Polisi mjini Dubai wamefanikisha kumkamata Mnaijeria maarufu kwenye Instagram kwa maisha yake ya kifahari, Hushpuppi kwa kuhusika kwenye utapeli mkubwa wa mtandaoni. Fahamu zaidi kwenye makala hii
Пікірлер: 503
@ejelanta78294 жыл бұрын
Hii ndo story za kuangalia,sio unaangalia udaku na umbea tuuu
@neemaremus49244 жыл бұрын
Umeona eeee
@marympemba88434 жыл бұрын
Watu wana right to choose which story wanawatch, kitumuhimu kutokuwa mbea na kuwasema watu kwa umbeya wote. It good to mind person business and stop repeat what things has said in past decay. Grow people this is not time and place
@queenslandemile25364 жыл бұрын
Kabisa
@kelvinkonga69694 жыл бұрын
Aaaah!
@chunaamina87194 жыл бұрын
Hz ndio story sio umbea wa bongo kila kukicha jpya
@marympemba88434 жыл бұрын
SNS mnafanya kazi vizuri sana, mtangazaji unafanya reseach ya kutosha kwenye matangazo yako, asante kwa kazi nzuri
@Cherriechina4 жыл бұрын
SNS you guys are doing great🤗🤗🥰yani mtu unatamani story isiishe uendelee kusikiliza.Very systematic🙌
@noelmarapachi18084 жыл бұрын
Jamaa wako vizuri sana yaani
@marthawillium99204 жыл бұрын
Exactly
@exaveryapplerbroker25012 жыл бұрын
kzbin.info/door/hontPobEVBh7hxiACIVP_g
@bimumaulid11714 жыл бұрын
kutomjua mungu huu ndio mwisho wake🙏🙏🙌
@shakilarasti4 жыл бұрын
Kabisa
@prettyh75094 жыл бұрын
Wanaijeria balaaa waarabu watawauwa
@selestinsongola27872 жыл бұрын
Hawa jawamaliza hawajamaa wapo wengi inaonekana
@abrahamrhymoskinabo62144 жыл бұрын
Sasa najua kwanini matapeli wengi wanapapenda Dubai, adhabu zake ndogo sana
@mwanajumaomahundumla65044 жыл бұрын
Natamani habari iendelee Kwakweli wa Nigeria wezi na matapeli wa kutupa Kweli za mwizi 40 asante SnS
@simonmuchiri98944 жыл бұрын
@ Mwanajuma O Muhundumla vipi hali
@mwanajumaomahundumla65044 жыл бұрын
@@simonmuchiri9894 nzuri za kwako
@simonmuchiri98944 жыл бұрын
@@mwanajumaomahundumla6504 freshy kabisa ....umepotelea wapi
@prettyh75094 жыл бұрын
Sahihi my
@victormushi66413 жыл бұрын
NYIE NDIO MNAFANYA TUNAIBA
@williamkhaemba27824 жыл бұрын
Welcome to UAE where you cannot escape easily
@exaveryapplerbroker25012 жыл бұрын
kzbin.info/door/hontPobEVBh7hxiACIVP_g
@delphinefleurmanirambona86514 жыл бұрын
I ' respect this Country Congrats 🎊 Emirat
@exaveryapplerbroker25012 жыл бұрын
kzbin.info/door/hontPobEVBh7hxiACIVP_g
@hellenelias26684 жыл бұрын
Itakuwa ndiyo hawa waliomtapeli boss wangu hawa billion 1 🙌🏻🙌🏻
@khadijamalifedha47864 жыл бұрын
😀😀😀😀jmn muwe makini wanaija wamesomea wizi hata wawe makapuku ila wanawatapeli wadada wawatu jmn😀😀
@danielkiroka63314 жыл бұрын
Kumbe e
@danielkiroka63314 жыл бұрын
Uyu namtafuta na mim anifundisha il niwage umasikin
@Anto_OnYT4 жыл бұрын
@@danielkiroka6331 njoo nikufundishe mimi washanifundisha 😂😂😂it's very easy.
