Dudubaya Mzuka Mwingi Mwenyezi Mungu anaweza na akujalie maishani kakangu. Tunakuaminia
@Brunotarimo10Ай бұрын
Kutoka Gikombaa Nairobi bro na kukubali Sana unaongea ukweli. Mungu akujalie avya njema
@melch3097Ай бұрын
Welldone bro, hakuna kuchoka. Pambana mpaka mwisho
@jumaasungwi6574Ай бұрын
The dudu
@DamianUlayaАй бұрын
Konki nakukabar sana we auna unafik mzee upo poa sana mawazo yako Mapana sana sis Vijana tunachakujifunza mana u uchawa unaliua taifa
@user-xi4dq3kb3mАй бұрын
Mapafu ya mbwaaaa😂😂
@manrichchahe6620Ай бұрын
MambaZ💪🏿
@mocua2910Ай бұрын
Pua kama ngumi
@ismailmshana2828Ай бұрын
Mwambie chidi benzi na yeye afungue tv yake Kama anaweza
@atanasjisonge253828 күн бұрын
Konk pia fanya uowe
@YusufuAbasАй бұрын
Mamba,ngumi jiwe,konki master😂majina magumu.
@tigejuma9865Ай бұрын
Sumbika mzizi hallow beib....Ngoma Kali xnaa😅
@emmanuelmayunga1518Ай бұрын
Dadu nakukubal sana ila kuna umri unapaswa kukaa kimya tu sasa unataka usikike kwa ngoma gani au kwa kipi,mbona kina sugu,solo thang, Ay ,Afande Daz nundaz na wengine hawapigi kelele why wew...jitafakali bro kuna sehem unakwama
@Laizer3Ай бұрын
ACHA UJINGA MBONA WAKINA JAY Z WANAIMBA HADI LEO NA NI WAZEE
@cdeleo9336Ай бұрын
Umesema ukweli kabisa hakujipanga mapema
@DamianUlayaАй бұрын
Konki anafanya kitu anachokijua
@user-do2id6pp4gАй бұрын
Uwe muelewa sio anapiga kelele huyu ni mwanaharakati anaongea mda wote coz anapigania haki za wengine