nawapenda sanaa nina masomo yote...yaniii mpk najionea rahaa ...i love hiki kipindiiiii
@saidamsami5085 жыл бұрын
i love aunt sadaka anakuaga on point sana.
@kanaryadams12964 жыл бұрын
👏👏👏 mawaitha ya busara nimejifunza mingi🇰🇪
@kacheali47775 жыл бұрын
I lov ur advice my mums ,May lord blz u
@halimaabshiro14965 жыл бұрын
😂 so the problem is not just the woman is the man too 😂 I love you guys speech
@mrskihore76274 жыл бұрын
Mama terry, you make good points
@happynescostat74202 жыл бұрын
Kikubwa tuangalie Maisha yetu na watoto wetu kwaheli mapenzi,ivi nyie wamama wanaume wakinogewa nje mnawajua?
@maggymm73025 жыл бұрын
4:50 very true anti Sadaka. hahahhahaha but Mama Terry, you speaking the really truthhhhh...
@maggymm73025 жыл бұрын
19;02hapo Lilly, umeuliza swali zuri, but nadhani hujui what men are capable with, unaeza letewa mchepuko akatambulishwa nyumban kwako kabisa ndani ya nyumba yako..in the name of friends..they are capable of the worst.. i was surprised. 23:48 anti Sadaka, umeongea kweli kabisa, huyu mwanaume anakuwa hana heshima kwa ndoa, familia na mke wake kaaabisa.
@mwemamwambapa33005 жыл бұрын
Nimeipenda comment ya Mama Deborah.....Mwanamke anapenda kupetiwa petiwa.....Wanaume wabebisheni wake zenu.....Take time kumtext mkeo.....Mwambie maneno matamu.....Kamwe hatochepuka......
@edmundedgar70294 жыл бұрын
Mpo vzr
@HusnaRamadhani-o2y Жыл бұрын
Nikweli kabisaa mm pia nilifanyiwa hivyo nikaondoka sas hivi na yy anafanyiwa kama yy alivyo nifanyia
@suzanangereja2904 жыл бұрын
Mbona mnabezi sana sana mada zenu kwa wanawake wafundisheni na wanaume
@ilovejesus93035 жыл бұрын
Asanteni wamama, Naomba muongelee na wanandoa kuwa na marafiki wa opposite sex. Marafiki wanatoka pamoja, wanapigiana simu hadi usiku bila kuheshimu mipaka ya ndoa
@fatmasuleiman52425 жыл бұрын
Jaman wa mama mwanifurahisha na mafunzo mazur
@lucyjohn79045 жыл бұрын
Washndweee wanaofanya hvo
@anisiakasusu72275 жыл бұрын
Missionary position uwiii
@StellaOwden3 ай бұрын
❤ it
@gitaujosphat5735 жыл бұрын
Msafi kwanza ....badaye mchafu......kazi ashindwa.
hahahah hapo kwenye mchepuko kualikwa kwenye party, umenitachi mamito, lol
@RamazaniMulongeca5 жыл бұрын
“Remember to keep comments respectful and follow our #CommunityGuidelines” I love this #WomenMatters🙌🙌🙌🙌
@neemaagath40705 жыл бұрын
Sasa we dogo unafata nini hapa nawewe unakuwa mke?
@RamazaniMulongeca5 жыл бұрын
Neema Agath 😂😂 nakuja jifunza namna yakuwa Bwana mwema kwa Mke wangu🤪🤪
@reginaoyugi81434 жыл бұрын
Asanteni sana Dada zangu.
@خسنموس5 жыл бұрын
Mahusiano ya ndoa yana mitiani Sana wanaume cku zote atutosheki na uwezo wakuoa mke wapili km huna unazidi kuchepuka ata mke awe na ubunifu gani mbele Mme wake ukiona mwanaume achepuki Ni Yule ameshika dini kwl ckui kumekuja style mpya ndio inasababisha kuwe na visa vingi kati ya wanandoa utakuta bwana awez furaia tendo mpka apewe tundu la Saba.. Mungu atuongoze tudumu kwenye ndoa tuache ushetani balaa kila cku.
