Siri ya kuwa mtu wa tofauti

  Рет қаралды 189,996

Joel Nanauka

Joel Nanauka

Күн бұрын

🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.se... 🔥🔥🔥

Пікірлер: 364
@benjaminjeremia6316
@benjaminjeremia6316 3 жыл бұрын
Kama unamkubali Joel nanauka gonga like apa
@halidkiungulia1924
@halidkiungulia1924 3 жыл бұрын
Somo zuri sana
@mohammedrashid2906
@mohammedrashid2906 2 жыл бұрын
Ahsante
@innocentlyimo3118
@innocentlyimo3118 Жыл бұрын
Asantee sana kaka
@jovithajasson1317
@jovithajasson1317 3 жыл бұрын
Mimi naishi maisha ya tofauti , mpaka family ainielewi, coz I choose to be positive, hata pale napoambiwa uwezi! Naamini Mungu yupo ndani yangu ataniwezesha
@kidongojoseph
@kidongojoseph 3 ай бұрын
Endelea ivo ivo
@emmanuelpatrick2969
@emmanuelpatrick2969 3 жыл бұрын
Hua unaongea vitu vikubwa sana brother mtu ambaye akili yake imebebwa na vitu vya dunia sio rahisi kutambua unacho zungumza unagusa maisha ya watu sana na ndio mafanikio yako MUNGU akubariki
@twahaally1969
@twahaally1969 3 жыл бұрын
Kuna muda natamani sana WATANZANIA sote tuwe tunamsikiliza life coach MR NANAUKA.
@richardmpuya5379
@richardmpuya5379 3 жыл бұрын
Habari bwana Joel, I'm 40yrs old, na familia yangu lkn wazee wangu wana ning'ang'ania nikaae nao lkn sina uhuru wa kufanya vitu vyangu ushauri tafadhali
@monamzonge1398
@monamzonge1398 3 жыл бұрын
Tangu nimeanza kukufatilia nimejikuta nakuwa wa tofauti sana umenisaidia kuishi vile ninavyotaka Mungu azidi kukubariki kaka
@edwinwilliam2661
@edwinwilliam2661 3 жыл бұрын
One day naamini nitakutana na wewe mwalimu wangu wa personal development knowledge 🙏💪💯
@Hopestone_counselling_point.
@Hopestone_counselling_point. 3 жыл бұрын
Brother you inspire me a lot, nimefurahi kusikia maelezo mazuri ya hiyo experiment ambayo ni maarufu kwa watu wa psychology including me
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ahsante sana Kelvine, tuendelee kujifunza.
@enockedward1783
@enockedward1783 Жыл бұрын
Kwa Hii nondo, Narudi kwenye mstari.. Kilicho ndani yangu ni cha Tofauti ndio maana naambiwa sio hivo make wao wanafanya vya kawaida Mimi ni watofauti Dunia itajua tu.. Muda Utaongea Shukrani Bro JoNanauka
@kelvinphillip1048
@kelvinphillip1048 3 жыл бұрын
Nakushuru sana kwa sababu wengi wananiona ni wa tofauti ikiwemo marafiki hasahasa kwa lifestyle ninayoishi pia naomba unishauri Namna gani ntaweza kujiongezea dhamani
@blazegal3298
@blazegal3298 2 жыл бұрын
Your lectures it gave lesson also change people in all circumstances in life congratulate
@FaizaPhilipo-gg5dm
@FaizaPhilipo-gg5dm Жыл бұрын
Thank you Life Coach Joel. I have learned alot through this na nimekuwa nikiishi informative influence katika maisha yangu due to fake friends around me. Be blessed Joel😊🙌
@nelsonmpolochacha5035
@nelsonmpolochacha5035 3 жыл бұрын
Kaka. Tokea nianze kukufatilia miezi mitatu ilopita. Nimekuwa mtu wa tofauti sana mwenyewe najiona. So nilivyosikiliza hili somo. Jibu ni RAHISI. Mimi ni Mtu wa tofauti Kabisa. Jibu langu huwa ni moja *Mi si kila Mtu *. Be blessed Brother.
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Hongera Sana na nashukuru kwa mrejesho.
@PublicTeacher
@PublicTeacher Жыл бұрын
Aiseee katika mada nzito..Hii ni moja wapo... Yaaani nashukuru saana najitabidi katika haya!!!