@danielkiroka63314 жыл бұрын
Gisele fernandes npe location bg bossss
@Dj_anaetumia_kanda_AloyceG4 жыл бұрын
Sema wanaija wanabebana sana akipata mchongo mmoja anabeba wenzie wanatoboa pamoja...... Kwenye swala la wizi wa mitandao jamaaa wapo vizuri sana sema wanakosea kuishi maisha ya hanasa .... Waizi wa mitandaoni USA na Ulaya wao wanakua wanaishi maisha ya kawaida sana japo wanamkwanja mlefu sana
@sheilamjune12334 жыл бұрын
Good job police for Dubai 🙏🙏❤❤❤🇦🇪🇦🇪
@leprofesseri35054 жыл бұрын
E bana eeh unasimulia poa sana kaka sky🔥🔥
@KA-yz2ld4 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu tuepushie na tamaa kama za fisi
@khadijaomar27234 жыл бұрын
Aamin
@queenslandemile25364 жыл бұрын
Amiin
@rashidzayd71603 жыл бұрын
Aaamin
@jocyjocy30504 жыл бұрын
I repeat again !! Za mwizi never change , it’s 40 guys!!!!
@actionscene47534 жыл бұрын
Mbona kaiba miaka kibao
@exaveryapplerbroker25012 жыл бұрын
kzbin.info/door/hontPobEVBh7hxiACIVP_g
@mabyserolouchcraig24314 жыл бұрын
Your perfect kwa kutuelezea story luv you big sns😚😍
@sarajames90674 жыл бұрын
Asantee sky huchelewiii good good work
@123228794 жыл бұрын
Hizi ndo story sio umbea 💪🏿
@wm96694 жыл бұрын
Good information. Asante
@justinekamugisha89834 жыл бұрын
Huyu jamaa ni genius wamtumie vizuri.
@exaveryapplerbroker25012 жыл бұрын
kzbin.info/door/hontPobEVBh7hxiACIVP_g
@lulendamilu826511 ай бұрын
Mmh
@itNeza4 жыл бұрын
Jamani Mimi Nabaki na haya Maisha yangu Yachini, Ntayatengeneza pole pole Kihalali.
@marympemba88434 жыл бұрын
Umesema vizuri mungu ubariki kazi za mikono yetu, hakuna haja ya kupata utajiri wa kuiba kama hivyo. Walitumia majina feke pia wakajulikana, shida tupu
@omanimujsa97564 жыл бұрын
Duuuuuuh
@dannymusictz94424 жыл бұрын
Nice
@jacksonnyange53344 жыл бұрын
Huna akili wewe
@itNeza4 жыл бұрын
@@jacksonnyange5334 Wewe mwenye akili sasa. 🙄
@shebywamilazo51424 жыл бұрын
Yan kaka unajua kuelezea xana broo big up blessed
@actionscene47534 жыл бұрын
dah jamaa alibugi kujionyesha mitandaoni laiti Kama angelifungua hata kampuni dubai nakuuza petrol na huku anafanya utapeli kimya kimya asingekundulika kirahisi
@rehemashafi48094 жыл бұрын
Duhh watu wataalamu sjui wanaiba vp mtandaoni mhm maisha aya
@semenitheclassic4 жыл бұрын
😆😆😆
@ilovejesus93034 жыл бұрын
😆😆😆😆
@venstonvedasto4 жыл бұрын
Ushasikia neno HACK?
@emmanuelzao4 жыл бұрын
Haha 😆 wewe tumia insta kuuza sura wenzio wana make mawe marefu sana 😂😂
@juliussanane18604 жыл бұрын
Wanajeria Achana nao wako vizuri kwenye IT
@khamismasaai53074 жыл бұрын
Wanaijeria huku UAE wanachafua nakuharibu sifa za wa Africa
@salomewandya72572 жыл бұрын
Saana
@emilymula6454 жыл бұрын
Ati " thank God for...Keep shaming those who don't wish me well" Its said "Do not mock God..."
@jordanfromyt28614 жыл бұрын
Emily Mula he got wat he asked for 😝
@exaveryapplerbroker25012 жыл бұрын
kzbin.info/door/hontPobEVBh7hxiACIVP_g
@saumuhassan63654 жыл бұрын
Mmmmh! Mashallah, ila maisha ya dhulma cyo ishu kabisa.
@exaveryapplerbroker25012 жыл бұрын
kzbin.info/door/hontPobEVBh7hxiACIVP_g
@ordotempliorientis82114 жыл бұрын
Nice presentation....thanks
@ashabakari83132 жыл бұрын
Awa Nigeria wanaitwa "Yahoo boys" nishidaaah!
