Nimepata siri kubwa sana. Mungu akubariki mtumishi nafuatiliza mafundisho sana kitika 🇰🇪
@samweljumba Жыл бұрын
Kwa kweli mtumishi wa Mungu, umekuwa mwenye baraka katika maisha yangu. Mungu akakulinde sana❤❤
@violetnafula49485 ай бұрын
Mungu Baba naomba mbingu wazi ju ya talanda na Neema uliyonipa! Napokea mbingu la baraka kutoka kwa eeeh! Mungu wangu! Wachilia mafuta ya baraka kwenye kichwa changu! Napokea mafuta ya baraka kutoka kwako Mungu
@NeemaMinga-pl8ty2 ай бұрын
Nimepata baba wa kiroho Kila fundisho ninalofata kwangu Huwa na Faida, barikiwa sana mungu akujalie afya njema ili uendelee kuwa mwalimu wetu. Ahsante baba
@marykhayega94687 ай бұрын
Hapa Kenya twahitaji Pastor kama huyu ambaye anaelimisha watu mungu akubariki sanaa
@mthiaspaul7 ай бұрын
Amina baba nimefungukiwa mbingu yangu kwa Jina la Yesu kiristo na Mungu akubariki kwa mafuta yaliyopo ndani yako.
@LydiaAmechaguliwa3 ай бұрын
Mchungaji umenibariki sana kwa mafundisho Mungu akubariki.
@esthermutsoli99959 ай бұрын
Tangu nianze kufuata mafundisho haya,biashara yangu imeinuka ajabu,mtazamo wangu wa Neno la Mungu umebadilika kabisa.Mungu akubariki sana mtumishi wake
@violetnafula49485 ай бұрын
Mungu naomba nifungulie mbingu zangu katika njia zangu zote ! 🎉🎉🎉🎉🎉 Mungu wangu nifungulie mlango wa baraka wewe ni Mungu wa Kweli
@agnesNdonde11 ай бұрын
Huyu mtumishi ana masomo mazuri sana napenda kumfatilia kila siku kiroho changu kinazidi kukua. Barikiwa baba
@salumrajab52352 ай бұрын
Nafuatilia kwa makini sana pasta Toka jinja Uganda
@EdaAlex-q5u7 ай бұрын
Barikiwa Sana mtumishi
@beziarwongezibwa79809 ай бұрын
Nimempenda sana, anajua kufundisha neno la Mungu na kulielewa. Anahubiri na kufundisha utadhani ni Mwalimu. Mungu akubariki sana. Ninakufuatilia mara kwa mara
@shshygibb22362 ай бұрын
Kweli kweli wooow Prophet Pastor George Mukabwa
@shshygibb22362 ай бұрын
Ameeeen❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤truuuueeeeeethful from Prophet Pastor George Mukabwa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤st
@GraceWanjiruNganga7 ай бұрын
Aki nime ishi mahari Kuna Neema but Bingu irikuwa imevugwa, sahii nime vuguria ,nime aza kumuvuata nime aza kupokea Baraka,Mungu akubariki, kuvudisha kwako kumenisaidia, nashidwa Niki sikiriza hii mafudisho
@violetnafula49485 ай бұрын
Nimepokea baraka kutoka kwa Mungu tayari!
@lovenessdastan5943 Жыл бұрын
nakushukuru pastor tangu nimekujua ww kupitia youtube umebadilisha mfumo wa maisha yangu na kumjua Mungu kupitia ww bwana aendelee kukupaka mafuta ili umtumikie utuponye na wengine🙏🙏
@penninahmarthias930111 ай бұрын
Ameen and Ameen Our God is powerful
@JoyceMaganga-p3j Жыл бұрын
Mungu wangu nakushukuru kwa sababu huwahi wala huchelewi naamini ni wakati wangu wa kupata haya madini God bless our Pastor
@eutropiafreeman131311 ай бұрын
Amina mtumishi naomba mafuta ya somo hili yanifungue na watoto wangu. Na family yetu wote.
@Emmanuelboniphace-n3gАй бұрын
Somo nzur sana pastor
@rukiaramadhani654611 ай бұрын
Ubarikiwe mtumishi kwa neno zuri unalotufundsha Mungu akupe upeo zaid
@EmilyBett-bu8bm8 ай бұрын
Ubarikiwe pastor
@NyustaFrenk9 ай бұрын
Amekuwa baraka sana mm mwenyewe nimemugundua kama mwezi nakdg ,jamani nani mwenye no zake ? Anisaidie ,
@SabinaOchami3 ай бұрын
Bwsna asante kwa neno lako am alone nkmepokea siku yaleo baba fungus mbingu ya uchumi wangu familiawokovu wangu kazi biashars kwa watogo wangu mjji wa maombk ysngj ya kiroho familiar ndoa yangu baba nifungulie mbingu liana ya mtaa
@HusnaOmarry10 ай бұрын
Ameen mtumishi hakika umebarikiwa sana unatufungua kwa mengi
@AnnaEmanuel-ko5ie Жыл бұрын
Amina nimeanza kumuona Mungu kwa ukubwa toka nianze kufatilia mafundisho yako Mungu akibariki na akutinze
@shshygibb22362 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤oooh My Goodness oooh My Goodness
@YvonneKhalui5 ай бұрын
Bingu yangu ya maombi na ifunguke katika jina la yesu
@NeemaMinga-pl8ty2 ай бұрын
Nyie mnaopata nafasi yakwenda kanisan hapo mna Raha sana jaman, nataman siku moja nifike hapo, tumuombee mtumish wa mungu. Tumuombee sana jaman!
