Mungu akiwajaalia Waheshimiwa wazee wastaafu badilisheni mwelekeo wa demokrasia ya Tanzania mngali hai. Inakokwenda sio kuzuri.
@AllyHilal8 жыл бұрын
Busara na hekima iliitawala nafsi na kuyasafisha yaliyopita. Hongera Karume.
@salehalzarai80557 жыл бұрын
Ally Hilal M/moyo
@sasha-ri7tf4 жыл бұрын
Shikamoo Rais Mstafu Babaake Shangazi Fatma Aman Abeid Karume.
@jumamaisara75577 жыл бұрын
Mungu akupe maisha marrefu muheshimiwa Amani karume
@abdallaramadhan38504 жыл бұрын
Nakukubali sana Mh.Dr Aman Abeid Karume..nmekupenda tangu nikiwa mdogo na nitaendeleya kukupenda ,Namuomba Allah akupe umri mrefu wenye afya,tija na mafanikio..
@jaysullman36973 жыл бұрын
Aamin
@othmanothmanabdulrahman36367 жыл бұрын
babu simchezo jembe ilo mtu wamchuz lkn kasaidia sana big up famili chema namin unaijua
@hamilhassan94644 жыл бұрын
Aman bwana namkubali CNA km unamkubali ngonga like
@machintangachibwena59225 ай бұрын
Kaiba sana huyu mzee wa familia ya hapa kwangu
@khalfanmohd70195 ай бұрын
Good😊
@fahmiabdulla7690 Жыл бұрын
Long time(BIG UP
@ramadhankidagaa54407 жыл бұрын
Karume mzee wa hekima na busara
@shaisudau59857 жыл бұрын
Nakukubali karumee
@allyomary28397 жыл бұрын
Mzee kweli hao wanaakili za samaki
@benedictmrisho23613 жыл бұрын
"Bi Mkubwa leo yameisha....". Kweli ukimaliza salama ni kumshukuru Mungu. Busara na hekima za wazee.
@aviwaomar4394 жыл бұрын
Mmh hapa panguu
@hassanally5114 жыл бұрын
Unakubalika Mzee
@emilyibraimo50324 жыл бұрын
Mzee wa hapa pangu
@adilhabibu79584 жыл бұрын
Ahahahahhaha Mtoto wa karume bana
@allyomary28397 жыл бұрын
ww nimzalendo wakweli Hakisawa kwa wote
@masoudzanzibarali99946 жыл бұрын
Hapa Pangu 😂😂😂
@machintangachibwena59225 ай бұрын
😂😂😂😂 eti saaa hivi wanamuita mzee wa hekma😂😂
@abdulfirst_pilot4 жыл бұрын
Mtu huyo aman karume kafanya mabaya katika utawala wake ila mwisho kama liza vizuri katu wazanzibar hawato msahau maisha kwa alicho wafanyia
@shabansaid6365 жыл бұрын
Umewaambia kweli baba
@tawfiqissa61234 жыл бұрын
Ww ni kiongoz mwenye busara sanaaa
@abdulhakimalhumaid68167 жыл бұрын
Wanaakili za samaki 😂
@ibrahimsheha2155 жыл бұрын
NaKwanini iwenongwa tuwachiwee.....
@msgbusinesslimited33675 жыл бұрын
Hii inaonyesha namna yakuwa uongozi ni busara na hekima na uvumilivu
@ahmedalbalushi62393 жыл бұрын
Rais pekee wa Zanzibar ambaye ana uchungu na nchi yake . Allah akupe Kila kher
@nassorsaid23318 жыл бұрын
uvumilivu saa hivi unawashinda hayooooo😂😂
@mohdsaid97167 жыл бұрын
Gls Zanzibar
@masoudseif12827 жыл бұрын
hahhaaaaa ww ndo mzalendo wa kweli ALLAH akulipe kwa kila chembe ya kheri ulilotufanyia wazanzibar
@abdulrahmansalim18096 жыл бұрын
Wazanzibar wenyewe ndio wenye haki sio ccm. Maamuzi ya wazanzibar .
