#EXCLUSSIVE

  Рет қаралды 16,123

Wasafi Media

Wasafi Media

Жыл бұрын

#EXCLUSSIVE: MZEE ENZI TALIB AIBUA MAZITO MUUNGANO WA TANGANYIKA na ZANZIBAR...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 52
@aaahadventures4214
@aaahadventures4214 Жыл бұрын
I like Mzee Enzi. He is open minded and Heartly outspoken person..
@user-vd6fu6rv9r
@user-vd6fu6rv9r 2 ай бұрын
He is a critical thinker and open minded regardless his ideology..and such type of open politics is so relevant in contemporary politics
@user-vd6fu6rv9r
@user-vd6fu6rv9r 2 ай бұрын
But all in all preserving the union is important as far as national security is concerned
@mbingwaali7791
@mbingwaali7791 Жыл бұрын
VIONGOZI WA CCM ZANZIBAR WAKIWA WANAKULA BATA NDANI YA UONGOZI HAWASEMI HAYO MPAKA WASTAFU NA WASAHAULIWE NDO WATAONGEA ,wapowengi hao niunafiki wanataka waishi vizuri na jamii ya walala hoi iliyo wazunguka.
@eddynaeem6708
@eddynaeem6708 Ай бұрын
wewe ulikuwa kwenye kamati ya vutu
@w4058
@w4058 9 ай бұрын
Nyerere mnafiki
@sayidabdillah8505
@sayidabdillah8505 2 ай бұрын
Huyo ni kumila kuwili or mnafiki alifurahia kuwekwa kizuizini kiongozi wetu idrissa abdul wakil alipotaka kwa hati za mandishi mamlaka ya Zanzibar na huo mungano ulipendekezwa na makafiri wa kizungu US na wangereza kisha akapewa nyerere kututawala wazanzibar,
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
Zanzibar ni SEHEMU ya Tanganyika maane yake ni Zanzibar ni KOLONI ya Tanganyika. Zanzibar ni nchi peke yake Afrika ambayo ni Koloni. MKATAA YA MUSSA HUPATA YA FIRAUNA
@idrisaaliy9847
@idrisaaliy9847 Жыл бұрын
Mzee mashaallah anaongea kwa kujiamini na kwa kujua kabsa hongera yako mzee
@rwekazamugasha6448
@rwekazamugasha6448 Жыл бұрын
The best historical narrative . Well done.
@amenuhu9268
@amenuhu9268 10 ай бұрын
Safi sana mzee tumekuelewa
@salahkassim9729
@salahkassim9729 Жыл бұрын
Msumari huu utawachoma wengi wanaojali matumbo yao wakati watu wengine maisha magumu hali mbaya znz
@simonnjovu586
@simonnjovu586 2 ай бұрын
Upande mmoja wa muungano unaitwa Zanzibar na upande mwingine unaitwa Tanzania Bara, hii tu ni shida kubwa. Pande mbili za muungano zijulikane tu kama Zanzibar na Tanganyika.
@saidabdala4980
@saidabdala4980 Жыл бұрын
Hakuna cha kisingiziya ukoministi .msubiri kesho ya kiama. Mutajuwa kama mapinduzi au NYERERE. .yoote yanayoelimishwa kuhusu ZANZIBAR ni uwongo mtu. Wazanzibar tumebanwa na MUNGANO. .ZANZIBAR sas imekuwa ni kisiwa cha mfano ya wasenge.
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
Mauwaji ya Waislam wa Zanzibar ni Usalama wa Ukiristo na Tanganyika.
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 Жыл бұрын
Kwa nini Ujamaa wa Zanzibar ni Adui lakini Ujamaa wa Tanganyika sio Adui?
@fredmpemba3705
@fredmpemba3705 Жыл бұрын
mambo ni fire
@sayidabdillah8505
@sayidabdillah8505 2 ай бұрын
Kwa maelezo yako mzee Sheikh abedi karume aliuza nchi kwa watanganyika kwa woga wake tuu nchi ameipoteza kwa wavamizi wa tanganyika saiv wanatutukana na kutuona madhaifu wa kila kitu
@MohamefMullah
@MohamefMullah 2 ай бұрын
Wewe mzee kitu ni ndumi la kuwili, Lengo la muungano sio kweli kwamba ni kuitawala zanzibar, muungano huu ni nchi kubwa Tanganyika kuitawala zanzibar tu
@user-mp9nk7vu4d
@user-mp9nk7vu4d 10 ай бұрын
