RAIS RUTO akalia kiti cha MOTO kwa Maswali Magumu ya WAKENYA wenye HASIRA kwenye Space ya X

  Рет қаралды 32,539

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

21 күн бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 106
@KhamisBeja
@KhamisBeja 19 күн бұрын
Njaa ni mbaya hakuna vita vya tonge kasaliti GZ wenziwe..
@mkoma49
@mkoma49 18 күн бұрын
Kenya wanajitambua sana wanamfanya Rais akumbuke anawatumikia wao sio sisi uku ata kumuuliza tu Rais io nafasi hatupati
@Chrisblaze-beats
@Chrisblaze-beats 19 күн бұрын
❤❤❤❤❤endeleeeni kuwa informer 🔥🔥🔥👊Bongo wanaomba ufungiwe😅😅 ndio ujue tupo miaka gani😊
@ashaherzog4488
@ashaherzog4488 18 күн бұрын
Wasaliti walimsaliti Yesu kwahiyo sio laajabu!! Gen-Z stay focused and watch out those greedy Judaz around you
@bakariomari24omar21
@bakariomari24omar21 18 күн бұрын
Huyu Ruto ameshajiona anangoka ndio anafanya haya lakin tumemchoka Kenya ni inchi tajiri sana lakin pesa yote inaishia kwa mifukoni mwao mabilioni yapesa .waziri analipwa laki 9 lakini kwa mwezi mmoja anatoa mchango makanisani zaidi ya million 50. Wanatoa wapi hii pesa
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 18 күн бұрын
Ruto must go
@msafirisaimoni9561
@msafirisaimoni9561 18 күн бұрын
Tanzania sisi tunaifunga X kwa sabbu inakosoa serikali unajua binadam anakosea ndio maana kuna samahan vijan wa uvisisemu njaa itakuja kuwaua😂😂😂
@idrissahaji
@idrissahaji 18 күн бұрын
Yawezekana anafanya hivyo ili kulinda usalama wake hamjui alipotekwa ametishwa na kushurutishwa kwa masharti gani
@daizzmwangi
@daizzmwangi 17 күн бұрын
Ashasalimiwa tukiamuwa nikung'oa jino tunatowa 😂
@shantisam-wo8wj
@shantisam-wo8wj 19 күн бұрын
Kenyas to the top 🎉
@Shehasweet-hy6xn
@Shehasweet-hy6xn 18 күн бұрын
Ila Kenya nyie ni kibokoooooo....yaani mumemtoa jasho rais??????????😂😂😂😂😂😂😂 Ruto Hana hamuuuuuu😊😊😊komesha Marais wa Afrikaans wamezoeaaa kuburuza wanainch
@Arrestgptucomedy
@Arrestgptucomedy 18 күн бұрын
Lakini mbona rahisi wetu anatubeba aki .. imagine our mps Wana drive magari ya 5.7cc na pia bona hawa watu wanapewa hela nyingi hivi like wanakua treated like kings
@kevicristian2738
@kevicristian2738 19 күн бұрын
Man of the people (I remember this play😂)
@isabellarkageha7707
@isabellarkageha7707 18 күн бұрын
2027 utaona .... vile tutachagua mwenye tunataka. Corruption in kenya iko juu sana
@yasminmustafa2282
@yasminmustafa2282 18 күн бұрын
As of the sons of judas iscariot l think it was expected..more reasons we don't have leaders or tribe....and as we forge shead we woll gain some and loose some...aluta continua
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 19 күн бұрын
Wasaliti lazima wangekuwepo,
@Shehasweet-hy6xn
@Shehasweet-hy6xn 18 күн бұрын
😂😂😂 rais halali jamaniii usiku anawaota Genziiiiiii😂😂😂....Kenya nyie kibokoooo...komesha wizi wa Afrika..
@sultanaswaleh7813
@sultanaswaleh7813 13 күн бұрын
👋👋👋👋🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@gchalijabiri3845
@gchalijabiri3845 18 күн бұрын
Wakenya
@khadijauthman4802
@khadijauthman4802 16 күн бұрын
Tanzania tuwacheni uchawa kutumiwa kimaslai na wanasiasa vijana wachangamke siasa ndio maisha.
