What Jennifer Did! Binti aliyepanga mauaji ya wazazi wake ili afurahie mahusiano na mpenziwe

  Рет қаралды 14,570

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

3 ай бұрын

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Пікірлер: 32
@user-hm6gh4vp8p
@user-hm6gh4vp8p 3 ай бұрын
Loooh! Kuzaa kweli si kupata..🤬😥
@khurlainashly5686
@khurlainashly5686 3 ай бұрын
My family ans cajabu sijawai kupewa like wala comment familia yng wabinafsi lakini nawapenda ivo ivo nipe like leo basi Wala comment 😂
@yhasintakalenyula970
@yhasintakalenyula970 3 ай бұрын
Tuendelee kumuomba Mungu atusimamie na kuwaongoza vizazi vyetu.Maana kwanguvu zetu,uwezo wetu na akili zetu hatuwezi.Kwenye mambo maovu,watoto ndio hawasemi kabisa,mzazi ukigundua mara nyingi unakuwa umechelewa.
@Babyzay178
@Babyzay178 3 ай бұрын
Kaka Sky. kaimba nani hapo mwisho jamani Apewe Maua yake 🌹🌹🌹🌹
@aishaabdul9287
@aishaabdul9287 3 ай бұрын
Jamani unaweza kuzaa ukazani umepata kumbe umezaa mtoa roho yako
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 3 ай бұрын
Kabisa yaaani
@ashnaom2270
@ashnaom2270 3 ай бұрын
Duh hii nikali, ila usiombee uwe namtoto mwenye roho chafu, tuwaombee tu
@mohamedlegacy255
@mohamedlegacy255 3 ай бұрын
Mwanzoni I thought labda she was completely obsessed with the man, but currently I think huyu jennifer ata kuwa na mental health issue sio bure maana kuwadanganya wazazi kama unasoma kwa zaidi ya miaka kumi na kufoji vyeti kabisa!!! That's more than a vile intent.
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 3 ай бұрын
Nimeiona duu kali sana
@mohamedmbaruku6979
@mohamedmbaruku6979 2 ай бұрын
Hii story tutaomba wasafi watuelezee vizur
@dainagano3656
@dainagano3656 3 ай бұрын
Nadhani ni muda sasa sns mtuletee hz documentary za serial killers ,mm huwa nazipenda naangaliaga kwny channels za nje huko..znasisimua hasa mkisimulia kwa kiswahili
@mwasitigervas2624
@mwasitigervas2624 3 ай бұрын
Angekuwa daktar angemaliza watu wengi zaidi😢
@BerthaMwakalebela-tf7yw
@BerthaMwakalebela-tf7yw 3 ай бұрын
Hako ni kanyama Kabisa wakaue
@hassankilengah4786
@hassankilengah4786 3 ай бұрын
Wangekachinja kama kuku.
@zerochanneltanzania3797
@zerochanneltanzania3797 3 ай бұрын
Story ya zamanı sana. TRUE CRIME DAILY washaichapishaga ata IDx.
@Trendingsvideo343
@Trendingsvideo343 3 ай бұрын
Kwahyo
@JanneleP
@JanneleP 3 ай бұрын
Mmh hujasikiliza vizurii ni ya 2010 ila iliibuka sababu ya Documentary ilitoka April 10 Netflix
@Shebbyhadithi
@Shebbyhadithi 3 ай бұрын
We are talking about Movie based on 2010 story
@jordannelson2453
@jordannelson2453 3 ай бұрын
Damn it
@Mohaa4309
@Mohaa4309 3 ай бұрын
😢😢😢
@fatumasalumu2869
@fatumasalumu2869 3 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 3 ай бұрын
NAYE BINTI ALITAKIWA KUUWAWA MARA TU BAADA YA KUWAUWA WAZAZI WAKE😊,,,DISMIS CASE( mpango wa kuniua afu we uendelee kuishi huo haupo)
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 3 ай бұрын
Dangerous kid and crazy love shame on her
@monicacyprian9137
@monicacyprian9137 3 ай бұрын
Mambo haya ndio napenda sijuh kwann huwa napenda kufatilia serial killer documentary
@benedictinelusambo069
@benedictinelusambo069 3 ай бұрын
Mmmh we Monica inabidi ukakanyage mafuta ya mwamposa😂😂
@wadantz123
@wadantz123 3 ай бұрын
​@@benedictinelusambo069😂😂😂😂
@benedictinelusambo069
@benedictinelusambo069 3 ай бұрын
@@wadantz123 maana hii nayenyewe kaliiii 😂😂😂
@user-wr7io8lh6j
@user-wr7io8lh6j 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@TunuAdam-gc9rc
@TunuAdam-gc9rc 3 ай бұрын
😂😂
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 3 ай бұрын
Yarrabii mtu anazaa kumbe kazaa shetani
Mama vs Son vs Daddy 😭🤣
00:13
DADDYSON SHOW
Рет қаралды 34 МЛН
Sigma Kid Hair #funny #sigma #comedy
00:33
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 34 МЛН
Jennifer's Solution
1:27:41
JCS - Criminal Psychology
Рет қаралды 43 МЛН
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 406 М.
3 CİNSİYET 1 İNSAN - David Reimer'ın Hikayesi
14:05
Bentropi
Рет қаралды 189 М.
Summer shower by Secret Vlog
0:17
Secret Vlog
Рет қаралды 8 МЛН
EVOLUTION OF ICE CREAM 😱 #shorts
0:11
Savage Vlogs
Рет қаралды 3,6 МЛН
Девушка ограбила мажора, но…😳
1:00
Trailer Film
Рет қаралды 2,7 МЛН
Good job hero. #shorts #fyp
0:20
Gbeckett12
Рет қаралды 52 МЛН
Поймали акулу
0:51
Pavlov_family_
Рет қаралды 2,4 МЛН