Meneja wa Zari amchana Shakib ‘Kuwa Mwanaume, acha kulialia, muite Diamond mzichape ulingoni’

  Рет қаралды 38,544

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 166
@-thegreat-zawadimmasa307
@-thegreat-zawadimmasa307 28 күн бұрын
Msikute meneja mwenyew anampenda Zari
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 28 күн бұрын
To be honest hata mm siwezi kuonaga mzazi mwenza wa baby wangu wakiwa vile kaa diamond na zari wakiimbiana nyimbo wakicheza nkose kuwa na wivu.. shakib is right
@tausikiyabo6302
@tausikiyabo6302 28 күн бұрын
Sio hivyo tuu anakuja bila taarifa ghafla wala mwanaume hajui hii haijalaa sawa
@kabwelerywamwatumu5078
@kabwelerywamwatumu5078 28 күн бұрын
Mwambie nduguyako atafute hela Aache kulialia
@user-kf5lc2ph2o
@user-kf5lc2ph2o 28 күн бұрын
​@@tausikiyabo6302taarifa ya nini sasa Kwa mama watoto wangu na ww
@Chrisscherry
@Chrisscherry 28 күн бұрын
G​@@tausikiyabo6302huo ndio mshahara wakufungasha virago vyako na kwenda kuishi kwa nyumba ya mwanamke
@reynaaalrawahi4137
@reynaaalrawahi4137 27 күн бұрын
Kweli zari ana jiachia sana na mzazi mwenziwe. Mtu ana mume wake hata mimi nigeondoka
@annitabobo5438
@annitabobo5438 28 күн бұрын
He knows Shakib is just dimming Zari star 🌟 and that's the truth if you see when Zari and Diamond they meet it's always another vibe and that's what fans wants. This Shakib is a star dimmer facts!
@nancywaweru5237
@nancywaweru5237 27 күн бұрын
Which fans????zari should respect her husband..if you see those videos zari is allover Diamond and Dee has no bad intentions but zari????????
@lyze980
@lyze980 27 күн бұрын
Hapa n pesa ndo inaogea tu zari yupo na bby dady juu ako na pesa zari yuko na shakib juu y kumkomoa mondi coz zari still love diamond deeply inside her heart so zari.zari has not yet move on from dai anategea kachance y kurudi tz that's why she is bhaving like that, shakib ako n haki y kuliza as the husband 😊
@SalmaAthuman-hp3en
@SalmaAthuman-hp3en 28 күн бұрын
Shakib acha kupoteza muda kwa zari utaendelea kudharaulika Imagine mwanamke anakwambia unaleta nn mezani ona unavyodhalilika
@silviasaleh4667
@silviasaleh4667 28 күн бұрын
I feel pity for Shakib. This is another level of disrespect
@alibachirofficial3939
@alibachirofficial3939 26 күн бұрын
True
@Bora-ni-enjoy
@Bora-ni-enjoy 27 күн бұрын
Walking away is also a part of showing self worth! Only for legends 😂
@chany9950
@chany9950 28 күн бұрын
Sky asante baba mungu akuzidiye kira kitu jmn🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@rehemasalim6062
@rehemasalim6062 28 күн бұрын
Umbea tu
@chany9950
@chany9950 27 күн бұрын
@@rehemasalim6062 🤣🤣🤣🤣
@julianampanduji6000
@julianampanduji6000 26 күн бұрын
SNS I love you guys but please msiongeze chumvi…Gaston amesema ukweli mchungu hajamdharau mtu hapo. Shakib hatumii Brand ya Zari kwa manufaa yake anabaki kulialia 😂 he should have made a lot money by now and gotten rich ndio amuache Zari Kama anaona wivu kihivyo 😂. Zari alitumia Brand ya Diamond vizur na bado anaendelea kuitumia kukua zaidi Shakib ananuna nuna tu😂…all that insecurity coming from a place of being intimidated 😂. Gaston said it well that Shakib keeps proving incompetent of managing his home Halafu ananuna 🤷🏽‍♀️ Gaston said Zari is falling apart which means she’s hurt by Shakib’s insecurities and that means she loves Shakib…sasa Kwann Shakib anaendelea kuwa insecure?🤷🏽‍♀️ After all ni baba mlezi wa watoto wa Zari Kama anakuwa na wivu sana si awe anakuwepo kwenye hizo events Kama itampa assurance
@franciskajessy4468
@franciskajessy4468 28 күн бұрын
Duu mme anaonekana kudhauliwa,mpaka anachambwa hivyo,Shakb ajiamini ndo kuna shida saidi😢
@AgnesJohn-f1r
@AgnesJohn-f1r 27 күн бұрын
Shakibu tulia ulewewe vizuri sawa ndugu yangu
@asiri-romy-simba3671
@asiri-romy-simba3671 28 күн бұрын
Alisemaje 😂 second what? oweeeee!