@gerriesilili2703
@gerriesilili2703 3 жыл бұрын
Nilikuwa naendeshwa Sana na informative influence lkn tangu sasa nimefunguliwa macho na masikio. I regret why I didn't know about that before. Thank you bro
@sportbundletv4510
@sportbundletv4510 3 жыл бұрын
Congratulations I used to be different from others for along time but now I see the fruits maana mm naamin nachokifanya kuwa nisahihi maana ndokinachonisaidia 🇹🇿🌹
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 3 жыл бұрын
Ni maisha yangu asante sana leo nimepata jibu, maana watu wengu wa karibu huwa hawaelewi. Asante sana
@samsonhaule3647
@samsonhaule3647 3 жыл бұрын
Nikweli kabisa msimamo wako ndio Utakao kusaidia kwenye maisha yako.
@dailyloyal2420
@dailyloyal2420 3 жыл бұрын
I find something new every time I listen to your great teachings, mkuu🙏
@ambrose_vevo137
@ambrose_vevo137 2 жыл бұрын
Nimeshindwa kucomment ndugu .....maan umemaliza kila kitu....pamoj sana
@staraabdul4675
@staraabdul4675 Жыл бұрын
Mungu akupe umli mrefu kiukweli umenibadilisha sana na nimebdilika sana ira bdo kitu kimoja kinanisumbua sijuw utanisaidiaje maana kuna ndugu wengine bhna wanaludishana nyuma ki maendereo😊
@chrispinegervas1681
@chrispinegervas1681 3 жыл бұрын
Safisana brother, kiukweli kwasasa nimemaliza diploma ya pharmacy, wazazi wao wanapenda sana me niweze juajiliwa na kazi mbili pia zikaja ili niweze kuajiliwa lani me nilicho wambia sitaji kuajiliwa kwakua me inatakiwa nipambane kwakufanya kazi zangu mwenyewe kisha na me nitengeneze ajira kwa watu waje kuajiliwa katika office zangu, na nikizibgatia nilipo kua chuo kuanzia mwaka wapili nilianza shuguri ya ukopeshaji wa pesa kwa wafanya biashara wadogo wadogo kisha wakinilipa kwa riba,kiukweli mpaka sasa nimwaka wapili umeisha tangu kuanza kwa kazi hii na biashara hii inakua kwa speed sana, kwakua nakifanya ninachokipenda zaidi
@eliasilwimba187
@eliasilwimba187 2 жыл бұрын
Huo ndio ukweli,wengi tunafanya /kuishi maisha ya kufuata mikumbo.Mungu akubariki
@bundalafrancis4262
@bundalafrancis4262 3 жыл бұрын
Somo zuri Sana brother na tamani watanzania wengi wangepata Wasaha wakukitazama hiki kipindi by the way huwa nasambaza video zako pia endelea kutoa elim kwa jamii big up
@masanjamanija4175
@masanjamanija4175 3 жыл бұрын
Somo zuri, naomba niendelee kupata somo zaid
@ezekielpanga7599
@ezekielpanga7599 3 жыл бұрын
Umenijenga mkuu niko kwenye nomative influence hence nilicho somea ni kingine but inside of me I feel moto ambao so wakawaida tangu nilipogundua gifts au talent yangu ineed more help from you see you blessed kaka
@ramagwama2246
@ramagwama2246 3 жыл бұрын
Nakubal mwalimu Yani umenigusa mm nko Ivo naishi kulingna na uwezo wangu spendi kuiga bas mda mwngi nilkua najiona kambae nimeptwa na wakti bt nashkuru umenijnga tna
@shukranjulius5910
@shukranjulius5910 3 жыл бұрын
Barikiwa zaidi kaka Joel hakika Bwana anisaidie niwe wa tofauti
@almunadhaf
@almunadhaf Жыл бұрын
kusema mr.joel mimi ndio maisha yangu ninayoishi nikijukuta nikitaka kuiga maisha wanayoishi watu wengine najikuta nashindwa nafsi yangu inakataa nikaamua sasa hivi ni ishi ninavotaka kuishi na kuwa na msimamo wangu pekee.
