Too inspiring, costless education, eyes talk,ukimtazama jamaa usoni na kusikiliza maneno yake unaona jinsi jamaa ana upendo kwa nchi yake na Bara la Afrika pia,umenipa mengi sana ya kujifunza na kujitafakari binafsi.Mungu azidi kukutunza sana Benjamin. Bravo bravo bravo!
@karthala66762 жыл бұрын
Well done Kenya for supporting your brother
@magreth79812 жыл бұрын
I saw him when he was 5 or 6 yrs old ATN church, his Father&mother are Pastors personal they teached me alot about Jesus- God has bless him im sure for the good work the parents do for the body of christ, i hope to meet you someday, Big up and congratulations Benjamin, for this step and all the best !👏🙏
@mokiridaniel67952 жыл бұрын
Haswaaaa
@jumannemagashi43032 жыл бұрын
Qq
@jumannemagashi43032 жыл бұрын
Q
@jumannemagashi43032 жыл бұрын
Q
@jumannemagashi43032 жыл бұрын
Q
@hamoudcreator63432 жыл бұрын
Benja, Kiukweli Leo Nimepata Muamko Mkubwa Sanaaaa 🔥🔥 Mungu Akubariki... Nakukubali since day one Mpaka Leo ...
@pacdaud68482 жыл бұрын
Jamaa anajua jamani,, mi binafsi naisi muhemuko mkubwa sana ukiskiliza vizuri hii interview you get alot of life summary 🧡
@alexfrank53422 жыл бұрын
Maneno kama haya wanaongeaga ma genius Thank you so much
@philosophyalen2 жыл бұрын
Naishi Uingereza nilikuwa natumia World Remit wanakata, baada ya kuona hii interview nimejaribu kutuma no hidden fees nimepata exchange nzur Sana, kaka nadhani ujikite kwenye marketing watu hawajui
@lissamsalu123452 жыл бұрын
Kweli jaman
@christinen82912 жыл бұрын
Nipatiye namie nitumiye kutuma pesa
@SlaxerMan7 ай бұрын
How about security
@SlaxerMan7 ай бұрын
How about security
@saidseif74695 ай бұрын
@@SlaxerManthey have bank grade security
@zuweinaally24132 жыл бұрын
I hv learned alot from this interview welldone ..Mungu akusimamie Inshaallah
@kelvinminja2 жыл бұрын
So inspired by him. Big up Benjamin. Kila la heri.
@superwarema23092 жыл бұрын
Great. Mungu ambariki Benjamin na ndoto yake na upendo wake kwa nchi yake Tanzania.
@ramadhanimtozeni80302 жыл бұрын
Benjamin, you are doing great, may God bless you!
@godfreyfrance972 жыл бұрын
Usipojituma utatumikishwa ! Naishi nayo hii Brother. Mungu akufanyie wepes ufikie ndoto
@abdulkarimahmed31832 жыл бұрын
Mashallah milad ayo mwambie Benjamin aje Oman afungue pia app ya NALA tupo watanazania wengi sana huku
@joharishabani28932 жыл бұрын
Kwer. Kabisa
@asnaryissack25822 жыл бұрын
MashaaAllah. Wishing You The Best Brother Benja. Big Up Br. Millard💪
@emanuelkahumba653228 күн бұрын
Safi sana, waziri wa Teknolojia uwe mbunifu na kusapoti vijana kwenye teknolojia
@muhsinmwamkunja97022 жыл бұрын
yaah you are the best one mr Benjamin
@TAMay-vf5xt2 жыл бұрын
Benjamin you are really a Tanzanian with Tanzania at your conscious. Keep it up. I am really touched with your commitment.
@josephatjoctan32782 жыл бұрын
Two inspiring youths in one video💪🏽 May God Bless You two for us🙏🏽
@samsgilman012 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@lucasmsuka82522 жыл бұрын
Kabisa. Ni Vijana wawili wenye weledi katika video moja
@alfredshukuru70572 жыл бұрын
This man deserves award from Tanzania government
@abelg24882 жыл бұрын
Sure he need a recognition to encourage more Tanzanins to become the best for the country
@mercyzephania55072 жыл бұрын
kabisaa,ila sio bongo yetu hii..kwanza ukiwa ivo wanakuona threat kuliko kukuona kama asset..soo sad
@emmymatigula48702 жыл бұрын
Ben,funguwa chuo chako hapo nyumbani usaidie vijana wenzio Utafanikiwa pls.🙏🏾🙏🏾❤
@enockwinston71972 жыл бұрын
kiukweli TZ kuna mapungufu makubwa sana kwenye sheria zetu, watunga sera wetu hawajui/kutambua mambo mengi sana, kuna hitajika sana kufanya mabadiriko kwenye sheria hizi kandamizi zinatukwamisha sana vijana especially kwenye ulimwengu wa technologia. Big-up benjamin
@vicentkamwaya35422 жыл бұрын
Inasikitisha sana.Uganda, kenya Tanzania ya mwisho kumpa ushirikiano.Duh!
