Wanao mkubali hush puppy piga nanii apo mana huyu jamaa ni noma🔥🔥🔥🔥
@user-id1gz3ng3k4 ай бұрын
Mwizi atampenda mwizi mwenzie
@FadyFs2 жыл бұрын
Huyu Hush ni mnoma🙌🙌🙌
@whimsymaverick30572 жыл бұрын
Hii ndio channel inayostahili Kuwa hewani.! CONGRATS 👍👍👋
@asiaamohd40772 жыл бұрын
Kuliko Millard Ayo hawa wapo vizuri
@elishamhina47162 жыл бұрын
Huyu Sky yupo sawa sana
@RuzoOwzy2 жыл бұрын
Habari hii ni fake.
@allahisone63864 ай бұрын
@@elishamhina4716🎉
@Mamy492 жыл бұрын
Duh huyu ni mwanamme na nusu ila sichanga wa Nigeria 🇳🇬 na wahindi hizo ndio ishu zao huku UK
@ericklaura75112 жыл бұрын
Easy way to gain money , don't die poor while too much money is in system, learn it bro
@escaladeokonkwo10482 жыл бұрын
Leo Wa Kwanza SnS mko Vizur Sana Goood Job
@samrankingfire50092 жыл бұрын
Huyu jamaa ni hafai🙌🏽🙌🏽🙌🏽🔥🔥
@cosmasaloyce46232 жыл бұрын
Huyo Jamaa asifungwe Ila apewe Kazi 🔥
@agnestemba73722 жыл бұрын
Legend😘 akifa sanamu lake liwekwe makumbusho 🤩🤩🤩
@michelinemapendo66522 жыл бұрын
😂😂😂😂
@sophiahmedza9292 жыл бұрын
😂😂😂😂
@tashaochun46512 жыл бұрын
I salute this guy! How daring...
@kekiplus1andonly2 жыл бұрын
Nimekaa naskiliza tu,
@hannanommy3022 жыл бұрын
Alhamdulillah 😀 😀 😀 huyu hawezekaniki Bora wamuachie huru tu🤣🤣🤣 hana uoga hata kidogo huyu kaka Mungu wetu msaidie huyu kiumbe wako jamani
@sistertrashid24882 жыл бұрын
Wampeleke Ukraine aendelee kukalishwa Sasa atatakatisha pesa zote uyo usiombe azalishe yaani uyo mtoto wake atakua hataree zaidi ya baba yake
@emmanuelhaule86922 жыл бұрын
Role model asee uyu jamaa wampe tu kazi🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌
@oscartheicon27162 жыл бұрын
This guy is genius and very dangerous😂😂😂
@nathanjunior76942 жыл бұрын
The guy is mastermind, anatapeli hadi wazungu kirahisi hivo🤔🤔
@aminaali7922 жыл бұрын
SNS your the best 🙌🏾asanteni kwa hii taarifa 🥰Hashpappy ni pasua kichwa😂🤣🤣🤣
@saidabdulkadirmjahid82552 жыл бұрын
Wamtolee movie huyu jamaa 🙌🙌🙌
@westcijosh2 жыл бұрын
Hushpuppi keep going brother they will use you now
@jameslizomba98832 жыл бұрын
Role model kama role model. The real MVP
@Sokomoko132 жыл бұрын
Hollah at me
@isaacbarnabas96082 жыл бұрын
HUSHPUPPI IS GENEOUS 🌹🔥
@kalziidazamba26582 жыл бұрын
Uyu jamaa nankubali kinoma 💪💪💪
@zeddybass66722 жыл бұрын
Huyu inabidi tumuajiri Kama nnch Ili aturudishie hela wanazotulia wazungu🤣🤣🤣🤣
@thelonewolf44292 жыл бұрын
😀😀😃 The legendary swindler
@ericklaura75112 жыл бұрын
Salute to this mafia 💪👏
@shainaramadhani18512 жыл бұрын
Nikiona hivi naomia sana namie nilisha wahi tapeliwa kwa njia ya mtandao pes nyingi sana nikikumbuka hata nguvu sina nahisi huweda kitakua nihik na tim yake
@RuzoOwzy2 жыл бұрын
Pole. Ilikuwa hii ya simu na kutuma hela au hizi za kina hashpapi na debit cards?
@unclepwechnov13812 жыл бұрын
@@RuzoOwzy Swali zuri, tusubiri majibu😂😂
@damianlyimo84022 жыл бұрын
Wamekuibia tuma Kwa namba hii huyu jamaa huwa haibi pesa ya madafu.