@omaryommy4044 жыл бұрын
Jamani tunda la saba ndio lipi
@lusiakilawe19042 жыл бұрын
Sure
@topistarnguraru58964 жыл бұрын
Hongera sana kina mama mawaidha mazuri
@khadeejaabdullah70835 жыл бұрын
Eee mwenyezmungu nijaliye niwe mama bora #WOMENMATTERS
@rosekimwaga86735 жыл бұрын
Yani nawapenda nyie watu....mko vzr mnoo...hiki kipindi hakijawahi tokea na hamna ..,.natanani iwe hata mara mbili kwa week plz Lilian
@belindagiliard89775 жыл бұрын
Amen
@antusajoseph93602 жыл бұрын
Anti umemaliza Kila kitu Hii kitu imefanya ndoa yangu kidogo ife
@janethkomba44852 жыл бұрын
mhh🙄kwamke Anarud saa 6❌kwamchepuko saa2✔️lazima haamsubili hili ajidedishe kwakura pamoja🤐
@lightnessurasa49285 жыл бұрын
Missionary position🤣🤣
@rahillhamidu25445 жыл бұрын
Wamama mungu atuhurumie
@halimaabdi20265 жыл бұрын
Rahill Hamidu Aamin
@rhodahenry55444 жыл бұрын
2020 mama anafaa kwa kitchen party huyu😂😂😂😂😂😂😂😂😂but she is Queen👸
@nafisakhalfani20105 жыл бұрын
You never seize to amaze!
@silverman69305 жыл бұрын
Mama terry stop it your kill me with your jokes ... always missionary position some gals are loosing hair 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@bxgdhydydh65055 жыл бұрын
😆😆😆😆🤦♀️🤦♀️sure
@dominickalume28915 жыл бұрын
Cassanova A.K.A Kigwaruzi•√
@Bianca-vo6yg3 жыл бұрын
😂😂😂
@tanjaniyoman31603 жыл бұрын
Tobaaaa...mahaba ya kuzimataa c mahaba ni kuwanga
@Niceness_Juliaa5 жыл бұрын
I love you ladies.
@naomicharles74265 жыл бұрын
women matter nawapenda sana Mungu awabariki
@saidakessy31755 жыл бұрын
Love you our mamas😘😘😘
@eileenmanda87755 жыл бұрын
You touch me today imenikuta Mimi mchepuko unajidai family friend kumbe sio it touch too much
@etropiakombe1955 жыл бұрын
NDiyo maana kwa wakati hizi mapenzi mengi ya kawa ya madawa kila mwanamke anatamani kupendwa
@antusajoseph93602 жыл бұрын
Mimi Naomba mawasiliano ya anti Sadaka na dada Lili Kuna msaada nahitaji kwenu wapenzi
@sabihaibrahim1432 жыл бұрын
Kwanza marogo pili utapeli Wa mapenzi hadi nyama ya vutu
@heriethjames26765 жыл бұрын
natamani watu wote waisikie hii very trueeeeeeeeee ka jaman
@joviangeofrey72125 жыл бұрын
michepuko inajua kujiregeza. ila wanawake ndani ni wabishi na hawampi mwanaume kuamua so wanapata unafuu kule nje wa kusikilizwa kuliko ndani. ahsante mama msemaji wa kwanza
@mercyamagove12235 жыл бұрын
This was made for diamond and her mum 100%
@annamichael14334 жыл бұрын
Ahhhh kifo cha mende oyeee
@jessymalembeka61815 жыл бұрын
yaani hayo maswali ya kuchepuka ,kuwapa kipaumbele michepuko.i wish ungewauliza wanaume wajibu why?
@knifensharper27254 жыл бұрын
Dada umeongea kweli
@binthassancollection.63085 жыл бұрын
Mtihani mkubwa Allah atunusuru.