@michelinemapendo6652
@michelinemapendo6652 28 күн бұрын
Khaaaaaa😢😢😢😢😢kaka Shakibu mutafute Mange kimambi ndio Management yako😢😢😢
@Gersah
@Gersah 28 күн бұрын
😂😂😂
@zainabwage4658
@zainabwage4658 28 күн бұрын
Uend mbinguni 😂😂😂
@ShenaSalima
@ShenaSalima 28 күн бұрын
Vijan tafteni maokoto😂
@chany9950
@chany9950 28 күн бұрын
@@michelinemapendo6652 🤣🤣🤣🤣🤣🤣mbavu zangu zinauma Love you😘😘😘
@dw.biwacuhezahouse1738
@dw.biwacuhezahouse1738 27 күн бұрын
Hahah 😊
@Shadia544
@Shadia544 28 күн бұрын
Ndiyo maana napendaga sana unavyotuelezea kwa kiswahili asante wengine shule tulikimbia😂😂😂
@SallmaXg
@SallmaXg 28 күн бұрын
Hahahaha 😂😂😂
@sonnyr1899
@sonnyr1899 28 күн бұрын
Na ata kuna tunalojitahidi kuisogelea ila shule ikatukata kwa hio mtu unabaki tu kufaulu kufaulu kufaulu mwenye hata ujuwi unafaulu nini 😂😂😂😂
@JosephMabenga
@JosephMabenga 28 күн бұрын
Yani upo na hapa We mdada 🤣🤣🤣
@Shadia544
@Shadia544 28 күн бұрын
@@JosephMabenga ndiyo nipo na hapa pia kaka🤣🤣🤣🤣
@JosephMabenga
@JosephMabenga 28 күн бұрын
@@Shadia544 Yani umekimbiya story za u chawi yani 😂😂😂
@Ruu974
@Ruu974 28 күн бұрын
Uyo shakib mnamuonea ata sio mzungumzaji kabisa mnazunguza wenyewe mnaji jibu wenyewe
@JumanneissaK
@JumanneissaK 28 күн бұрын
Second in the morning! Ni Lugha isiyoeleweka !!!!!? Au!!? Na kufahamishwa.
@HannanSomaiyah-wp7ny
@HannanSomaiyah-wp7ny 14 күн бұрын
Second in the morning ni Lugha ya Tanzania 🙏 duh 🙄 Diomond anahitaji Shule,Kenya wakusikia hatutalala
@hadijatwahadossa
@hadijatwahadossa 27 күн бұрын
SHAKIB : go and make money first,,you need to be respected make money first..