@alialamoudi9729 Жыл бұрын
Huyo shombe anatukana wajomba wake huyo si mamake mwarabu waliolewa kwa nguvu hajui huyo kwamba wajomba wake waliuliwa kama nzige NA mjeshi ya tanganika wakaolewa wasichana wa kiyarabu kwa nguvu shombe huyo
@benedictmrisho23613 жыл бұрын
Hekima na busara za wazee ziokoe demokrasia ya Tanzania ifanane na ya nchi zilizoendelea. Uhuru wa mawazo na kuvumiliana kuwepo kwa wanasiasa sio mkitofautiana mawazo basi kuumizana.
@masoudzanzibarali99946 жыл бұрын
Hapa Pangu
@elenestjackson1296 жыл бұрын
karume da natamani urudi tena uraisi
@benedictmrisho23613 жыл бұрын
Hotuba ya Mwl kukaribisha vyama vingi iliweka wazi kazi za chama tawala na za vyama pinzani . Mh Kikwete nae aliwahi kusema "mpinzani atakosoa wee na ndio kazi yake". Kumbe kukubali kukosolewa ni sehemu muhimu ya demokrasia . Miaka 60 ya uhuru Watanzania tutafakari pia hali ya demokrasia nchini.
@ajuxman93827 жыл бұрын
Mbona unaifupisha fupisha hii clip?
@hamadyusuf25986 жыл бұрын
nadhani katiba ya znz itafisiriwe kwa kiswahili na kuuzwa Vijana wasome hawa tatzo
@hassanabdalla27414 жыл бұрын
Katiba ya Zanzibar zipo nakala za Kiswahili tena Kiswahili chepesi sn
@jumakapilima56744 жыл бұрын
Mwanasiasa mkomavu!!!
@alialamoudi97293 жыл бұрын
Zanzibari emetekwa kijanja sasa imekua ukoloni wa tanganika maana ni nchi ina kheri uchumi basi inakwenda bara
@abdulfirst_pilot4 жыл бұрын
Pandu ameri kificho huyu hapa mtu wa sultan huyu si mkuu wenu wa baraza la wawakilishi hamu achi
@abdulfirst_pilot4 жыл бұрын
Nando uvumilivu ume kushindeni hao
@fakihdarusi43853 жыл бұрын
Msiwe na akili xa samaki
@benedictmrisho23613 жыл бұрын
Waheshimiwa Wazee wastaafu mnaonaje mwenendo wa wanasiasa na hatima ya demokrasia ya Tanzania? Miaka 60 ya uhuru bado chaguzi zetu kuchomeana nyumba, maofisi, kuumizana, kumwaga damu , kufungana, kukimbilia uhamishoni, kutokukubali matokeo nk . Okoeni hii nchi.
@kassidpandu98064 жыл бұрын
Haina maana serikali ya kitaifa ina mapungufu na hatuipendi kabisa
@husseinkonz51926 жыл бұрын
Mkataba tena
@jumaothman37604 жыл бұрын
Tunakukubl ww ni mzeee w hekma
@asrymohd66904 жыл бұрын
Nilikuwa zamani cjakuelewa ileo nimekupata
@abdulfirst_pilot4 жыл бұрын
Mbona mnasahau mara hii muna akili za samaki nyie
@ibrahimbakar6224 жыл бұрын
Huyu ndio rais wa ukweli wa Zanzibar " Ila na wahandishi wa habari wapuuzi mkiamua kutoa toeni na sio kukatakata maneno" Kwa mbali nimeskia "Hawatuwezi"
@kindysuleiman59353 жыл бұрын
Hikma iko wapi hapo nyie CCM nani alikupeni dhamana hio iweje mufanye uchaguzi mukatiliwe halafu mulazimishe
@chibaboy58038 жыл бұрын
mwamba
@sudaissoud36704 жыл бұрын
Anamatusi huyu eti wanaakili za samaki
@hassannasir45615 жыл бұрын
Chezea karume jr wewe
@suleimanabdalla45944 жыл бұрын
Karume Mzalendo wa kweli
@sleyyumothman22398 жыл бұрын
.
@asiaasia82536 жыл бұрын
mashaallaa allah akujaali pia akuzidishie pale palipo punguwa