@episawaki12814 жыл бұрын
Wanaume wa kinigeria sishtukiii.....vanesa clock is ticking jamni wanaume wakinigeria siyo watu wakuwaamini kbsaaaa
@mylasadick51894 жыл бұрын
Y Vanessa clock Is ticking?
@noelmarapachi18084 жыл бұрын
Mungu Amshike ili ikitokea kaingizwa mkenge Depression isi mmalize, aweze kui handle na kukubali na kuweza KUANZA UPYA
@rosemarymathew30224 жыл бұрын
Ok 1
@jacksonnyange53344 жыл бұрын
Kama umemkabal Jamaa gongalike mwanaume nikujiongeza Bana
@ashanalinga87194 жыл бұрын
Machozi yawatu waliokuwa wanaibiwa kila siku Mungu amewalipia
@salmaathuman91564 жыл бұрын
Jasho la mtu halipotea utatapeli ipo siku mungu atakuumbua tu na utaabika vibaya sana aibu tamaa mbaya sana nwisho wake ndo huo
@chibudonscott58074 жыл бұрын
Wasenge sana hawa jamaa,, 2017 sitasahau walinipiga Million 9. Nilidata kabsa.. Ila namshukuru Mungu now michongo inaenda poa🙏🙏🙏🙏
@shakiraabbas75384 жыл бұрын
Duuu pole sana hata mimi walishanitapeli ilikia milion 8 hadi akili iliniruka kwakweli ile email ilifatiliwa jamaa mnaigeria hatari sana hawa jamaa
@jaklinifaustini42594 жыл бұрын
Polen😳
@edithayouma15284 жыл бұрын
Poleni sana ndugu zanguni, siku 40 zimewafikia
@ashurajengela39262 жыл бұрын
@@shakiraabbas7538 duh jaman seriously?! 🥺🥺 Poleni sana mwee
@bakariyusufujuma4 жыл бұрын
Akitoka jela tumchukue aje afundishe kile chuo cha kishimba alichoshauri
@treyvissy98544 жыл бұрын
Niliona hii jana Twitter wanageria wanaongelea hii ishu ..
@fauahamisi10974 жыл бұрын
Hatareee Sana Hawa watu
@LeeUfudu4 жыл бұрын
Hão ndio wapigaji sio wale wanaopiga pesa za visima vya maji vya kijiji kkkkkk
@moudrickyrashid52954 жыл бұрын
unahadithia fresh sana yan mpk unataman str isiishe.. kazi nzuri broo
@georgeburchard48724 жыл бұрын
Huyu ameisha!! Na marekani wanamtafuta!! Kwisha kazi!! Ila Kuna watu ni shida aisee!! Daaah! Na story yake naziona movies kabisa!! Ni movie kabisa!! Inasisimua Sana!!
@exaveryapplerbroker25012 жыл бұрын
kzbin.info/door/hontPobEVBh7hxiACIVP_g
@exaveryapplerbroker25012 жыл бұрын
kzbin.info/door/hontPobEVBh7hxiACIVP_g
@tamaralyza32804 жыл бұрын
Mzungu anaona mwafrica ni Mtu hatari sana.
@yasiniyamamoto81743 ай бұрын
Hawa ni genius kuliko wote Duniani.
@saidmatola80154 жыл бұрын
Hush Puppy ni noma, kabugi kidogo tuu, alitakiwa. Awekeze home, au nchi nyingine Africa inchi ambazo interpool hawapo.......
@desekepi4 жыл бұрын
Hii channel nailewa sana 💥💥
@miriamngosha68564 жыл бұрын
Si ndiyo kazi anayoifanya Nicole wa amonize anajifanya et anauza mpunga na Michele tapeli mkubwa mfatilien mtapata kitu hishu zake a azifanyia maysia na wanaijeria uko wamejaa kibao wanatapeli matilion Ya watu this is true story bro nimekudokeza chukua hiyo
@nyamkamawanjara294 жыл бұрын
Kweli kabisa asee
@nyamakamatiku33924 жыл бұрын
Kumbe ni mwizi yule
@kingkiwango14354 жыл бұрын
Afu unakuta eti ile mijitu ya huku ya tuma hela kwe namba hii nayo inajiona miamba!! Huu ndo utapel sasa
@amedeuslyimo23154 жыл бұрын
Dahhh duniani kuna watu wanna akili za kipekee kabisa. Ila sijui Kama uyu jamaaa watamuacha hai
@latifajanja23754 жыл бұрын
Mungu analipa hapa hap duniani na zamwizi ni 40 karibu U A E ashpapi😃
@ashaally66624 жыл бұрын
😂😂😂
@Okwirisam2544 жыл бұрын
😀😀😀😀this guy really enjoyed his life kwani iko nini....