@dadatenga8415
@dadatenga8415 2 жыл бұрын
Asante sana brother kwa ujumbe mzuri. Unagusa sana maisha ya watu. Mungu Akubariki sana
@georgemarwa2306
@georgemarwa2306 2 жыл бұрын
Duh Kaka Joel nimekua nikifatilia Sana mambo yako mengi na Sasa umekua mentor kwangu hakika kwa hili uko sahihi Mimi Ni mmoja wa watu wanaotaka kua tofauti na wengine lakin environment influence naona inan influence kufanana na wengine
@juliuxmachum2772
@juliuxmachum2772 3 жыл бұрын
Sina cha kusema bro u really enspire me a lot... I really appreciate this well done.... Keep it up.✊🏿✊🏿✊🏿
@officialmtiamoyo6922
@officialmtiamoyo6922 3 жыл бұрын
Kaka nina talent yangu, I want to be there na tukakaa meza moja siku moja, nakusikiliza sana ebony fm
@waziriissa7018
@waziriissa7018 3 жыл бұрын
Unakitu unanifungua moyoni mwangu hongera sana unanifanya niwe jasir na kujua mengi mungu akubariki namimi pia niombee kwa mungu mwenyez Asante ⛪
@williamo.pambila3221
@williamo.pambila3221 3 жыл бұрын
Mimi ni mmoja ya watu wanaoishi maisha ambayo sio normative wala informative
@RobbytheTrainer
@RobbytheTrainer 3 жыл бұрын
Nafanya mambo yangu tena kwa kupenda. Thank u for inspiration nadhani nilichelewa kupata maarifa haya nmejkuta nmepoteza muda mwingi sana.
@christinawallasch5228
@christinawallasch5228 3 жыл бұрын
Ni Maisha niliochagua kutokana na ndoto niliokua nayo na safari ya maisha yangu, naomba msaada zaidi.
@asnaabububu2297
@asnaabububu2297 3 жыл бұрын
Mm katika maisha ninaona nibora niishi tofaut na wengine ni bora kwangu mana pia inanisaidia kufanya vitu vingi kwangu kwa wakat
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ni kweli kabisa.
@mtamilanyambalo9261
@mtamilanyambalo9261 3 жыл бұрын
Kweli kabisa watu wengi tumeshindwa kutambua namna sahihi ktk Mbinu sahihi za fukia Mafanikio chanya ktk Maisha. Asante sana Ndg Joel kwa Masomo Mazuri.
@richardrassia0013
@richardrassia0013 2 жыл бұрын
Nimefarijika sana kwa somo lako kwa kweli maana katika maisha yangu huwa naamini sana jambo ninaloamua kulisimamia hata kama napingwa na asilimia kubwa sana ya watu sikubali kufuata wanavyotaka zaidi ya kile nilichokiamini na kukisimamia, na baadae nichoamini na kukisimamia kinakuwa na tija kubwa sana na watu hushangaa na kunipongeza! Umenitia moyo sana kaka ubarikiwe
@victadaud9519
@victadaud9519 2 жыл бұрын
Mungu wa mbinguni aendelee kukutumia zaidi na zaidi katika masomo yako mengi tunajifunza 🙏🙏🙏
@annejackondera3659
@annejackondera3659 2 жыл бұрын
Hey Mimi naitwa Anne, Nimeokoka YESU ni Bwana na mwokozi wa maisha yangu, Nimesikia ushauli wako na nimeipenda, Na Mimi naishi maisha yangu, Na huwa tatofautiana na watu sana wakitaka ni ishi maisha Yao, lkn kwangu ilinishinda, Na huwa naishi maisha tofauti sana na wengine, Wakati mwingine nakuta nafanikiwa sana kuliko hao wengine
@moloimetinanjarati752
@moloimetinanjarati752 3 жыл бұрын
Thanks brother joel god bless you
@heriethnyaki4816
@heriethnyaki4816 3 жыл бұрын
Hongera kwa kaz nzur ya kubadili taifa na dunia kwa ujumla. Najitahid sana kaka kukusikiliza lakni mpk sasa cjajua kipaji changu ni nini.
@valencirwehumbiza1579
@valencirwehumbiza1579 3 жыл бұрын
Ni kweli kabisa kaka kuishi unachokiamin siyo waengine wanacho kuaminisha Asante sana kwa Elimu hiyo🙏🏽🙏🏽
@saidiseph1777
@saidiseph1777 3 жыл бұрын
Asante sana Brother mafunzo yako yanakua serious na yanatoa uhalisia wa watu wengi kwann maisha haya tunashindwa KUFIKIA hatua ya mafanikio hiki kitu kimenifanya nikawa wa tofauti sana na hapa nimeongeza knowledge
@alphoncetyoza1543
@alphoncetyoza1543 3 жыл бұрын
Be blessed so and so
@rosemuhazi9542
@rosemuhazi9542 3 жыл бұрын
I live my life kitambo sana nilikua na ishe maisha ya watu walinipoteza sana hadi ni kajuta
@sylvestermgimba5483
@sylvestermgimba5483 Жыл бұрын
Asante sana lecture ubarikiwe sana hakika masomo yako yamekua funguo
@getrudahmwakasege5443
@getrudahmwakasege5443 3 жыл бұрын
Ahsante kwa ushauri mzuri Joel.umenifanya nijiamini zaidi.mimi naishi vile nionavyo mimi.si Kama waonavyo watu wengine au wasemavyo.
