq3tm 11 ай бұрын
Amen mtumish mungu akubariki
@JustinaKambimbi
@JustinaKambimbi 11 ай бұрын
Baba kupitia iyi maombi na mimi mungu asiniashe bwana yesu asifiwe aksante
@edinahogeti7548
@edinahogeti7548 11 ай бұрын
Imani yangu inapo Rudi chini Yesu naomba uniongezee Imani zaidi 🙏🙏🙏🙏
@reginaezekiel3251
@reginaezekiel3251 11 ай бұрын
Ee Mungu nijaze imani
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 11 ай бұрын
Ubarikiwe mchungaji umekuwa mwema sana kwangu
@jifunzetv7790
@jifunzetv7790 11 ай бұрын
Asante MUNGU 🙏🙏🙏
@sarahfeni1866
@sarahfeni1866 11 ай бұрын
Ubalikiwe sana muchungaji
@user-em4or7wi3i
@user-em4or7wi3i 11 ай бұрын
Amen amen amen amen 🙏
@tumainimwakisile4855
@tumainimwakisile4855 11 ай бұрын
Amen ubarikiwe mtumishi wa mungu 🙌🙌
@geitandelwa299
@geitandelwa299 Ай бұрын
ASANTE bilà MUNGU.NI SHIDA TUDUMU KUJITAKASA NA KUOMBA
@jemaaloyce8096
@jemaaloyce8096 11 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@Mary-fs4mc
@Mary-fs4mc 11 ай бұрын
Amen Asante Mungu Kwa ujumbe wenye manufaa kwangu🙏
@geitandelwa299
@geitandelwa299 Ай бұрын
Ameni na MUNGU ATUSAIDIE
@doricesanga9783
@doricesanga9783 11 ай бұрын
Ameen mtumishi
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 11 ай бұрын
Ahsante MUNGU wangu,kwa siku hii ya leo tena,naomba unifundishe kila hatua ya somo hili🙏🙏🙏
@charlinebahati6804
@charlinebahati6804 11 ай бұрын
Amen 🙏🏽
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 11 ай бұрын
Nakusudia kumjua MUNGU zaidi
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 11 ай бұрын
Bandu bandu humaliza gogo,,,,siku zinaenda hatari kwa jina la YESU KRISTO tuko siku ya 20
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 11 ай бұрын
Imani inazaa matunda
@sarahmlangi93
@sarahmlangi93 11 ай бұрын
Barikiwe
@evansmahate
@evansmahate 11 ай бұрын
Amen amen asante mtu wa mungu imani
@BrendaMwanisa-je4wc
@BrendaMwanisa-je4wc 11 ай бұрын
Asante mungu kwa funzo la leo
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 11 ай бұрын
Nakuelewa baba
@user-tn5vb1zj4h
@user-tn5vb1zj4h 11 ай бұрын
AMENI...Thanks dear lord for this day🙏🙏🙏
@abigaelmwadena2262
@abigaelmwadena2262 11 ай бұрын
Asante yesu kwa mafundisho haya Mungu azidi kukutia nguvu Mutumishi wa Mungu
@marykisiangani2470
@marykisiangani2470 11 ай бұрын
Amen amen, naomba mungu akasimame na mawazo yangu pamoja na fikira zangu za kila siku ili nikailinde imani yangu ili isipigwe na shetani wala adui asinirudishe nyuma kwa imani yangu, nikawe wakusimama imara kwa kujenga imani yangu na kuilinda imani yangu isitingizike
@user-fh8ri5qy2g
@user-fh8ri5qy2g 8 ай бұрын
God bless you so ❤❤❤
@user-em4or7wi3i
@user-em4or7wi3i 11 ай бұрын
Amen napokea ufundisho wa maombi ya vita🙏🙏
@ChristinaSaid-ms9cv
@ChristinaSaid-ms9cv 11 ай бұрын
Mtumishi nabarikiwa sana
@ChristinaSaid-ms9cv
@ChristinaSaid-ms9cv 11 ай бұрын
Mtumishi natamani kuongea na wewe nakupataje kwa kweli nabarikiwa sana na mahubiri yako
@sylvesterkabida6480
@sylvesterkabida6480 11 ай бұрын
Ameen mtumishi wangu
@sauud2some471
@sauud2some471 11 ай бұрын
Ameeen 🙏🙏🙏❤️♥️♥️
@Shukuru-sw6pr
@Shukuru-sw6pr 11 ай бұрын
Asante Sana tenasana kabisa
@kipngenokemboi9539
@kipngenokemboi9539 11 ай бұрын
Amen blessed is the name of our highly God,
@denisedward2983
@denisedward2983 11 ай бұрын
Amen
@emilywamalwa5938
@emilywamalwa5938 11 ай бұрын
Jina la Bwana YESU lipewe sifa watumishi wa Mungu mbarikiwe sana👏👏👏
@AloyceAgapiti
@AloyceAgapiti 11 ай бұрын
😢🎉😢
@gloryshayo7634
@gloryshayo7634 10 ай бұрын
Amina mchungaji yakweli kabisa hayo unaongea
@liddydeSalt4773
@liddydeSalt4773 11 ай бұрын
Amen and Amen 🙏 🙌
@josephinegravasiano8860
@josephinegravasiano8860 11 ай бұрын
Amen sana mtumishi barikiwa sana,
@PaulMitios
@PaulMitios 11 ай бұрын
Amen thanks God for this day 🙏🙏🙏
@BonfasJanuary-vr5tm
@BonfasJanuary-vr5tm 11 ай бұрын
Kweli mung anajubu maombi
@elvinawakio
@elvinawakio 11 ай бұрын
Mbona nlituma no yangu hapa sijaekwa Kwa group bado nasubiri
@JeremiahMariki-lh1gy
@JeremiahMariki-lh1gy 11 ай бұрын
Asante san mtumishi
@virginiashikali4976
@virginiashikali4976 11 ай бұрын
Wimbo wa mwishi umeivwa na nani?
SHETANI HATAKI UJUE SILAHA HII
1:09:14
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 279 М.
YATIMA BY AMBWENE MWASONGWE
7:48
Ambwene Mwasongwe
Рет қаралды 32 М.
Sigma Girl Pizza #funny #memes #comedy
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 2 МЛН
Dad gives best memory keeper
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 21 МЛН
The Bread of Life | Pastor JB Mabena
32:05
AFM Kwa-Thema
Рет қаралды 10
LIVE: MAOMBI YA USIKU WA MANANE // MBINGU ZINAFUNGUKA
1:12:54
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 135 М.
LIVE: MAOMBI YA KUZUIA UHARIBIFU MAISHANI MWAKO
1:07:38
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 22 М.
HIZI NI TAARIFA ZA UONGO // USIHUBIRIWE NA SHETANI
15:26
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 2,2 М.
4.ITUMIE DAMU YA YESU KAMA SILAHA YA VITA
2:07:59
MGMN TV
Рет қаралды 40 М.
#LIVE: KUOMBA KWA ROHO MTAKATIFU // DAY 10
1:06:31
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 2,7 М.
LIVE: JINSI YA KUOMBA MAOMBI YA VITA NYAKATI ZA USIKU
43:38
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 51 М.
LIVE: MABAYA YASIKUPATE WEWE // MAOMBI YA USIKU
38:44
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 26 М.
#2# VITA YA KIROHO NA SILAHA ZAKE SEHE 2 (OFFICIAL VIDEO)
35:05
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 6 М.
IMANI NI NINI ? - MWL HURUMA GADI
39:56
Mwalimu Huruma Gadi
Рет қаралды 15 М.
Sigma Girl Pizza #funny #memes #comedy
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 2 МЛН