@tanjaniyoman31603 жыл бұрын
Ukijuilia time tu ya moyo wa mwanaume basi umemteka...wanasemaga mapenzi ya wz matmu
@RonnieBertin-f7f8 ай бұрын
NIKIMSIKILIZA MAMA TERRY KAMA NAMSIKILIZA HANANJA
@leylahchesavio95514 жыл бұрын
Kweli we can't do all hasa ukitok kweny uzazi
@maryschroeder521 Жыл бұрын
Kifo cha mende😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@paulineagrey68745 жыл бұрын
nawapenda wote jmn❤️❤️🤣🤣🤣🤣
@tanzaniaoman64235 жыл бұрын
😍😍😍😍nawapenda sana
@suafaahsuafaah3454 жыл бұрын
Weee mama hiyo history umeitoa wapi
@mariabenedict3285 жыл бұрын
mungu awabariki sana jmn kwakutuelimisha...🌷❤❤❤❤❤❤❤👄👄👄👄😍😍😍😍😍❤❤❤❤
@lynusjacob67275 жыл бұрын
Hakuna kitu kinaudhi km kuwa msafi njeee mchafu ndani asee mchepuko lazima hapo
@ilovejesus93035 жыл бұрын
Hapa sijaelewa. Yaani mtu anakuwa na mchepuko kwa vile wake ni mchafu? Au ?
@meedaafarai96775 жыл бұрын
Nice kipindi.
@bibielroybibielroy87102 жыл бұрын
Nimekukubali mama Terry lazima muwe wabunifu
@msangisalha85094 жыл бұрын
Nimewapenda kweli wa mama wa nguvu mm naona ss tunao ingia kwenye ndoa tunajisahau sana unaona ww ni mke hawezi kupata mwengine kwa hiyo tunatakiwa tujirekebishe wanawake jamani mm naumia sana
@dominickalume28915 жыл бұрын
Mchepuko ni mkora mda wote...Ujanja mwingi na mbinu kila uchao mchepuko ni mfano wa Earnerlougue....Digital.... MTU wako wa nguvu Lilian mwasha#Womenmater#SnS•√
@zeddybass66722 жыл бұрын
Huwa wanaupiga mwingi mpaka unamwagika
@Rylee_kerrueche5 жыл бұрын
Momma terry umenichekeshaaa balaaaa
@noraevers88684 жыл бұрын
Nawa penda Sana munatufundisha.
@prospermushi83925 жыл бұрын
Si wanaume wote hupenda kuchepuka lakini aweza kujikuta kwa sababu ya mke aliye naye. Kama mke ni kisirani hana adabu anadharau n.k. kunaweza mfanya mumu aende kwa mchepuko. It is deeper than you think.
@wahidawahida66755 жыл бұрын
Naombeni namba ya ant sadaka
@aminanamoyo835 жыл бұрын
National possition,🤣🤣🤣🤣🤣😂 mama teri kiboko
@sophiabryson27352 жыл бұрын
🔥
@linethowire70314 жыл бұрын
Mafundisho mazuri,jamani Missionary position...ha ha haaa
@julmag11754 жыл бұрын
Mama Diamond kasemwa hapoo ni sandraa
@jaliaharerimana21434 жыл бұрын
💓💓
@benardbayakazungubaya87685 жыл бұрын
Jaman huyu mamaa mwenye kilemba cha Orange anaongea ukwelii ni mtaita nn
@rajabuhassani12345 жыл бұрын
Oooo yes
@mwasitirajabu99635 жыл бұрын
Hiki kipindi nakipendaga Sana jamani mnatuelimisha sana
@esterkapinga13365 жыл бұрын
Sanaaa jaman malafiki wanatisha
@saumuathuman2065 жыл бұрын
asante mamas kwa ushauri
@m.kkawish20235 жыл бұрын
Leo mumependeza kweli.shining like diamonds.lyly naomba one day u talk about age gap tusikie maoni ya mama zetu🇰🇪
@dominickalume28915 жыл бұрын
Sema Mama Terry Anachukia Sana'a Kuchepuka Kiukweli... •√
@mutwalesylvie74434 жыл бұрын
Nimeshinda chakusema
@asinathasinath50905 жыл бұрын