@AmriSuleimani-we1xi
@AmriSuleimani-we1xi Жыл бұрын
Nashukuru MUNGU me kwa upande wangu maisha ninayoishi ndio maisha nilochagua japo familia yangu haikuweza kunielewa juu Ya maisha nilochagua kuishi coz my family iliamini sana ktk elimu nami niliamini sana ktk biashara
@amanarts255
@amanarts255 3 жыл бұрын
Much respect bro nimesoma vitabu vyako vipo poa sana.
@mariamm2724
@mariamm2724 3 жыл бұрын
Mungu akujaalie kaka unahususisha maisha ya wengi mno , toka nilivoanza kukujuwa 2017 ninajifunza mengi mno , na hicho ulichosema kusahau yaliyo pita japo ni magumu mno , nikishayatupilia mbali saizi naangalia kesho yangu tu.
@JulieAmos-to5po
@JulieAmos-to5po 3 ай бұрын
Najifunza vitu vingi sana ndugu barikiwa sana
@patrickjoseph5304
@patrickjoseph5304 3 жыл бұрын
Somo zuri sana Mwl Joel. Ila ninahitaji private talk maana ninakumbwa na shida ya namna hii.
@victoriamerura9382
@victoriamerura9382 Жыл бұрын
Amina barikiwa Sana Kaka mkubwa
@MubarakKhatib
@MubarakKhatib 9 ай бұрын
Dah mm sina chakusema zaid yakusema nmekuelewa na uposash👍
@yasintajosephtungu329
@yasintajosephtungu329 2 жыл бұрын
Namshukuru Mungu naishi kulingana na kile ninachokiamini
@angelatillya9174
@angelatillya9174 3 жыл бұрын
Your so creative ,,, coz u deal with the need of people 💪👏👏🤝🤝🤝
@chrissmo9198
@chrissmo9198 Жыл бұрын
Dhaaa broo sjui nikwambiej yn nimjingundua kuw mm nitofauti dhaa sana shukran broo
@neemasaidisaid1791
@neemasaidisaid1791 3 жыл бұрын
Asante kwakutujuza mambo megimengi .kwahayo twapata.ufahamu mpya.barikiwa sana
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Ameen
@samwelimakweta3310
@samwelimakweta3310 3 жыл бұрын
Thanks much we learn more
@jacotv337
@jacotv337 3 жыл бұрын
Daaaaaaah!! Hapo ndipo wengi tunapochemka, asante saana kwa elimu, ningependa kunifunza mengi zaid
@matrugnawangaeli4815
@matrugnawangaeli4815 3 жыл бұрын
Ni kweli lakini siyo rahisi. Ni kama na mtu anaeye tembea backwards. Unaona vile watu watakavyo kuwa makini. Lakini naamini kwamba, Hakuna kinacho shindikana. Wote yanawezekana tunapo mtengea Mungu. Inahitavika msaada waki pekee kabisa. Ahsante kwa habari njema. Wewe ni msaada kwetu. Uzidi kubarikiwa. Tupate faida.
@israelmgata7725
@israelmgata7725 3 жыл бұрын
Brother naendelea kufumbuliwa macho ahsante sana
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Karibu sana, tuendelee kushare na wengine pia.
@hassanalbashir2891
@hassanalbashir2891 3 жыл бұрын
Asante sana kaka nimekupata vizuri kabisa hizo tabia mbili ziko sana uswahili,hata mimi nimo lakini umeniamsha Mungu akubariki na akuongezee elimu zaidi.