@saleemsuleiman2220
@saleemsuleiman2220 28 күн бұрын
Kaka sky huyu jamaa kakosea kuingilia mahusiano ya watu😂😂😂😂
@user-lq4cm4rq6z
@user-lq4cm4rq6z 28 күн бұрын
Jamani tuwape waume nafasi zao mume awe kma mume mume Ana nafasi kubwa tuacheni.kuekti ukweli hakuna anaeweza kustahamili haya yanayoendelea
@lukandamizasimbi44
@lukandamizasimbi44 27 күн бұрын
True ni kweli anaweza kuhingiya kesi hiyo kwasababu ni meneja wake
@rahiimal-shuwehdy1203
@rahiimal-shuwehdy1203 27 күн бұрын
This is disrespect in big time,
@fauziasultanikilewa7602
@fauziasultanikilewa7602 27 күн бұрын
Sasa shakib alishindwa marehemu na mihela yaqe utaweza ww bhana we vumilia tuu ushayamunya
@sarahkeivaly3351
@sarahkeivaly3351 26 күн бұрын
Halafu pia Zari akiwa karibu na Diamond anakuwa na Raha sana hata diamond mwnyw huwa na furaha
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 27 күн бұрын
Manager Hana adabu
@user-ue8rz3om4h
@user-ue8rz3om4h 27 күн бұрын
Zari the bossy lady lazima abond na baby daddy wake .mondy kashakuwa international superstar na pia anaona umaarufu wa mondy
@user-op7zl7fo1r
@user-op7zl7fo1r 27 күн бұрын
Yaaan hawa wote bila mondi awana cha kupatia Kiki msiuee
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official 25 күн бұрын
Huyu nae kiherehere mpuuzi kuingilia mapenzi ya wenyewe, twende kwa shakib wanaume wasiokua na pesa wanakuaga na wivu sana sana hivi kweli shakib unataka kujiamisha kwanza zari utamuweza kumnyamazishwa Baba watt wake alimshindwa huyo zari nisawa na Diva alie kua mke wa mganga,unajua kabisaa hajawai kumove on kutoka kwa chibu na umegoma kuachia ngazi kubali kuugulia We mtoto mdogo
@sergigermain9507
@sergigermain9507 27 күн бұрын
shak8b kama umeona hii clip sighn out hio marriage this old mamas dont respect nobady kwanze vile boss lady ye ndo ako top of the game
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 27 күн бұрын
Sasa huyo kajichanganya maana hao ni wapendanao baadae atapata aibu ila pia huyo jamaa atakuwa anamtamani sana Zari
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 27 күн бұрын
But why second in the morning tho?😂😂😂😂😂 Diamond got a new name folks....*second in the morning*
@hermanricci
@hermanricci 27 күн бұрын
Mapenzi yakiisha hakuna heshima,mwamba shakib ilitakiwa achote pesa kwa akiri then apite hivi
@classmate8167
@classmate8167 28 күн бұрын
Shakibu alicho kosea ni kwenda kwa zari kama mume na sio kwenda plan za maisha😂
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 28 күн бұрын
Vijanaume vijinga acha viteswe mpaka vikimbie , unaenda oa janamke lina watoto watano ikiwa we kijana mbichi acha yamkute ye sikenda doea
@DelightfulFish-ps8ny
@DelightfulFish-ps8ny 28 күн бұрын
2 in the morning 😢😊
@eddechriss2664
@eddechriss2664 27 күн бұрын
Huyo Gaston mwenyewe ni mother fanta iweje amuite Simba la masimba 2nd in the morning
@alungaobuluu3626
@alungaobuluu3626 28 күн бұрын
Hii sasa ndo inaitwa kiki...lets wait for young and famous for the juice...save these comment💯
@sarahwamboko2041
@sarahwamboko2041 28 күн бұрын
Second in the morning ni broken english diamond alliongea but ilikuja na meli
@user-kf5lc2ph2o
@user-kf5lc2ph2o 28 күн бұрын
Sio broken alimaanisha saa 2 asubuhi..ni slang fulani tu ya kiba e zaidi hakukosea..wewe ndio unataka kukosea sasa
@user-vq2cb7fn8f
@user-vq2cb7fn8f 28 күн бұрын
Shakibu anamapenzi ya kweli angekuwa anatafuta jina angekuwa anafanya vituko tukaona’ huyu nae anasema kweli lakini alitakiwa amwambie mwenyewe hapa anamwanika tuu shenzii
@Abdulrahmanhassan18
@Abdulrahmanhassan18 28 күн бұрын
Mume wa zari ni kijana mdogo kuendelea kuishi na zari anaendelea kupoteza ubri wake kwa zari. Kwanza zari ana watoto karibia 5 wa 3 wakubwa. Pili kumzalia SHAKIB ni mchezo wa pata potea, tatu haeshimiki kama mume mpaka mejena anamtukana inamaana zari huongea mengi kwa meneja wake kuhusu mumewe. Kwa hayo machache tuu huyo mume anaendelea kupoteza muda wake na ubri wake kuishi na zari , anatakiwa afikirie maisha yake kuliko kufikiria utajiri wa mkewe kabla hajachelewa.