@peterjanuary79722 жыл бұрын
Haya mambo viongozi wetu wamwkuwa ni wahuni kila mahara ni migando kupita kiasi mtanzania anaamua kujitoa na kuwekeza kwenye sekta ya ya teknlojia lakini ubabaishaji unakuwa mwingi tunahitaji kujichunguz sana kunaanzia kwenye elimu madarasani ukweli mfumo huu ni mkubwa sana viongozi wetu wamekuwa wakihusika kuchelewesha maendeleo ya vijana kwa mazoea yao et vijana hawaaminiki ukweli uhuni ni mwingi sana.. tanzania jamani tuamke kwa kutafakari mda wote.
@nth35122 жыл бұрын
MASHA ALLAH, hongera sana kaka, Tanzania kuna dharau ambazo zinaturudisha nyuma. Mfano huyo profesa aliekuuliza una phd gani... Tanzania mnaangalia vyeti sana zaidi ya output
@noorbazaar90632 жыл бұрын
Ndio maana uteuzi unazingatia Doctorate but output is poor!!!
@xamael19892 жыл бұрын
Ma profesa mafala sana hamna kitu zaidi ya makaratasi yao
@xamael19892 жыл бұрын
@@noorbazaar9063 tuna taka out put sio upuuzi wa makaratasi
@xamael19892 жыл бұрын
@@noorbazaar9063 Phd zime kuwa kama title zaidi meaningless in the grand scheme of things kama una jua una jua
@josephrichard53722 жыл бұрын
Aisee hzi elimu sizielewi hata ,hawana invetion wala hawaangaiki kutatua matatizo zaidi ni kukosoa watu wanaoumiza vichwa ,honestly wanafanya vibaya
@lelomellowtz9 ай бұрын
ONE DAY YES. NALA inanisaidia sana kutuma pesa from UK. Story yake ya kufeli shule ilinigusa since i once went through such an experience na kufungua NALA after 10 years. Is so inspiring. Naamini after 10 years, I will be here to testify how God has been good to us. GOD IS GOOD.
@samniza17632 жыл бұрын
I am going to try Benjamin, you are from my home town Tanga, I know your dad, Rev. Vernon Fernández, I am definitely going to upload the app.
@NyengolismTV2 жыл бұрын
Mimi nipo chuo cha Dodoma, college ya Informatics and Virtual Education, nkiwa nachukua course ya Computer Science. Katika swala la kuita maprofessional kuja kufundisha chuoni hyo inasaidia sana! kwa7bu tunavyosoma kuna mda vinakua vigumu mpaka unakata tamaa, hila unapo muona mtu ambaye kafanikiwa kupitia field hii, hata kidogo inatia moyo! Pia kuna watu wanasoma but hawajui hata wancho kisoma wataenda kuki apply wapi! Watu kama hawa ndio ambao wanaweza kufanya majibu ya maswali mengi kujibiwa!!! Aiseeee afanye hata siku moja kuja kufanya seminer hapa, naona kama Harvard wanawaita wakina Mark zuckerberg, kwanin sisi tusiwatumie watu hawa!
@highzacknnko96852 жыл бұрын
Wanachuo huwa wanayo dharau sana ukija kuwashauri watakuambia mbona wewe hujafanikiwa,nikiwa chuo alikuja Joel nanauka lakini watu walikuwa kazi ni kubeza tuu....kama anafundisha hvi mbona hatajiriki
@cbegram6161 Жыл бұрын
@@highzacknnko9685 ukweli😅😅😅😅 lakini siyo wote😅😅😅 na kuna ambao watanufaika😅😅😅
@Truly_Afrikan2 жыл бұрын
I am impressed. Congratulations Benj
@kilimotikiti92942 жыл бұрын
Ni kweli watanzania tunatakiwa kum-support Mtanzania mwenzetu kwa kutumia App yake kufanya transaction(s) kutuma pesa nyumbani. Huyu kijana ana maono, itapendeza tukimnyanyua. Kweli wakenya wanatuzidi kutumia huduma hii ambaye founder wake ni Mtanzania. Good job, Ben
@sperospera20232 жыл бұрын
Man ur the real patriot, more bless, more hard work, bless to our government Tanzania
@EliahParpulisEvalyneMkulati2 жыл бұрын
Wow!! Kazi nzuri sana Benjamin. Juhudi zako zinatia moyo kwa sisi vijana ambao tunapambana!! I can't wait to use your app here in US to send money to my sweet home TZ, count me as one of users to #NALA!! Big up sana Mtanzania mwenzangu and be blessed!! Ushauri kwa Mr. #MillardAyo inabidi mfungue online session about tech na bwana Benj hapo bila shaka watanzania na wengine wangependa kujifunza masuala hayo!!