@aidanalex1785
@aidanalex1785 3 жыл бұрын
Nashukuru sana sir Joel mimi niliwahi kuishi kulingana na normative influence
@twalibusalum6084
@twalibusalum6084 2 жыл бұрын
Uko vizuri sana kaka kila mada unayozungumza inanigusa
@jescaedwardkurumela4333
@jescaedwardkurumela4333 2 жыл бұрын
🙏🇹🇿👍 Yangu mwenyewe na ninaenjoy ingawa wananishangaa na kusema hawanielewi🤣
@kijokombao5345
@kijokombao5345 3 жыл бұрын
Kuna kitabu flani aliandika don miguel '' the four agreements '' kuna subtitle inasema domestication pia amezungumzia kwanini ulimwengu wa sasa umekua hautaki kwenda tofauti, shukrani sana mr Joel
@alikibardc9229
@alikibardc9229 3 жыл бұрын
Ile ndio kipaji chako nielimishe mkufunzi wangu je t'aime beaucoup 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@mussamussa3630
@mussamussa3630 2 жыл бұрын
Nashukuru sana umenifanya kuwa jasiri kwenye kusimamia msimamo wangu ubarikiwe.☺☺☺
@ndoakikristo7777
@ndoakikristo7777 4 ай бұрын
Be blessed by GOD
@ney7c479
@ney7c479 3 жыл бұрын
Somo zuri sana kaka Mungu akubariki Kwa upande wangu nahitaji ushauri zaidi. Asante 🙏🙏
@kalasonowenya5610
@kalasonowenya5610 3 жыл бұрын
Kama ndivyo Basi pasi na shaka Mimi Ni watofauti Sana japo napingwa Sana na watu wakati mwingine hata na familia, achilia mbali kazini Wanasema eti NAJIFANYA NAJUA SANA wakitarajia kuwa KUNA SEHEMU naenda kuanguka Basi Mungu hunisimamia Sana kwa kile ninacho Amini Ni sahihi maana KILA wasemalo baya ama ZURI KWA mfumo wa swali nawapaga majibu sahihi HUENDA Yana kera Ila ndio HALISI
@chrissmeshack5451
@chrissmeshack5451 3 жыл бұрын
Mimi nashidwa kua wa tofauti katika kazi nayo fanya maana bos anakuambia fanya iv ata kama mim ninambinu nyingine yakukamilisha iyo kaz anaona nakosea
@SandrineNduwimeNduwim
@SandrineNduwimeNduwim 3 жыл бұрын
kazi ya kuajiliwa njo vile ilivyo.
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Pole sana....Tafuta video yangu inayosema Aina sita za Mabosi wakorofi na Jinsi ya Kuhusiana nao
@frolanjelekela1006
@frolanjelekela1006 3 жыл бұрын
Hapo kaka tupo wengi .
@amaaissa9713
@amaaissa9713 3 жыл бұрын
Naitaji kuwa tofauti nawengine hakika Joel nanaukq
@LizabethAloyce-lq2pb
@LizabethAloyce-lq2pb Жыл бұрын
Mimi nawaza sana nicreate kitu gan Kipya cha kwangu na kila ninachotaka kufanya naona kishafanyika tayari heb nisaidie katika hili Master!
@officialraymond4532
@officialraymond4532 3 жыл бұрын
Vizuri Sana kaka kwasomo nzuri
@ommysiriaz5205
@ommysiriaz5205 3 жыл бұрын
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo cha IFM,Ndoto yangu nikuwa mwanamziki mkubwa na nimeianza safari ya muziki ila Problem inayonikuta ni financial,na connection naomba ushauri wako mana kufuatilia speech zako kulinifanya nikapambana nisome ili nifike chuo
@nshimirimanadjamilla7270
@nshimirimanadjamilla7270 3 жыл бұрын
Naam kabisa kweli mutu ukiheshimu fitra zako mwenye nisaw
@happynesskasanda7275
@happynesskasanda7275 3 жыл бұрын
Ni kwel watu tunapenda Sana kuangalia watu wanasema nn
@kasambikabwelile7553
@kasambikabwelile7553 3 жыл бұрын
i learn a lot when ever i watch or read your books
@joelnanauka
@joelnanauka 3 жыл бұрын
Thanks Kasambi 🙏
@rafidhaally9857
@rafidhaally9857 3 жыл бұрын
@@joelnanauka naomba namba yko kaka kuna kitu nataka kukuulidha
@luttaTz
@luttaTz 3 жыл бұрын
Asante kwa elimu
@elijahanthony7667
@elijahanthony7667 3 жыл бұрын
Ahsante Sana mpendwa joel kila naposikiliza na kutazama post zako napata kitu kipya 🙏