@yaduniapeter
@yaduniapeter 28 күн бұрын
Jamaa hongera Kwa kuandika essay...😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
@Abdulrahmanhassan18
@Abdulrahmanhassan18 28 күн бұрын
@@yaduniapeter ahsante sana
@user-cj2kl7cd9k
@user-cj2kl7cd9k 27 күн бұрын
Kumzalia bado muda anao wa kuzaa zari sema tu ni majaaliwa ya Mungu hana uzee zari
@Abdulrahmanhassan18
@Abdulrahmanhassan18 27 күн бұрын
@@user-cj2kl7cd9k nilikuwa na maanisha mtu ana watoto 5 kuja kuzaa mtoto mwingine mpaka aamuwe ndiomana nikasema kitenda wili yaani sio leo na ubri wa SHAKIB unazidi kwenda kiufupi anacheza pata potea.
@user-wd2bc7bf5x
@user-wd2bc7bf5x 28 күн бұрын
second in the morning 😂😂😂😂😂😂
@MNOMA255
@MNOMA255 28 күн бұрын
Tanzania
@daylight1707
@daylight1707 28 күн бұрын
Hapa nawahurumia kwel zuchu na shakib kudate mtu mwenye watoto n mtihani kwakwel
@austinfoster4512
@austinfoster4512 28 күн бұрын
Njaa kali Shakibu 😂😂😂😂😂
@samniza1763
@samniza1763 27 күн бұрын
Superstar my FA
@EstherSoki-zz6fc
@EstherSoki-zz6fc 27 күн бұрын
Aca movie iendelee
@issazalala4907
@issazalala4907 28 күн бұрын
Sasa iyo ndoa au ndoano 😂
@WellVoyage
@WellVoyage 28 күн бұрын
Mapenzi ni magumu ila yanaweza kuwa magumu zaidi kama mwanamke aki disrespecting her husband
@Mkaza_Mwamadi
@Mkaza_Mwamadi 28 күн бұрын
Ati mwanamke akifanya nini😂😂😂😂
@aminasittusaid3830
@aminasittusaid3830 28 күн бұрын
​@@Mkaza_Mwamadi ☝️hiyo ni "second in the morning" nyingine😂😂😂
@user-lq4cm4rq6z
@user-lq4cm4rq6z 28 күн бұрын
Kweli
@Lamecklameck-v6z
@Lamecklameck-v6z 27 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 ​@@aminasittusaid3830
@Aishatheboss117
@Aishatheboss117 28 күн бұрын
Masikini shakibu anatia huluma🤣
@AshmacRymzDangote
@AshmacRymzDangote 28 күн бұрын
Hana kazi uyo diamond platnumz sio mzungu yeni mswahili😢 A
@RandB_Channel
@RandB_Channel 28 күн бұрын
Macho yetu tu 😃😃😃 2 any morning alisema kingereza kisio ileweka 2 morning lakini shakibu anazalilishwa jamani tafuta wa levo yako kijana
@user-qs7lj7kj1k
@user-qs7lj7kj1k 28 күн бұрын
Sns nawakubari kbs ❤❤
@janetcharo1543
@janetcharo1543 27 күн бұрын
Shakib signed for all this,Zari aint his level,Zari has a superstar of a babydady,has money,has a life of her own ,has fame,while Shakib wants easy free things yet others are working hard for,soo instead of Shakib fighting for his space to sit well as a man and a husband his busy seeking sympathy and getting insecured, and Diamond gonna take advantage of his weakness. He wants Zari to defend him from everything.but the big question is: WHAT IS HE BRINGING ON THE TABLE YOOO🤣🤣🤣
@joyhylton7901
@joyhylton7901 22 күн бұрын
Well she knew this when she paid for the wedding and bought the rings.