Hakuna mjanja kwenye wizi????????? nimekupa polee kubwa sana
@muzafarsharif94652 жыл бұрын
@@frankdominic664 wewe ilikuwa ni mwizi ukafinywa makende 🤣🤣
@RuzoOwzy2 жыл бұрын
Marekani imekanusha habari hii. Hapa SNS mlichemka na hii habari.
@ramadhanhaji38702 жыл бұрын
daaa hili.jamaaa mtemi tapeli sana
@Cyper2552 жыл бұрын
Asante kaka Sky. Kwa jinsi unavyosimulia Hata kama Mtu hajui chochote kuhusu IT au Mambo ya kuhacker lazima aelewe. Hizi stori za Tecknohama ungekuwa unazileta wewe.
@justinmbangukira70342 жыл бұрын
Duuuuuuh! Huyu jamaa ni noma
@rachellebahati61262 жыл бұрын
sisi wote tuko apa kusikiriza.nani akipata iyo hakili.hawezi kufanya ivo.uyo ni legend.
@josephathassan43072 жыл бұрын
Ni mtu mhim Sana kwenye dunia hii ya technology alilindwe Sana
@djejjjejeje28252 жыл бұрын
Sanaaaa
@husseinkazigo61892 жыл бұрын
Sure brother
@brysonearth2272 жыл бұрын
We all like this guy don’t we?!
@RuzoOwzy2 жыл бұрын
Until you become his victim, then you stop liking him.
@lirastanley3902 жыл бұрын
How can i like a hacker and a pirate?
@mrjohn44462 жыл бұрын
Ukweli ni kwamba mtahisi fbi wanamfunga gerezani tu, haitoishia gerezani Bali, wameona ni asset watamtumia kutengeneza hela nyingi kipindi chake chote akiwa gerezani huyu jamaa watamtumia
@itNeza2 жыл бұрын
Mwanajeshi Haachi Silaha kamwe ( Na Nibora Punda afe ila Mzigo Ufike ) Hawa ndo wanaume sasa, Sio Mwanaume Kapigwa kidogo Tuu huo Kaanza kulalamika. 🤣🥂❤️
@magembetv58662 жыл бұрын
😀😀😀
@ernestgervas70212 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣😂😂Duuh sikio la kufa halisikii dawa.
@jaymandy81362 жыл бұрын
Huyu jama ni hatari kuliko hata virusi vya ukimwi
@khadijakheir93232 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@marykalisa8302 жыл бұрын
Kuliko cancer
@blackmamba75532 жыл бұрын
My role model🤩
@happynelson11362 жыл бұрын
Magereza ya mamtoni wafungwa wa mauaji huwa wanaruhusiwa siku moja moja kutoka nje kutembea na kula bata na kurudi tena jela
@mrchacha75852 жыл бұрын
Mmmh,huyu jamaa mwanaume aisee noma sana
@tomfoss961316 күн бұрын
Wamarekani wampe kazi tu
@getrudamartin24092 жыл бұрын
Wanaigeria wenzi sana hasa wanaume
@betsyakoko68102 жыл бұрын
I fear them natural
@jade757983 ай бұрын
Mimi ni mwanamke lakini nataka niwe kama yeye yaani nataka niwaibie wazungu mpaka wajue hata wakinikamata sijali chochote .big up 419 9ja omo Yoruba #Tz .#Lagosian
@morineakinyiowino41612 жыл бұрын
Waah
@sanyajuutv26792 жыл бұрын
Jamaa noma sana
@shebe25732 жыл бұрын
Wamuache tuu🤣🤣😂🙌🙌🙌🙌
@samrankingfire50092 жыл бұрын
Kwakweli 😁😂 jamaa hazuiliki
@vanessarobyn45842 жыл бұрын
Sasa watz tukifungwa huko mbona tungetulia hadi siku ya kiama na tungenenepa haswa sasa yeye angetulia tu ajilie maisha unapitia app za umbea unakula bata🤣🤣🤣🤣🙌🙌
@adelinatate97042 жыл бұрын
Ni kama movie! Yes anaiba na sio poa ila huyu mtu ni kichwa aisee
@rodgerushindi854 ай бұрын
Very genius # shout to hash pup
@judithmaziku3632 жыл бұрын
Huyu ndio mwizi xx achana na hawa wanaoiba kuku
@aminaali7922 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@b3ya7762 жыл бұрын
He’s going to be there for a long time🤦🏾♀️🤦🏾♀️🤦🏾♀️
@yama_virginhairthequeen10652 жыл бұрын
VERY - - -
@b3ya7762 жыл бұрын
@Njoo Studio teach me what ?