@TumwiLameck-sk8rq Жыл бұрын
Mungu siku ya Leo naomba ufungur mbingu Kwa ajili yangu na initangaze Kwa uweza wa Mungu baba Alie juu
@SuzanaSusuna7 ай бұрын
Nabarikiwa sana na mafundisho ya
@lilianmbeyu7 ай бұрын
amen! nainuliwa viwango kupitia huyu mtumishi,amenifanya nahisi kma nahudhurua ibada kila siku,ubarikiwe Sana pastor
@ElizabethabrahamHassan9 ай бұрын
Mimi namfatilia kila siku. NanimebRikiwa sana Aminifundisha mengi mwingine nilikuwa siyajui. Mungu Ambariki sana.
@lilynyagaki80267 ай бұрын
Am watching from Kenya and am so blessed with this powerful message God bless you mtumishi,Man of God Amina, Amina.
@JoiceMwikali-l7o11 ай бұрын
Nashukuru mungu kwasababu ya uyu mtumishi akika amekua baraka sana
@valentinendyano29110 ай бұрын
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu
@lovenessmwamengo7090 Жыл бұрын
Sio myezi mchungaji ni miaka mingi tu mbingu zangu zimefunga , Nisaidie Mungu wagu mbingu zangu zifunguke ktk jina la yesu kristu Amen.
@joycekashaija9232 Жыл бұрын
Mungu atukuzwe Kwa ajiliyako pastor,nipo dar ss ni mwezi nakufuatilia Mungu akusaidie kutunza ulicho beba.
@LuciaAloyce-pp9ei Жыл бұрын
Ninabarikiwa sana na ufunuo wa Mungu ndani yako mtumishi, Mungu akulinde watu waweze pona
@VioletFlora-qx5xl11 ай бұрын
Amen be blessed the man of God, mafunzo yako yamenibadilisha
@judithnjunwa6668 Жыл бұрын
Mtumishi nakukubali Sana,,, mafundisho ni mazuri ya neno la MUNGU,, barikiwa sana baba
@ kuna nehema ya ajabu kwa mtumishi from Kenya 🇰🇪 na barikiwa sana
@everinemasoka6923 Жыл бұрын
Amen Amen ubarikiwe Paston George
@UPENDOMWALUKASA8 ай бұрын
Ninabarikiwa sana
@ulderonyango9 ай бұрын
Karibu kenya sir you are such a blessing to me
@ulderonyango9 ай бұрын
Am listening sir
@maryMutisya-n2q Жыл бұрын
Bwana akubariki Sana umekua wambaraka kwangu umesababisha nitoke maali
@kezziahbenson589 ай бұрын
Natokea Kenya, nimepata mafunzo Yako juzi tu lakini maisha yangu yamebadilika ghafla,,, Mungu akuzidishie neema yake
@josephwawuda3204 Жыл бұрын
Ameen mtumishi MUNGU akubariki sana na akuinuwesana hakika nimesonga hatua moja mbele kwa mafundisho yako God bless you 🙏
@georgiabuchukundi514611 ай бұрын
Asante kwa ujumbe mzuri
@cesiliamathias Жыл бұрын
Mungu akutunze mtumishi unanibariki sana na mafundisho yako
@mercynafula69056 ай бұрын
Amen 🙌 🙏 🙌
@sirielmmari3435 Жыл бұрын
Mungu akitunze sana mtumishi
@shaluamagandi2184 Жыл бұрын
God bless you mtumishi wa MUNGU❤❤
@ruthabed10 ай бұрын
Na barikiwa sana na mahubiri yako
@yesuanikumbukejanuary8363 Жыл бұрын
Ameeni napokea mbingu zangu zikowazi kwa sasa sikuzoote in JESUS NAME 🙏🙏
@mussaloyde7841 Жыл бұрын
Blessed the day that I met your sermon on you tube and started following! i have never regrated and truly my spiritual life is changing gradually!.. Mungu akuweke sana Pastor!..