@kilogreekachananawatuwasio405411 ай бұрын
Bravo kwa story mzuri 👏🇹🇿🇬🇷
@shaabanramadhan67704 жыл бұрын
Hyu hawatamfunga watampoteza pasipo julikana kafilisi watu sana hyu watamuuwa
@mussaabobakar75374 жыл бұрын
Jan ww upo sawa kwel kuliko yule mindo simba ndel yeye daimond tu kwenye tv yake ww unatoa vitu adim sana
@hamisule38784 жыл бұрын
Sisi tupo huku tunaona unyokaa wa wanaijeria
@mocomoja42294 жыл бұрын
Safi kwa taarifa nzuri
@kingcopper_tz4 жыл бұрын
Bei yake imechangamka 😁😁 sky unajua sana kuandika simulizi bro
@issaomari52974 жыл бұрын
Hushpupii kiukwel nimemfuatilia sana nikijua ni mfanyabiashara mkubwa namm nikataman sana kuwa mfanyabiashara kama yy mkubwa lkn kumbe alikuwa akini Inspire kitofauti tu acha maisha yaendelee nilimuomba mungu sana kwakusema mbona mamb yngu hayaend kama wengne like hushpuppi kumbe ni mwizi daaa usitaman maisha ya mtu kiukwel
@zeddysale2174 жыл бұрын
Hongera kwa police wa Dubai
@exaveryapplerbroker25012 жыл бұрын
kzbin.info/door/hontPobEVBh7hxiACIVP_g
@winfridamwigilwa21074 жыл бұрын
Aksante kwa kuelezea vyema.
@hamzanasry80114 жыл бұрын
Yani wanaijeria sijuwi wanashida gani wizi ,kuuza madawa ya kulevya tabia mbaya mbaya Yani kwao nikawaida
@michelinemapendo66524 жыл бұрын
Hamza Nasry true
@onlinemovie85804 жыл бұрын
@@naimayusuphu5864 hahahaah
@MtuSafi4 жыл бұрын
@@naimayusuphu5864 ulishayakanyaga nn
@shaabanramadhan67704 жыл бұрын
Ndo walivyo nawajua san hao hovyo san
@allahisone63864 жыл бұрын
@@naimayusuphu5864 😆😆
@tutakusaidiakupatagari88314 жыл бұрын
Nilikuwaga wa kwanza ku-comment kwenye page yake akanitumia laptop aina ya macbook Air, kumbe ni pesa halamu!!!?
@hildageofrey48164 жыл бұрын
Wee kweli
@tutakusaidiakupatagari88314 жыл бұрын
@ASIM MOHD mshenzi😆😆😆😆😆 nani anaweza hilo swala!!!