@juliaayieta25782 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hiyo intro imeniwacha hoi Wasema iko kwa damu 🤣🤣🤣
@japhetlust50502 жыл бұрын
Uyu Ameshushwa na sheteni kabsa😄
@makondefinest2 жыл бұрын
Role model 🙌🏻❤️
@HannahDevidRichad2 жыл бұрын
😀😀😀 fata nyendo zake
@sophiahmedza9292 жыл бұрын
😂😂😂😂🏃♂️🏃♂️🏃♂️
@MrTop-wj7no2 жыл бұрын
Kkkk
@mariamkaaya9392 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@thebbc00012 жыл бұрын
@@HannahDevidRichad jela siku tatu tu analia😃😃😃
@siscofelician21052 жыл бұрын
i love this guy
@ismailmasoud60012 жыл бұрын
Hili jamaa ni noma.....hata likiwa chini ya bahari likipata internet access ujue mmekwisha...!
@bakarininga41002 жыл бұрын
Huyu ndo MTU sasa ,marekan watamchukua
@sistertrashid24882 жыл бұрын
Yaani uyu wamtoe Mbegu za uzazi maana wakimuacha azalishe mtoto wake atakua hataree zaidi sababu vya kurithi vinazidi
@peninacharles97572 жыл бұрын
Wanataka kumtokomeza tu BROO Sky
@noru90282 жыл бұрын
Uyu kiboko 🙌🙌
@ladynellah38722 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 they should give him work and an office
@aminaali7922 жыл бұрын
😂🤣🤣🤣
@rockyvlogs22142 жыл бұрын
What I was saying here 😂
@MsAggie52 жыл бұрын
Very tru they should use him, he is very clever
@michilita29592 жыл бұрын
Correct wallahi
@Cyper2552 жыл бұрын
Vitu vingne vinachekesha sana. Uhuru una madhara yake.
@JOHNJOHN-pu7wb2 жыл бұрын
Kaziii iendeleeee 💪🏾💪🏾💪🏾
@hajikishuwa10782 жыл бұрын
Habari ya uwongo.
@sharounaidan44732 жыл бұрын
Huyu jamaa hatakiwi kufungwa, badala yake wamtumie uwezo wake kutenda kinyume na Yale ayafanyayo
@khalfantvmansour87652 жыл бұрын
Mm naona uyo jamaa huenda hajaiba tena uko gerizani ila ni njema tu ya mtu mweusi kumpoteza uyo jamaa daa ila inshallah Mungu atamlinda
@worldhappiness11812 жыл бұрын
He is geniois
@neltone2 жыл бұрын
Huyu jamaa sio bure n Geneous, gifted atumiwe na nch za Africa kurudish Mali walizo tuibia wazungu,
@rashidikanyama72272 жыл бұрын
Huyu mwamba ni muujiza Dunia hii
@marcemarco37472 жыл бұрын
Duuuuu nahitaj niungane na watanzania kmaa hawa hata watatu tupige pesa
@maryamm77652 жыл бұрын
Noma sana
@lirastanley3902 жыл бұрын
Khaaaa🧐 kweli sikio la Liga daima halisikii dawa
@mourinebey_kenya70272 жыл бұрын
Anatumia kipaji chake vizuri 😂😂😂🙌🙌🙌
@makinienterprise13332 жыл бұрын
Hushpuppi🙌🙌🙌
@ashurahamisi85772 жыл бұрын
Ila huku Dubai wezi wa mitandao wapo sana kibao sana hususa hao wanaija wanapenda mambo hayo kweli yani
@bruceclassic71272 жыл бұрын
Hii ni Prison Break kbsa
@omarabdallah75772 жыл бұрын
Duuh, hii nizaidi ya utapeli
@linuskamihanda9532 жыл бұрын
Love u D
@yussufrabba22822 жыл бұрын
😍😍😍😍
@user-id1gz3ng3k4 ай бұрын
Wamuuwetu basi 😮😮😮😮😮😮😮😮 sinimwizi tu kama watu wengine
@mariamhassan17232 жыл бұрын
Ila Huddah alikuwa anaenjoy
@mwakwelisaid31522 жыл бұрын
Yan uyo n mwamba ak emagen gerezani pia mnoko.
@paulebby15522 жыл бұрын
Dah mwamba wasimfunge kabla sijaonana nae anipe hata akili moja 😂😂😂😂
@mwalongojulius17552 жыл бұрын
Huyo jamaa afungwi marekani ni wajanja sana watamtumia kwenye sistim zao