Mama terry 😂😂😂🤗🤗🤗🌺
@WinWilly41625 жыл бұрын
Casanova kigwaruzi Hahaha
@Sppah6972 жыл бұрын
Wakina mastar wanawake wa Bongo
@aminhoyo88005 жыл бұрын
Hamisa 😂😂😂
@ahdahmed83835 жыл бұрын
Kwelikabisa
@frenchygigi5 жыл бұрын
Kama mama ya Diamond lol
@tinakushoka2055 жыл бұрын
Mko vizuri
@julianaathanas88975 жыл бұрын
Nimejifunza kitu kikubwa hapa🙏
@winniepriyanca38535 жыл бұрын
I love this acount najifunza vingi sana
@consolatamedard14325 жыл бұрын
Aisee kaz mnayo Wamama
@rahiimal-shuwehdy12035 жыл бұрын
Diamond and her mother lol
@mutwalesylvie74434 жыл бұрын
😂😂👌
@sharonndowo69225 жыл бұрын
Uwiii hapo kwenye kumsubiri mume ule naye Mungu tusaidie tutapata vidonda vya tumbo kwa kula viporo.
@sweetmama68855 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂🤣
@estermakasi62465 жыл бұрын
hahahahhahaha @sharon ndowo
@qnmaxtz58115 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@knifensharper27254 жыл бұрын
Mmenigusa kabisa yamenikuta ninakovu ambalo sitolisahau maiahani marafiki wabaya
@naombaelsamwel72262 жыл бұрын
Very sorry dear,jifunze na kuwa makin zaid kumuomba Mungu akuepushe na wabovu.
@oyay28214 жыл бұрын
Ameongea kuhusu nywele za kichwa hapo kwa nyuma hazipo, kuna mmoja imemgusa
@athumanikaroyo59995 жыл бұрын
Mnaongea maneno kuntu sana
@omaribrahim10874 жыл бұрын
Nabii Suleiman alitumwa na Mungu kwenda kwa malkia wa sheba kwa sababu watu wake walikuwa wameneemeka lkn badala ya kumsujudia Mungu walikuwa wakisujudia jua kwa hiyo ndio sababu ya kwenda sio ukweli kwamba alitaka kujkona hadhi yake kwa kuwashinda wanawake 1000 huo ni uzinzi na Mtume hawi mzinzi. Hebu tafuteni jibu kwenye Qurani wacheni uzushi ni Mungu kamjenga mwanamme kupenda kila mwanamke lkn Mungu ktk Quran ameruhusu kwa wakati mmoja kuwa wake wanne tu kwa wakati mmoja
@mwajumabinwa6042 жыл бұрын
sura gani kwenye biblia ina sema ivio,maana siwa helewi kwenye kutafisiria.
@cmoshi70145 жыл бұрын
Kigwaruzi..... yani mama Terry wewe ni shidaaa
@patrickjohn57834 жыл бұрын
Mambo
@abdallahkiliaki72994 жыл бұрын
Ladies, you may blame the male sex ad infinitum. But if we traded places, you would behave exactly like us; and we the condemned specie would be the "angels" you claim to be. The genetic and behavioural characteristics of the two sexes is as complicated as the science of the universe. It's complicated because remember, you are the mothers of the very sons that you are condemning today. What do you think has gone wrong? Or put it this way: have you done anything wrong? Definitely not!! Then why do we men continue to behave the way we behave? No answer would explain it all!!
@dr.chaliertv61814 жыл бұрын
Ma Casanova!
@hekimamliga21395 жыл бұрын
😊
@heriethjames26765 жыл бұрын
wazazi be carefull with your children and be true mcbabaishwe na status za watu jamani