@mdzainb37224 жыл бұрын
Tatizo binaadam tunapenda miteremko sana aya hongera yake ngoja nayaya wamteremkie huko aliko na katika nchi za Africa naijeria inaongoza kwa kutapeli sijui wanajiskiaje nchi yao ikitwajwa kwa uwalifu mara kwa mara na mnaijeria si mtu wa kumuamini sio watu wazuri hongereni sana kwa kazi nzuri hawa wasitoke maisha yao yawe huko huko jela maana wakirudi huku uraiana watarudia tena
@ashaally66624 жыл бұрын
Huwa Nasikia sana Wanigeria ni tishio nchi za kiarabu kwa wizi kumbe kweli 😂😂😂huwa nasikia mara kwa mara sana na India pia nasikia Wanaigeria wapo wezi wengi
@BigZhumbe4 жыл бұрын
Sio Uarabuni tu ata Marekani wazungu wanalia.... Wanaijeria wameshindikana kwa wizi
@abubakarymsuluzya21954 жыл бұрын
Ndo hivo
@aishachambo32934 жыл бұрын
Wezi sana wanigeria
@khadijaomar27234 жыл бұрын
Ndio watajua ajui
@benhorta51214 жыл бұрын
Indian na Nigeria hawa ni scammer balaaa sana
@nailaomar48104 жыл бұрын
Weldon dubai police I like this country
@jaklinifaustini42594 жыл бұрын
Wanawake wenzangu hata ukipata bwana wa naigeria usikubar akukatie pasport ukifuka huko unambiwa kuuza dawa,za kulevya
@chunaamina87194 жыл бұрын
Duh mitiani kweli hii
@nancyfamilysharesmoments76344 жыл бұрын
Nimetoka kumblock sasahivi
@frenkfrancis41514 жыл бұрын
Noma sana
@azizisaidy85534 жыл бұрын
safi bro
@chainbre2754 жыл бұрын
Ndo Maana n'a Sema sns for life Juu mm huyu jamaa nimemufahamia tu hapa sns Nanakumbua ni baada ya Hamisa kumu wish birthday naye kumujimbu thanks love. N'a Chris alitueleza kwamba ni money changer wa hela za abroad n'a kupitia hiyo kazi yake basi amefanikiwa munooo kumbe ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hakika siku za mwizi ni 40 days 2🙌🙌🙌
@millardyleonardy72964 жыл бұрын
Nomaaaah sana
@delphinefleurmanirambona86514 жыл бұрын
Congrats Emirat 🤝
@aminaabdallah36444 жыл бұрын
That how nigeria works is in the blood
@millicentayangokunting37284 жыл бұрын
True
@Inno-qz2ec4 жыл бұрын
Nakubali
@kijanahodari20804 жыл бұрын
Fake it until you make it,mutakoma munaopenda hawa wanaija
@aminaabdallah36444 жыл бұрын
@@kijanahodari2080 😅😅😅
@leahmwakongolo44324 жыл бұрын
Wow nice to
@KEVOSHIZO3 жыл бұрын
Ningependa kua na akili zake
@asiajuma83304 жыл бұрын
Jamani wanaigeria dubai ni wengi sana kumbe wengine ni matapeli wanaichafua afrika hawa wanaigeria
@maryamahmedkhamis17134 жыл бұрын
Watasababisha wa Africa warudishwe makwao kwa mambo yao ya wizi
@wiyz_ta_fitness4 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@safiaabubakar11203 жыл бұрын
Mashaa Allah umebobea kwenye habari utangazaji wako mtu hachoki kukusikiliza , Congratulations
@exaveryapplerbroker25012 жыл бұрын
kzbin.info/door/hontPobEVBh7hxiACIVP_g
@marinamooh40554 жыл бұрын
Duhhh 🙄🙆♂️
@fafadixit87124 жыл бұрын
Huuujamaa ni kichwa.Hata iyi anayoifanya sikazi rahisi sema tu haram.Angetumiya hii akili kwa kutafuta halali labda angefanikiwa pia
@TradersEasyWay4 жыл бұрын
thailand pia ina wezi wa mtandaoni.wengi, kuweni makini na biashara za double A paper kutoka Thailand.Watu wameibiwa mpaka basi.