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 18 күн бұрын
Jizi Ruto must go
@yasminmustafa2282
@yasminmustafa2282 18 күн бұрын
First things first..l commend him for coming online cause that's where our demos are..point of correction..there were a total of 1.6M loggings to the exact space that's how much we eere longing for this...but its true at the actual space at sny given time were sround 1.7k..the space kept giving us errors..so we listened via tik tok and you tube as there were people who were streaming it live
@chande2k250
@chande2k250 18 күн бұрын
Tuclaumu jamani serikali za kiafrika ni Noma uckute jamaa alifinywa na Hiyo Ndio punishment yake Mfano njoeni Bongo wasanii Wengi waliotekwa baada ya kuachiwa Hakuna walichoongea tusubirie sativa nae akitoka hospital alichoongea mpanda na atakachokuja kuongea tena Badae tutafurahi wackilizaji
@Jibambeshow254k
@Jibambeshow254k 18 күн бұрын
Simulaumu huyo kijana wafrica tunawajua ukitekwa nyara n ufunguliwe hua unapewa mashariti sasa huyo asanaswa hana jinsi zaidi yakusalitii wenzake 😂
@petercley6230
@petercley6230 16 күн бұрын
It is like Kenya is 100 years ahead of East African countries, kudos to Kenyan's and their President!
@bishweko
@bishweko 18 күн бұрын
Utekwaji nyara na kuachiwa huru hayomaswala tumuulize Odinga. Anajua yaliyokuwa yanaendelea huko matekani.
@yasminmustafa2282
@yasminmustafa2282 18 күн бұрын
Lakini huyu hutubeba mandazi sana yes the cancer clause was there inder the "specialised treatment tax"it never said cancer directly but isn't cancer under speacilised treatment....heck even dental and optical servises were about to sly rocket
@3erffeoui86
@3erffeoui86 18 күн бұрын
otero alipewa 5 million na ruto
@ChumanaSusi
@ChumanaSusi 17 күн бұрын
Fisadi na muuwaji mkubwa Ruto must go
@stanleymanya438
@stanleymanya438 18 күн бұрын
Huyu jamaàa!! Tutaelewana nae tu.
@djafro8729
@djafro8729 18 күн бұрын
Sky , sma mtu ambae anaupendeleo kwa Ruto
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj 18 күн бұрын
Mwizi ni mwizi
@jumamustapha8254
@jumamustapha8254 18 күн бұрын
Ruto amejiikanyaga kujipendekeza marekani na ulaya, wakenya wameipenda hiyo?
@ghhj-ij7xs
@ghhj-ij7xs 18 күн бұрын
Betrayal on the city..money talks..Otero the betrayer😢😢#ruto must go back to sugoi
@msangitresor2310
@msangitresor2310 19 күн бұрын
Hawajui maana ya Vita
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 18 күн бұрын
Ruto must go
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 19 күн бұрын
Imagine 3600 open jobs as a start for the youth...thats what am talking aboout. Kenya hawarushwirushwi hivi2..Uchumi wao utapanda kweli..sie Tanzania being lower-middle economy it is yet for her citizens to feel it..wealth is tilted to the few..kazi kweli kweli
@noel3290
@noel3290 18 күн бұрын
Did you see those jobs? Who told you the arabic jobs didn’t exist bfr his rule
@badarahmed1861
@badarahmed1861 18 күн бұрын
King Ahab
@MalikshotelsMalikshotels
@MalikshotelsMalikshotels 18 күн бұрын
RUTO MUST GO
@Qqambaa
@Qqambaa 18 күн бұрын
Tano tena
@IbrahDeDonny-lv2lo
@IbrahDeDonny-lv2lo 18 күн бұрын
​@@QqambaaMamaeee, Tano za wap??
@user-wo1mu3bf4p
@user-wo1mu3bf4p 18 күн бұрын
This man will not change his leadership he suppose to leave the office
@user-mh9hj3lx7q
@user-mh9hj3lx7q 18 күн бұрын
Atero njaaaa mbaya broo
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 18 күн бұрын
Raisi Ni Raisi2 Kama Amechaguliwa Atabaki Kua Raisi2
@ChumanaSusi
@ChumanaSusi 17 күн бұрын
Orongo hawezi baki kama hatumtaki
@eunicemulaa939
@eunicemulaa939 18 күн бұрын
So you think he's acting out of free will?