@ramadhanimsuya22502 жыл бұрын
All the best benj TANZANIA we proud of you
@ismailmatari9162 жыл бұрын
Hongera sana benjamin nimepata kitu kwako hongera pia milard ayo kwamaana hassle ring zako pia tunazijua vjana ni lazima tuchangamkie fursa ni lazima tuendane na speed ya dunia ilivo kwa sasa bila kisahau kumuweka mungu mbele na kumuabudu....🤝
@fadhilysalum36612 жыл бұрын
Great work. Keep up the good work Mr Benj 💪
@brunompolle14042 жыл бұрын
Mungu akusaidie ufike mbali zaidi na ubarikiwe kwaupendo wako kwa nchi yangu
@noelngowitechnicalsolution6 ай бұрын
Thanks a lot Millard Ayo and Benjamin Fernandes I am learning a lot from you
@madirishasimon96922 жыл бұрын
Nimewaza Mambo mengi Sana kuhusu kipaji Cha huyu jamaa abarikiwe
@stationxplore54192 жыл бұрын
mm kama kijana nimefurahi nimekuwa inspired kutimiza ndoto na kuijenga nchu yangu nimegundua kuwa sio lazma kuhamia nchi nyingine ili kutimiza ndoto God bless you benj na kaka Ayo
@kevinoisso31742 жыл бұрын
Great interview with full of inspiration to us youths of Tanzania
@callmekingty25322 жыл бұрын
Very inspiring 🙏🏿
@egt78932 жыл бұрын
Patriotic Interview
@yustejohn29772 жыл бұрын
Big up Benjamin May God full fill your purpose
@saraphinamsemwa66482 жыл бұрын
Yani kila interview ya benjamini nakuwa napata mambo mazuri.
@barryjeremiah10992 жыл бұрын
Allah akuongezee unafanya kaz kubwa sana brother
@rankdave53342 жыл бұрын
This is an amazing story. There is no reason for Tanzanians to hate on Kenyans. We are all brothers. Matusi kwa social media tuache. Wakenya na Watanzania ni mandugu.
@jenipherjames54752 жыл бұрын
Yes that point...karibu TANZANIA
@rankdave53342 жыл бұрын
@@jenipherjames5475 Asante. Pia wewe Karibu jiji kuu la Nairobi.
@miltonmachage24622 жыл бұрын
Lkn utani upo mfano sio mandugu ni ndugu
@zachmaselle66352 жыл бұрын
Technology tukiishiks, itaajili vijana wengi sana. Tatizo letu ni uelewa wa viongozi wetu.
@esterdonald54972 жыл бұрын
Hongera Sana, Bwana Yesu akutangulie.
@GEORGEOSWARD-uc7sr8 ай бұрын
Kwa kweli ukimsikiliza mr Benjamin, unajifunza mengi sana. Natamani sana vijana tujifunze sana kupitia huyu jamaa. Mungu ambariki, naamini atafanikiwa sana kwa mawazo aliyonayo.
@muntathirsilima3351 Жыл бұрын
Mungu Ni mwema Sana na wa kushukuriwa , kijana anajambo kubwa la kujifunza mola amsaidie Sana, sio kwa vijana sio kwa serekali , ametupa funzo kubwa . Ni juu yetu kumpa support ya japo kupakua app yke
@gwakisamwakilema2 жыл бұрын
Ni app Nzuri Sana na Mungu akubariki Sana #Benjamin utafika mbali sana #Great_thinker
@Executive2552 жыл бұрын
NALA listed in NASDAQ agreat dream Benji keep up the good work man.