@RODAHNUHU-eu4yl Жыл бұрын
Ameeen!! Mchungaji ubarikiwe mnooo
@neemangoti-cd3ft11 ай бұрын
Mungu akuinue zaidi
@gloriambonika2705 Жыл бұрын
Amen ubarikiwe mnoo Mchungaji mafundisho yako yamenitoa mahali ubarikiwe mnoo
@LydiaNasimiyu-h1n10 ай бұрын
Alelluyah alelluyah blessed ❤❤
@PATIENCESHALI Жыл бұрын
Amen. I'm being blessed from Kenya kilifi. Karibu Kenya. God bless you man of God
@rumariletimba7585 Жыл бұрын
Amen, Mungu nisaidie nipate ujumbe wa sasa
@joelparmuat Жыл бұрын
Amen God bless you forever and forever
@janewasilwa8813 Жыл бұрын
My Pastor . Forever grateful for God crossing our paths
@EdwinImbuchi Жыл бұрын
P Op O! Ok O O😊
@EdwinImbuchi Жыл бұрын
😊 13:23
@JacksonSwai-g2y2 ай бұрын
Sijawahi kukusikiliza mtu wa Mungu nikatoka patupu
@tabithajeremiah4589 Жыл бұрын
Huyu mtumishi ana madini ya kiroho,nimeyagundua hivi karibuni na ninabarikiwa sana,waumini wa hili kanisa mwombeeni mtumishi maana ana baraka kubwa mnokatikati yenu,ila inashangaza kitu nimeona mtumishi anaflow na neno then Kuna watu wanasinzia,unaweza je kusinzia katikati ya uwepo kama huu? Mungu atusaidie.
@everkivuyo8596 Жыл бұрын
Mnooo Mungu amueeke sana kwa ajili y wengi
@eliasmwakalukwa1054 Жыл бұрын
Yupo vizuri sana mungu amjalie adumu ktk viwango hivyo na kuzidi zaidi
@mariamwalongo Жыл бұрын
ukionahivi ujue amekamatwakweli anahitaji kufunguliwa Munguawasaidie wote wanao India kanisan halafu wanasinzia mm Kwamahubili yahuyu mtumishi huwezi kusinzia ila kunashida kwamuumini mwenyewe
@catherinewafula4322 Жыл бұрын
Pastor b blessed nabarikws sana na mafundisho yako
@ShallinRotich Жыл бұрын
Akika kuna nguvu za mungu ndani ya mtumishi uyu
@Emmanuelboniphace-n3gАй бұрын
Shalom
@BrantonBwire-mc1kz11 ай бұрын
Very powerful preaching
@PIENCIAJULIUS2 ай бұрын
Nice scripture
@leahmbola Жыл бұрын
Mungu akubariki san kwa sababu mbingu zangu zinaenda kufunguk
@joharikahite632911 ай бұрын
Mungu hazindi kuku Linda na kukutia nguvu
@IreeneMuthoni-g2p Жыл бұрын
Amen pastor be blessed 🙏
@penninahmarthias930111 ай бұрын
Open my door GOD
@penninahmarthias930111 ай бұрын
Ameen pastor
@jenipherkachecheba8097 Жыл бұрын
kweli ana madini! nampenda
@LydiaNasimiyu-h1n10 ай бұрын
Alelluyah alelluyah blessed
@kyalodaniel2055 Жыл бұрын
Thank you man of God apa Nairobi Kenya nabarikiwa sana
@penninahmarthias930111 ай бұрын
Ooooh Jesus
@Pulchrafortis Жыл бұрын
1:52:11 Hallelujah. Thank you Jesus I receive
@EdwinImbuchi Жыл бұрын
😊 29:08
@michaelimoleli Жыл бұрын
Yan mtumishi nimemfaham kwa mda mfup Sana ila nimeshaenda mbali Sana kwa mafundisho yake
@sakinaruguduka7145 Жыл бұрын
God bless you men of God
@Jenvier-jz2lg Жыл бұрын
Barikiw kwa ujumbe
@joshuaswai8203 Жыл бұрын
Huyu Mtumishi ni baraka kubwa hapa duniani tuitumie wapenzi wa Mungu ahimidiwe Mungu juu mbinguni
@sarahasumani6499 Жыл бұрын
Amen Amen pasteur
@jerrydenis7165 Жыл бұрын
asante mungu kwa mafundisho haya
@SonOfTheKingdomOfGod Жыл бұрын
GOD BLESS YOU MAN OF GOD , I ALIGN MY LIFE AND MY MINISTRY WITH THE GRACE FROM OUR LORD GOD UPON YOUR LIFE AND YOUR MINISTRY
@gwantwangailo5949 Жыл бұрын
Amen Sana mchungaji, Mungu Nena nami hakika mbingu zangu zitafunguka nakukutunzwa Leo hii kwa Jina la Yesu
@christinesavai884 Жыл бұрын
Amen and Amen
@jacklinemirenja591811 ай бұрын
Amen l bless
@SabinaOchami3 ай бұрын
Nimefanya kazi miaka kumi na mbili 2024 ni wa 13 nimlianza kulipa zaka 2017 bado sijashika kitu mikononi
@priscaalex503 Жыл бұрын
Baba natamani Kuja huko maana nabarikiwa sana mungu akubariki sana baba