Asante kwa kusikiliza stori zangu X na hii SIN By Eddazaria G Msulwa
@BNSF20126 ай бұрын
Wacha weee..wewe kiboko
@husnamwinyi82956 ай бұрын
MashaAllah mungu akupe uwezo wafkra Zaid
@geoflwena96696 ай бұрын
Upo vizur Sana brother naamini hiki pia kigongo Cha maana Kama Cha akina Eddy simuliliz ya X
@ReyKatuni6 ай бұрын
Mwamba huyu hapa🎉🎉🎉
@LyidiaSilayo6 ай бұрын
Hakika wewe ni genius mzuri sana wa kutuburudisha na simuliz tamu ❤❤❤❤🎉🎉🎉
@MadinaRashid-v5n6 ай бұрын
Waooo,,anko j mungu azidi kukuweka hai jaman
@SaidSaleh-q5r6 ай бұрын
Woow asante brother kwa sin namba 1
@FadhilunMohamed-je8en6 ай бұрын
Sawa Kaka asante kwa ahadi
@Saida-tv2vj6 ай бұрын
Waaakwaaaanzaaa🎉🎉
@BinkanaKinyasi6 ай бұрын
Oyooo❤
@Madameochu6 ай бұрын
Weweeeeeee mambo hayooo🎉🎉🎉
@Lucy-vp8pm6 ай бұрын
Akoj 😂😂😂😂umenivunja mbavu hapo kwa baba mchungaji kukemea pepo la mapenzi kweli ww nkiboko ya wapenzi wako ❤❤❤❤❤kwako ankoj tunakuenzi sana wale tuko pamoja gonga like
@ZenaidaDaniel-r9d6 ай бұрын
🤣🤣nimecheka kwa nguvu eti Pepo Toka Pepo Toka🤣🤣🤣
@JoharMrutu5 ай бұрын
❤
@Rahimabdul-bt6vq6 ай бұрын
Love this❤❤❤
@UmayyaNkya-ze3ri6 ай бұрын
Kimeumana hukuu❤️❤️❤️❤️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️asnte anko mapesa wetu
@ashaabdalla9246 ай бұрын
Eti anko mapesa mbaya weye😂😂😂
@UmayyaNkya-ze3ri6 ай бұрын
@@ashaabdalla924 🤣🤣🤣c ndo anko wetu mapesa ana balaa huyoo😇😇
@ashaabdalla9246 ай бұрын
@@UmayyaNkya-ze3ri namjua na hii simulizi haifiki popote itauzwa😂😂
@UmayyaNkya-ze3ri6 ай бұрын
@@ashaabdalla924 fresh tuu tushazoeya🤣🤣tutangoja hapa hapa sie team viporo 💯💪💪
@SuzzyDaudy6 ай бұрын
Waooo Leo na me nimewah watu hawalali jamn
@TeklaNdekeja6 ай бұрын
❤❤❤(1) wadaue njoon anko huyuhapa anatimiza ahad ya sin mungu akubalik🙏 wewe na mwandshi nawapeni nyote, like zeu naziomba ote mlioisubli kwa ham.🌹🌹👏🏃
@agnesagnes52886 ай бұрын
@@TeklaNdekeja 🥰🥰🥰
@TeklaNdekeja6 ай бұрын
Ankoo apo kwa nabiisanga, Dunia shilaaaa😂😂 heeee!?
@Amina-rg2xb6 ай бұрын
Waoooo
@THEDONSIMULIZI6 ай бұрын
Umekuwa wakwanza eeh
@TeklaNdekeja6 ай бұрын
@@THEDONSIMULIZI yeah
@Mupawarda-gj9qo6 ай бұрын
Wooooow!❤❤❤❤❤❤❤nice
@SofiaKhamis-ol1bn6 ай бұрын
Wow nimewahi 🎉🎉🎉❤❤
@swalhamaduwa71726 ай бұрын
Ila sikuchelewa nimewayi wow 🤩
@emathumani29016 ай бұрын
Wakwanza mm hapaa❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@DamariJohn6 ай бұрын
aweeee anko j twakupenda sana ❤
@NuruNassor-w9u6 ай бұрын
Asante anko tuko pamoja sana mama sam Chake Pemba sote ni famly
@mwapendosultan8876 ай бұрын
❤❤❤weeeeee timu Eddazaria tujuane
@sephrinewarenga27456 ай бұрын
Kazi nzuri Kaka listening from Kenya much love.
