Muda mwingine unatamani sauti ya mtumishi iwemasikioni mwako muda wote huku ukitafakali maneno ya MUNGU kutoka kwenye mafundisho ya Mtumishi.MUNGU awape vibali wana wake amen 🙏 🙌
@ffflll6001 Жыл бұрын
Thanks be to God l have favour from God yaan mungu kanipendelea kwa family yangu niliuza njungu karanga mpaka nikajilipia fee na mungu kabariki mikono yangu tena nikamjengea my mum house again walimwengu kuona ivo tena nikarogwa kwa kitu kidogo tu ya kujenga nyumba but sai mungu amenibariki tena nimemalizia nyumba iko vizuri sana so my mum is happy to have me ablessed daughter nimefanya anaishi maisha ambayo ambayo hakuwa nayo ya mateso , mvua ilimnyeshea sana Ee bwana wa mbinguni uinuliwe siku zote
@eaglecrown110110 ай бұрын
Amen
@joycengata3779 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@amourkaiton19667 ай бұрын
❤
@janetnthambi7 ай бұрын
Mungu siku ya Leo ni barki na kibali
@RemnantsDisciple9 ай бұрын
Shalom shalom shalom from qatar doha 🇶🇦🇶🇦🇶🇦🥰🥰
@RemnantsDisciple9 ай бұрын
Following keenly from qatar doha 🎉
@reginawanjiku3018 Жыл бұрын
Since i started wotching ur teaching my life has change very big,,,,,am so honoured
@ElukaMwakifuna-z3j5 ай бұрын
Yesu nikumbuke nijue kujishusha kwenye familia yangu
@LydiaNasimiyu-h1n7 ай бұрын
Ohhhh Yesu Kristo wanasareti nitekeneze Mimi hapa nitarekepika Mimi hapa Niko tayari nitakua kubatirisha na wewe Yesu
@catherineyinda11 ай бұрын
Pastor u have changed my li fe 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@StellaKeneth-dg7jl2 ай бұрын
Naomba kibali chako bwana kiwe juu yangu daima
@doreensabai8736Ай бұрын
Mungu Azidi kukutunza mtumishi
@catherinewafula4322 Жыл бұрын
Naomba mungu unijalie kibali Cha roho mtakatifu aniongeze asibuhi yangu na jioni yangu
@antonylusweti360 Жыл бұрын
Mungu nipe kibali .. nisiingie mwenzi wa tisa kesho bila kibali. Amen
@maseaJoe8676 Жыл бұрын
Asante sana pastor kwa ibada naomba kibali Mungu wetu ju ya familia yangu in Jesus Name Amen Amen Amen Lord Amen 🙌🙌🙏 🙏
@nuruabraham3769 Жыл бұрын
Yaani huyu ni mimi kabisa yaani, ewe Mwenyezi Mungu nami nakuomba unipatie kibali changu maana yote umemtumia mtumishi wako katika somo hili yamenigusa na yananihusu kabisa (ni masomo ya mwezi wa sita lakini mimi nasikiliza leo tar 20/10/2023 naamini na ninapokea kibali changu katika jina la Yesu.)
@AgnesNyaleso2 ай бұрын
Amen amen amen 🙏
@CatherineMwangi-m5e5 ай бұрын
Asanti kwa huu ujumbe....mungu akubariki sana mchungaji Kisha akuinue.
@iluminatambilinyi5062 Жыл бұрын
Mtumishi naguswa sana na mahubiri Yako Mungu akufanye uishi maisha Marefu kwa ajili unatuokoa Sana
@jacklinewahome2416 Жыл бұрын
Very good teaching, pastor may God shower you with more blessings.
@karembokahindi6308 Жыл бұрын
Pastor mngu akuzidishiee nguvu za iman yako
@PurMer-lx4qf9 ай бұрын
Sitakuntwa maju ya uchungu katika jina la yesu amen🎉🎉🎉🎉🎉
@everlyneimili7 ай бұрын
Nashukuru sana mtumishi kwa mafunzo haya, nimebarikiwa.
@CatherineMakokha-dg6ws11 ай бұрын
Amen and amen, thanks for the powerful teaching in spiritual life pastor, 🙏🙏
@MarthaMwamboa11 ай бұрын
A message of deliverance. Thanks man of God.
@mercymwaisaka8133 Жыл бұрын
Wow mafundisho Mazuri Sana
@alphoncebaya Жыл бұрын
Amen 🙏 barikuwa mtumishi
@florencekwamboka9717 Жыл бұрын
Naomba kibali kila eneo la maisha yangu pamoja na familia yangu katika jina la Yesu kristo amen amen 🙏
@shalomyashua2884 Жыл бұрын
Kipaji Jako Mungu nipe baba nirejeshee nikumbuke
@winfredkariuki43189 ай бұрын
Am warching from kenya am blesed by the man of God
@florencekwamboka9717 Жыл бұрын
Oo my God, thank you thank you nimepotesa Mungu nipe neema nikurudie 😢
@veronicalemalali6361Ай бұрын
Je kama na sisi ni wale tumekataliwa na Mungu hata tukiomba
@naseeralbishi47268 ай бұрын
Eee Mungu wangu naomba pia nipate kibali mbele zako Mungu .....naomba unipe nafasi ya pili ..kwetu ni shida tu niombe mtumish kibali
@HellenSulul Жыл бұрын
Plaster mungu akubariki Kwa mafudisho nzuri naomba kibali Kwa maisha yangu na ya watoto wangu
@iluminatambilinyi5062 Жыл бұрын
Mtumishi naomba kibali nakatika Maisha yangu pamoja na familia yangu
@joycechebet5669 Жыл бұрын
Amen naomba kibali kwa maisha yangu
@joshuaabell2033 Жыл бұрын
Muñgu wangu am so beyond shocked nimekujua juma4 this wéek 21/11/2023/àm hooked nikiamka I want to listern to more téaçhiñgs, yaaani màdini mazitoó zaiiidi ya mazíto my goodness
@Lizzyktd Жыл бұрын
Amen Apostle kwa ujumbe
@JecintaNjuguna-ko2wr8 ай бұрын
Oooh Lord i need your favor in Jesus mighty name
@JosephineOkaya6 ай бұрын
AMEN AND AMEN 🙌🙌🙏
@shalomyashua2884 Жыл бұрын
Ohhh Mungu uinuliwe unapo nijalia kipali
@rosegaspar4852 Жыл бұрын
Amina sana Mt nabarkiwa sana na mahubiri yako.