@erickmrema6850
@erickmrema6850 28 күн бұрын
Wife superstar husband puuu.....lazima shit iwepo😅
@Assay-gn1wv
@Assay-gn1wv 28 күн бұрын
Yaan hiko ndiko ambacho shakib made him do??😳😳 kwanza mna uhakika ni manager wa zari jaman? Au mlinzi?
@zainabwage4658
@zainabwage4658 28 күн бұрын
Shakibu kafata pesa kwa zari
@MwemajaphetyZackalia
@MwemajaphetyZackalia 26 күн бұрын
Duh roho inauma
@user-bx6rf6nv4x
@user-bx6rf6nv4x 27 күн бұрын
ŽARI kamtuma acha achambwe😂😂😂😂😂
@user-he2pk6io4d
@user-he2pk6io4d 28 күн бұрын
Unaleta nini mezani 😂😂😂 ila zali
@Muahills
@Muahills 25 күн бұрын
Diamond has right to see his kids anytime and day ! Zari drop this shakib his deeming your light..its better to be single than be sorry zari..huyu shakib simuamini ngoo. ZARI run run run..
@user-zw1vz7or8v
@user-zw1vz7or8v 27 күн бұрын
There is some truth though.
@user-fi5hj4iv1i
@user-fi5hj4iv1i 28 күн бұрын
Labda zari anamtishiaga shakib hatuwezi juwa😂😅😢
@SallmaXg
@SallmaXg 28 күн бұрын
Second in the morning inanikumbusha I'm 1st one 😔😔😔
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 28 күн бұрын
Shakib yule mwanamke sio saiz yako lazima apelekeshwe
@shukurumsebaloli
@shukurumsebaloli 28 күн бұрын
Mimi uyu bro naweza nikampiga lisasi mana sio kwakuchana mtu ivi 😂😂
@HorebuKasuku-zz8cj
@HorebuKasuku-zz8cj 26 күн бұрын
😂😂 mim pia
@sarahrashidabdallah3109
@sarahrashidabdallah3109 28 күн бұрын
Comments section nauza maji porcon nipo nazo Bure kbs 😅😅😅
@user-hx7ks9wt4l
@user-hx7ks9wt4l 28 күн бұрын
Nacheka mimi kama mazuri kwa shakib 😂😂 na wewe umenichekesha😂
@sarahrashidabdallah3109
@sarahrashidabdallah3109 28 күн бұрын
@@user-hx7ks9wt4l cheka ndugu uogeze siku za kuishi 😅😅😅
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 28 күн бұрын
Nikwel Sana ..inabidi shakib ajiamini
@m-jay2840
@m-jay2840 28 күн бұрын
Zari is the biggest star in Africa?!!! What is she and her manger smoking 😂😂 Shakib is always getting gaslighted not cool
@EuniceMasika-l2x
@EuniceMasika-l2x 28 күн бұрын
❤😂
@user-uu5kf5ic7j
@user-uu5kf5ic7j 25 күн бұрын
Jamaa kamshtua mshkaji … kaongea point sana kwa njia dhalau
@NeemaJuma-os6uo
@NeemaJuma-os6uo 26 күн бұрын
Jamani zuchu kimemramba
@RoseMadatta
@RoseMadatta 27 күн бұрын
Zar muache huyo hafai
@Furahazawadi-ym4be
@Furahazawadi-ym4be 28 күн бұрын
Usikatiye mwezaku shida naweye keshositakufika❤😂
@shabansalum1848
@shabansalum1848 28 күн бұрын
Washirikiane watoe ngoma..