@MoshiMoshi-qy8dq6 ай бұрын
Guys hamlali duuuh jaman nlikua naisubir kwa ham sana hii ngoma ubarikiwe sana ankojay ❤❤❤❤❤
@habibanasoro90246 ай бұрын
Waooo weeeeeeee🎉🎉🎉🎉
@NurahMummy6 ай бұрын
Jamani nyie watu😊😊
@nyamvulafatuma53836 ай бұрын
Wow nice story 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@aminarama16336 ай бұрын
Shukran sanaa kaka jay,kama ulivoahidi,umetiza anko Jay shukran sanaa kaka Jay, Alhamdulillah
@zeynabahmed35786 ай бұрын
AnkoJ kina ss twasahau hata kula Kwa kusikiliza simulizi, Asante Kwa SIN ushatuweza
@Shamshuunoon6 ай бұрын
Heeee Tupo kitako kusubiri SIN tunakuamini Ankojay Hakika ni safari ndefu tupo pamoja 💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻❤❤❤
@aumuelly29096 ай бұрын
Ahsante bwana anko Jay simulizi ❤❤❤
@annaheagle29156 ай бұрын
Wooooooohy🥳🥳🥳🥳
@mumbikibathi70366 ай бұрын
Mumbi Wa Naivasha ako Ndani, Twende kazi
@LillianCharo-p8s6 ай бұрын
Wakwanza leo❤❤❤❤
@hellenwanjiku98916 ай бұрын
hapo Sasa ankojeii hongeraa muuno kwa hadithi hii tamu ya sin tuko bamoja hadi mwisho
@Mwanasiti-xd3lv6 ай бұрын
Ndio tuko apa Anko twasikiliza sin km sin ❤❤❤❤ from saudi
@mariamsaidi16586 ай бұрын
One number 😂❤
@LizaLiza-v2m6 ай бұрын
Ankoakeeeeeeeeeee jaman mbona mie inachelewa kufika ila nipe I like
@ayranShehe6 ай бұрын
Weuweeeeeeeee Anko jay tunakupendaaaaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤
@Angle22-kk8fz6 ай бұрын
🎉namba 1🎉😂❤❤
@kibibikombe92036 ай бұрын
Safi sana
@Khadija-mk7qw6 ай бұрын
Waoooooh tuseme bismillah ❤
@juliusmalunde96366 ай бұрын
Inaonekan simulinzi ni nzuri sana
@samychance6 ай бұрын
Wooooow! The sin is sinning🎉🎉. Haya nipeni like zangu nisinike mimi😊
@violethezekiel2516 ай бұрын
Duuuh! Anko J, kongolee kwako, Mungu aendelee kukutunza
@AishaAljadidi6 ай бұрын
Atimae mzigo unefika❤❤
@avelinabaluhya28046 ай бұрын
😮♥️♥️🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹 pamoja sana Ankojay 💃
@TumuhamzaHamza6 ай бұрын
Nmkua top 10 na nlvyo na furah sku ya Leo wadau mskose kunwesh birthday 🎂 🎂 tuenjoy pmja huku tukilwazk na SIN
@zenaathumani81446 ай бұрын
Asante sana ankojy kwa simulizi mpyaa 🙏🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao
@Fatmamakame-q5w6 ай бұрын
Wowo sijachelewa sana leo asante uncle j kwa kutuletea mzigo mpya wa sin 🎉🎉😊😊❤ tunakupenda uncle j mapesa mungu azidi kukueka🎉🎉
@FayzhF-g3z6 ай бұрын
Tukopamoja❤🎉
@iamrike84206 ай бұрын
Wamwisho 🇺🇸 ❤❤❤❤🎉🎉🎉
@saodashabani26526 ай бұрын
Mambo poaaa❤❤❤
@mamasalhat6 ай бұрын
Hello am hereeeeee❤❤❤❤ tunaanza sasaaaaaaa
@AgnesyMakongo6 ай бұрын
Hii simulizi ni nzuri sana nainaonekana ni chuma kikali sana ancle wetu ametujulia jamani kama we ni shabiki wa ancle jay weka like hapa 💪💪💪
@rukiasidi18596 ай бұрын
Nnzuri sana ❤️❤️❤️
@LyidiaSilayo6 ай бұрын
Waoooh ❤❤ penda sana ww anko wetu 🎉🎉
@nindymuruga47986 ай бұрын
Oyoooooo kwa anko ake❤❤❤ asante
@AminaMangale-nr1ic6 ай бұрын
W 1 leo
@lonakirao52756 ай бұрын
MashaAllah kitu kipya kwa muda sahihi ❤ shukrani sana
Namkubali sana eddazaria ni Yuko vizuri sana yaani
@hdhjdh7756 ай бұрын
Aisee 😊😊 daaah yakwaza sasa ❤❤❤wacha tuone yaliyoomo yamoo 😊
@tinershayo61916 ай бұрын