@ruthkwamboka40499 ай бұрын
Pastor niombee Mungu anipe kibari kwake
@davidmghanga8502 Жыл бұрын
Hata mm nahihaji kibali kwa saaaana Asante mtumishi wa MUNGU
@RoseMgangalln Жыл бұрын
Amina mungu aendelee kukupa maisha marefu myumishi
@robertngisirei762210 ай бұрын
Thank you Jesus.
@shshygibb22363 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Ameeeen Glory❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@bintiissa4323 Жыл бұрын
Amen 🙏 napokea kibali kwa jina la Yesu kristo 🙏🙏💕🥰
@mpendwamanyelezi1456 Жыл бұрын
Jo Jo Jo
@odarickmenard91078 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu uko wapi Mimi leo nipo Mwanza ningependa nikuone
@lovenesspetro8257 Жыл бұрын
Ameni dady
@happymasenga8804 Жыл бұрын
Najiungamanisha na madhabahu hii nipokee kibali changu,damu ya Yesu ikavunje mahali ambapo kibali changu kimefingws
@mildredsakali2243 Жыл бұрын
Baba naomba unijalie kibali chako ju ya maisha yangu 🙏
@CALLEBKINARA9 ай бұрын
Amen man of God
@tumainichanya3268 Жыл бұрын
Amen kibari Cha Mungu hakipingiki
@mabingozahabu8456 Жыл бұрын
Asante kwa mahubiri mazuri ,imenigusa kabisa mungu atusaidiye
@helansakeyan5307 Жыл бұрын
AMEN AMEN NIMEPOKEA BARIKIWA MCH
@catherinewafula4322 Жыл бұрын
Nachwaswa sana na mahubiri b bless
@esterbiteko4090 Жыл бұрын
Ubarikiwe
@JaneDoe-hf3zy9 ай бұрын
Eeh mungu nipe kibali maana ninayo pitia wewe mungu ndie ujuaye
@goodluckmwangobola5300 Жыл бұрын
Amen is my real chance
@agneskilemwa86712 ай бұрын
❤
@Lizmoonlee-2015 Жыл бұрын
Mungu naomba kibali leo
@magrethfaustine26658 ай бұрын
Mtumishi niombee nipate kibali kwa mume wangu
@ruthkwamboka9082 Жыл бұрын
amen ninaitaji kibali juu ya maisha yangu
@florencekwamboka9717 Жыл бұрын
Sema baba tusaidike
@florencekwamboka9717 Жыл бұрын
Oo yes yes
@philomenakayombo15858 ай бұрын
Ee MUNGU mkuu Naomba KIBALI NAOMBA NAFASI YA PILI
@LilianNjuguna-gf7kh5 ай бұрын
🙏🙏🙏🇰🇪
@cellinarua5652 Жыл бұрын
Amen 🙌🙏
@rahelgodfrey438 Жыл бұрын
Yesu nakusiiii kweli nimevamiwa na ata Leo kwenye kkipindi Cha jioni shetani umenishambulia nakuamuru Kwa jina la Yesu nikukema Toka
@fulgencenayingo8919 Жыл бұрын
Ameeen
@josephwandera2225 Жыл бұрын
Kwa kweli ninahitaji kibali
@conjestakimario6992 Жыл бұрын
Ameeni
@Maua-y2c Жыл бұрын
Mwezi uu sitaona aibuu
@pastordanielramadhan1397 Жыл бұрын
Amen past hiii kweli
@pastordanielramadhan1397 Жыл бұрын
nikufutilia sana ila namba za cm sina
@sophiamasawe8691 Жыл бұрын
Nisaidien no ya paster mwenye nayo tafadhali
@Pankrasokumburu Жыл бұрын
Emeni
@lilianmbeyu7 ай бұрын
nahitaji kibali chako Bwana ili kiniinue kutoka chini kwenda juu
@fondogona1147 Жыл бұрын
Naombi kibali
@margrethemanuel7501 Жыл бұрын
Pastor George you kill it...ati kashati ka Yanga😅😅😅😅😅😅
@espererancesudi7600 Жыл бұрын
Asuivre
@lilianmbeyu7 ай бұрын
nipe kibali chako Bwana,ili nikutukuze
@ponemnyamoga8451 Жыл бұрын
Ni jambo gani linalosababisha mtu akakosa kibali
@costanciamwita3854 Жыл бұрын
Zipo sababu nyingi za kukosa kibali mfano.ghadhabu ya Bwana inayotokana na laana,makosa ya binadamu.nk Lakini Neema na huruma yake kupitia damu ya Yesu hurejesha kibali.