Рет қаралды 519
UFUNUO 13:18
[18]Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.
HEKIMA YA YESU KRISTO IKO KWENYE NAMBA 666.
1: YESU ALIUMBA MBINGU NA DUNIA NA VITU VYOTE KWA SIKU SITA.
Mwanzo 1:31
[31]Mungu akaona kila kitu alichokifanya, na tazama, ni chema sana. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya sita.
2: SULEMANI ALIYEPENDWA KULIKO WANADAMU WOTE UTAJIRI WAKE ULIKUWA NA NAMBA 666.
1 wafalme 10:14-15.
[14]Basi uzani wa dhahabu iliyomfikia Sulemani mwaka mmoja, ndio talanta mia sita sitini na sita,
[15]zaidi ya faida ya wachuuzi, na bidhaa ya wafanya biashara, na ya wafalme wote wa hao waliochanganyika, na ya maliwali wa nchi.
3: YESU ALIKUFA NA KUUKOMBOA ULIMWENGU SIKU YA 6 IJUMAA YA LEO.
TUMIA NAMBA 666 KUMTUKUZA MUNGU WA MBINGUNI KWA KUSOMA BIBILIA TAKATIFU YENYEWE VITABU 66 NA KUZIISHI INJILI ZA YESU.
UPATE KUPONA NA KUTAJIRIKA KIROHO NA KIMWILI.
MATHAYO 6:33
[33]Bali utafuteni kwanza ufalme wake, na haki yake; na hayo yote mtazidishiwa.
NYAKATI TULIZONA NI ZA NEEMA YA YESU KRISTO KATIKA NAMA666.
ALIYELAANI MSALABA NDIYE ALIYEUTAKASA.
ALIYELAANI NAMBA 666 NDIYE KAITAKASA TENA.
KUMBUKA HILI USISAHU HATA SIKU MOJA.MAMBA 666 UKIITUMIA KUMTUKUZA SHETANI KUPOTEZA UKWELI WA MUNGU KWA MAKUSUDI KATIKA BIBILIA TAKATIFU YENYE VITABU 66 UTAKUFA YESU KRISTO AMEONGEZA GHAZABU.
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE.