We dada upewe maua yako sio mchoyo kabisa unaonyesha step by step me jana siku ya kwanza nimepika keki nzuri imechambuka kila mtu anasifia kikubwa umakini na kutokuwa na haraka asante sanaaa ❤
@mziwandabakers82973 ай бұрын
Hongera sana kwa ukarimu..karibu sana
@hopemwaimu99113 ай бұрын
@@mziwandabakers8297 asante sana dear
@aquinoilham59412 ай бұрын
Dada kuna darasa la cake naomba nafasi ya kujifunza
@deborajonathan61824 ай бұрын
Mungu akubariki
@rosemarykambuga37634 ай бұрын
Da mziwanda umenitoa mbali samahan nauliza naweza vp pata ile unayotia kwenyemaziwa kutengeneza yogat na ni sh ngap
@minzageorge36522 ай бұрын
naomba unifundishe mashi ya keki mpaka kupamba ina gharimu kiasi gani?
@fatmaathumani71164 ай бұрын
Allah akujalie sana
@aquinoilham59412 ай бұрын
Heshima yako dada..Habari yako...samahani Naitwa Ilham ninashida kwenye upishi cake ninapo oka inaiva ila inanywea Kati naomba msaada nakosea wapi DADA
@IreneKawa-qg5er4 ай бұрын
You deserve prize naomba namba yako please, tuongee❤
@annaphilemon-g2g4 ай бұрын
Tunaomba na somo la kutumia mzani katika kupima object wakati wa kuandaa cake