@khamisyasin3276
@khamisyasin3276 3 жыл бұрын
Asant sana kwa mafunzo yako kweli tunafeli kwakuwa tunaishi kwa kuogopa kuacha mambo kwa kuofia watu watasema
@Costantine93
@Costantine93 2 ай бұрын
Kwa sasa kaka ni ngumu sana kuishi maisha unayo yapenda mwenyewe maan utapigwa vita sana
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 3 жыл бұрын
Ukweli ni kwamba mimi si mtu wa kufuata matakwa ya wengine ila shida kubwa niliyonayo na nimeigundua ni uthubutu. Kwa kukusikiliza tu umenipa hatua kubwa Joel. Mungu wa mbingu na nchi akubariki mno
@SaluIssa-me1lq
@SaluIssa-me1lq 8 ай бұрын
Asante Kwa kunionyesha njia nimeikubali sana
@vailethjames8826
@vailethjames8826 3 жыл бұрын
Ninajitahidi kuishi maisha yangu lakni n ngumu sababu y watu wanaonizunguka
@lukamaloda1385
@lukamaloda1385 Жыл бұрын
Your very important than our syllabus
@lukamaloda1385
@lukamaloda1385 Жыл бұрын
Its strong massage, i am always believe in my vision
@staneyboy9848
@staneyboy9848 3 жыл бұрын
Asante sana kaka kwa elimu unayotupatia natuamini vijana tutaamka sasa
@pascalumira7271
@pascalumira7271 Жыл бұрын
Ni kweli nime sha fanyikiwa kwa kutegemea ninacho fikili mimi na watu wana niambiya nini hiyo? Na piya nisha pata hasara lakini ile hasara kwasababu hawakunipa uhakika ukweli sana sana kiupekee ina nipa kufanyikiwa kiwango cha juu
@haikapatrick3988
@haikapatrick3988 2 жыл бұрын
Nakupenda bure broh unaniinspire Sana
@rithamalisa4636
@rithamalisa4636 Жыл бұрын
upo sahihi kbs mm mwenyew darasan nilikua najibu jibu lang lakin nikiona yule mwenye akili zaid yang akijibu vingin n mm namfatisha 😂kumbe mm nip sahihii daaaa kak joel umenikumbusha mbali kwelii hap na nimejifunza pia
@sofiarugoye7929
@sofiarugoye7929 Жыл бұрын
Uko vzr kk,mi huwa najikuta naenda tofauti,mpaka kupelekea watu kutonielewa
@mudathirothman3400
@mudathirothman3400 3 жыл бұрын
It's incredible
@ahlstromsgatan519
@ahlstromsgatan519 3 жыл бұрын
I really appreciate for your lessons that teaches good journey of all entire life
@afyatips5108
@afyatips5108 3 жыл бұрын
Mm ninaishi tofauti nashukuru kaka
@ommybiggie4825
@ommybiggie4825 3 жыл бұрын
Nime subscribe na najiskia vibaya kwanini sijakujua mapema ..mungu akubariki...natokea KENYA 🇰🇪 ...joel mungu akupe na akufungulie unayo taka...mtizamo wangu najiona naishi kimazoea tu...watu wanaishi ki aina hii kazi ..family ..ila muoga wakuanza jambo naona itakuaje..je isipo kua yani hilo linaniumiza sana....
Siri 4 Za Kuvutia Watu Muhimu Kwenye Maisha Yako.
9:48
Joel Nanauka
Рет қаралды 156 М.
Jinsi ya kuacha tabia usiyoipenda.
8:54
Joel Nanauka
Рет қаралды 161 М.
Incredible Dog Rescues Kittens from Bus - Inspiring Story #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 39 МЛН
LIFE WISDOM : JINSI YA KUWA NA FURAHA
15:43
Joel Nanauka
Рет қаралды 10 М.
Ufanye nini watu wa kupende zaidi?
9:09
Joel Nanauka
Рет қаралды 131 М.
Joel Nanauka / Namna ya kutimiza malengo 3 / THE GATES TV
52:13
The Gates Media
Рет қаралды 123 М.
UNAMPENDA LAKINI YEYE HAKUPENDI - JOEL NANAUKA
9:15
Joel Nanauka
Рет қаралды 209 М.
Dr. Chris Mauki: Sababu 5 kwanini mnagombana hovyo
11:45
Chris Mauki
Рет қаралды 127 М.
Anthony Luvanda MADA Mtazamo wa kutengeneza biashara
46:10
The Genius Pro. Media
Рет қаралды 38 М.
Incredible Dog Rescues Kittens from Bus - Inspiring Story #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 39 МЛН