Kinachounganisha ni Treaty baina ya nchi mbili huru. Katiba ni mtoto WA treaty
@user-yy6vy4xu2s
@user-yy6vy4xu2s 4 ай бұрын
Muungano ukoloni.
@fahadomar5809
@fahadomar5809 2 ай бұрын
Mm kama mzanzibar muungano sitaki bora uvunjike
@alinassor-zt5rg
@alinassor-zt5rg Жыл бұрын
Jee bwana Hussein anayajua hayo b
@user-lp1gh7im3f
@user-lp1gh7im3f 2 ай бұрын
Na Tanganyika ni SEHEMU ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
@rafaelmarquez9396
@rafaelmarquez9396 Жыл бұрын
Mzee enzi umesema ukweli lakini ma fisiemu hawataki wanajali matumbo yao na nikukaa na kujadili kwa ajili ya maslahi ya nchi kama ulisema vyama vinapita lakini nchi haipiti
@sayidabdillah8505
@sayidabdillah8505 2 ай бұрын
Huyo mwandishi ni jiwe hahaha must or woga tuu
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 2 ай бұрын
Acheni unafiki Zanzibar mngekuwa na KATIBA? Anaongea labda ni CCM kwa sababu Waccm huwa wanafiki wakubwa sana wanacho ongea siyo yale ya kwaeli.
@sayidabdillah8505
@sayidabdillah8505 2 ай бұрын
Mzee kuwa na akili na kuwa aibu Nyerere lengo lake ni kuitawala Zanzibar sio kuisadia Zanzibar, nyerere lengo lake na watanganyika wenzake mpka leo ni kutawala Zanzibar tuu sio kupenda Zanzibar
@MumusuSuley-iv5mi
@MumusuSuley-iv5mi 2 ай бұрын
Zanzibar tuitetee hd tamati
@MumusuSuley-iv5mi
@MumusuSuley-iv5mi 2 ай бұрын
Watu km hawa wataturejesha nyuma
@fatmahamdoun74
@fatmahamdoun74 Жыл бұрын
Ammy😂
@Shafiijuma-ly7ep
@Shafiijuma-ly7ep 11 ай бұрын
Mbona mkiwa ndani ya serekali hamyasemi haya
@eddynaeem6708
@eddynaeem6708 Ай бұрын
Jamani hili koti lina kunguni sifaradhi wala suna
@eddynaeem6708
@eddynaeem6708 Ай бұрын
Jamani hili koti lina kunguni sifaradhi wala suna
@eddynaeem6708
@eddynaeem6708 Ай бұрын
Jamani hili koti lina kunguni sifaradhi wala suna
@eddynaeem6708
@eddynaeem6708 Ай бұрын
Jamani hili koti lina kunguni sifaradhi wala suna
@eddynaeem6708
@eddynaeem6708 Ай бұрын
Jamani hili koti lina kunguni sifaradhi wala suna
@koffilove2796
@koffilove2796 Жыл бұрын
Mzee enzi umeongea ukweli
@salehhassankhamis6834
@salehhassankhamis6834 Жыл бұрын
naona kama sauti ya mboe
@salma0000
@salma0000 Жыл бұрын
Kwani huyu mzee si mwana ccm
@user-vd6fu6rv9r
@user-vd6fu6rv9r 2 ай бұрын
Cha Kuangalia si Uana CCM bali kuangalia hoja anazozitoa mie nahisi that man is a very good critical thinker especially being open minded....Penye Ukweli Mtu mpe haki yake pasi na kujalisha anatokea mrengo upi....Tatizo letu inaonekana Wazanzibari ni Double Standard...Tunasura mbili mbili...
@user-vd6fu6rv9r
@user-vd6fu6rv9r 2 ай бұрын
Pia tumeathirika na historia za kisiasa za nyuma kwa vyama vyetu vikuu tulivyonavyo....
@user-od6wn9qt7d
@user-od6wn9qt7d 3 ай бұрын
Ukabila
@MumusuSuley-iv5mi
@MumusuSuley-iv5mi 2 ай бұрын
Mnafik!!,hatumtambui!!delete!!!,futa huyu kabisa!!
@salehbyussuf9249
@salehbyussuf9249 Жыл бұрын
nyerer mjanja san kwakwel
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 2 ай бұрын
Alikuwa anautapeli ndani yake.
Nastya and SeanDoesMagic
00:16
Nastya
Рет қаралды 26 МЛН
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 28 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 160 МЛН
FITNA 7 ZA MUUNGANO ZA MLIZA  MAKAMU WA KWANZA WA RAISI ZANZIBAR
25:43
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 33 М.