@lilianjeremia10244 жыл бұрын
Namuonaga uko ista anakubl bata kumbe tapeli🤣🙌🙌 kweli usitamn mali ya mtu mwingine 🙌🙌 yaani utaman mali na maisha ya watu wa insta utakufa maskin 🙌🙌🙌🤣apo kuna watu wanasema ni roll model wake 🤣🤣🤣
@khadijaomar27234 жыл бұрын
Amepatikana
@swalehbakari26674 жыл бұрын
😂😂😂
@jaklinifaustini42594 жыл бұрын
Kwel za mwiz 40
@lilianjeremia10244 жыл бұрын
@@khadijaomar2723 sanaaa
@lilianjeremia10244 жыл бұрын
@ShutterDe DON 🤣🤣🤣🤣🤣ongera il za mwizi n40
@safanss97294 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😁Maana mbavu hadizinauma kwakucheka jamaa hadikatoka kitambi kwamali za zulma'duuuu sio p
@asimaaathumani57394 жыл бұрын
Safi sana
@salumubakari47094 жыл бұрын
yaani wanaijeria na sisi wametuibia vanesa mdee wetu
@mgoledaudi60514 жыл бұрын
😅😅😅😅😅😅
@amanistarz12344 жыл бұрын
Mmmmh noma sana
@pendooscar93223 жыл бұрын
Wanaija wanapenda utajili yaan ata kufa wako tayari
@hassanisadiki8244 жыл бұрын
Ila ktk hizi nchi za kiarabu wanaigeria, waCameron na wapakistani wanaiba sana pesa kwa njia ya mitandao
@michelinemapendo66524 жыл бұрын
Daaaaaah 🤔 🔥🔥🔥🔥💣💣💣
@rassimbaengswahili61914 жыл бұрын
Nimewakubali Sns hi Ni muhimu Sana Ahsante
@GamiTVOnline4 жыл бұрын
Respect broo
@charlesolomi95144 жыл бұрын
Huyu ana akili nyingi wamtumie kuzuia utapeli wa mitandaoni sio kufungia jela akili kubwa kama hizi..nje unabaki na mazoba 😅
@jecohyudah36234 жыл бұрын
bonge la point👍
@edwardtrigga57014 жыл бұрын
@@jecohyudah3623 majinga mawili yamekutana yaani na ww unasupport eti bonge la point hivi unaweza kumtumia shetani kufika mbinguni?! Au unafikiri ni yeye pekee yake duniani ndo anajua kutumia computer?!
@andrewyusuph9874 жыл бұрын
Akili gan?ujinga huo...kua mwizi ni akili...na waliomkamata vp?hawana akili au?
@magrethbenjamin49693 жыл бұрын
Waarab nao viherehere tu kudadeq tulishapat Scofield wa Africa
@francisrichard50334 жыл бұрын
Watu wanaokamatwa kwa makosa kama haya hua wanapewa ajira serikalini especially marekani maana ujuzi wao ni wa hali ya juu, kwaio instead ya kufungwa unaenda kutumikia serikali for lifetime
@exaveryapplerbroker25012 жыл бұрын
kzbin.info/door/hontPobEVBh7hxiACIVP_g
@Kazubassyathyvry894 жыл бұрын
Aiseee ana hakili sanaaaa,apewe kaziii tu huyu.
@exaveryapplerbroker25012 жыл бұрын
kzbin.info/door/hontPobEVBh7hxiACIVP_g
@siwemasaid26192 жыл бұрын
Natamaniiiii wangekuja na Tnia kutufichulia matapelii wapo wengi na makundi yao 👊🏻
@safiaabubakar11203 жыл бұрын
Mpaka habari zako na shea na watu wengi hapa UK
@exaveryapplerbroker25012 жыл бұрын
kzbin.info/door/hontPobEVBh7hxiACIVP_g
@maryamm77654 жыл бұрын
Duh hatar sana
@travisscott86172 жыл бұрын
Big up brother
@freddieelice63774 жыл бұрын
Thanks SNS
@Juma_Content4 жыл бұрын
jama niatari
@simonsweka73054 жыл бұрын
Matapeli wanaumiza San nakumbukaa 2016...bci.tu nilpo day haki Askari wananiambia apo ndo nmemuad ety...dah nkmuombaa mungu...hakunitupa...na tupate kipato halali hicho kinatoxhaa....maish mema wanaokula Chao halali...
@morineakinyi11164 жыл бұрын
Congrats
@zaitunisinamenye17994 жыл бұрын
Aca, wakamatwe walitesa watu kwa kuwaiba mtandaoni, na wako wengi uko Nigeria, ndo kazi zao
@chunaamina87194 жыл бұрын
Duh jameni dunia hii
@khadijakhadija62124 жыл бұрын
Wanaharibu sifa za waafrica daah 😵😵😵
@ashaally66624 жыл бұрын
Ni kweli washahribu watasema waafrica ni wezi
@abubakarihamissi41784 жыл бұрын
Saaaana aise wanaijeria wana tamaa sana na wakishaingia kwenye nchi nyingine lazma waiharibu na wenzao ni wacameroon huku Europe waceroon wamedakwa juzi wanatengeneza euro fake walikuwa wanahonga mpaka €2000 kwa usiku tu mmoja kulala na mwanamke
@imanuelsimon97394 жыл бұрын
Lakini wanarudisha hela zetu walichukuaga kipindi cha ukoloni