@jumashedafa
@jumashedafa 19 күн бұрын
Umeonesha ukomavu Mr. President huwa nakosoa but today cna tamko
@bakariomari24omar21
@bakariomari24omar21 18 күн бұрын
Hana njia nyengine
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj 18 күн бұрын
Mmh
@jumashedafa
@jumashedafa 18 күн бұрын
Ni kwel kbs
@sarafinawanja8549
@sarafinawanja8549 18 күн бұрын
But you said mr president that you congratulate the police for a good job for the anarchist
@gilbertkalanda9354
@gilbertkalanda9354 17 күн бұрын
Mchezo uliishia pale alipotekwa
@user-yp9el7xp8g
@user-yp9el7xp8g 18 күн бұрын
Alafu pia tulikwa na wasaliti apa washalipwa pesa
@Africaamkenitznawenuso
@Africaamkenitznawenuso 18 күн бұрын
Uweni hao hawafai from ughaibun
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 18 күн бұрын
Am proud of you mr president you're very smart up stairs live long king
@GENZ.2026
@GENZ.2026 18 күн бұрын
Shidwe pepo mbaya😏😏😏
@user-xn2ih2br7y
@user-xn2ih2br7y 18 күн бұрын
Stop being stupid 😠😠
@ChumanaSusi
@ChumanaSusi 17 күн бұрын
Urongo . Huyu si smart ni conman mkora na murongo sana
@Africaamkenitznawenuso
@Africaamkenitznawenuso 18 күн бұрын
Uweni wasaliti wote ! Hawafai Kaz iendelee
@yasminmustafa2282
@yasminmustafa2282 18 күн бұрын
I pray they live to see that we push ahead and achieve what we started.. Maumbwaa hao
@mpjozzegalvanize4926
@mpjozzegalvanize4926 19 күн бұрын
Huyu ni kiongozi bora, ana maono ya mbali. Nadhani atakuja kueleweka baadae sana akishatoka,
@BillyJames-l6x
@BillyJames-l6x 19 күн бұрын
Nyamaza Ww mtu wa Tanzania hujui lolote bwana
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 19 күн бұрын
..Rais wao sio mchezo RUTO Rais safi sana mie namkubali huyu jamaa. very calm and collected, the guy is courageous and has a beautiful mind..what he says and if he implements Kenya itaenda mbali sana...Ruto peleka Kenya mawinguni baba ipelekee..sie Jirani tuko nyuma yako mzee wangu
@BillyJames-l6x
@BillyJames-l6x 19 күн бұрын
@@jedidahbintidaudi8241 Ww mkubali tu vyenye unataka tukishamtoa tutamsafirisha Tanzania mpambane na mwizi mkora muuaji nkt
@user-km1dm8et9x
@user-km1dm8et9x 19 күн бұрын
Uyu ndo rais mwenye akili afrika
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 19 күн бұрын
@@user-km1dm8et9x yaani nakubaliana na wewe asilimia zote...Kenya wamepata!
@theoriginals3240
@theoriginals3240 18 күн бұрын
Ruto yuko vizuri sana, wamenya sio wavumilivu tu
@Beautiful-Place
@Beautiful-Place 18 күн бұрын
Wewe ni miongoni mwa wakina Ruto waongo sana
@oldchild3517
@oldchild3517 18 күн бұрын
Mtu muongo,hajali wananchi,mtu anatoa watu ili wauwe wananchi ..alafu unasema n mtu mzuri!!?? Sikulaumu nalaumu waliokufunza huo ujinga
@theoriginals3240
@theoriginals3240 18 күн бұрын
Nawaambia mtamkumbuka huyu jamaa
@oldchild3517
@oldchild3517 18 күн бұрын
@@theoriginals3240 utamkumbuja ww na nyanya Yako..umbwa ww
@user-re4ve4nf3p
@user-re4ve4nf3p 18 күн бұрын
​@@theoriginals3240ww ndio utamkumbuka
@emmosilver6039
@emmosilver6039 18 күн бұрын
Wakenya hamjui mtu mliyekuwa naye,kinachowasumbua ni mabeberu waliopo hapo na changamoto za kurithi.