Ok umeamua Anko kutupelekesha safari hii thanks❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@YonasKessy6 ай бұрын
Wakwanza mm anko j mauwa yako kaka❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@husnakamana6 ай бұрын
Leo wakwanza jamani naombeni like 👍 zenu wapedwa 🎉❤
@MitreMenea6 ай бұрын
Tuko dani
@lightnesshassan62226 ай бұрын
Hatimae mzigo tunao🎉❤
@BethMdoe6 ай бұрын
Weeee ebu tuanze nusu ya pili ya mwaka na kigongo kipya❤
@momylaviel6 ай бұрын
Nyieeee hatimaeee
@RukiaYasini-dm1tr6 ай бұрын
Ahsante anko jay kwa kigongo kitamu ubalikiwe kipenzi che2❤❤❤🎉🎉
@HusnaAthumani-yr3kp6 ай бұрын
Asnte sana anko Mungu akubariki na uwe na afya njema❤❤❤❤❤
@Holiness-to3wp6 ай бұрын
Wooow hii simlinzi inakaa more 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@LeeYanOm6 ай бұрын
Hatimaeeeeeee mau yako bro 🎉
@JeromeBaraka6 ай бұрын
Mimi natakareyana kwanza
@MariamKanze5 ай бұрын
Nmesharudi rasmi anko JJ simulizi mix
@TsfighoCjkgoyy6 ай бұрын
Leo ni leo asemye kesho umechelewa wandau nipeni htakma ni moja tu na ankojey chukua maua 🎉🎉🎉yko kwa simulizi nzuri pamoja na mwanishi eddazaria G msulwa
@fetreshazKhamisi6 ай бұрын
Daah nimechelewa mwezenu mambo nimampya kabisa. Akubaliki na ww Anko jay 🇴🇲 Ahasante sana kwakutuletea simulizi tamu🇴🇲🇴🇲🇴🇲🤸🤸♥️♥️
@joyfayla126 ай бұрын
Hatimahe imefika
@donatatesha44926 ай бұрын
Asante kwa simulizi mpya ank. Ila naomba kama unaweza kupunguza sauti ya mus kidogo. Ningeshukuru sana
@RosemaryBetram6 ай бұрын
Wakwamza naombeni like na mm leo
@StellaMalando6 ай бұрын
Jamn anko asante sana❤
@Zaynab-ny6gr6 ай бұрын
Imeanza na utamu wake🎉🎉🎉
@omaryjuma72686 ай бұрын
Dah hii balaaa sana asa iningine lini inakuja mkuu
@emmanuelmwatujobe84506 ай бұрын
Mwanangu umetisha kinyama yani
@dianandabirorere63656 ай бұрын
Oyooooooo🔥🔥🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@مريمكينيا-ش8ح6 ай бұрын
Hatar
@LuluaLulua446 ай бұрын
Mashallah allah ❤ simuliz ni mzr san
@MarimGodifrey6 ай бұрын
Waooooo nimesubiri hatimae imetufikia hongela sana edazaria❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ pongezi zako kipenzi changu anko jey 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Yako
@MamahetuChikuti-mp5lj6 ай бұрын
Oyooyooyooo mzigo umeachiliwa hakuna kulala wadau
@RitaannyManegabe6 ай бұрын
Wakwaza na wamusho naomba like leo
@nooraahmed69486 ай бұрын
Dud watu wote wako macho😂😂hamulali
@PrinceAmos-y8t6 ай бұрын
Nakubali sana ankojay 🎉🎉🎉
@lisazainabu36266 ай бұрын
Woyoooo wakwanza nipeni like zangu 🎉🎉🎉🎉
@LindaPamba6 ай бұрын
Simulizi hii ya sin ni murwa,tamu kama kitu kingine
@aresthamasuki82376 ай бұрын
Ankojey naomba nikupigie maana uko juu
@MariahMariahmambo6 ай бұрын
Asante dear anko Jay hongera yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤ ila mm hata kama itachukua mwaka pia ntasubiri naamini utatuwekea tu ulindwe na Mungu kipenzi cha wengi
@KhadijaKassim-k8d6 ай бұрын
Watu wanalala humu jamani ❤❤❤❤
@reginarichard33496 ай бұрын
Mambo ni 🔥🔥🔥 Mu ngu awabaliki sana ❤️❤️❤️❤️
@RahimaHamisi-z3i6 ай бұрын
Shukrani sana anko jey na kwa lisa pia😢😢😢❤❤❤ tumeinjoy sana aendeleze ingine lisa, mmwaaaa
@Babyfaty-m3y6 ай бұрын
Kit cha moto mwnzo tu cjuw uko mbele itakuwaje leta muendelez anko jay tunakupnda sna ❤️❤️❤️🤪