@WaziriRamadhan-ML
@WaziriRamadhan-ML 28 күн бұрын
Wapigane ulingoni😂😂😂 dunia hii ina mambo
@HannanSomaiyah-wp7ny
@HannanSomaiyah-wp7ny 14 күн бұрын
Wacha tumpe jina Second in the morning 😂😂😂😂Mwijaku uko Wapi jina hilo la Second in The morning 🌅
@mohamedmanga8391
@mohamedmanga8391 28 күн бұрын
Sky😂😂😂😂umbea kazi
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 28 күн бұрын
😂😂😂
@josephineamujaro5283
@josephineamujaro5283 27 күн бұрын
Magonjwa hapo ni ya kwashiorkor..but English schooled
@bonifacedanielmwakisunga9638
@bonifacedanielmwakisunga9638 28 күн бұрын
Shakib want free life from mumama to zari nothing can get lather than jigjig only and eat food and dress only
@tielyelibariki8958
@tielyelibariki8958 27 күн бұрын
Wakati mnapambana na daymond tayari kashatambulisha muhindi huko mbona KAZI ipo
@FloraIkwabe-qy3yb
@FloraIkwabe-qy3yb 25 күн бұрын
Mubi iendelee tu
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 28 күн бұрын
wanaume..tafta pesa kamata demu utakayemmudu,ao wa gharama watafute wa gharama wenzao,,tabia za kupenda penda laha za bure ndo matokeo yake aya
@kabwelerywamwatumu5078
@kabwelerywamwatumu5078 28 күн бұрын
Second in the morning 🌄. Diamond spoke well, he is wrong, but the family understands you.
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 28 күн бұрын
Tunayo lugha yetu ya kiswahili
@albs1448
@albs1448 25 күн бұрын
Jamani nipeni Shakibu bwana, ana mapenzi ya kweli ila haya madharau na hawa mavi, let me take care of Shakibu..mpaka huruma😂
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 28 күн бұрын
SASA NA HUYU SINI MPUZI PIA AMA ANATAKA KIKI...WANAUME NA NYINYI MUACHE KULELEWA HAYA NDO MADHARS
@geoufo2858
@geoufo2858 28 күн бұрын
Unajua maana ya meneja lkn
@zariadunia6328
@zariadunia6328 27 күн бұрын
Sasa shakibu una hata pesa ya kumfanyia birth day Tee ukitaka kusafiri na zari mpaka ununuliwe ticket na zari ukitaka kuja south vile vile umekuwa mzigo katafute level yako mwanaume mzima unanyanyaswa umo tu subiri akina Pinto wakutoe mbio king'ang'a nenda na mwenzio zuchu😊😊😊😊
@HannanSomaiyah-wp7ny
@HannanSomaiyah-wp7ny 15 күн бұрын
Wacha kupambanisha hujui uchungu ws mke wewe funga hilo domo,Shakib ni mume wachen kumnyanyasa Hii ni Dunia,Yuko wapi Mume wa sari,
@deejayvlctz
@deejayvlctz 28 күн бұрын
Kuepukana na majanga yote hayo nawashauri ndugu zangu wananume wenzangu .oa wako muanze 0 - 0 huko kuanza 1-0 itakuuwa kiakili
@HorebuKasuku-zz8cj
@HorebuKasuku-zz8cj 26 күн бұрын
Yessss
@AgnesShonga
@AgnesShonga 25 күн бұрын
Hiyo ndio tabia ya Zari hata Daimond alifanyiwa hivi ndio maana hata yule wa mwisho mtoto wanahisi ni wa Ivan.hiyo ni tabia ya Zari
@hidayahidaya-vd3ze
@hidayahidaya-vd3ze 25 күн бұрын
Huyu shakibu ageachananae zari kwanza zari hajuwi nn heshima ya ndowa hata kama shakibu ni ndogo awe ana Mika mitano zari ana miyaka miya inacho takiwa ni kumuheshimu na siyo kwaajili ni myonge amfanye maudhi asiseme haiwezekani huyo ni mume WA sheriya daimondi ni mvunjaji tuu siyo muowaji lazima ndowa iheshimike
@HezekiaChiletse
@HezekiaChiletse 19 күн бұрын
🥷Huyo shakhib aachane na shemej yang maana Brather Diamond amezaa na zari my sister in law 😄😄😄😄
@FredrickMatiku-xf2uk
@FredrickMatiku-xf2uk 28 күн бұрын
Huyu jamaaa mshamba umbea😂 wa kizungu haunogi
@user-kf5lc2ph2o
@user-kf5lc2ph2o 28 күн бұрын
Sasa kukiwa na umbea wa kichina utaelewa
@esajackjack3032
@esajackjack3032 27 күн бұрын
😂😂😂
@AgnesShonga
@AgnesShonga 25 күн бұрын
Zari bila Daimond havumi mpaka Daimond....halafu mental anakitu na Zari sio bure
@rachealamimo7786
@rachealamimo7786 26 күн бұрын
Dealing with a narcissistic queen not easy 😂
@theresedusabe6056
@theresedusabe6056 21 күн бұрын
Shakibu shakibu mali ni zawatoto zari arisha semaaaa hamuna mutôto pâle sasa una cagusema?mutôto ni garama kumutafutiya maisha kumuleya iyoyote zari anajuwa Sawa unamukoroga arisha cola ebu muace aleye watoto yake bcse njo blessi ngs zake
@faizamohamed6993
@faizamohamed6993 27 күн бұрын
As usual that was just a Kiki so that people talk about them.