@xamael19892 жыл бұрын
Nala haipo nasdaq ila soon in 2 years it enda public refer kwenye time line 9:19
@paulinacherement25342 жыл бұрын
God towerds efforts for all big up brother
@paulinacherement25342 жыл бұрын
Nala soon.wiil toproud inshallah
@lodrickkisanga86812 жыл бұрын
Brother Benjamin big up sana,,, wewe n mtanzania halisi vijana inabidi tukuunge mkono na kujifunza sana kwako
@starspreandprimaryschools30752 жыл бұрын
Yes Benja, I appreciate your achievements, God lead you to achieve the desire of your heart. NALA hoyeee.
@edisonkashaija40672 жыл бұрын
Big up wewe ni kidume wa nguvu sana hakika mungu atakucmamia na utatimiza ndoto yako ya kweli 💪👏
@samwelimoshi56142 жыл бұрын
Atimize ndoto gn wakat tayar ana 23bilion
@kisakim56602 жыл бұрын
Mungu / MUNGU sio mungu hii inamaanisha mungu wa Dunia hii yaan shetani
@dansonkasala17842 жыл бұрын
Hii ni akili kubwa sana na yenye uzalendo mwingi sana.....Serikali ni muhimu sana kufinance watu kama hawa kwa manufaa ya Taifa.
@barakalusinde22 жыл бұрын
God bless People like Benjamin🙏🙏
@bestmindcoolingrelaxationm10842 жыл бұрын
My brother Millard ayo, nakushukuru kwa hii interview imenihamasisha sana Mimi kama software developer🙏
@rahmajuma68252 жыл бұрын
Allah barik mr #Benjamin
@IBENGM2 жыл бұрын
Big up sana kwake..jamaa yupo very smart
@ombenimollel68422 жыл бұрын
Big up sana Benjamin,,, Very inspiring.... Government Kuna vitu vya kuchukua hapo lazima kubadilika tuende na kasi ya Dunia
@paulinacherement25342 жыл бұрын
God with you brother
@bahi_bay242 жыл бұрын
Congratulations 👏 Benjamin. Hakika uko vizuri..
@brysonjohnlukumay2 жыл бұрын
Nimependa sana hii interview.Imenipa hamasa sana ya kupambana
@aliabdullah88192 жыл бұрын
Hongera Benjamin kwa jitihada zako Allah akuzidishie ujuzi. Hongera pia Milad kwa masuali mazuri kwa kijana wetu nadhani Serikali itayafanyia kazi kwa haraka.
@Winstonfying2 жыл бұрын
Tanzania government and leaders, please wake up. Investing in Tanzania its really hard especially when it comes to technology things.
@amanikingu56982 жыл бұрын
Hongera sana Benjamin..... Keep going you are growing. Tanzania tunahitaji kuchukua hatua za vitendo zaidi kuliko maneno tu. Hongera pia Ayo unafanya kazi kubwa sana
@johnsonjohnson33652 жыл бұрын
Bro this man his on another level
@bebiwayda24472 жыл бұрын
Ningekuwa na nafasi ya kumshauri Rais Samia, ningemshauri amteue Kuwa waziri wa wiźara flani hivi, Great Brain. Jameni watunzeni vijana vizuri wana potential ya kuinua uchumi wetu.
@mohamedhassani21792 жыл бұрын
Sio Lazima uwaziri awe mshsuri wa Rais inatosha
@bayokonelson65082 жыл бұрын
Kakataa kuajiriwa Marekani hapa bongo ndo atataka
@nhalekasmir4782 жыл бұрын
Amekataa mshahara wa million 400 kwa mwaka kampuni ya Google awe wazir mshahara million 5 sijui 6
@alimohammed85402 жыл бұрын
Mungu akuongezee kipaji na uwezo
@emmanuelgasper66092 жыл бұрын
Very inspiring!!!! Congratulations brw
@samwellema56422 жыл бұрын
We proud of you brother 🙏
@nicaslolela139819 күн бұрын
This is great conversations, inspireful
@kassimmatanka47802 жыл бұрын
Mashaallah. Ubarikiwe inshaallah.
@yusuphkapilimka2 жыл бұрын
Millard hizi ndo habari zinafaa kushinda kwenye maskio ya vijana na tupunguze udaku🙌
@samniza17632 жыл бұрын
You are so so right, sio kutuletea WCB lol!
@saimonijonas43562 жыл бұрын
Mimi huw nikimuona mwenyewe mwenye Milado Ayo huwa najua anakuja nakitu kitamu,ufunguo wa akili,afya ya kujielewa.