@emmosilver6039
@emmosilver6039 18 күн бұрын
Hanashida kabisa.
@WILLY_SKY1
@WILLY_SKY1 18 күн бұрын
Osama is a traitor alilipwa
@mitanakadorho2356
@mitanakadorho2356 18 күн бұрын
Mwizi ni mwizi tuu, yoote haya ni matokeo ya Chebukati na Martha Koome, Mungu okowa Kenya na Zakayo na kundi lake
@Qqambaa
@Qqambaa 18 күн бұрын
Akuna mtu mzuri ju pesa huongelesha mtu😂😂 ingia bunge uone ukitoka ukiwa kisaitola ndio utajua mbona ata wenye walikuwa mbona walishindwa kubadilisha so acha ruto afanye mambo yake tano yake ishie lets give the man a chance
@sarafinawanja8549
@sarafinawanja8549 18 күн бұрын
You know these Tanzanias they don't know ruto, they talk recklessly, as if they live in Kenya, life is tough in Kenya without a job
@AnneOtieno-hi8uj
@AnneOtieno-hi8uj 18 күн бұрын
𝐴𝑐𝑡𝑜𝑟
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 19 күн бұрын
Acha ruto aonge mmoja mmoja uko mafichoni maana hivyo ndivyo alivyozoea lakini huku tunamsubiri alete hizo pesa za wananchi, lakini ajue sio suluhisho
@user-km1dm8et9x
@user-km1dm8et9x 19 күн бұрын
Kiukweli uyu jamaa ni kichwa yani akuna kama yeye afrika jamaa akili zake mingi
@bakariomari24omar21
@bakariomari24omar21 18 күн бұрын
Huyu ni ndugu yake ibiliso humjui ww anaweza hata akatoa machozi hapo na mikamuonea huruma.
@venancemartin6734
@venancemartin6734 18 күн бұрын
Hujui kingereza wewe, ndomaana unasema hakuna kama yeye Africa, ungekuwa unajua kile anachokijibu usingejaribu kusema stupid fact kama iyo.
@bakariomari24omar21
@bakariomari24omar21 18 күн бұрын
​@@venancemartin6734nikweli haelewi chochote wanachoongea wakenya
@Qqambaa
@Qqambaa 18 күн бұрын
Ukitimiza ata robo,Tano Tena ndio utimize kabisa kura nakupa asubuhi na mapema
@aftapat5365
@aftapat5365 19 күн бұрын
hao wengi wao ni malaya wanaoshinda huko xHamstar wakenya wamejazana ndio wanaoandamana biashara imekuwa ngumu
@mstaraabusantiago747
@mstaraabusantiago747 18 күн бұрын
U luck brains that's why
@omarzinga7046
@omarzinga7046 18 күн бұрын
Malaya wako Instagram x ni ya wasomi
@carolinekasiemeka9848
@carolinekasiemeka9848 18 күн бұрын
@aftapat5365 shame on you... Wewe ndiye malaya, mkuu kahaba wa kimataifa. Wewe ndiwe mwalimu wao. Pepo Nyeusi. Ushindwe ! Shetani wewe.
@aftapat5365
@aftapat5365 18 күн бұрын
@@carolinekasiemeka9848 Dada sio uongo nenda huko google andika hivi xHamstar kenya live utawakuta tena mpaka ambao unawajua wako live tena mpaka dau wanatangaza hawalali maasa 24 kwani uongo
Llegó al techo 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja
Рет қаралды 43 МЛН
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 17 МЛН
Эффект Карбонаро и нестандартная коробка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН
Менты остановили фуру 😂 #6кадров #смех #юмор
0:48
Смешно и Грустно
Рет қаралды 3,4 МЛН
профи на Тракторе Т-16
0:24
StellaTwin
Рет қаралды 2,3 МЛН
Водитель бмв не ожидал такого #дуракинадороге #shorts
0:18
Дураки на дороге
Рет қаралды 2,6 МЛН
What Is He Doing?!
0:11
Brian's Lawn Maintenance
Рет қаралды 12 МЛН