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 28 күн бұрын
Vijana wadogo tafuteni rikazenu bure mtadalilishua n hawa wamama hadi basi 😂😂😂 mnatafuta kamserereko mtakoma hapo shakibu nikama mtumwatu hanasauti 🤦
@hukuUJERUMANI
@hukuUJERUMANI 28 күн бұрын
that 2nd in the morning mf should've fired his english teacher by now
@EastherEmmanuel
@EastherEmmanuel 28 күн бұрын
Kaka Sky huyo Shakib. Kwani hajui kuwa yule mwanamke amezaa na wanaume engine so mfano T kaolewa au kafa kwahiyo wasikae Meza moja? Au alionyweshwa picha za kitandani nini mbaya mpaka mwanaume analipuka? Inamaana alikuwa hajui Kuna birthday ya mtoto wa mwanaume mwenzie? Kwanini hakumwuliza wakati wa maandalizi, kuwa baba wa mtoto atakuwepo? Mbona tunahudhulia arusi nyingi tu za wa mama waliozaa na wanaume tofauti na wanaume wanaoishi nao? Na wanakaa Meza moja na wazazi wenza? So alitakaje yeye Shakib? Au anataka atrend kwenye mitandao. Kwa Hilo amenguka anajizalilisha kuacha stars wa mkewe. Hebu atupishe na ugomvi wake usio na tija.
@asyakhatib7942
@asyakhatib7942 28 күн бұрын
Unajua shakib kasemaje taarifa kama mume mnajufanya hamuelewi😂
@user-it6zi7zw8y
@user-it6zi7zw8y 28 күн бұрын
skai tatizo la mond kajifanya anataka kujionyesha kwa zari na meneja wake kua anazungumza na msani kutoka American kaulizwa umefika sangap hajui ajibu nini ndo kajifanya anajua kumbe ndo uwo ushamba tunao sema kila siku kama ujui kizungu sibasi jamani kua kama sisi😂😂😂seken morning😂😂😂
@manajr9155
@manajr9155 28 күн бұрын
Ujinga unakuja kuwa kwanini asimtumie mwenyewe video or kumtafuta kuongea nae? Kuongea kwenye mitandao kunamaanisha Nini au ndo mtu apate sifa
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 76 МЛН
Glow Stick Secret Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 19 МЛН
I Took a LUNCHBAR OFF A Poster 🤯 #shorts
00:17
Wian
Рет қаралды 16 МЛН
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 4,3 МЛН
MZUNGU KANIZALISHA KISHA KAKIMBIA KISA DAWA ZA KULEVYA NAJUTA SANA
35:17
EXCLUSIVE: Zari afunguka baada ya msiba wa Ivan The Don
18:22
Millard Ayo
Рет қаралды 954 М.
Секрет фокусника! #shorts
00:15
Роман Magic
Рет қаралды 76 МЛН