@josephinemeena22072 жыл бұрын
@hangatvonline Tz p1t
@iddikibwana91852 жыл бұрын
Hongera Sanaa Benjamin una malengo makubwa . Umewaonyesha njia vijanaa
@mohamedjeizan59292 жыл бұрын
Mashallah. Mungu akuzidishie
@dakhu47402 жыл бұрын
Big up brother its a great thing Keep it up
@EliahMlagwa9 ай бұрын
Congrats Benjamin,,kiukwel upewe pangez sana na siwez kusita kusupport hili.bravo bravo
@yahyamkone56012 жыл бұрын
Hakika huyu benja ni mzalendo wa kweli kabisaa lazima watanzania tumsaport kwa nguvu zote
@digitalworld55772 жыл бұрын
Sijui wenye mamlaka wanajisikiaje wanaposikia maneno kama haya kucheleweshwa! kucheleweshwa! Inasikitisha sana kuona kila mwekezaji analalamika ucheleweshwaji wa mambo ndani ya Tanzania.
@joycembago52132 жыл бұрын
Mungu akubariki mawazo yako yafike mbali nimependa sana
@alexchiwenda95402 жыл бұрын
Miaka kadhaa huko nyuma rafiki yangu mmoja alinieleza jinsi Tanzania tulivyokosa fursa ya kupatia vijana wetu ajira baada ya mwekezaji mmoja mzungu kuvunjwa moyo na kuhamishia uwekezaji wake nchini Uganda. Mwekezaji huyo alitaka kufungua kampuni ya ufugaji mbuni, lakini alipigwa danadana kwenye ofisi moja baada ya nyingine. Baada ya kuona miezi inapita na hapati ufumbuzi alienda Uganda na ndani ya wiki 2 (wakati huo) akafungua kampuni. Nashangaa hadi leo ukiritimba bado upo!!
@mercyzephania55072 жыл бұрын
upo mnooo .. yani kwanza ata system ya makodi is soo unreasonable...wangeangalia i say...makampuni mengi yanafanya kona kona kisa tu ivo
@alexchiwenda95402 жыл бұрын
Big up sana Benjamin. And Millard keep the pot boiling. Very good job you are doing.
@iddikimia49512 жыл бұрын
Big up Home boy keep it up na Millard plz utupe updates kila anapotea bidhaa
@dayanakuboja39702 жыл бұрын
Hongera sana Benjamin,Mwenyezi Mungu akuongoze kubadilisha mitizamo ya vijana wa kitanzania.
@mohamedyange22222 жыл бұрын
❤❤❤
@godykilian2 жыл бұрын
Very inspirational, may God bless you abundantly
@Voiy-f4y2 жыл бұрын
Mr Benjamin umenifurahisha pale uliposema "namjua Kila niliyemtumia maombi ya kuwekeza kwenye Nala akanikatalia😄 ninao kwenye Compyuta" 😂🤝
@samsonbushasha72982 жыл бұрын
Ben, There is a big market here in US . Work with us( Burundians, Congolese and …)
@mackdonaldkainga40512 жыл бұрын
Brother Benji congratulations 🎊
@jacksonjudicate93882 жыл бұрын
Our system is way too back... The government should accept changes to cope with the world.. or else will never be in the list of tech companies
@williengangamacharia27612 жыл бұрын
Benjamin is a great person! He has a great vision!
@saumusalimuhassan24992 жыл бұрын
Mashallah, hongera sana Benjamin
@samwellucas90072 жыл бұрын
💪 be blessed brother
@noelngowitechnicalsolution6 ай бұрын
Hongera sana kijana. The Children of the righteous shall do exploits
@answarulmahdy75572 жыл бұрын
Watanzania tunaweza inshallah mungunawahifadhi Hawa vijana na awaziishie maarifa na awafanyie wepesi ktk mambo yao
@abdulwahabjambeni51062 жыл бұрын
Tanzania needs to automate their government services..... things will change big time.
@alfredshukuru70572 жыл бұрын
The man is very brilliant
@denisndaki1672 жыл бұрын
The sky will be your limit bro, you are the future mackzurgenberg
@Manyesha62908 ай бұрын
I always keep watching this interview
@kalobhachannel61292 жыл бұрын
Now Pesa ipo kwenye Technology, hivyo ni wajibu wa kizazi chetu hiki kuanza kufundishwa Programming language, networking, graphics na pia kongole kwa serikali yetu kujenga Chuo kikubwa East Africa nzima Cha Technology kipo Udom COLLEGE OF INFORMATICS AND VIRTUAL EDUCATION. Hivyo haya masomo yafundishwe kuanzia grass root hata kuanzia Primary level Education.
@emmanuelsospeter13562 жыл бұрын
Hongera kwake na mungu amtangulie azidi kufanya vizuri